Duni Ateta Sakata la Bandari.'Kosa Sababu Rais Mzanzibar'.Wako Mikoani Huko Wanazunguka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2023
  • Juma Haji Duni ambaye ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo alikua akiongea kwenye mkutano wa hadhara wa ACT Wazalendo uliofanyika Bubwini Zanzibar hivi leo Agosti 06,2023
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 432

  • @mollelyally5213
    @mollelyally5213 11 місяців тому +5

    Safii mzee duni haji Allah akulinde na maadui wa ndani na nje inshaalah

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 11 місяців тому +5

    Wabaguzi hao, Mwenyezi Mungu Awalaani . Mwenyezi Mungu Ambariki Rais wetu Mama Samia.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому

      @shukurukoll7269. WABAGUZI NA SERA YAO
      Huo Ubaguzi wa Zanzibar ni Sera ya Chama Cha Mapinduzi ulioanzishwa na Baba wa Kanisa Julius Nyerere.
      1) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Mapinduzi yalouwa Waislam wengi wa Zanzibar kuwa Kafara.
      2) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Muungano wa lazima bila ya ridhaa ya Baraza la Mapinduzi la Zanzibar.
      3) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Chama Cha Mapinduzi bila ya ridhaa ya Wazanzibari.
      4) Sera ya Ubaguzi wa Chama Cha Mapinduzi umemfanya mama Samia kuwa Rais wa Tanzania Kikatiba.
      UCHAGUZI WA UBAGUZI NA WIZI
      i) Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa Siku Mbili, Tanganyika Siku Moja.
      ii) Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa wa Sera ya Ubaguzi ufuatao:
      1) Siku ya Kwanza kwa Watawala.
      2) Siku ya Pili kwa Watawaliwa.
      BILA UBAGUZI HAKUNA MUUNGANO

  • @MussaMgonola
    @MussaMgonola 11 місяців тому +3

    Naam MashaAllah hakuna marefu yasiyo ncha ,ni kweli kabisa wawape nchi yenu mna bendera yenu ,bunge lenu ,wimbo wenu ,jeshi lenu na rais wenu

  • @omarijuma5007
    @omarijuma5007 11 місяців тому +3

    Hello duni Safi Sana wakae wakijua kukosa muungano Zanziba wangeiona Dubai hakuna kisiwa masikini duniani waambie hao wanyawima

    • @maximillianmayani5119
      @maximillianmayani5119 11 місяців тому

      Mentality za kiarabu zinawaumiza huo ni utumwa

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 10 місяців тому

      ​@@maximillianmayani5119bora utumwa wa kiarabu kuliko utumwa wa watanganyika

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 11 місяців тому +8

    Hii spana ya Mkataba wa Bandari, Iko vizuri Sana. Inafungua Kila kitu.

  • @biteyubwoba492
    @biteyubwoba492 11 місяців тому +6

    Wazanzibari simameni kidete vunjeni muungano ili watanganyika wajihangaikie wenyenyewe,

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому

      Kama Hussain Ali ni Mzaliwa wa Zanzibar na avunje Muungano kabla ya 2025 atakuwa Jabari na Shupavu.

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 11 місяців тому +14

    Kwa haraka wenye kujua tatizo lilipo ni lazima wajue ccm ndio ugonjwa sugu wa hii nchi

    • @mulasaid2959
      @mulasaid2959 11 місяців тому

      Na chadema wabaguzi

    • @fulgencemark7640
      @fulgencemark7640 11 місяців тому

      Haya sasa yameibuka ya raisi kuwa mzanzbari kwani Mzee Mwinyi sio mzanzibari? Yameletwa ya udini.hizi ni mbinu chafu zinazobuniwa na roho ya wizi,ufisadi na uonevu..Watu wachache kujiaminisha was ndio kila kitu ni U zuUZI ulioptilliza.Raia kupindua serikali haijawahi kusikika kokote duniani

