MZEE MAKAMBA AMJIBU BASHIRU HADHARANI ,AKUMBUSHIA YA MAGUFULI "WAMEAMUA KUMUITA ANAUPIGA MWINGI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 гру 2022

КОМЕНТАРІ • 256

  • @marianablessed6055
    @marianablessed6055 Рік тому +1

    Kinaitwa Kiburi cha Uzima, Yesu Kristo Umesikia.

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 Рік тому +22

    Kafa kipenzi cha Mwenyezi Mungu mtume Muhammad

  • @bedastusmichael7811
    @bedastusmichael7811 Рік тому +11

    kujitambua ndio somo no1 duniani,endeleeni kujifurahisha watuWazima tunawachora tu.

  • @noahvan6890
    @noahvan6890 Рік тому +2

    Rip Julius kambarage nyerere, Rip john Pombe magufuli

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 Рік тому +11

    Daah inasikitisha sana yaani mzee anaona Tanzania ni sawa na kampuni ya mtu. Mzee zama zimebadilika angalieni kwanza wananchi wana upendo gani na nyie

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 Рік тому +11

    Ila Mzee kwa kauli yako hiyo ya watu wazuri hawafi ina maana magufuli alikua mbaya ee duh ya mungu ni mengi hata nyinyi mtakufa tu One day

  • @frejascompany6094
    @frejascompany6094 Рік тому +27

    Hapa mama magufuli yupo hapo ,anasikia kwamba watu wazuri hawafi , kinana yupo,kikwete yupo, maana yake magufuli ni ......R I P JPM

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

      Ni Msemo tu huo, kwa akili yako unadhani Mhe Makamba hajui Kuna kifo? Ila Watu wazuri Hawafi ni msemo tu ,watu wazuri huishi nasi milele

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 Рік тому +1

      @@ndukulusudikucho_ Acha kutetea ujinga uliingia akili mwake?

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Рік тому

      Hatari Sanaa...nimeisikia hiyo aisee

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 Рік тому

      @@ndukulusudikucho_ Eti msemo????

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 Рік тому

      Kweli kauli hii ukiitafsiri,huyumzee amemaanisha jambo

  • @lusajoyuda6145
    @lusajoyuda6145 Рік тому +1

    I LOVE MY PRESIDENT SAMIA LAKINI HILI ZEE LIMEZUNGUA HATARII

  • @godfreyibrahimmyagila978
    @godfreyibrahimmyagila978 Рік тому +8

    Mwaka huu hatuwachagui

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 Рік тому +4

    Mzee acha hizo nyinyi ni wajumbe ,jaji tuko tunawaona tu,mungu halali Wala hasinzii ccm mnaharibu wenyewe mna matusi tuite wanafiki mtakua kama aliye sema mungu anakojoa hovyo alipigwa na fimbo ya Musa muache mama ajipambanie sio kumuharibia kuita watu wanafiki😭😭🙏🙏2025

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Рік тому

      danganya haohao hatupigi kura wapiga kura ni nyie kwani labda muibe

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +4

    mnafiki sana hata ww utakufa nyau ww, kazi kujishaua na mazuzu yanapiga makofi mabwege

  • @andrewkatte2656
    @andrewkatte2656 Рік тому +13

    Yan wewe Mzee ungejua mwanao anavyokwaza watz usingepata hata hyo jeuri ya kusimama hapo.Mzee wa Busara Insp Haroon

  • @camontecno691
    @camontecno691 Рік тому +5

    Ww mzee mshenzi sana Kama mchawi vile

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 Рік тому +9

    Ngoja nicheke kidogo hahahaha,2025 mkirudi wote bungeni kama Sasa hivi ,mnitafute Niko paleee nimekaa

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 Рік тому +12

    Yaaaani zee kama hili linasimama na kupngea ukende hivi. Astaghafilullah Yaaaani makamba anasema watu wazuri hawafi inamaa magu alikuwa mbayaa ? Allah atawapaza ktk anga hamtakufa na kuoza

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 Рік тому +13

    Kujipendekeza tu ,wazee wengine ,eti watu wazuri hawafi ,mmekuwa Mungu sasa .

