KAULI ZA MAALIM SEIF’ ZILIZO GUSA WATU ZNZ -KABLA YA “KIFO CHAKE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лип 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    cc: Masoud Maganga
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 161

  • @husseinmohammed2186
    @husseinmohammed2186 3 роки тому +8

    Hatuna lakufanya zaidi yakukuombea duwa kwa mwenyezimungu nenda salama baba mng atakufanyia wepesi huko uliko amin👏👏👏

  • @alimsabah4921
    @alimsabah4921 3 роки тому +20

    Hakika alikua mwisho mwema aliondoka na neno kubwa Sana na muhim Sana wazanzibari tuwe wamoja ALLA amrehemu na amekua na mwisho mwema mashalla

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 роки тому

      Allah amjaalie firdaus njema 🤲🤲🤲

  • @abuysalim7163
    @abuysalim7163 3 роки тому +7

    😭😭😭 Allah akusamehe mazambi yako na akujalie uingie peponi amiin🤲

  • @deleali6864
    @deleali6864 3 роки тому +1

    Mmm naon maalim alijua huu ndio mwisho wamaisha yake ya dunian et ila amesisitiza sana umoja umoja mung akupe pepo kwa rehma zake hakika umefanya meng mazur kwa uwezo wa allah atakupa pepo kwa rehma zake amiin na ss atupe mwisho mwma amiin tulikupnda ila Allah kakupnda zaid

  • @mattarmuhammed1330
    @mattarmuhammed1330 3 роки тому +13

    Innalillah wainna ilayh rajiun Allah amsamehe madhambi yke na ampe makazi mema jannatul firdaus

  • @raudhatmalik9285
    @raudhatmalik9285 3 роки тому +14

    Innalillah wainna ilayhi rajiuni Mungu akupe safar ya kheri na akujaalie kwa rehma zake akulaze mahali pema peponi Aamin.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 3 роки тому +7

    kila nitakapokukumbuka dua nitakuombea kwa Allah inshaallah

  • @stonetown578
    @stonetown578 3 роки тому +10

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun Allah ampe kauli thabit na amsamehe makosa yake.
    Wazanzibari tumeumia

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 роки тому +2

    Allah akupe kauli dhabiti.ww.nikingozi bora nahatotokea tn

  • @imranmussa500
    @imranmussa500 3 роки тому +16

    MAALIM KUMBE ULIKUWA NI AHLISUNNA MASHALLAH

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 3 роки тому +1

      Waislamu wote lazima wawe ahli sunna sii lazima mtu mpaka ajitaje kuwa yeye ni ahlisunna . Kwani masunni hawatekelezi sunna. Kwani maibadhi hawatekelezi sunna. Kwa mashia hawatekelezi sunna.

    • @alonealvin4534
      @alonealvin4534 3 роки тому

      Mashia hawafwat sunna...

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 3 роки тому

      @@alonealvin4534 du 🤣

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 3 роки тому +1

      @@alonealvin4534 lkn hata masunni na maibadhi pia wapo wasiofata sunna.

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому +1

      Mnaanza tena

  • @khalfanlogo3198
    @khalfanlogo3198 3 роки тому +2

    Da kila nikimuona machozi yananitoka da kazi yamungu haina makosa

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 3 роки тому +8

    Innaalillaahi wainnaailaihi raajiuna.... Allah akulaze mahali peponi...Aaamin...hiii ni safari yetu wote ila ww ndo umetangulia na in 100% hakuna ataepukana na safari hiyo...muhimu ni kurudi kwa Allah tukiwa salama...

  • @nassrasuleiman630
    @nassrasuleiman630 3 роки тому +2

    Kikubwa ni dua kukuombea ila maumivu tumepata lkn tunasema Alhamdulillah

  • @mamukizee9360
    @mamukizee9360 3 роки тому +2

    Uyu mzee alibashiriwa nin, naona kajisafisha kiaina

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 3 роки тому +13

    ALLAH akuja'lie qauli thaabit

  • @NasserNassor-cd5pm
    @NasserNassor-cd5pm Рік тому +1

    Allah akusameh amiri wetu

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 роки тому +10

    Allah AKUJALIE pepo na makazi mazuri Mwalim Seif atukutanishe tena pamoja peponi, Ammeeen... 😓😓😰

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 роки тому +6

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun. Yaa Allah msamehe makosa yake makubwa na madogo tunayoyajua na tusiyoyajua na uyazidishie thawabu mema yake. Hakika ktk vifo vilonigusa kimoja wapo ni hiki. Allah ailaze mahala pema peponi roho yake. Duniani tunapita na kila mmoja anamadhaifu yake na mazuri yake. Yaa Rabb usiangalie madhaifu yake na ujaalie kauli yake hio iwe ni sadaka tosha ya kumnyanyua na kumueka kwenye firdausi, Amiin.