    • @kassimmuktarymurji4242
      @kassimmuktarymurji4242 11 місяців тому +1

      Tatizo sio ccm tatizo ni kanisa katoliki,kuwa wao wako kama Muhimili wa nnchi toka zama hizo,wanashindwa kusoma nyakati watatue matatizo yao na serikali ihangaike na yake,kauli ya maaskofu katoliki sio kauli ya watanzania,na kauli za Vatican mama wa ubepari duniani kupitia kanisa imepitwa na wakati

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 11 місяців тому

      @@kassimmuktarymurji4242We huna akili hata kidogo, Akili yako inawaza tende, You ar Stupid…

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 11 місяців тому +1

    babu duni umeongea vizuri sana,ila mimi najiuliza hawa watanganyika wanaodai tanganyika yao kwani tanganyika yao anayo nani?

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 11 місяців тому +3

    Ni matope tu au naona mwenyewe wadau

    • @yusufujuma1859
      @yusufujuma1859 11 місяців тому

      Kweli bhana unaona matope ,ukiwa macho huna hutaona kitu

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 11 місяців тому +6

    Nimeamini Hawa jamaa Wana umoja kuliko sisis Watanganyika

    • @agustinokimaro1483
      @agustinokimaro1483 11 місяців тому

      Watatumaliza hawa lao moja,,na ss watanganyika tupo tuu

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 11 місяців тому +4

    Hii mijitu ya hovyo Sana..hakika nawaambia act inafutika Zanzibar..wazanzibar sio wanafiki kamwe na hawako tayari kukaa na watu wanafki..mara ngapi metendewa madhila na watanganyika wamewatetea

    • @sadih5333
      @sadih5333 11 місяців тому +1

      Lining, zaidi ya kuleta jeshi kudhalilisha watu.

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 11 місяців тому

      😂

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 11 місяців тому +1

    Nimemsiklz vizuur mzee duni. Kumbe ndio watanganyika wakawa wanatoka mapovu ktk comments zao mzee kauwa nyani. Ivi kwann jamani mpka tukielezwa ukweli ikawa tunapinga tu sisi ? Ndio mpaka leo tukawa watumwa wa wazungu na papa wa Ital kwa ujinga wetu.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 11 місяців тому +7

    Kwa hiyo ACT inatetea agenda ya ccm hivyo ni aibu sana kwa zito

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 11 місяців тому

      No manager yake umesikia zito kaongea??

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому

      KOTI LIVUENI MCHUKUE NCHI YENU
      @paschalpaul3862.Watanganyika wamshukuru Rais Mzanzibari amewaamsha kudai nchi yao.

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 11 місяців тому

      Tuliza akili uwelewe huyo hasemei ccm wala Act huyo anasemea Zazibary na Tanganyika

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому

      @@maftahmusa9513 SHUKRAN JAZEERA🙏👍

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 11 місяців тому

      @@khatibal-zinjibari6956 🙏

  • @selemanimchana3598
    @selemanimchana3598 11 місяців тому +2

    Ameingia mikataba mibovu, na mbona hajaziweka na hizo za huko?

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 11 місяців тому +16

    Bandari imetujulisha mengi kumbe ACT kilaza

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 11 місяців тому +1

      Chadema ndio vilaza

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 11 місяців тому +1

      Kwan unaona Zitto anaongea????

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 11 місяців тому

      Ndo maana kumbe Kila ya kishinda yanazurumiwa kumbe ni mapumbavu ivi!!!

