Mzee Makamba awa mbogo amvaa Mwandishi "Usihoji vitu usivyovijua" asepa zake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 гру 2022
  • Ni kutoka katika mkutano mkuu wa 10 wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Desemba 7, 2022.

КОМЕНТАРІ • 302

  • @bugabyarugaba3771
    @bugabyarugaba3771 Рік тому +14

    Leo makamba anakoroma Kuna Jambo nyuma ya pazia rip magufuri

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Рік тому +17

    Wenye nchi eti ndio hawa duuh r.i.p mzee wetu magu

    • @quavohuncho6475
      @quavohuncho6475 Рік тому

      Magu ndo katuachia nchi ya kijani coz akuwa mkwel kwene uchaguzi kwaiyo ye ndo ametuachia ichi kitu.

    • @kilimohub580
      @kilimohub580 Рік тому

      Acha tu kaka

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Рік тому +14

    R.I.P JPM 🙏🏼 kiukweli ulisema tutakukumbuka na kweli yametimia na kwa Hali hiii 😭😭😭😭Mzee akiona maji yanatoka kwake na umeme anajua na huku kwetu upo which is wrong

    • @quavohuncho6475
      @quavohuncho6475 Рік тому

      Magu sifa zilizindi akaiba uchaguz ndo aya matokeo ya chama kimoja

  • @Mnengatv
    @Mnengatv Рік тому +2

    Ingependeza..zaidi endapo mzee wetu ungeomba radhi..kwa kauli hizi kibinadamu hazifai.

  • @mwitasteven8759
    @mwitasteven8759 Рік тому +10

    Kama hapa ndipo ushauri wa nchi unapotokea ngoja tuendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu.

  • @alihamad1952
    @alihamad1952 Рік тому +9

    Watanzania tuna kazi kubwa kwa wazee wa namna hii

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Рік тому +21

    Kwa kweli watanzania tunakazi kubwa Sana mafisadi haoooo.....kazini

  • @onesmomlinga804
    @onesmomlinga804 Рік тому +2

    Mzee makamba c mstarabu anakiburi sana

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 Рік тому +1

    Huyu ndiye Mzee Yusuf Makamba Mkuu wa Mkoa wa zamani Dsm. Kweli umetisha Mzee wangu kwa majibu yako

  • @mpajikulwa5629
    @mpajikulwa5629 Рік тому +1

    Mzee makamba povu kinamtoka swali dogo tu la changamoto ya umeme na maji majibu hana. R.I.P magufuri wengine wapiga hela tu

  • @mariamjuma6223
    @mariamjuma6223 Рік тому +7

    R.I.P baba Magufuri bado tunapitia mengi ya kukumbuka

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Рік тому

      Ww ni mpuuzi

    • @mariamjuma6223
      @mariamjuma6223 Рік тому

      @@antonywilliama2868 nikikujibu wewe watu wanaweza kutuona wote wa puuzi kabsaa sema iv nikwambie hongera wewe mwelevu wa kwa kupitia comment ya mpuuz

  • @shijahlaurent3100
    @shijahlaurent3100 Рік тому +8

    Huyu mzee ni kichaa.

  • @jeremiahmtui6822
    @jeremiahmtui6822 Рік тому +6

    Mzeee kacharukaaaa sanaaa leo

  • @esterkomba4072
    @esterkomba4072 Рік тому +8

    Kuhusu umeme sababu mwanae waziri wa nishanti

  • @leonceuwandameno6378
    @leonceuwandameno6378 Рік тому +1

    Huyu mzee hovyo!!! Eti kuwa na shukrani kwa umeme unaokatika kila siku? Huyu mzee mlevi wa pesa tu!!

  • @desdelius
    @desdelius Рік тому +4

    Zeee zima busara ziro

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 Рік тому +2

    Hii nchi Ina wazee wa ajabu sana. Akili zisharudi utoton huyu kiumbe

  • @josephkinyaga2383
    @josephkinyaga2383 Рік тому

    Makamba unajikomba umesha zeeka hupati uwazili tena mpuuzi we

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 Рік тому +12

    Hunalolote mzeemnafiki mkubwa Sana wewe

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Рік тому

      Mnafiki sana kwa vile mwanae kapewa uwaziri na kazi yenyewe haiwezi umeme tabu maji tabu vitu vyetu vinaungua

  • @jamessoke4454
    @jamessoke4454 Рік тому

    Mungu tusaidie Kama huyu ndo mzee wa nchi na mshauri!!

