MASANJA AKIMTAMBULISHA MKEWE UTACHEKA
Вставка
- Опубліковано 10 лис 2021
- MASANJA AKIMTAMBULISHA MKEWE UTACHEKA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
Jumatano saa9 -12 jioni
Ijumaa saa 9-12 jioni
JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
+255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
Naitwa kanaani Mkisi Naomba nifungulie tawi tuhubiri injili Hulu songwe Nakukubari dana Mtumishi Wa Mungu
Looking good follow back done God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera kwa kusimama na Mungu kwa yaliyotokea
Ubarikiwe sana
Barikiwa Sana masanja
Ubarikiwe mtumish🙏
Ubarikiwe mtumishi wamungu. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu nakuomba unifungue kiuchumi
You're blessed bishop Emmanuel Mgaya
Amen 🙏
Barikiwa bishop one day nitafika church
MUNGU Akubariki sana Mtumishi kwa huduma
Yaani Masanja ni Askofu, mh tunautani na kristo YESU
Thanks
Kaka nyangu mungu akurinde
Na maman murituma najuwa mungu Asante
Uduma inapendeza sana ukiambatana na mke
Barikiwa
Ameni
Amiina
Ameen🙏🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Mchungaji una vunja mbavu watu wasije Pata Maono kwa Mama Asikofu
Mama askofu kapungua sana mweh but kapendeza 😍
Yaani chinijuu juuchini
Good is good...
Ubarkiw mtumish
Masanjaa😂😂😂😂😂
Ubar
Nani akufunfulie?
Siku hizi jamani, Duh! Aya bwana ngoja tuaone kama kweli umeitwa.
Zaburi 35
Askofu mkuu masanja ua-cam.com/video/aGZil3ddTDY/v-deo.html
Kumbe masanja na mkewe wana watoto waliookoka!!! Askofu????
Mama askofu kachanga Kako wapi?
HAYO MAWIGI YA MKE WAKO MASANJA ASIPO YAACHA ATAENDA JEHANAMU YA MOTO, NA WW KAMA UNATAFUTA PESA SIO UTAKATIFU USIPO TUBU, UTAANGAMIA
Mungu ndiye anayejua
Eee kumbe wenye mawigi hawaendi mbinguni? Mimi nilikuwa najua yesu alikufa kwa ajili ya wengi!!! Bila ubaguzi kwani wigi na kilemba kunatofauti gani?
Masanja wewe ni nabii au nani ni wa comedy maana hueleweki kweli biblia agano la kale lilisema siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo na magonjwa yasiyotibika ukimwi corona ebola kansa sukari nk sasa kweli yanatokea mungu tunaomba amani Tanzania
Amina
Veya wipihuma!
Miladi ya jpm mbonackhizi uioneshi?
Aonyeshe wamuuwe Kama Elisha Eliya
Looking good follow back done God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