    • @mkude
      @mkude 11 місяців тому

      Chadema wasahau kabisa kushika mamlaka makubwa ya Tanzania

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 11 місяців тому

      Zitto haongei kwasababu kamezwa na act wazanzibar

  • @user-hb1iw9uj3x
    @user-hb1iw9uj3x 11 місяців тому

    Zanzibar haipaswi kuwepo kama ilivyopotea tanganyika, tufute tofauti Tanzania iwe moja,

  • @benjaminyakobo7792
    @benjaminyakobo7792 11 місяців тому +1

    Wewe Naye mchochezi tu hunaunalo lijua waretehao warabu kwenu zanzi

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 11 місяців тому +2

    Sijamuelewa hata kdg

  • @sospeterthomas3342
    @sospeterthomas3342 11 місяців тому +2

    Haya kuhusu kauze za kwenu

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 11 місяців тому +3

    Chadema wabaguzi sana

    • @issalyanalijr-8610
      @issalyanalijr-8610 11 місяців тому

      Correct ni chama chenye ukanda,,udini ,,upuuzi tu,,,,tutapigia CCM,,,😢 forever

  • @f.a6043
    @f.a6043 11 місяців тому

    Hata hivyo muungano ni changamoto sana 😂😂😂😂 Duni Haji😅😅👏🏽👏🏽👏🏽 Tunakukumbuka wakati wa Lowasa

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 11 місяців тому +5

    Si muondoke kwani kuna watu wanawatakeni????

  • @issaburhani3455
    @issaburhani3455 11 місяців тому +1

    Attention!!! Kuna jambo baya linaweza kutokea TZ maana kila pembe kuna moto unawaka. Rescue inahitajika otherwise......

  • @NetoKatundu-yb7ug
    @NetoKatundu-yb7ug 11 місяців тому +1

    Wewe unaongea kama hujui wakati unajua Ccm ndo haitaki

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 11 місяців тому

    Hoja ni kwa nini Bandari za Zanzibar hazimo kwenye huo mkataba. Hoja Sio Uzanzibar, UARABU au Uislam.

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 11 місяців тому +1

    Muislam yeyote atakae itukuza chadema ataenda motoni

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 10 місяців тому

    Kwani hii Tanganyika yao kaichukua nani mpaka wanaidai? hapa Kuna mengi yakujiuliza.
    "Muungano"(kupe ) Kuna nini hapa? Na Kwanini Kila anaedai kuvunjika muungano wanamfunga au kumpoteza kabisa .

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 11 місяців тому +7

    Kweli akili ndogo ndoinayoongoza akili kubwa

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 11 місяців тому +1

      kama unaona hivyo unamatatizo ama ya akili au ya macho kila siku akili kubwa ndio huongoza akili ndogo basi hiyo unayoiona ndogo ndio kubwa hiyo wahi kutibu macho au akili uelewe vizuri

    • @user-pw2tv1qg8r
      @user-pw2tv1qg8r 11 місяців тому

      Ongea yako tu unaonekana mnafki

  • @ElihurumaThomas-kz8nq
    @ElihurumaThomas-kz8nq 2 місяці тому

    WAINGEREZA NDIO WANAOWATESA WALIKATAA MUWE TAIFA WAKAWAKABIDHI KWA TANGANYIKA SASA MKITAKA KUWA HURU KAENI MEZA MOJA NA WAINGEREZA HUENDA MKAPEWA NCHI YENU

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 11 місяців тому +2

    Tuijadili Zanzibar yetu tu Babu Duni tatizo la Zanzibar ni hivi vyama vyenu na usitaje kabisa CCM kuhukumiwa Dodoma wakati vyama vyote mnahukumiwa huko huko Tanganyika tofauti ni mitaa tu.

  • @tindatinda7330
    @tindatinda7330 10 місяців тому

    Kama kosa ni kuwa mzanzibar basi utanzania UNASIHI wapi?ACHA umaarufu WA kutafuta popularity

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 11 місяців тому

    Hamjashirikishwa kwa7b mkataba haujawajumuisha, na panapoonekana pana shida ziundwe serikali 3, shida ni mkataba mbovu au hamuoni

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 11 місяців тому

    Mzee anaremba sauti kama shoga wa makunduchi.Hakuna cha Zanzibar yenu, Zanzibar huko tuendako lazima uwe mkoa miongoni mwa mikoa ya Tanganyika.

