Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
  • 92
  • 206 322

Відео

WAMEKATA SAUTI LAKIN JAWABU LETU NDO HIL KUHUSU WAO#العلم_والحكمة #الدعوة_والتبليغ #fypシ゚vira #sub
Переглядів 2,1 тис.9 годин тому
WAMEKATA SAUTI LAKIN JAWABU LETU NDO HIL KUHUSU WAO#العلم_والحكمة #الدعوة_والتبليغ #fypシ゚vira #sub
HUTUTOMJIB YOYOTE ATAKAEMSEMEA QASSIM MAFUTA KUHUSU PICHA ZAK TUNASUBIRIA ASEME YEYE#fypシ゚vira #sub
Переглядів 1,8 тис.12 годин тому
HUTUTOMJIB YOYOTE ATAKAEMSEMEA QASSIM MAFUTA KUHUSU PICHA ZAK TUNASUBIRIA ASEME YEYE#fypシ゚vira #sub
KWANI SHEKH QASSIM MAFUTA NI MTUME ? ATA ASIKOSOLEWE MSINUNE #muhadhara #حكمة #مواعظ #subscribe
Переглядів 1,7 тис.14 годин тому
KWANI SHEKH QASSIM MAFUTA NI MTUME ? ATA ASIKOSOLEWE MSINUNE #muhadhara #حكمة #مواعظ #subscribe
MATUSI YA SHEKH QASSIM MAFUTA NA MUULIZENI PICHA KAZIPIGA WAPI? #الحكمة #fypシ゚vira #subscribe
Переглядів 10 тис.16 годин тому
MATUSI YA SHEKH QASSIM MAFUTA NA MUULIZENI PICHA KAZIPIGA WAPI? #الحكمة #fypシ゚vira #subscribe
UTETEZ WA ABDALLAH HUMEID KUHUSU PICHA ZA SHEKH QASSIM MAFUTA. #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
Переглядів 2,2 тис.16 годин тому
UTETEZ WA ABDALLAH HUMEID KUHUSU PICHA ZA SHEKH QASSIM MAFUTA. #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
TUNASUBIRIA AUDIO WALIOIFUTA YA SHEKH QASSIM KUHUSU PICHA #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
Переглядів 5 тис.19 годин тому
TUNASUBIRIA AUDIO WALIOIFUTA YA SHEKH QASSIM KUHUSU PICHA #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
MASALAFI KUTOKA ZANZIBAR HAWAMTAKI SHEKH QASSIM MAFUTA USHAHID UPO#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #
Переглядів 4,1 тис.День тому
MASALAFI KUTOKA ZANZIBAR HAWAMTAKI SHEKH QASSIM MAFUTA USHAHID UPO#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #
UPANGA MKALI UMEWAKATA MASALAFIY ZANZIBAR ( FITNA)#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #muhadhara #subscribe .
Переглядів 1,9 тис.День тому
UPANGA MKALI UMEWAKATA MASALAFIY ZANZIBAR ( FITNA)#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #muhadhara #subscribe .
KADHIA YA PALESTINA .
Переглядів 50414 днів тому
KADHIA YA PALESTINA .
KISA CHA KIJANA ALIEMDHARAU BABAKE MZAZI #العلم_والحكمة #موعظة_مؤثرة_جدا #fypシ゚vira #subscribers
Переглядів 26614 днів тому
KISA CHA KIJANA ALIEMDHARAU BABAKE MZAZI #العلم_والحكمة #موعظة_مؤثرة_جدا #fypシ゚vira #subscribers
KISA CHA IMAMU ALIESWALISHA WATU AKIWA HANA UDHU. JE NI IPI HUKMU YAKE?#elimu #fypシ゚vira #sub
Переглядів 29321 день тому
KISA CHA IMAMU ALIESWALISHA WATU AKIWA HANA UDHU. JE NI IPI HUKMU YAKE?#elimu #fypシ゚vira #sub
JE ! WW UNAWAPA NASAHA WENZAKO AU UNAWAFEDHEHESHA ?#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #khutbah #subscribe
Переглядів 32628 днів тому
JE ! WW UNAWAPA NASAHA WENZAKO AU UNAWAFEDHEHESHA ?#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #khutbah #subscribe
MANENO ALOAMBIWA SHEKH ABUU MUA'AWIYA NA MAULAMAA WA YEMEN #العلم_والحكم#fypシ゚vira #bayan #subscribe
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
MANENO ALOAMBIWA SHEKH ABUU MUA'AWIYA NA MAULAMAA WA YEMEN #العلم_والحكم#fypシ゚vira #bayan #subscribe
BAADHI YA MASHIA SIO MAKAFIRI TATIZO UFAHAMU NA HAMASA KTK DINI#fypシ゚vira #bayan #subscribe
Переглядів 873Місяць тому
BAADHI YA MASHIA SIO MAKAFIRI TATIZO UFAHAMU NA HAMASA KTK DINI#fypシ゚vira #bayan #subscribe
SHEKH ABUU MUAWIYA AMEOMBA MSAMAHA KABLA YA KIFO CHAKE KWA KUMCHAGUA ABUU MUHAMMAD SALIM #sub
Переглядів 1,9 тис.Місяць тому