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 роки тому +2

    Mashaallah allah akujaalie uwe kwenye watu wema Amiin yaraby kwa sote

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 3 роки тому +8

    Kila kitu amekiweka safi Maalim..ameshakamilisha his destiny ndo maana Allah amemchukua

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 3 роки тому +2

      ALLAH AMPE KAULI THABEET INSHALLAH INSHALLAH INSHALLAH INSHALLAH INSHALLAJ🙏🙏🙏🙏🙏 INNA LILLAHI WAINNA ILLAIH RAJIIUNI

    • @alisele5299
      @alisele5299 3 роки тому

      Kamaliza kazi yake kweli

  • @salimshaib879
    @salimshaib879 3 роки тому +2

    Jemedari wa kweli Allah akupe makaazi mema in shaa Allah

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому +1

    INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN ALLAH AMFANYIE WEPESI KATIKA SAFAR YETU HII NA SISI ATUPE MWISHO MWEMA, ewe ndugu yangu muislam maisha ya dunia ni sawa kivuli namuomba Allah kwangu na kwako ATUPE mwisho MWEMA

  • @maalimjaffar5563
    @maalimjaffar5563 3 роки тому +4

    HUYU NI MTU PERFECT,,,NIKIONGOZI WA AINA YAKE NA WAPEKEE,NI SHIDA SANA KUWAPATA VIONGOZI KAMA HAWA.

  • @omarkhamis1539
    @omarkhamis1539 3 роки тому +1

    Allah akuingize katika pepo za juu inshaallah

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +2

    Allah akurehemu.

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 5 місяців тому

    ALLAH ajaalie uwe ni miongoni mwa wenye kupewa kitabu chako kwa mkono wa kulia inshaallah

  • @muniraalisaid2660
    @muniraalisaid2660 3 роки тому +2

    Innalillah wainna ilayh rajiun Allah ampe safar ya kheir amsameh makosa yake na awape Subra wafiwa wote na wazanzibar kwa ujumla in shaa Allah pepo ya firdaus iwe ndo makaazi yake Amiin thumma Amiin Yaa Rabbiy

  • @saidhaji9700
    @saidhaji9700 3 роки тому +1

    kwa hakika maneno yako maalim yamejaa hekima na busara .. na ni mawaidha tosha kwa waislamu wote ..
    umewashinda baadhi ya mashekh maana kazi yao ni kusemana tu ktk membari ..
    mungu akujaaliwe upate yale yaliomazr ambayo amewaandalia waja wema ..
    yaa Allah sisi tunashuhudia kwa mja wako huyu kwamba alikuwa ni mtu mpenda watu mwenye kuwathamini mweny huruma na uchungu kwa waislam na mchi yake pia .. tunakuomba yaa Allah umlipe km ulivyowalipa waja wako wema .. amiiiin

  • @hajihaji1000
    @hajihaji1000 3 роки тому +4

    Mwenyezi Mungu s.w akupumzishe kwa amani...

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 роки тому +13

    Innalillah wainna ilayhi rajiun,tunakuombea salama sana maalim,Allah akurehem na pepo iwe ndio makaazi yako

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 3 роки тому +1

    Allah amlaze mahali pema alifika kuhimiza ummoja na kuwacha tofauti zetu. Haya maneno mazito Sana

  • @kunchelilemangweto3867
    @kunchelilemangweto3867 3 роки тому +1

    ALLAH amsamehe dhambi zote na amhifadhi peponi

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 3 роки тому +25

    Umeondoka kiongoz mwenye busara and hekima iliojaa ndan ya moyo wako hakika umeondoka tukiwa bado tunahtaji muongozo wako

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому +2

      Hakika

    • @maryamalmaskari1637
      @maryamalmaskari1637 3 роки тому +1

      Hatutokusahai maneno yako milele

    • @oman7710
      @oman7710 3 роки тому

      Innalillaah wainna ilayh rajiuun, Allah amsamehe makosa yake na amuepushe na adhabu ya kabri na sie tuliobaki tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema, Allahumma amiiin Yarabb

    • @fadhilahaji8719
      @fadhilahaji8719 3 роки тому

      @@oman7710 Ameen

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 3 роки тому +2

    Umeondoka baba zanzibar umeachia Allah subkhallakh wataallakh

  • @ebraheemawadh2257
    @ebraheemawadh2257 3 роки тому +1

    Allah akujaalie bustani kwenye kaburi lako akujazie nuru

  • @nguruduali2014
    @nguruduali2014 3 роки тому +2

    Mungu huondosha kitu nahueka kitu nawashauri wezangu tue nasubra mungu atatupa kipezichengine Kama yeye au kuliko

  • @ibramiddo4863
    @ibramiddo4863 3 роки тому +6

    Allah akufnyie wepes ktk safar yko akupe kauli thabit

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 роки тому +1

    Yaa Allah Umpe nuru na umrehemu Maalik seif.