  • @ombenimbise8210
    @ombenimbise8210 Рік тому +7

    Ndio maana yule jamaa aliwaita chama cha mambuzi

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 Рік тому +6

    Kazi bado ipo vijana nendeni shambani

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 Рік тому +2

    2025 yanatokea maajabu hamtoamini

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 Рік тому +3

    Kumbuka nawewe apo ulipo ni binadamu na uko chini ya Mungu kua na cheo isikufanye uwezu kumblaspherm Mungu nakuhakikishia Mungu halali ipo siku na nyie mnaotapeli na kututesa watz Mungu atateta na wewe mzee makamba

  • @josephraphael425
    @josephraphael425 Рік тому +5

    Ukumbi mzima hapo wanashangilia Kila mtu anajua anavopiga ela upandewake hii nchi bila kucharangana mapanga kwenye maandamano watatutawAla milele 🤛🤛🤛🤛 ndoige mawe rungu mapanga vinaitajika machoko nyie

  • @kombedavis4056
    @kombedavis4056 Рік тому +3

    Kiukwel nataman saana.....Samia asome hiz comments za watanzania wazalendo wengi huku mtaani ambao ukwel na uhalisia ndio huu....hizi kelele na hayo makofi hapo ni uongo mtupu....R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo wa kwel na msema kweli daima!

    • @bedastusmichael7811
      @bedastusmichael7811 Рік тому

      Kabisaa

    • @julianaswai7846
      @julianaswai7846 Рік тому

      Kamaa unajijuaa wewe n mbunge w jimboo fulani katekeleze uliyoyaahid kwa wananch wako. Kamm uliahid umem, maji n afya bora kwa wananch w jimbo lako tekeleza. Usipotekelez jiandae 2025 . Ikifik 2025 mmbunge wangu aliyechaguliw 2020 Mimi sitamp kurayangu kwasabab umeme sijapat had Leo tulipeleka hela y nguzo , baadae hela tulirudishiw at nguzo zimeisha!!!!!!! Mimi ninachojiuliz mtu akienda kulen hela hongoo Umeme wanamuwekea tena kwa harak lakini watu w vipato vya chini atuwekew kwa harak. Kijiji ambachoo akijapat umeme Ngasene kitongoj cha Neus ambacho kipo rombo user Mashim. Baadhi y hicho kitongoj umeme wanao. Mmbunge w rombo naomb fuatilia Hilo.

  • @bintyommy6310
    @bintyommy6310 Рік тому +1

    Naupinga vikali msemo wa kusema watu wazuri hawafi hapo si bure wenye akili wameelewa maana na hata wakidunda ipo siku kila nafsi itaonja mauti ni siku yao tu haijafika walikuwepo majemedari lakini leo ni historia tu imebaki Tumuogope Mungu jamani hivi dunia tu tutaiacha tujitahidini tukumbukwe kwa wema na sio kwa mabaya KIZURI HAKIDUMU

  • @user-fi9dh1wz1z
    @user-fi9dh1wz1z 7 місяців тому

    Kaa kimya, huna lolote huo mwingi uko wapi, bora aache kazi tu maisha magumu

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 Рік тому +4

    Ndio maaana mgeni yule wa jana ktk mkutano wenu aliwaita chama cha mambuzi

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 Рік тому +5

    Inamana Makufuli sio Mzuri ww Mzee rekebisha maneno yako Mungu hapangiwi

  • @abeidramadhani6523
    @abeidramadhani6523 Рік тому +2

    Mmmmh mzee mbona unafanya kufuru tena dah! R.i.P magufuli no one special like you.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому

    Wazee wamechanganyikiwa,sio Kwa kujipendekeza huko,jamn usiombe mwanaume ajipendekeze yaaani mpaka anaharibu kabisa,hapa wana ccm mmefungw midomo hakuna kuchukua fomu kaeni kimya mpaka 2010 hio watu wafanye yao watu hawatoi mapovu bure,namkumbuka Magufuli,waziri wangu mkuu Mungu akutunze.

  • @viatoryadam1556
    @viatoryadam1556 Рік тому +8

    Ee mungu nijalie roho ya subira dhaa! Wazuri awafi akiwa na maana gan? mungu iv tz utuoni onyesha ukuu wako basi😔😌😌

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

      Kwa akili yako unadhani Makamba hajui kama Kuna kifo? Msemo tu huo nyie watu wabara na kiswahili chenu cha darasani, Watu wazuri huwa hawafi maana hutajika na wanaishi nasi kama Mpendwa wetu Magufuli

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 Рік тому +1

      @@ndukulusudikucho_ Ubongo Wako Una Mavimavi Mkuu! Acha Kutetea Ujinga!