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 Рік тому +6

    Huyu mzee hana maana

  • @buchumizack934
    @buchumizack934 Рік тому +4

    Kwelihuyu mzeehana akili hawando wazee wange sema wamezeeka

  • @user-my9hc6uf9l
    @user-my9hc6uf9l Рік тому +1

    Yaani hayo ndio majibu ya Mheshimiwa kwa mwandishi:
    Atamkacho mtu ni kile kilichoujaza moyo wake.
    "...chuo kikuu umekijenga na baba yako?"
    Mioyo imejaa viburi tu.

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 Рік тому +2

    Uyo Mzee kazarilisha sana mwandishi wa Habali ningekua na mamlaka leo angelala ndani wiki nzima

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 2 місяці тому

    Makamba amechemsha. Majibu gani hayo. Ana kibri ili mwanawe abakie kule

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 Рік тому +3

    Miaka 61 ya uhuru tuna watu wanaoshindwa kujibu hoja bali kutukana na kujifanya wao ndio wanaojua wanafiki

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 Рік тому +1

    Nakumbuka ile kauli ya madebe lidai "sio kila mwenye mvi ana busara, hata wajinga pia wanazeeka",😋😋😋😋

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 Рік тому +1

    Gwajima alisema hizo chanjo tuzichunguze kwanza tusije kuwa nanihii, mnaona sasa..

  • @GoodluckAM
    @GoodluckAM Рік тому

    mzee ana ubabe mwingi halafu uwezo mdogo, comedian

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy Рік тому

    Mzee huyu naona hajakasirika ila tu anaonyesha msimamo wake. Ukikutana naye mnacheka vzr sana. Watanzania nawajua wakipandisha utafakiri moto kumbe mbwembwe tu.🇨🇩

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +1

    Wewe 2025 utafika??mungu tu aturehemu

  • @johnsonnade7476
    @johnsonnade7476 Рік тому

    Jamani wandishi poleni huyu mzee mnamgusa mwanaye jamani ndo maana anashindwa kuwasikiliza fresh ccm kura zetu hamtaziona 25 dadeki

  • @dennisdidas6629
    @dennisdidas6629 Рік тому

    Dahh!! Nchi hii haipo huru Tena, wahuni wanaendelea kutuburuza

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 Рік тому

    Kwani we sio mzee ndg angu

  • @obedpeter6874
    @obedpeter6874 Рік тому +2

    Haki ya habari iko wapi?maskini mwandishi wa habari kazalilishwa

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 Рік тому +1

    Mbona unashambuliana na mwanahabari

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Рік тому

    Mzee yuko emotional kweli kweli

  • @kenedynedy2615
    @kenedynedy2615 Рік тому +2

    Usilopenda kutendewa usimtendee mwenzioo hukum nihapahapa nasiombinguni

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому +1

    Lizee lenye akilimbovu hawandiyo tatizo lanchihii wauaji wakatili wenyeroho zakibinafsi, magufuli alitesa wapinzani yeyekashabikia akasema anawabatiza kwamoto kwakejeri ninashangaa jamii moja watzwamoja lakini tunauana kwawivu wamadaraka inatiaaibu Sana, lazima watz tuamke jamani hiininchiyetu sote , hila mbaya zamaccm zinarudisha taifa kubaya hawasominyakati Wala hawajifunzi kwalolote, raiawatz bilakuhofia tuwaondowe madarakani waovu hawamaccm wAbinafusi wachoyo nafitina zabure,

  • @mastickhurchacha7840
    @mastickhurchacha7840 Рік тому +2

    Kazi ipo RIP MAGUFURI

    • @quavohuncho6475
      @quavohuncho6475 Рік тому

      Magu amelala akaacha uongoz wa kijani hahahah sa RIP YA NN

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 Рік тому +1

    Huyu mwandishi hakuwa smart sana kuna mambo halikuwa nayo kichwani sasa anauliza kwa jaziba ndio maana mzee akamjibu hivyo..

    • @leonardapollo3002
      @leonardapollo3002 Рік тому

      Hapna

    • @AWetekatz
      @AWetekatz Рік тому

      Ili uulize lazima uwe nacho brother, yeye kama kiongozi alitakiaa kujibu swali na sio kuongeza swali tena la hovyo wakati watu wapo kwenye mateso. Kazi sana

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 Рік тому

    KWENDA ZAKOO WE MZEE MJNGA

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 Рік тому +1

    Taifa (Nchi) halifananishwi na familia ( Nyumbani) kwa kuwa baba hakusanyi kodi kwa mke na watoto hivyo ni tofauti sana kama watu wanalipa kodi wanahki ya kuhoji kwa nini tunakosa maji na umeme siyo kupata majibu ya kejeli eti umesoma wewe ? hapo ni sawa na kuambiwa swali la mjinga