SHEKH ABUU MUAWIYA AMEOMBA MSAMAHA KABLA YA KIFO CHAKE KWA KUMCHAGUA ABUU MUHAMMAD SALIM #sub
MSIMAMO WA SHEKH ABUU MUAWIYA KUHUSU SHEKH YAHYAL HAJOURIY #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #sub
Переглядів 1 тис.Місяць тому
MSIMAMO WA SHEKH ABUU MUAWIYA KUHUSU SHEKH YAHYAL HAJOURIY #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #sub
ABUU MUAWIYA ALIMPGIA SIMU SHEKH QASSIM MAFUTA MAONGEZ YALIKWENDAJE #fypシ゚vira #voiceeffects #sub
Переглядів 7 тис.Місяць тому
ABUU MUAWIYA ALIMPGIA SIMU SHEKH QASSIM MAFUTA MAONGEZ YALIKWENDAJE #fypシ゚vira #voiceeffects #sub
RADD KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR ABUU MUHAMMAD SALIM#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
RADD KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR ABUU MUHAMMAD SALIM#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
MWANAFUNZ WA SHEKH NASSOR BACHOU AONGEA NENO KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR#العلم_والحكمة #sub
Переглядів 1,9 тис.Місяць тому
MWANAFUNZ WA SHEKH NASSOR BACHOU AONGEA NENO KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR#العلم_والحكمة #sub
NANI TUMFUATE ATUPE TIBA SAHIHI YA NGUVU ZA KIUME? #fypシ゚vira #العلم_والحكمة #الدعوة_والتبليغ #sub
Переглядів 455Місяць тому
NANI TUMFUATE ATUPE TIBA SAHIHI YA NGUVU ZA KIUME? #fypシ゚vira #العلم_والحكمة #الدعوة_والتبليغ #sub
AMETAKA KULIA MBELE YA QASSIM MAFUTA ABUU MUHAMMAD SALUM ZANZIBAR #الدعوة_والتبليغ #fypシ゚vira #sub
Переглядів 3,1 тис.Місяць тому
AMETAKA KULIA MBELE YA QASSIM MAFUTA ABUU MUHAMMAD SALUM ZANZIBAR #الدعوة_والتبليغ #fypシ゚vira #sub
SHEKH QASSIM MAFUTA UNAMUOGOPA DOKTOUR ISLAM HUWEZ KUMJIB#العلم_والحكمة #muhadhara #fypシ゚vira #sub
Переглядів 5 тис.Місяць тому
SHEKH QASSIM MAFUTA UNAMUOGOPA DOKTOUR ISLAM HUWEZ KUMJIB#العلم_والحكمة #muhadhara #fypシ゚vira #sub
MAKUBALIANO YA SULHU MASALAFY WA ZANZIBAR NA ABUU MUAWIYAH ILIKUWA TAYAR...#fyp #العلم_والحكمة #sub
Переглядів 2,9 тис.Місяць тому
MAKUBALIANO YA SULHU MASALAFY WA ZANZIBAR NA ABUU MUAWIYAH ILIKUWA TAYAR...#fyp #العلم_والحكمة #sub
SHEKH QASSIM MAFUTA AKILI NA FIKRA ZA MASALAFI ZANZIBAR KAZIKAMATA MKONONI#fypシ゚viral #sub
Переглядів 6 тис.Місяць тому
SHEKH QASSIM MAFUTA AKILI NA FIKRA ZA MASALAFI ZANZIBAR KAZIKAMATA MKONONI#fypシ゚viral #sub
UKITAKA MALIPO YOUTUBE TIMIZA VIGEZO HIVI #audio #voiceeffects #fypシ゚viral #subscribe
Переглядів 155Місяць тому
UKITAKA MALIPO UA-cam TIMIZA VIGEZO HIVI #audio #voiceeffects #fypシ゚viral #subscribe
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR KWA SHEKH DR.ISLAM NA ABUU MUS AB NA ABU ZAKARIYYA #fypシ゚viral #subscribe
Переглядів 3,2 тис.Місяць тому
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR KWA SHEKH DR.ISLAM NA ABUU MUS AB NA ABU ZAKARIYYA #fypシ゚viral #subscribe
NITKWENDA KUSIMAM NAO KIAMA WANAOSEMA SITAK SULHU #العلم_والحكمة #muhadhara#fypシ゚viral #subscribe
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
NITKWENDA KUSIMAM NAO KIAMA WANAOSEMA SITAK SULHU #العلم_والحكمة #muhadhara#fypシ゚viral #subscribe
MASALAFY KUPGA KURA SASA INAFAA MARKAZ UOMAR IBN KHATWAB #العلم_والحكمة #fypシ゚viral #subscribe
Переглядів 3,1 тис.2 місяці тому
MASALAFY KUPGA KURA SASA INAFAA MARKAZ UOMAR IBN KHATWAB #العلم_والحكمة #fypシ゚viral #subscribe
SHEKH QASSIM MAFUTA MBONA UMEKAA KIMNYA.KURA ZINAPGWA JANGWAN #العلم#التبليغ #fypシ゚viral #sub
Переглядів 6 тис.2 місяці тому
SHEKH QASSIM MAFUTA MBONA UMEKAA KIMNYA.KURA ZINAPGWA JANGWAN #العلم#التبليغ #fypシ゚viral #sub