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 Рік тому

      @@ndukulusudikucho_ mim nilimielewa alivosema watu wazuri Hawafi ikimaanisha kua ata akifa anakua anakumbukwa na mazuri yake ndo maana wa huo msimo ila alkuja kunishangaza alivotoa mfano kua ndo maana mzee kinana yupo na mzee jakaya yupo bado , hapo ndo knichangany maana ake akimaanisha watu walikufa ni wabaya., kwaiy hio kaul yake bado sio nzur angeeishia tu kua watu wazur hawafi apo saw ila kaarb alivotoa mifano ya walohai

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 Рік тому

      @@imamuhamisi4421 manaake mpango uliandaliwa kabisa ili kuwamaliza wale walikuwa wanakwamisha mambo yao doh! Nchi ngumu sana hii

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 Рік тому +1

    Wewe makamba kesho january akitimuliwa kwenye kiti utamgeuka samia

  • @nurubituro2839
    @nurubituro2839 Рік тому +2

    nyie jidanganyeni mmtukane kipenzi cha watu ila tutakutana 2025 hata sisi wana ccm tumechoka

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 Рік тому +1

    WAZEEE WANAFKII HAWAA, KWAIYO NYERERE, MKAPA NA MAGUFULI NI WABAYA

  • @agathajoseph3034
    @agathajoseph3034 Рік тому +2

    mungu tusimamie Hali mbaya

  • @meshack3266
    @meshack3266 Рік тому +5

    mungu atawanyooosha naa misula iyoooo

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 Рік тому +1

    Ukisikia mtu mzima hovyo ndio hili zee.

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Рік тому +5

    Hakuna lolote tusubilie tuone msijitape sana ....wanafki wa kubwa nyinyi dunia inawatazama

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 Рік тому +3

    Kweli hiki chama hakina mambo ya msingi, badala tujadili maji na umeme mnaendesha masengenyo, dah!!!!

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 Рік тому +1

    Mkimsimamisha Samia hatumchagui

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 Рік тому +1

    Bahati mbaya zaidii ccm watatawala milele yote tz...nimewachoka kinoma natamani hata azaliwe mtu mwingine tu awapindue haki ya naniii

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 Рік тому +4

    Pumbavu zako.....

  • @MrNibiru2112
    @MrNibiru2112 Рік тому +1

    Kwa akili hii kwanini tushangae kukosa umeme na maji?

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Рік тому +6

    Wazeee wa hovyooo 😏😒

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 Рік тому +2

    Makamba unakera mzee wangu mfunze mwanao Anamhujumu mama njaa tu

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 Рік тому +5

    Wazee kama Hawa Kwa nchi hii enheeeee.....! subirini

  • @nurubituro2839
    @nurubituro2839 Рік тому +1

    huyu mzee mnafiki na utakufa vibaya zee zima uvyo

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 Рік тому +6

    R.p magufuli

  • @shinemakenzi8101
    @shinemakenzi8101 Рік тому +2

    Unamanisha magufuri alikuwa mbaya wew mzee siyo?hicho kibur chako na waramba asali wezio kina mwisho wake hata nyie mtakufa tu mpuuz mmoja wew

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Рік тому +1

    Upumbavu huu ni wakushangilia kweli? Nyinyi sio Mungu!

  • @user-fc3vt9ng3f
    @user-fc3vt9ng3f 7 місяців тому

    Watuambie vizuri wabaya wakina naniwamekufa nyie mjozime data tutaona serazamagufuri zitapo waburuza ccm wakizitumia wapinzani kajenga kirakitu ata kipofu anajua Samia kafanya nn wazuriawo awafi watanzania tukiichaguaccm tutaendere kum weka rais Arie. Inje Kama kivu ira sautoyake ndio inaongoza nnchi ccm wakweri wanasabika majariwa bashiru porepore bashungwa jafo makonda bashi mwagama ndugayi mpina wariobaki mafisadi navibaraka was mstafu

  • @isackdalushi2255
    @isackdalushi2255 Рік тому +2

    Taifa likiendlea kuwa na wazee wa aina hii n hatar sana

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Рік тому +2

    RIP Alileta ndege mpyaaaaaa!!!!!!!!!!!

