AHADI ya Maalim Seif Katika Mkutano wake wa Kwanza baada kufukuzwa CCM 1988

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 бер 2017

КОМЕНТАРІ • 35

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 10 днів тому +1

    Daaa maalimu nimuaminifu san ali kubalika san mungu akulipe san daaa kuna watu wanapendwa ila maalim kazid

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 4 місяці тому +1

    Hakika alipenda Allah akupe pepo iliyo ya juu zaid nasisi atupe mwsh mwem tunakukumbuk san hapa mm ata sijazaliwa hata kweny tumbo la mama yangu siko hadi raha❤❤❤

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 4 роки тому +10

    Maisha n mapito kweli hapo weng kati yao walishatangulia mbele za haki
    Allah awafanyie wepes waliotangulia na ss tulio nyuma yao tupate khatma njma

  • @allyomary2839
    @allyomary2839 6 років тому +4

    kupendwa nimajaliwa ya Allah(sw).

  • @TheChidonline
    @TheChidonline 7 років тому +3

    Ahsante for this documentary

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 7 місяців тому

    Most influential and charasmetic politician ,the world has ever seen !

  • @noffalsalim
    @noffalsalim Рік тому +3

    Kupendwa bwana we acha tu.uyu mtu kumbe alianza kupendwa zamani.

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 3 роки тому +4

    Hili jamaa linapendwa tangu huseni mwinyi hajazaliwa

  • @salmamuhammed428
    @salmamuhammed428 7 років тому +2

    kupendwa majaaliwa,alla akisha kuchagua hakuna wakukuzuiya,utapendwa tu.lakini kumbuka alla hawapendi madhalim

  • @salmanassour9601
    @salmanassour9601 7 років тому +2

    tu nakupenda.daimaa.wewe.ndiyo.mkombozu.wetu

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 7 місяців тому +1

    Uyu jamaa alikua kiboko cha wapizzni hadi leo

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 7 років тому +2

    Tunakupenda sana Maalim seif, ww ndie raisi wetu wa Zanzibar.

  • @salimhamad-ms6qo
    @salimhamad-ms6qo 5 місяців тому +1

    Watu walimpenda sanna hasa

  • @amenaamena7325
    @amenaamena7325 7 років тому +1

    dar wnatoka mbali sana ss wengne ata tulikuwa hatupo duniani

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 9 місяців тому

    bado ata sijazaliwa mpaka nimekua nimemfahamu maalim hakika amesimamia ahadi yake mpka amefariki yy na Zanzibar

  • @salmanassour9601
    @salmanassour9601 7 років тому +1

    hongera

  • @Asilimedia
    @Asilimedia 2 місяці тому +1

    Nani ambae anaangalia video hii 2024 ?

  • @Asilimedia
    @Asilimedia 2 місяці тому

    2:17 3:00

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 4 місяці тому

    Dah wengi wao washafariki hapo

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому

    Hongera

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 7 років тому

    amaizing

  • @allyomary2839
    @allyomary2839 6 років тому

    Presidenti of zanzibsr

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Рік тому

    Hapa mm sijazaliwa

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 роки тому +1

    Yaani Apo tokea ni mdg mpk Leo yaani Ata mvi sjaota nahisi ni juzi tu

    • @nasliasuleiman6954
      @nasliasuleiman6954 2 роки тому

      Apa nipo darasa latatu

    • @suleimanmohammed5344
      @suleimanmohammed5344 Рік тому

      Duhhh bado miaka mi3 kuzaliwa na saaiv nna mamv kibao😄

    • @RashidAli-rn3ro
      @RashidAli-rn3ro 4 місяці тому

      Nikoo na mwaka 1 ata cjui kitu. Allah ampe kauli thabit na amtilie nuru kaburi lake na akituhitaji Allah atuchukue akiwa ameturidhia. Aamin

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 10 місяців тому

    lkn hapa bado ni waziri kiongozi hajafukuzwa na pia ccm hajafukuzwa.
    kauli yake hiyo ilikuwa ni maoni na mtizamo wake kutokana na hali ya hewa ya kisiasa ilivyokuwa upande wake na wenzake na wazanzibari

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Рік тому

    Siasa inatoka mbali