Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

RAADD KWA MUDILU WA ANSWAR SUNNAH SALIMU BARAHIYANI |Sheikh Qasim Mafuta

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2023
  • Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim
    ______________
    Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
    ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
    ____

КОМЕНТАРІ • 44

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 29 днів тому +2

    MaashaAllah Allah akuhifadh Sheikh wetu Qasim mafuta ukweli unazungumza
    Waambie Haqi waijue sindano iwaingie

  • @SadaAbdallah-z9t
    @SadaAbdallah-z9t 27 днів тому +2

    Alla akuifadhi kasm

  • @MaarufuHussein
    @MaarufuHussein Місяць тому

    Mkweli na muongo mjuzi wake ni Allah. Tufanyeni ibada inshaallah!! Masheikh zetu, tufundisheni dini, kila mmoja atabeba mzigo wake

  • @allysalimu338
    @allysalimu338 7 місяців тому +3

    Barahiyani, na weye wote ni wasunnah elimishani watu wajee.. katika din ya allah sikupingana na kuhikhtilafiana niny kwa ninyi.

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w Місяць тому

    Hatakama wakimaliza tofauti zao ndo sheh kasim anyamaze asiseme haki tafautisha tafauti zao na kuchezewa dini

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 7 місяців тому

    Nimeipenda

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,na kudhulumu haki za waislam kavuka mpaka na kuwadhulumu yatima na mama yao na 😅Bibi yao meneja nae kajenga gorofa mali ya yatima allah Karim atawalipia hapa duniani kesho akhera inshaallah

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 7 місяців тому +1

    Shkh Abulfadhil na mfano wako nawanasihi mudeal na watu waliopinda km wale makhurafi hawa wengine watulizeni kwanza maake kila nikitizama naona nyote ni wana sunnah ispokuwa mmekhtilafiana kwa machache tu msichukiane kwa ajili ya mambo yasiyo na msingi ktk dini....Wallahu almusta'añ

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 7 місяців тому

      Kwani huoni tofauti maana yeye barahiyyan awaita watu majadida na yeye kaitwa hizby

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 Місяць тому

      Kwa maana hao wanaokulla haki za watu na uislamu hawajapinda?

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 Місяць тому

      Jamaa jamaa kula millions haki za uislamu sio issue kwa tafsiri.yako

  • @bakarfaki-vb8kv
    @bakarfaki-vb8kv 7 місяців тому

    Nyinyi nyote Muna tofauti zenu jaribuni kuondosha musiishi kwa aman na si chuki….

  • @rajabodhuman1300
    @rajabodhuman1300 7 місяців тому +1

    Nyinyi nyote nimahizbi ila tofauti mmetofautiyana ktk maslahi yenu ya kiduniya sasa mwatuleteya zahazaha mara mbuzi mara tende daawah mmeiweka pembeni

  • @jamalabdullahi6575
    @jamalabdullahi6575 4 місяці тому

    Sheikh hivi akuna unachoweza kuzungumza isipokuwa kuingilia watu mpaka wameingilia al Habib Umar wale maulama ambaye Allah kawapa utuku na wapendwa na ulimwengu we ingilia watu naona umekosa kazi sheikh

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 7 днів тому

    Acha uwongo ww mpaka lini utabaki na hasadi hivi hujui hasadi inakula mema ya mtu kama moto unavyokula kuni? Ama kukuta mapungufu kwenye uwandushi wa kitabu nijambo linaweza kutokea hata kwa wAnavioni bali kuna makosa ya uchapishaji na kuendelea angalia wewe ujuwe utakuja kuulizwa juu ya hayo unayo yatenda

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

    Kassim mafuta huna jipya mipasho na Matusi

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 7 днів тому

    Kwakweli ukimsikia kaasim mafuta kwa makini utamkuta ni mtu wa kubabaika!! Kila ukelele unaopigwA unamtikisa,ili uwamini haya embu angali anasema anataka she saalim atoe shahada ya majisteli nayy atoe ya jaamia!!hii niakili kweli haya ndio yakuzungumzia hapa mtandaoni! Haya akitoa hiyo shahada ww inakusaidia nn!!!!!!!!!

  • @CalvinVenance
    @CalvinVenance 4 місяці тому

    Nabado

  • @jumasalim6126
    @jumasalim6126 7 місяців тому +3

    Hapa hatukupata elimu tumeona ni chuki zenu tu hujatupa elimu kama umetiwa ndani kwamakosa sio kuonewa.

  • @Khalid-xd2yl
    @Khalid-xd2yl 7 місяців тому

    Hizi mbona za zamani

  • @user-tb8zb4rv6h
    @user-tb8zb4rv6h 4 місяці тому

    Nyie ndio wanabaishaji

  • @abdisalumfadhil117
    @abdisalumfadhil117 Місяць тому

    acheni basi kuchafuana bainisheni haki tu (acheni kuzungumzia mtu binafsi)

  • @saidali9379
    @saidali9379 4 місяці тому

    Sheikh! Huna geni,hasadi itakuuwa! Mbona wajifanya huna kasoro?...

  • @ingodwetrust1852
    @ingodwetrust1852 5 місяців тому

    Kulaneni nyinyi kwa nyinyi

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 4 місяці тому +1

      Sasa ndio ujuwe uwahabi ni biashara sio dini. Vita bado mbichi😂😂😂twariqa ndio shabiki

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 7 днів тому

    Wewe unazitaka hizo milioni mia200,kwani zakwako? Nawewe tukuulize kwanini umewafarakanisha watu wasuna kwa mambo ya ikhtilafu za wanawazuoni nakuwalazimishia watu misimamo na kujivutia upandewaka na kumtukana shekhe saalim barahiyani kwani ulivyo fanya hivyo umefaidika nn? Na je wewe kuwafarakanisha watu wa suna kwako ni zuri na kuzikosa hizo milioni200 wewe ndio lakuuma,mche allaah ww na urejeshe umoja w watu wa suna kama walivyokuwa zamani wakipendana, nakunasihi ewe ndugu uhai huo ulionao ufanyie kazi katika kuwapatanisha waislam na sio kuendelea kuwafarakanisha kwa chuki zako utakuja kunikumbuka inshaa'sllaah

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Місяць тому

    Upigaji kama upigaji kwa mgongo wa salafi salih

  • @hassanabdallah-ot7jv
    @hassanabdallah-ot7jv 3 місяці тому

    Ndoman ulitaka kuuliwa zanzibr kwa ujinga wako

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 5 місяців тому

    Hahahaha😅😅😅😅 sunna

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 4 місяці тому

    Sasa vita vinawarudi nyinyi kwa nyinyi baada ya kuingilia twariqa sasa mandondi baina yenu . Vita bado mbichi 😂😂😂😂😂

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 7 місяців тому +1

    Kwa ufupi hamuwezi kumuangusha bahahiyani

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 7 днів тому

      Kweli she barahiyani anatisha,hawawezi kushindana na shee s,ni mtu watauhiidi sana

  • @saidali9255
    @saidali9255 3 дні тому

    Wacha dharau na chuki mzee! Daawa yako pia inamapungufu!

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 7 місяців тому +1

    Malizeni tofauti zenu nyie ni watu sunnah

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 6 місяців тому

    Salim Biriyani ni member of Al Qaida East Africa na Sasa hivi Hana lake kwani walikuwa wanawategenea Sana mawahabi wa Saudia kwa kila kitu, na hao wahabi wa Saudia wamepigwa marufuku nchini kwao kuingilia mkwala na serikali ya Saudia, siku hizi hawana nguvu tena labda aende kwao Yemen atasaidiwa.