КОМЕНТАРІ

  • @asilasaidsalim6138
    @asilasaidsalim6138 59 хвилин тому

    Shekh na ww unakosea moka maneno yko unayarejea rejea hayo kwa hayo mara zaid ya mia kwa kukosa lakusem

  • @asilasaidsalim6138
    @asilasaidsalim6138 Годину тому

    Huku si kuelimishana ni kufedheheshana na jambo la kumfedhehesha muislam mwwnzio ni jambo lisilo faa km kazin hakuzin yy na mola wake mwenyw kumsitir muislam mwenziwe allah nae atamsitir mtu kua salaf haiw sabab kua hakosei ni binaadam nao mkamilifu ni allah pekee shekh ulijue hilo

  • @allymohamad9577
    @allymohamad9577 Годину тому

    Kumbeee Omari ni chakaa tu la washenzi

  • @allymohamad9577
    @allymohamad9577 Годину тому

    Kwa mwenye akili atajua zaidi kwamba kasimuuu mafuta na genge lake ni Pumbavuuu tu za kiwahabi

  • @AliAhmed-b5z8l
    @AliAhmed-b5z8l 2 години тому

    Hivi usalafi mnaujua au mnafuata matamanio yenu? Rejeeni nyuma muangalie amali zenu wote including Kasim Mafuta, Allah atunusuru

  • @mullydeshoo3276
    @mullydeshoo3276 3 години тому

    Allah Akuhifadhi sheikh Qassim

  • @abuuasma3616
    @abuuasma3616 4 години тому

    Kwa mujibu wa maelezo yako unataka kutuambia picha ni halali huko Madina kama ndo unacho soma hicho خبت وخسرت

  • @MurshidKhamis
    @MurshidKhamis 4 години тому

    Anatafuta umaarufu kweli umaarufukazi kweli

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 8 годин тому

    Sasa mpaka hapa nikundi gani lipo sahihi!! Haya ndo matokeo yakudharauliana.

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 10 годин тому

    Huyo alyezaa na mke wa mtu Kisha baadae akamuoa ni sheikh Nani??

  • @UubaDamha
    @UubaDamha 10 годин тому

    Uko kulliya gani akhii

  • @lukmanalmazrui2565
    @lukmanalmazrui2565 15 годин тому

    Laiti sio hizi massmedia walinganiaji wengi wangelikua na ikhlasw ktk mambo ya dini yetu,lakini wameghururika na hadhira hadi kufikia kufatiliana makosa na kuleta huku ktk massmedia .Chungeni sana ndimi zenu mnaenda kuacha fitina kubwa sana ktk dini yetu ya kiislamu . Hatupaswi kujua baadhi ya mambo bali mnakuja kuyaongelea ili tukuoneni wabora dhidi ya ma sheikh wengine. ONGELEENI MAMBO YA DINI , ONGELEENI KUHUSU LIWATWI,N.k Allah ataenda kuwauliza siku ya kiama ni jinsi gani mmepoteza muda ktk kuangusha heshima za waislamu wenzenu /viongozi wa Dini wenzenu. اللهم أرنا الحق حقا ورزقنا التباع ،وأرنا الباطل باطلا ورزقنا اجتناب......آمين

  • @ABDULHAMIIDMUSSA-pt3is
    @ABDULHAMIIDMUSSA-pt3is 17 годин тому

    Maendeleo yakuwapi ktk umma😢😢😢 ?,hamna haja ya kusoma ikiwa haal ndiyo hii, Laa hawla walaa quwata Ila billah, Ikiwa Kuna mtu Yeyote kakukera usulubu huu sii mzuri unao ufanya Bal mtafute mtu pray vate umueleze.