    • @saidikatalambula
      @saidikatalambula 11 місяців тому

      Kaka jibu hoja matusi hayajibu hoja hata , anayeongea ni sawa na baba yako

  • @user-bw8lt8wy1i
    @user-bw8lt8wy1i 7 місяців тому

    Huyu no mpemba asili ya wapemba asili ya mpemba no mnafik mpemba no mnafiki hao waliwasalit was unnguja na kumpelekea mapinduz kupinduliwa waliwasalit

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 11 місяців тому +1

    Mimi ni kada wa ccm sijifichi ila mzee duni yupo sahihi

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 10 місяців тому

    We noma

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 11 місяців тому +1

    ZITO NI MTU HATAR SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 11 місяців тому +1

    Hayo unayozungumza ni sawa lakini hoja siyo dini Wala uzanzibar ni mkataba

  • @DeogratiasLekariro-gq3gk
    @DeogratiasLekariro-gq3gk 11 місяців тому

    Duni kama jina lake! Aende kwenye point ya msingi; mkataba wa bandari,

  • @kenethmwangoka981
    @kenethmwangoka981 11 місяців тому

    Leo mnanza kubaguana kuwa mwinyi sio mnzanzibari ni mzaramo kesho mtapewa kinzanzibar chenu mtanza kuchapana mapanga kumtafta mnzanzibari ni nani mana mnaendekeza ubaguzi na jaziba za kasumba kuweni makini hata nje ya mungano bado mtaendelea na malala miko na kubaguana kama mnavyo wakataa wenzenu sasa

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 11 місяців тому

    Kwani hajawahi kuwepo Rais Mzanzibari! Mbona mnageuza maneno?

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 11 місяців тому

    Wee duni we mbona zijawahi kuona rais wa Zanzibar akitokea Tanzania,

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 11 місяців тому +1

    Akili ni nywele kila mtu ana zake....Nyingine zimepunyuka.kama za paka aliyekula nguru..

  • @richardkorogokorogo4840
    @richardkorogokorogo4840 11 місяців тому

    Hao wote Marais waliopita waliwahi kuuza kitu Cha Zanzibar hata kimoja?

  • @annamwanakatwe233
    @annamwanakatwe233 11 місяців тому

    Uelewa. Mdoho Samia Anapoteza Raslimiali yetu Tunakuomba unyamaze utalaniwa nakizazi chetu mbona unajua kumbe Bandari unajua Ni chanzo Cha uchumi. Kumbe tuungane kufuta Mkataba mbovu sisi hatutaki ujinga mliofanyiwa huko

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 11 місяців тому +2

    imeisha hiyo hakuna muungano tena

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 11 місяців тому +2

    As ndio maana Naye Samia aneleta mkataba usiyo na mwisho Kama muungano!!! Ndiyo maanaaaaa

  • @YusuphJilala-it9bo
    @YusuphJilala-it9bo 11 місяців тому

    Bwegeee huyooooooo

  • @user-hb1iw9uj3x
    @user-hb1iw9uj3x 11 місяців тому

    😂huyu mzee hajielewi,muungano siujui najua bandari, samia awe mzanzibar awe mmafia, naangalia tanzania, zanzibar mna bendera na Zanzibara hatuna bendera,tunatumi ya tanzania,ww ndo unataka zanziba cyo wazanzibari.

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 11 місяців тому +1

    Tanganyika wezi wakubwa sana na wanyonyaji sana uonevu umezidi Zanzibar

  • @emilbocco5895
    @emilbocco5895 11 місяців тому

    Mbona mkataba wa ges ametia samia? Nishati si shirika ndio maana mafuta ya zanzibar mnasema si ya Tanzania

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 11 місяців тому +1

    Allah atawasimamiaa inshaa Allah

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 11 місяців тому +2

    NYIE NIMACCM TUNAWAJUA VIZURI SANA

    • @mkude
      @mkude 11 місяців тому

      Na chadema ni chama Cha kidini Hilo linajulikana vizuri wasahau kabisa kushika mamlaka makubwa ya Tanzania

  • @zabronjonathan2264
    @zabronjonathan2264 11 місяців тому

    SEMA Mzee tunakusikiliza mengine uko vizuri.

