KAMATI YA MARIDHIANO SIX MAALIM SEIF HOTUBA BWAWANI 2010 KUTANGAZWA UCHAGUZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2015

КОМЕНТАРІ • 46

  • @saidkarama9654
    @saidkarama9654 3 роки тому +5

    Maalim Mungu Akurehemu Amin

  • @abuuridhwan3661
    @abuuridhwan3661 4 місяці тому

    Allah akusameh ulipo kosea maalim na akujaalie kabur lako lime ni bustan miongon mwa bustan za beponi

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +8

    Laana za Mwenyezi Mungu ziwafikiye popote mlipo kwa kumdhulum haki yake ya ushindi Maalim Seif Sharif wakati wa uhai wake.

  • @maganaden4729
    @maganaden4729 11 місяців тому

    Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi Maalim Seif hakika alikuwa na ukomavu na uvumilivu wa Hali ya juu.

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 4 роки тому +1

    Duh ukiisikiliza hii hotuba inaleta huzuni Sana sijui shein kapatwa na shetani gani kuuharibu umoja ulojengwa wa Zanzibar Allah hatakuacha salama

  • @abdulhafidhi84
    @abdulhafidhi84 7 місяців тому

    Allahumma ghufirlahu warhamhu waskanah makani fil janna

  • @abdulhafidhi84
    @abdulhafidhi84 7 місяців тому

    Wamekudhulum hakika dhulma haidum Allah atakulipa haki yako

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 роки тому +1

    Allah Akurehemu malim

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +1

    Allah akurehem.

  • @suleimanrahim5273
    @suleimanrahim5273 3 роки тому +3

    Allah (s.w) akupe kauli thabit, akupe nuru juu ya nuru , akupe marafiki wema (malaika wake), ulale pema Maalim Seif Sharif Hamad , umeondoka lakini bado maneno yako na hekima zako zipo hai, Wazanzibari tunaendelea kujifunza kupitia wewe , hakika wewe ulikuwa ni zawadi kwetu sisi, lakin Allah (s.w) amekuhitaji na yeye, hatuna budi kumshukuru , kikubwa zaidi tunamuomba Allah (s.w) akupe pepo pamoja na Mtume wetu Muhammad (s.w) na sisi sote tuliobakiwa tuwe pamoja nae inshaallah Allah (s.w) atupe mwisho mwema.

  • @jumamohammed7983
    @jumamohammed7983 3 роки тому +2

    Allah amlaze pahala pema kiongozi wetu mpendwa na inshaallah atatufufua 2kiwa pamoja nae filjannah Ammeen

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 11 місяців тому

    RAHMAHULL AH

  • @hassanaly2279
    @hassanaly2279 3 роки тому +1

    malimu seif ccm ni walahayi sasa waliyavunja maridhiyano haya sasa hivi 2020 wameuwa wanahitachi tena madhiyano tena kayeni mugutena maridhiyano haya lakini umakini unahitachika sasa sipigi kwenda kwenye serekali yamaridhiyano

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 4 роки тому +7

    Bado hawakua na nia Nzuri nawewe pamoja nakua wewe uliwaamini

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 3 роки тому +6

    Daah Inahuzunisha na kusikitisha Allah akulipe kwa ustahimilivu wako hakika wewe ulikua muungwana

  • @ibrahimmakame5304
    @ibrahimmakame5304 2 роки тому

    Shujaa kamaliza mwendo maalim Seifu zanzibar ya Amani ni yeye .

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 роки тому +3

    Shein unamuona muungwana huyo akubali lakini tu wananchi wakae kwa salama na amani namuomba allah ailaze roho yake kwenye pepo ya firdaus Ameen

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 3 роки тому

      Hakika kaka ....yeye ni mmoja tu lkn hakutaka wengi wakose utulivu kwenye maisha yao....

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 Рік тому

    Jizi halina haya duniani mapito kesho utajibu

  • @RashidiHassani-in9rb
    @RashidiHassani-in9rb 11 місяців тому

    Najua ulikubali tu kwa uungwana wako mungu akurehem kipenzinzi chetu

  • @jumakombo5268
    @jumakombo5268 3 роки тому +1

    Duh tumepoteza na tumepoteza jamadari wa siasa Tanzania na hatujui kama atatokea kama huyu mzee

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +4

    Shein hatutakuswaeh duniani mpaka akhera.

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 роки тому +3

    laona haya shenzi sheni

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 Рік тому +1

    Inaumiza kunyanganywa haki yetu hivi Allah ndie hakimu nawe maalim ahsante kwa hekima

  • @aidoact3166
    @aidoact3166 4 роки тому +1

    Bado tuna imam nawe maalim

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 3 роки тому

    Babu hatukuswamehe kwa dhulma zako za wazi ulizotufanyia wazanzibari

  • @kassim1262
    @kassim1262 Рік тому

    Ccm ata sjui inamaana gani kiukweli

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому +2

    Maalum seifu wwe umekufa ukiacha nafasiyako pengo ambalo kuzibika sio rahisi lakini langu ni duatu اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار

  • @habibahashir294
    @habibahashir294 3 роки тому

    Hayupo km maalim ccm wizi mtupu n tume zenu

  • @deleali6864
    @deleali6864 3 роки тому

    Daah mzee umetuwacha ila ndio hatima yet binaadam allah akupe pepo kwa rehma zake amiin huyu ndie maalim mtu ambaye anatumia hekma na busra na utu wacha kabur lake linukie allah azid kulifanya linuke zaid na zaid na kesho akhera ampe pepo kwa rehma zake amiin

  • @saidimuhsinii5048
    @saidimuhsinii5048 6 років тому +1

    huyu mkali mazee

  • @jumammanga0297
    @jumammanga0297 7 місяців тому

    ipo cku haki itasimama

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 роки тому

    Hutuba ambayo haitatokea na kamwe sitaisahau nashngaa kwann Shein alishindwa kumpa mkono mwenziwe baada ya kushindwa

  • @saidimuhsinii5048
    @saidimuhsinii5048 6 років тому +6

    kwasiasa unatisha hakuna mbele yako

  • @mohdsalim7866
    @mohdsalim7866 4 роки тому +3

    wewe ukipaji cha siasa kisicho pingika

  • @kassim1262
    @kassim1262 Рік тому

    Sheni anashangaa kwamba mtu ameibiwa kura ili niwe rais lakin yeye ndio anatoa nasaha napongezi

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Рік тому

    Inaumiza na kutoa machozi kwa dhulma kubwa

  • @ussihadji2248
    @ussihadji2248 3 роки тому

    Ma Sha Allah

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 3 роки тому

    He was so iron for Zanzibar

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 роки тому +1

    muna jema nyie washenz

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar622 4 роки тому

    Maalim kweli?

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 роки тому

    hana lolote huyo jangili mkubwa

  • @BTVBATTAWY
    @BTVBATTAWY Рік тому

    Scripted