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 18 годин тому

    Acheni ujinga kuzozana wakati waislam wenzetu wanakufa palestina .mnazingua masheikhe uchwara wa mitandao kwanini musitumie fursa ya kukemea uovu huko Palestina wenzetu wanakufa

  • @mansurahmed4750
    @mansurahmed4750 18 годин тому

    Allaah Awahifadhi Masheekh zetu na Awape ikhlaas

  • @mansurahmed4750
    @mansurahmed4750 18 годин тому

    اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎ kwa hakika haya yote mnayoyaendeleza hayaleti faida zozote katika Diini na hata kwa Waislaamu wengine sana sana tunajichafua mbele za maadui wapenye vizuri iko haja kuchukua mifano ya wanachuoni wetu waliopita walisuluhisha mambo yao taratibu alikokosea mmoja wao na sio kutaka mmoja aonekane mbaya mwingine mzuri zaidi ukiwafuatilia sana wote walifagiliana ibn baaz,uthaymiin na ujumla wao mifano ni mingi hapo ni shaytaan amechukua nafasi na sisi tumemkubalia hayana faida yoyote katika Daawa bali shaytaan anapulizia ili Daawa hii tukufu ife tutahadhari sana.

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 19 годин тому

    Baramika hizbi zinanyooshana zenyewe kwa zenyewe

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia День тому

    Jamani tuchungeni midomo yetu fitna ni mbaya sana, waliosoma pongwe wote wanamjua guruba sasa kweli kosa la guruba ukampe kassim mafuta?

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r День тому

    Usisimulie hayo waache na ujinga wao

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s День тому

    قبحك الله وقبح مقالاتك

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw День тому

    Kumbe masalafi mna mambo

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz День тому

    Kazi ipo sasa masalafi feki kwa masalafi feki

  • @OmyThuram
    @OmyThuram День тому

    Naona umekua mpole

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq День тому

    Yaani masufi na mahizbi mmemfanya shekh qaasim mafuta Kua nimaasumu yaan akosei

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 День тому

    Ss hata sijui hizi tuna skiliza wasomi wa dini au tunaskiliza watu gn maana ni aibu hizi Allah atuongoze na atustiri

  • @ngalamenoherbal6955
    @ngalamenoherbal6955 День тому

    Unajisifusifu tu riyaa tupu huna cha maana, na Mashekh hawawezi kukujibu mjingamjinga kama wewe, na ungemuogopa Allah ungechunga maneno yako usingeropokaropoka na humdhuru mtu yoyote kwa maneno yako ya kipuuzi

  • @ngalamenoherbal6955
    @ngalamenoherbal6955 День тому

    Huna lolote we wazulie uwongo tu utakugharimu Kwa Allah!

  • @ngalamenoherbal6955
    @ngalamenoherbal6955 День тому

    Nyie pigeni kelele na maneno yasio na kichwa wala miguu sisi tunaendelea kula durusu tu kutoka kwa mashekh zetu wa kisalafi Allah awahifadhi, we humchapi yoyote na riyaa zako sasa ukiwa jamiya wamtangazia nani? Hizo jamia hata waigizaji wa bongo movi kina Chilo wanazo na hazina manufaa yoyote

  • @Dawah99
    @Dawah99 День тому

    Eti manhaj salaf znz, channel yenu muiite manhaj hizbiyyah znz. Nyinyi sio masalafi bali nyinyi ni wapoyoshaji, mahizbiy na punda wa barahiyyan

  • @Dawah99
    @Dawah99 День тому

    Salafi gani anawatukuza akina barahiyyan dr islaam, wahizbiy waliokuaa wazi kabisa, nyinyi mahizbiy mulikaa kimya na mkakingia kifua pale shekhe lenu barahiyyan alipoandika kitab na kuwaita watu masalafi jadida, masalafi uchwara na akawatusi maulamaa kama shaykh muqbil, shaykh rabee, shaykh Muhammad aman jamee na kusema hawa ndio waanzilishi wa pote potofu. Ww kenge abu nuaym (punda wa mahizbiy) mbona hukumradi barahiyyan? Ww ni hizbiy na mpotofu na hakuna anakusikiza ww usipokua mpuuzi kama wewe. Allah akuvunje mgongo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 День тому

    BROO HUNA HOJA ZOZOTE NI BOROJO TU ZIMEKUJAA.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 День тому

    Huyu jamaa anaonekana ana mambo binafsi yanamsumbua. Hamtoweza kumshusha sheikh KASIMU Allah AMUHIFADHI, masalaf Zanzibari na genge lenu. Mnachuki binafsi na markazi pongwe.