  • @user-tb1gd4dp9s
    @user-tb1gd4dp9s 11 місяців тому +3

    Jitengeni sisi atuwataki kwanza tanganyika tunajitosheleza

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 10 місяців тому

      Kama mnajitosheleza musinge ing'ang'ania zanzibar. Kasikilize hutuba ya Lukuvi akiwa kanisani ndio utajua umuhimu wa zanzibar kwa watanganyika

  • @monicambossa4937
    @monicambossa4937 11 місяців тому

    Act wazalendo kimeanzishwa lini na makao makuu yako wapi

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 місяців тому +1

    Pumba ondokeni na mzanzibar went ovuoooooo yang udini

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 11 місяців тому +2

    Ongea sera za chama chako mzee

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 11 місяців тому

      Ndio anaongea sera miongoni mwa sera zao nikutokuwa wabaguzi

  • @salamathiastz274
    @salamathiastz274 11 місяців тому

    Dpw wapeni bandari za zanzibar ,ya dar es salaam tuachieni hatutaki

  • @emilbocco5895
    @emilbocco5895 11 місяців тому

    Mbona nyinyi mnamsema Hussein mwinyi ni mtanganyika

  • @user-ve5nc3ny3g
    @user-ve5nc3ny3g 11 місяців тому +1

    Kanisa baba, kanisa baba!!

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому +1

    Baada ya Karume kuuliwa Afisi ya Bamkwe imehamishwa Dodoma😂

  • @theonaskalyalya9109
    @theonaskalyalya9109 10 місяців тому

    Babu Fun acha kupotosha hayo mbona Mwinyi hakusemwa alifanya viUri

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 11 місяців тому

    Unamtetea kwa sababu ni ndugu Yako acha ubaguzi,

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 11 місяців тому

    Kusoma sio ujinga kwisha mzee baba achana nao wajinga wale wana makelele tu akili hawana huyo Dr. silaa na Lissu ndio ovyo kabisa najionea makelele tu. Sio wataalam wa mambo hayo

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому +5

    JUMA DUNI ON INTELLECTUAL RESPONSIBILITY IN ZANZIBAR
    "It is the responsibility of intellectuals to speak the truth and to expose lies of (The Union Government)."
    [Source: Noam Chomsky in The New York Review of Books February 23, 1967].
    TUCHUKUWE ZANZIBAR YETU
    CHUKUWENI TANGANYIKA YENU.

    • @InnocentKapwani-mp2po
      @InnocentKapwani-mp2po 11 місяців тому

      Duni acha mipasho

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 місяців тому

      @InnocentKapwani-mp2po JUMA DUNI WAPASHE NA WAFICHULIE
      Wapashe na Fichuwa Waliyotuficha Zanzibar na Tanganyika.
      ALOYAFICHA JULIUS NYERERE
      1) Serikali ya Tanganyika imefichwa na Koti la TANZANIA kama ni Utatu Mtakatifu wa Daima na Milele.
      2) Afro-Shirazi Party imefichwa na Kizibao cha TANU ya Tanganyika.
      3) Zanzibar imemezwa DODOMA kuwa ni Bamkwe ya Mandera.

  • @mtz5582
    @mtz5582 11 місяців тому

    Wazanzibari washamba ila hawajui Tu....washambaaa...na mapazia ya Dubai....Nani mjanja wa Leo anaingia ubia na waarabu..all intellectuals in Arab world is foreign imported....