    • @ericron6115
      @ericron6115 Рік тому

      Text ya msingi Sana umetoka...huyu mzee

  • @manko5627
    @manko5627 Рік тому

    Huyu mzee abafikiri nchi nikama nyumbayake anaunguruma Kama yuposeburenikwake

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 Рік тому +4

    mzee makamba hajitambui

  • @mariamjuma6223
    @mariamjuma6223 Рік тому +1

    Bas mzee kama uwez kujibu kwa kutulia bas Acha tu mzee haina aja ya kufokea

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Рік тому +1

    🤭😅😅🤭🤭🤭🤭🤭 naona aibu Mimi , CCM HAMNA KITU NI MWENDO WA KULAMBA ASALI KWENDA MBELE

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Рік тому +5

    Makubwa umeme kwako hauwaki?😳😳😳😳 Naona aibu Mimi ,

    • @peemsafi6068
      @peemsafi6068 Рік тому

      Tanzania hii wakina mwijaku ni wengi sana

    • @robosia2915
      @robosia2915 Рік тому

      Huyu mzee siku nyingi maneno yake ni ya dharau anajisikia watanzania ni wapuuzi tu toto wake kushika hiyo nafasi ndiyo kosa ole wetu watanzania wa kipato cha chini hatujui tunaelekea wapi.
      Huy

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 Рік тому

    Amna ubora howowote mzee umezee ka unapigania ugali wakina makamba waendelee nauwaziri watubiye umeme Amna kwavile nyie mna majenereta ajui umeme Amna

  • @user-bx3em9jc6m
    @user-bx3em9jc6m 10 місяців тому

    Ccm tumeichoka usjitie Tamaa hamn hofu ya Mungu mmelasniwa

  • @amanimusa5744
    @amanimusa5744 Рік тому +1

    Jamaa kambana kimaswali mpaka kasepa

  • @remigiushaule3302
    @remigiushaule3302 Рік тому

    Huyu mzee kwa sasa anahadithi na nahau tu mwacheni kachoka mtamchanganya tu.Kama ndo ushauli wa nchi unatoka hapo mm kazi ipo

  • @MohammedAli-rk4nc
    @MohammedAli-rk4nc Рік тому

    Sema kwelu mzee wangu

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 Рік тому

    Ccm mnajitekenya wenyewe mnahaki kutokujiamini,kwahuu udhaifu,nanidham,mbovu.kaz naumri mnazeekea humor.

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 Рік тому +1

    Mzee hajatumia busara, kama Mzee angetakiwa kutumia hekima ya juu kama Mzee

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 Рік тому

    Duuh!for me no comment itoshe kusema iko shida kubwa🤔

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому

    Huyu c mzee ni mshenzi tu sasa ccm munashinda tangya lini daah ccm kuweni wakweli hiyi nchi imechoka sana

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 Рік тому +1

    wezi wa kubwa kila leo wanaiba wao na watoto wao .huyo mzee ni pumbavu kweli kweli

  • @michaelaletasmichael7514
    @michaelaletasmichael7514 Рік тому

    Waandishi achaneni na uyo Mzee , ameshamaliza muda wake

  • @eliusngereza156
    @eliusngereza156 Рік тому

    2025 tukutane tukiwa hai bac ili mungu ajibu maombi ya watanzania

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 Рік тому

    Uyu mzee kichaa fyuuuuuu😎😎😎

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 Рік тому +1

    Mzee Amepanic sababu Waziri wa Nishati ni Mwanawe na amegus ndipo

  • @massjmalulu3862
    @massjmalulu3862 Рік тому +1

    Sasa huyo mwandishi kakosea nini wewe mzee unamatatizo

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Huyu hana tena uwezo tena wa kupambanua mambo, msimpe nafasi ya kuongea mbele ya hadhara kwani anaonekana anaishi awamu za nyuma huko

  • @dicksonzacharia8680
    @dicksonzacharia8680 Рік тому

    Haya bhana

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 Рік тому

    Eti anasema muwe na shukrani, watu wanalipa Kodi shukrani gani huyu Mzee anataka Watanzania wawe nayo.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Makamba Mpumbavu

  • @mjasiriamalikwanzanjombe6708

    Khaaaaaaaa mungu wangu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому

    Ccm wameishiwa sera. Mzee kakimbia maswali anafurahia hela za wizi kwa mwanaye anashindwa kumkanya asaidie taifa

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому

    Makamba ni mbwa

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 Рік тому +2

    Kweli kuna vichaaa ,hivi hawa ndowanatuongoza kweli???