  • @hemedikombo2842
    @hemedikombo2842 3 роки тому +2

    Sisi tulikupenda ila m.mungu amekupenda Zaid tutakukumbuka milele daima

  • @dabywolker5352
    @dabywolker5352 3 роки тому +1

    mungu akulaze mahalapema peponi amin

  • @fatmamatuma4073
    @fatmamatuma4073 3 роки тому +9

    Inna llillah wainna illayhi rajiuon Allah awasameh wazazi wetu walotangulia mbele ya haki

  • @dzekocheko4437
    @dzekocheko4437 3 роки тому +1

    Mungu akupe Kauli dhabit katka kaburi yk

  • @kekaakekaa7898
    @kekaakekaa7898 3 роки тому +3

    Nalilia taifa langu la zanzibar mungu akulaze mahalapema ppn

  • @mwanahassan6947
    @mwanahassan6947 3 роки тому +2

    Allah msamehe makosayake hii njiya tutapita soote wewe mbele na sisi tuko nyuma yako bila ya wewe kusingekuwa na amani Zanzibar umeona jitihada zako tuta kukumbuka daima Allah wape subra wafiwa izidishe amani Zanzibar

  • @FahmatFarmat
    @FahmatFarmat 2 місяці тому

    Allah akurehemu kiyongoz wetu

  • @salmaabdulla7797
    @salmaabdulla7797 3 роки тому +2

    Inna lillah wainaa ilayhi rajiun MWENYEZI MUNGU AMJAALIE KAULI DHABIT

  • @malikhabibali4651
    @malikhabibali4651 3 роки тому +3

    Allah (s.w) akurehemu kipenzi chetu

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 роки тому +1

    Allah akulehemu babaetu

  • @hasanmakame6999
    @hasanmakame6999 2 роки тому +1

    Hatutampata daima ..pumzika

  • @abeidsalim7456
    @abeidsalim7456 3 роки тому +1

    Allah amtilie nuru kabur yake amin.

  • @mekisonshirazy7791
    @mekisonshirazy7791 3 роки тому +3

    Yaani muda mchache lakini alichokiengea ni zaidi ya madini.
    Ndio maan alikuwa na ushawishi mkubwa katika Siasa .
    Allah amlaze mahali pema .

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 3 роки тому +7

    Innallilahi wainailahi rajioun Allah amsamehe makosa yake amlaze mahali pema peponi

  • @fuadyakoub5428
    @fuadyakoub5428 3 роки тому +2

    Allah mlaze pema peponi mpendwa wetu maalim

  • @hanifakhamisi4522
    @hanifakhamisi4522 3 роки тому +2

    Tutakukumbuka daima kipenzi chetu

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 3 роки тому +4

    Hakiii nimelia mimi usiku huu was saa nane usiku na 47 minute nikiiyangalia hii vide

  • @HusseinMohamed-jq7hu
    @HusseinMohamed-jq7hu 9 місяців тому +1

    اللهم غفرله ورحمة

  • @rajabummamba8019
    @rajabummamba8019 3 роки тому +1

    Allah akurehem

  • @nurudinjafferji
    @nurudinjafferji 3 роки тому +3

    Innalillah wainnaillah rajiun May Allah rest his soul in peace and bestow Jannat Amen