  • @denniselly7867
    @denniselly7867 Рік тому +3

    Ushabiki na upambe ndio unaifanya taifa letu lisiendelee.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому

    Kwani huyo mzee bado kiongozi CCM aaah vijana nao wapeni nafasi eti wanzuri hawafi ya kweli hayo ina maana kumbe huyu mzee ni mnzuri na hafi basi sawa Mungu ni mmoja huyu huyu!

  • @afrasausenhofer8117
    @afrasausenhofer8117 Рік тому +1

    Mkitaka kukosa kiti mrudisheni uyo bimkubwa 2025 🙂

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому

    CCM IMEFIKA MWISHO UYO MAMA LUMA NA WEWE MWENYEWE KUMA WEWE MZEE MJINGA SANA

  • @peterbaton5251
    @peterbaton5251 Рік тому +3

    Mungu hanawaona

  • @PendoMwitewe-on3hj
    @PendoMwitewe-on3hj Рік тому

    Uzuri rais wetu anajitambua na anauelewa .hao wengine njaa zinawafanya walopoke .achaneni nao.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому +3

    Nchi imeingia waramba tukutane 25

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 9 годин тому

    Hili zee linawaza hela tu Sasa wawapigie kampeni wabunge

  • @Voice_of_Nzega
    @Voice_of_Nzega Рік тому

    HUYU MZEE 😂😂😂😂 hii ndio inaonyesha na wao wanazeeka siyo wenye akili tu

  • @aroneymarjr9676
    @aroneymarjr9676 Рік тому

    Sasa tunaamini kifo Cha Magufuli inashangaza sana kuona mnaongea kwa furaha maana hitaji lenu limetimilika lkn nawaambia hamko juu ya mungu, tupo hpa haiwezekni sasa mnajitokeza wazi kabisaaah mchna kweupe wanga wakubwa mnarudisha nchi nyuma ili familia zenu zineemeke 😭😭😞😞

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 Рік тому

    Huu sasa ni ubabe!!! Na anawatisha watu wasichukue Form ya Uraisi

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 Рік тому +2

    Kizuri hakidumu

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому

    WATANZANIA MNAMSIKIA UYU BABU KACHANGANYIKIWA NA DAMU ZA WATANZANIA WALIOWAUA

  • @bahatisamson2324
    @bahatisamson2324 Рік тому

    Ni kazi sijui mhh

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr Рік тому

    MZEE ANAONGEA SANA MPAKA ANTOKA KWENYE BUSARA

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 Рік тому +1

    Unayo yatamka mzee mngu akusamehe sana

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Рік тому

    Maendeleo Tz ni ngumu sana , hii nchi ije itawaliwe Tena

  • @mzalendo9678
    @mzalendo9678 Рік тому +3

    Upuuzi upuuzi tu

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n 7 місяців тому

    Bora ukalee wajukuu kama unao ila wasifuate ujinga wako una Akejeli akina mkapa nyerere, .a magufuli, we hovyo sana au unataka ajira?

  • @mariethajohn1433
    @mariethajohn1433 Рік тому

    hivi nawaza kimoyomoyo Jpm alivyokuwa anapiga pushap kwenye kampeni vile mm huyo mama itakuwaje hebu upinzani leteni mtu makini 2025 tufanye mabadiliko

  • @manjislogistics6374
    @manjislogistics6374 Рік тому +1

    Chama Cha wapigaji

  • @rajabshayo1839
    @rajabshayo1839 Рік тому

    Watu wazuri ndio hufa ili wasitende dhambi...wabaya wanabaki ili wapewe mda wa kutubu

  • @rubeniharuna1874
    @rubeniharuna1874 Рік тому +3

    hakuna kitu

  • @user-fc3vt9ng3f
    @user-fc3vt9ng3f 7 місяців тому

    Mmeferi oneni Rana mafuriko kirakona magu atakumbukwa kamanyerere 2025 chadema

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +1

    Huyu mzee punguwan sana maneno mengiii

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому

    YANI WEWE MZEE SHOGA WEWE MUUAJI

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 Рік тому

    Pamoja na kwamba amezeeka lakini hayo maneno yana chuki ndani yake

  • @saeedally268
    @saeedally268 Рік тому

    Wapumbavu wote nyie pamoja na makamba wenu magufuli alikuwa rais bora kabisa kwetu watanzania alifanya mengi lakini jueni kizuri hakidumu kibaya kinadumu magufuli alitufumbuwa macho hawa akina kikwete samia makamba nape mungu atawanyoosha kwa viburi vyao hawana lolote tunamuomba mungu awalaani wote hawa