  • @jitunzetweve9873
    @jitunzetweve9873 11 місяців тому +1

    Bandari imefungua akili za watu. Ili amani iwepo mkataba ufutwe kabisa. Tanzania itakuwa salama

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 10 місяців тому

      Hakuna wakuifuta labda ufutike Wewe

  • @MrLusekelo
    @MrLusekelo 11 місяців тому +1

    nimemuelewa sana, ametoa hoja nzito

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 11 місяців тому

    ACT CCM B

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 10 місяців тому

    Huyu Duni Ana matatizo. Eti Chao Ni Chao ,na chetu Ni Chao. Sio nyie mnataka serikali yenu?Rais wenu? Bendera yenu? Wimbo wa taifa lenu?kwani Kuna lipi wanalo wazanzibari.kati ya Zanzibari na mbara Nani Ana FAIDA,Nani jafaidika? Duni njoo hata uchukue wazenji kibao wamejaa.wachujue ndugu zako.Wee Duni waarabu wanakununua. Zanzibar Ni ya sultani

  • @aggreykwilabyanoni1581
    @aggreykwilabyanoni1581 11 місяців тому +1

    Umeeleweka Mzee watu watafute Tanganyika Yao.

  • @MohamedMrope
    @MohamedMrope 11 місяців тому +3

    Muda umefika kilamtu afe nachake

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 11 місяців тому

    Acha polonganda unagaw watu kwann wew

  • @ssam3385
    @ssam3385 11 місяців тому

    Kwn usafili wenu mnapitia wapi?

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 11 місяців тому +4

    Hawa wazanzibar wangekaa kwao huko. 😢wafanye Mambo yao

    • @rebeccamsami4580
      @rebeccamsami4580 11 місяців тому

      Kabisa

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 11 місяців тому

      Na wewe unadhani utapona muungano ukifunjika.

    • @maximillianmayani5119
      @maximillianmayani5119 11 місяців тому

      Wahame dar et

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 11 місяців тому

      ​@@maximillianmayani5119dar mpaka mlandizi Tanga mpka Mombasa kama hujui ni zanzibar. Kwa hiyo mjiteyarishe kuhama. Nyinyi bahari yenu ni Mtwara na mabwawa. Mkafuge samaki huko. Mtuachie dar yetu na tumeijenga wenyewe wazanzibar.

    • @mohammedsaid3045
      @mohammedsaid3045 11 місяців тому

      Kafirane huko mkiambiwa ukweli mnaanza ubaguzi mbwa ww

  • @Euph59
    @Euph59 11 місяців тому +1

    Huyu ndiye yule duni aliyekuwa na akili sasa aongea hivi? Wataalam wafanye kazi yao tu ya Kisheria na ikibidi tuirekebishe hii ndoa na wenzetu ambayo haina maslahi nasi kwa sasa. Sheria pekee ndiyo itatutatulia huu ukakasi.

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 11 місяців тому

      Wewe una maslah na ndoa gani labda?

  • @masungajp1
    @masungajp1 11 місяців тому +1

    Kuna standard ya uongeaji ambayo hamna. Women and Men talk the same way.

    • @mohammedsalim3315
      @mohammedsalim3315 11 місяців тому +1

      Lakini kilichozungumziwa kimekukuna.

    • @masungajp1
      @masungajp1 11 місяців тому

      @@mohammedsalim3315 kweli ndugu yangu. Tuko pamoja.

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 11 місяців тому

    A) Babu duni,, Mafuta Zanzibar si Muungano iweje Gesi ya Mtwara??
    B) Mkata wa Bandari unabishaniwa masharti ya Mkataba.