  • @salmaseif1070
    @salmaseif1070 3 роки тому +1

    Mungu akulaz mahala pemaa kipnzchetu

  • @khairatsuleiman4917
    @khairatsuleiman4917 3 роки тому +1

    Innalillah wainnaillah rajiun Allah akuepushie adabur ya kabri

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 роки тому +1

    Allahuma ghufirlahu waarhamahu waaskinahu filjannat

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому +1

    Anasikitisha sana maalim

  • @komboali8203
    @komboali8203 3 роки тому +1

    Innalillah wainnaa ilah rajium, dah mcba mzito kwa kweli haulezeki

  • @jumaaomary4949
    @jumaaomary4949 3 роки тому +1

    Allah ampe kaulithabit mzee wetu

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 3 роки тому +6

    Allah akurehem kipenz chetu

    • @ameameir2538
      @ameameir2538 3 роки тому

      Mungu akuondoshe azabu za kabr

  • @ismailsaidsalim296
    @ismailsaidsalim296 3 роки тому +5

    إنّا للّه وإنّا إليه راجعون

  • @imranmussa500
    @imranmussa500 3 роки тому +6

    HAPA LEO UMEONGEA MANENO MAZITO

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 3 роки тому +4

    Allah atakulipa kwa nia yako nzuri
    Allah anaangalia nia

  • @jumamanzi4531
    @jumamanzi4531 3 роки тому +1

    Lazima tusimame pamoja bila kumwogopa yeyotee kwaajili ya maendeleo ya taifa letu... Tanzania
    Na kua kiongizi sio kujua kila kitu...wanakosea wanahitaji kurekebishwaa,wanawaongiza watanzaniaa,wameteuliwa na watanzaniaa wakubali kukosolewa na watanzaniaa,kwanzia mjumbe wa nyumba kumi hadi raisii
    Tanzania nguvu moja ,🇹🇿🇹🇿

  • @mohameddahir8743
    @mohameddahir8743 3 роки тому +1

    Inaa lilaah ma inaa ileih rajiun rest in peace and ma allh grant him his janatul firdows in sha allah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому +1

    Allah akurehemu

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul День тому

    Nenda kapumzike cc hatuwezi kuzuia ucondoke bali bado tutaendelea kuyaishi maneno yk na matendo yk kw hakika mdomo wako mda wote unatowa hrf ya misk umeondoka mwk wa 3 sasa bd tunayaish mameno na vitendo na md wote tunakutakia duwa tupo tyr wznzbr km zmbi zinagaiwa tungegawana ukaenda msafi ila ht hvy tunakuombea allah akuswameh

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +1

    Pumzika kwa aman mzee wetu

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 Рік тому +1

    AMEEN

  • @idrisaabdillahibpxkijykbs4162
    @idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 роки тому +1

    Jamaa amezungumza hapa

  • @aminasanzu4954
    @aminasanzu4954 3 роки тому +1

    Inna Lilah wa innalilah rajiun

  • @HassanHassan-pz4ki
    @HassanHassan-pz4ki 3 роки тому +2

    Maneno yamenigusa اللهم ٱغفرله ورحمه

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 роки тому +1

    Maalim Allah Akurehemu akulip fridausi

  • @issamohd9955
    @issamohd9955 3 роки тому +2

    Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiun

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 роки тому +1

    آمين يارب العالمين

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 роки тому +1

    Inna lillahi wainna ilahi rajioun

  • @zuhrateyn593
    @zuhrateyn593 3 роки тому +1

    Sasa hivi ndo amekuwa wa mana sana mwanzo mbona hajaoneshwa mungu yupo lkin kwa kila hatuwa

    • @edyamir1257
      @edyamir1257 3 роки тому

      Binadamu huwa galiwa mwisho wake atamalizia vp sio mwanzo upo

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 3 роки тому +1

    Shein alikua anachagua mskiti...kipenzi cha wazanzibar. ..ameondoka

  • @samadu90online23
    @samadu90online23 3 роки тому +1

    Pumzka kwa Amani mwamba wa Zanzibar

  • @binothman9284
    @binothman9284 3 роки тому +1

    Innalillahi wainna ilayhi rrajiuun

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 роки тому +1

    رحمه الله

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +8

    Nenda salama mpendwa wetu nasi tupo nyuma

  • @masudsulemansalim3706
    @masudsulemansalim3706 3 роки тому +1

    inalilahi waiinailahi rajiuuni

  • @ahmadarton_tz3229
    @ahmadarton_tz3229 3 роки тому +1

    Innalilah wainna ilah rajiun

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +1

    Mungu mkubwa pingo.kwa wa zanzibar

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +1

    Innalillah wainna ilaihi raajiun

  • @abdallamasoud7734
    @abdallamasoud7734 3 роки тому +1

    Innalillah wa innailayhi raajiuun

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 3 роки тому +1

    Mother umefariki lakini maneno yako yatanifanya upo tu hapa moyoni na machoni.msimamo wako wa zanzibar wewe nitaasisi pekee innalillahi wainnailahi Raaj un

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 роки тому

      Kwann unamuita mother?wakati huyu ni mwanaume?

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 роки тому +1

    Sharifu kumbe ni sharifu.

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 3 роки тому +2

    In a lilac wayna ilahi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 місяці тому

    Maalim alikua na upeo mkubwa Sana

  • @FrankJMkama
    @FrankJMkama 3 роки тому

    pumzika kwa amani baba

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +3

    Wale wote waliofiwa na ndugu zao Allah awape wepec, kauli thabit marehemu wote. Na wagonjwa awape shifaa

  • @mohammedsuleiman5066
    @mohammedsuleiman5066 3 роки тому

    Jembe limetutoka innalillahi wainna ilahi rrajiun

  • @mwalimhaji677
    @mwalimhaji677 3 роки тому +3

    😭😭😭😭😭😭