  • @rukiakomba9944
    @rukiakomba9944 Рік тому

    Akae afikirie yeye ni mtu mbaya ndiyo maan kaisha mpk leo dunian (akumbuke mungu ana makusudio yk kuwaacha ili watende maovu saana

  • @masoudsalum9514
    @masoudsalum9514 Рік тому

    Watu wazuri hawafi ndio maana Kinana bado yupo na Jakaya bado yupo sio mm ni Mzee Makamba ndio amesema hivyo

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому

    WATANZANIA TUAMKE ATUWEZI KUWISHI NA MAJAMBAZI WAUAJI CCM WOTE WAUAJI

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 Рік тому

    Samia,kikwete,hawatakufa wao ni wazuri

  • @georgealphonce100
    @georgealphonce100 Рік тому

    Huyu Mzee kaanza kuishiwa kwa hiyo walimuita mama Janeth Magufuli kuja kumwambia kwamba Magufuli alikuwa mbaya ndo maana alikufa,ila wazuri hawafi?

  • @Elllllllllllly
    @Elllllllllllly Рік тому +9

    Huyu mzee ni wa kumsamehe bure,na kumuachia Mungu

    • @elizabethnoel5578
      @elizabethnoel5578 Рік тому

      Hiki kize kishetan kweli huyo masamia ndo mzuli amefanya kipi

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +1

    Upuuzi mtupu.

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 Рік тому

    Sijui mnatuchukuliaje tu Yaani wanatuonaje hata sielewi wanaongea pumba tupu kwa hiyo kampeni zishaanza!? Na vyama vingine waanze!? Au kitaumana!?

  • @isamony58
    @isamony58 Рік тому

    ampe nani kura nyingi uyo mm🙆‍♀️🙄🤫🤫

  • @filipomatondo4040
    @filipomatondo4040 Рік тому +1

    Kumbka kila nafsi itaonja mauti! Hakika ww Mzee haujielewi" Kama si laana,basi.....

  • @ashirafukitololi540
    @ashirafukitololi540 Рік тому

    Mzee wa kuongea pumba,eti wazul hawaf ili zee jinga kweli, chama Chenu kisharud Kule kilipotoka chama cha watu fulan, eti wazee wa chama ndo sisi, jinga sanaa hili zee, hongera mama samia nakupenda hila mimi hili zee naona likualibia tuu kauli zake za kipumbav sanaa

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Рік тому

    Sijajuakama hawawatu wanaoshangilia kama wanajijua maana kushangilia ujinga niujinga

  • @godlivasanya9173
    @godlivasanya9173 Рік тому

    Hapo mm kura yangu haipo kbs

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Рік тому

    Ndio waone hawa mi raiya wanayoipenda ccm hawana viongozi wehu hawa wanajali matumbo yako Mzee fyatu

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 Рік тому

    Basi ngoja tusubilie umemchokoza Mwenyezi Mungu.

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Рік тому

    WATAKATIFU WALIOKO MBINGUNI WALIKUFA AU WALIENDA HUKO KWA MIGUU?

  • @emmasteve5452
    @emmasteve5452 Рік тому

    Unajuwa mzee kajichangaja jamuul ya muungano aina raic kwasababu raic uwaana changuliwa na wanaichi au anaingia kwakatiba ya ichi uyo nilaic wachama cha ccm sio raic waichi kweli kamakuna mtu anasema raic wa nchi kachaguliwa na nani?

  • @sharifuamuri4638
    @sharifuamuri4638 Рік тому

    Timu ccm imerudi tena uruma uyu Mzee so wakumlaumu akili zake aziko sawa zama zimebadilika nyi jitekenyeni tu wenyewe namujichekeshe wenyewe

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 Рік тому

    Ukiona Maneno Yako Hayana Umuhimu Ni Bora Ukae Kimya

  • @abuumaisarah6595
    @abuumaisarah6595 Рік тому

    Umeshamaliza mzee wangu Makamba

  • @nikodemmsomba2644
    @nikodemmsomba2644 Рік тому

    Mzee mi ni mjukuu Yani ni mtoto sana aisee ila kauli ya kusema watu wazuli hawafi maana yake nyie mna uzuli gani zaidi ya unafiki tu