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 Рік тому +1

    Huyo mzee hazimo

  • @huku-sweden
    @huku-sweden Рік тому +1

    Atakuja kugeuka mchawi siku zijazo.. sio kwa povu hiii

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 Рік тому +1

    Magufuli kaondoka na vitu vyangu vyote. Treni ya mwendo kasi imeishia hewani

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 Рік тому

    Huyu Mzee anaongea kiubabe dah kama ni hivyo dah je uongozi Tah tat hatari utafikiri ni siku ya kupigwa kura,

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 Рік тому +1

    Mwandishi hajakosea kitu ila Mzee sijui kachukia na nin leo

  • @cezarmelimeli5376
    @cezarmelimeli5376 Рік тому

    We mzee hebu tuondolee upuuzi

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Рік тому +2

    Tumsamehe huyu mzee hakujipanga kuongea na wandishi wa habari hapo alikokuwa anaendelea ni kurusha makofi kwa mwandishi

  • @fikedyngulwa9320
    @fikedyngulwa9320 Рік тому

    Wazee gn hawa jmn

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 Рік тому +1

    Ivi makamba nae anahoja kweli

  • @jacksonchaula6010
    @jacksonchaula6010 Рік тому

    Huyu mzee anazeeka vibaya

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh Рік тому

    😂😂😂😂 ujue makamba anachekesha saanaa.

  • @bakariiferefere2951
    @bakariiferefere2951 Рік тому +1

    Mzee jibu maswali acha kupaniki kisa umeme

  • @nersonkameka6787
    @nersonkameka6787 Рік тому +2

    Waandishi wa habari bwana hahahhaha wanaweza kukupasua kichwa

  • @boniphacenashon7083
    @boniphacenashon7083 Рік тому

    Ukiulizwa swali unaxhindwa kujibu unakuwa mkali lakin saizi 2ko kwenye umeme wa mgao lakini kuanzia mwaka 1915hadi 1920 umeme ulikuwa unawaka kila siku kwann 1922 umeme unazima kila siku?

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 Рік тому

    Sasa hiv wanaviburi San hawa mafisadi tumerudi kule unanijua mimi ni nani?

  • @arnoldnicholaus3835
    @arnoldnicholaus3835 Рік тому

    U N P R O F F E S I O N A L.
    Hawa wanajikutaga nani kwani? Yaani ni kama sisi ni Wapangaji kwenye hii nchi na wao ndo wenye nyumba. Hatutaacha kusema as long as yanatuhusu. Kama ukikata umeme unanikatia mimi usije kutegemea eti ninyamaze. Hatutaki hatukaki, na mnajua mkiweka NEC huru hamtoboi kwa maana Wananchi kweli hawawakubali. Na haya sio matusi, huu ni U K W E L I.

  • @hassansimba3680
    @hassansimba3680 Рік тому

    uyu mzee hana sela hana mualibia mama tu

  • @salhaisrael8265
    @salhaisrael8265 Рік тому

    2025 itakula kwenu ccm enzi ya mzee magufuli umeme,maji vyote vilikua avisumbui leo hii mateso ukilala ndani joto nje mbu haya bana cmmeshika mpini😭😭😭

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 Рік тому +1

    Mzee katuangusha.Angeeleza kua yeye anatumia solar.

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 Рік тому

    Mzee aw

  • @alsam4881
    @alsam4881 Рік тому

    Mzee acha ubabe na udikteta, kwani ulikaa miaka mingapi Serikalini na mbona haujatatuwa matatizo ya maji na umeme? Na je kwako huwa unapewa maji na umeme kwa mgao? Ukweli huwa unauma na Ndiyo maana unapanik.

  • @saikomkumbwa4812
    @saikomkumbwa4812 Рік тому

    Mtoto wake si ni waziri Sasa atasemje kiwkwete si mtoto wake waziri ata semaje Sasa umewasikia amabao Awana WATOTO selikalinj ataongea huo upuuuz umeme unasimamiwa na mtoto wake atasemaje unazani waaache wapige pesa hao

  • @nassoropongwa8022
    @nassoropongwa8022 Рік тому

    Hao ndio wenye Tanzania yao,

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 Рік тому +2

    Kachukia sana kaguswa pabaya

  • @thinkertrickerexclussive2703

    ❌ Kama kuna uwezo wa kuhama Nchi ,Still Thinking

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 Рік тому +1

    R.i.p jpm

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 Рік тому

    R i.p Magu

  • @justinmkumbwa2330
    @justinmkumbwa2330 Рік тому

    Kamatunategemea wazee kamàhawa mikopohaitaisha nchii

  • @chrislameck1436
    @chrislameck1436 Рік тому

    Haka kazee bhana kanazeeka vibaya