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 11 місяців тому

    Hivi wewe ndo ulitaka kuwa makamu wa rais,hata hivyo nilikuwa na wasiwasi na wewe

  • @mairamtiti4517
    @mairamtiti4517 10 місяців тому

    Uza kwako

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 11 місяців тому

    Leo unasema Rais Mwinyi Mzaramo ina maana Mzee Mwinyi sio Mzanzibar na Hussein Mwinyi ni Mzaramo kama baba yake. Mnaanza kubaguana nyie kwa nyie

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 11 місяців тому +1

    Useless speech.. hatuhitaji umbea katika mambo serious ya kuikomboa Tanganyika yetu. Bandari sio jambo la mzaha hata kidogo

  • @sifakamwela6430
    @sifakamwela6430 11 місяців тому

    We ! Hivi unachosema ? Au unabwabwaja2 ? Umewahi soma katiba ? Unazeeka vby

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h 11 місяців тому

    Mavi

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 11 місяців тому

    Ukoloni unawasumbua kichwani mpate mikopo na wawekezaji wakoloni . Mngejitambua kuwa sisi ni wafrika tungejitambua kuwa ni Wtz kuliko kujivunia majina ya wakoloni, fedha za wawekezaji zinamaliza umoja wa Taifa

  • @user-im9my8wk2d
    @user-im9my8wk2d 11 місяців тому +2

    Umeme wa tanesco nyie mnapata umeme kutoka Comoro!? Kweli akili duni

    • @aybkham5795
      @aybkham5795 11 місяців тому

      Umeme sisi Sio tatizo bahari tuko nato fasta tu tinawasha

    • @djsandi4419
      @djsandi4419 10 місяців тому

      @@aybkham5795 we kuma kweli maji ya bahari hayawezi zalisha umeme maisha

  • @ChamboRashid-gm9ln
    @ChamboRashid-gm9ln 11 місяців тому

    Kumbe isha kuwa marumbano kama hayo

  • @MaaoudMasoud-xd3hj
    @MaaoudMasoud-xd3hj 10 місяців тому

    Wakae kwao wa2ache kwetu kwan wazee wangu mmechukua chao mnatupa shida sna vijana wenu yan mtu akilala akiamka anafikir atapawap ugali wa siku hii hal 2mechoka.

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 11 місяців тому

    Babu jiheshimu kama tunavyokuheshimu ukianza uongo tutakudharau. Kwa nini hakuuza bandari za Zanzibar ana upendo gani na Tanganyika ambao Hana kwa Zanzibar? Kama kweli nchi ni moja?

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 11 місяців тому +3

    Ongea baba duni,sisi waislamu tunaishi ukweli kwani imani yetu kuna maisha baada kifo,hii nnchi sio ya wakatoliki na kauli yao sio ya watanzania,tupige kura hao wakatoliki wako wangapi?kuamua mustakabali wa watanzania

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 11 місяців тому +2

    Safi sana mzee.....we ni mzalendo.....kila mtu kwake Tanganyika kwao Zanzibar kwao

    • @user-xg2wb9ye2g
      @user-xg2wb9ye2g 11 місяців тому

      Mtanganyika Mzalendo wa kweli ni Filipo mpango tuko pamoja na Filipo mpango kaziiendelee

    • @sospeterthomas3342
      @sospeterthomas3342 11 місяців тому

      Na ajili zako Ni Dini kaka Jina lako

  • @user-rj2kt5qg5y
    @user-rj2kt5qg5y 11 місяців тому

    Ndo jiulize shida ikowapi?

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 11 місяців тому +1

    Kweli NI dhiki hasa chadema

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 11 місяців тому

    Hatutaki Sasa waarabu wakabidhiwe bandari za Tanganyika,

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 11 місяців тому +1

    Sasa hivi watachana na kuidai tanganyika. Tukidai zanzibar.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 11 місяців тому

    Act imetekwa na wazanzibar, pole yao

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 11 місяців тому +1

    Huyu jamaa mpuuzi sana

  • @mkingajuliuas9673
    @mkingajuliuas9673 11 місяців тому

    Wewe ni mjinga kalale hakuna unacho kiongea

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 11 місяців тому

    Nakweli ujadiliwe mkataba tatizo ubaguz hawamtaki mwkezaji mwarabu wanataka wazungu kila siku wanabeba makinikia maaskofu hawaon