    • @WakaliFashionTz
      @WakaliFashionTz День тому

      Mafuta ni nani paka asishuke acha Iman za kijinga

  • @njausmartvisiontv8156
    @njausmartvisiontv8156 День тому

    NDUGU YANGU ENDELEA KUBAINISHA MAKOSA MPAKA KILA MMOJA AWE NA ADABU KWENYE MANHAJ HII, HII MQNHAJ SI YA SHEKHE FULANI, KAMA YEYE ANAVYONMBAINISHA WATU NAE AKIKOSEA ABAINISHWE KWA NAMNA ILEILE AITUMIAYO KUBAINISHA WATU, NAMBA MWENYE NAMBA YA ABUU NUAYM ARQM ANITJMIE ILI NIMTIE MOYO, MAANA WENGI WANAOKOMENT NI MAAMUMA MASALAFY WA AUDIO SIO WENYE UWEZO WA KJSIKILIZA NA KUJENGA HOJA BILA USHABIKI, WENGI NI MASHABIKI

  • @IdrissaSelemani
    @IdrissaSelemani День тому

    Uyo mjinga tyuu

  • @AbdallahKiuluga
    @AbdallahKiuluga День тому

    Hizo ni chuki za siku nyingi

  • @AbdallahKiuluga
    @AbdallahKiuluga День тому

    Hii sio haki kusambaza picha ya mtu bila idhin ya mwenyewe Bali haki itabainika inshallah

  • @fakihmakame5378
    @fakihmakame5378 День тому

    Kijana unaonekan huna adab

  • @anifasinani1852
    @anifasinani1852 День тому

    Ikiwa wew hufatiliagi haya mambo basi utachanganyikiwa....

  • @Dawah99
    @Dawah99 День тому

    Mahizbiy na chuki bila ya elimu, Wewe abuu nuaym sema picha umepata wapi? Bainisha. Lazima usemenpicha umetoa wapi? Bayana lazima atoe mwenye madai. Tuambie picha umetoa wapi??

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw День тому

    Una kitu gani wewe maskini wa allaah huna akili nyingi unazo za kukutosha huna elimu ya kuwatisha watisha nayo watu ni mjinga mkubwa sana umejaza fitina kwenye moyo wako

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw День тому

    Wewe ni muongo huaminiwi ila na waongo wenzako

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 День тому

    Wasikutowe kwenye lengo lako la kuibainisha i'lmu waache wabobokwe allah atawa dhoofisha sasa hivi

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw День тому

    Wewe mpumbavu serikali yatuhumiwa vp hapo ama ndio watafuta kuchonganisha mwehu wewe huwezi kufanya chochote watu wanajua kufuatilia mambo sio mazuzu kama wewe ukiona hivyo ujue umetumwa kweli na uwamsho sio serikali ni genge la kutaka kuvunja amani na kutaka kupenyeza uisilamu feki wewe ulitaka kueneza itikadi chafu ndio maana ulifukuzwa

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 День тому

    Fanyeni bidii mtajibiwa na mwenye dini ambae ni allah, abulfadhli allah akuhifadhi na upuuzi wao ni wivu wao huo hawakutarajia kama haki itasimama kutoka kwa mtu kutoka pongwe

  • @NurudiniTwaha-u4b
    @NurudiniTwaha-u4b День тому

    Tupe moja yamoshi

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 День тому

    Ukutaka kufukuza mwenda wazimu kwa ajili ya kumkamata, hakikisha nguo yaoko umeikaza kisawa sawa. Jamani music musimjibu huyu kijana, ni mgonjwa wa akili. Nilikuwa sija msikia. Masalafi msishughurike nae.

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 День тому

    Salafia ni nuru ya allah hamuezi kuizima kwa sababu ya picha ya kuzua

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 День тому

    Abulfadhli sio rika lenu, wewe mrongo hatutapi tapi wala hatuna shaka na mafundisho yake bure mnajisumbua

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 День тому

    Tushajua haram kutokana na mafundisho ya kisalafi,

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 День тому

    Acha kubwabwaja dogo.