@@Ndu-wa.uroony2 upendo hauna sheria ndugu yangu acha kutetea ujinga, ukiona mkeo au mumeo anakunyima au anaficha simu yake ujue sio mumeo huyo anakupotezea muda. Hakuna siri ktk mwili mmoja
Mafundisho ya kutokushika simu ya mkeo au mumeo ni ya watu ambao hawajaokoka mtumishi, hii sio sawa. Being honest ndo kinachotakiwa kwenye ndoa. Shetani hapaswi kupewa sifa hata ambazo hastahili. Kama uko honest na mkeo au mumeo hata ije sms ya aina gani kama kuna kuaminiana kati yenu haiwezi kuwababaisha.
Masanja wafundishe watu vitu vya kuwapeleka levo nyingine. Levo ya kutovurugwa hata wakiona kitu cha ajabu kama meseji mbaya kwenye simu. Simu lazima uwe huru kwa kila mmoja katika ndoa. Hata kamabwe wewe umefeli hapo usitake wote wafeli. Simu iwe wazi. Mapenzi yakiingia woga woga yanakua hayana radha.
Yuko sahihi kabisa. Mwenzako anaweza akawa hana tabia yoyote mbaya. Lakini ibilisi tu akaamua kumtumia mtu kuwavuruga. Mtu anaweza kukutumia sms ya mapenzi ingawa ww hujawahi hata kumuwazia kwa namna hiyo.
Hawa watu ambao wanafikiri kuelewana na watu na kufuatwa na watu ndo utumishi Wana shida sana wanasema kuwafurahisha watu wao! Watu wa Mungu mume na mke ni wa Moja,kwa Nini simu iwe sumu kushika? Mungu tusaidie tuseme kweli kuliko kupendeza watu.
Nyie mnaopiga ni waongo,elewa kila mtu anawivu na wivu ni dhambi,kuna watu wanaweza kutuma sms kwa kugombanisha na anajua umeoa au kuolewa,mwingine amechukua no mwanzoni kwa nia njem saa lkn mbele sms zin
Ikiwa kati ya mume n'a muke hakuna uaminigu wa kweli ndowa hiyo imeelekea motoni hâta mutabasalu kanisani ila mwisho ni motoni pôle sana mwanadamu kwa ku muasi mungu
Best pastor for which? Masanja is wrong for this coz this is a church not a club.you can't teach the clue of church to hide a sins and advising them to stay in fear at all. Good man of God, knows the actual meaning of Jesus and his freedom when confessed to hive.we should teach people to put them free from sins instead of growing them in a serious problems. Hiyo ni dhambi msishabikie.mimi nikioa siwezi kuwa naficha simu au naogopa kushika cm ya mke wangu kwanini? Hujui kuwa ipo siku yatakuwa mazito zaidi akichungulia simu yako akaona msg? Acheni kutunza hofu ktk vifua vyenu.tafuteni Uhuru ambao utawafanya mtambulike kuwa mfano wa kuigwa. Ukikuta umeoa Halafu Kuna msg za hovyo ujue kuwa bado wewe ni kihuni na huenda unatongoza huko mitaani husemi umeoa.ko tuache mafundisho ya kishetani mnaudhi sana ninyi. Kila KANISA now wanataka pesa tu,wanapotosha ukweli wa wokovu hawasemi kwwli kozi wao wanatenda dhambi na wanasimama madhabahuni. Washindwe kwa jina la yesu.wanamchafua yesu kristo.
Sikupingi mawazo yako. ila hicho unacho kiona kwako ni sahihi na kina manufaa ndoa yako itakua iko mbali....... ila pastor MASANJA alikua anatoa tahadhari kwa kile anacho kiona kinapelekea ndoa nyingi kuvunjika na si kitu kingine. Sasa basi kama maono yake yapo katika simu, ulitaka awafundishe maono yako wakati yeye anaona kitu kingine kwenye ndoa nyingi....?
@@emedizofiretv4406 Mtumishi wa mungu hutakiwi kufundisha njia za kutia mashaka Bali unatakiwa kufundisha umoja ktk ndoa na sio watu wazitii njia za udanganyifu.nini maana ya ndoa? Wakristo tumeanza kutoeleweka kozi mafundisho ya siku hizi ni kwa ajiri ya kuuza UA-cam tu bila kuzingatia biblia inasemaje. Mnaoshabikia mwili shabikieni lakini je'katika Roho wa mungu kweli hayo ndio mafundisho sahihi? Tuache kuwaamini watu Bali tuwekeze ktk usomaji wa biblia na kutafuta kweli ili tukae katika imani tunayo itambua na sio kushabikia Kama mpira huku wachezaji na wapataji malipo wakiwa wengine. Kinacho uponza ulimwengu ni kukosa maarifa ya kiroho na Uwepo wa Mungu ktk Mioyo ya watu ili waweze kuyatambua mapenzi ya yesu kristo na wawe wasema kweli iliyondani ya wokovu wa kweli kutoka kwa yesu. Ukijituma kuishika biblia na kumiliki maneno yaliyo ndani ndipo utakapo funguliwa njia ya kweli.lakini Sasa usishangae kuona mamia ya watu wapo ktk kanisa woote hawana Nguvu ya mungu wa kweli Hilo tambua na usiwape usahihi kwa maana Wateuliwa ni wachache sana ktk ufalme wa mungu.. Ukikuta ndani ya ndoa mumeanza kuwekeana mipaka ya Mambo yenu ujue ndoa imejaa uovu.maana mke atamtilia shaka mume,na mume atamtilia shaka mke. Basi ikiwa mtakuwa ktk mashaka basic kila mtu atakuwa mtumwa wa dhambi na hataiogopa dhambi maana shetani atayashtakia matendo yenu na kila mtu atatenda dhambi kwa kuihararisha. Ndoa ni umoja kati ya muke na mume,mipasuko hiyo humaanisha tamaa ktk umoja wenu na sio ndoa ya Maagano ya MUNGU. Ahsante sana na mungu aturehemu
Msifundishe kitu ilikikubaliwe na watu wengi, fundisheni neno la Mungu sawasawa na neno lake. Nini maana ya mwili mmoja? Walimwengu watufundishe kuwa vitu vingine tuvifiche kwa wenza wetu hata kanisani tunanafundishwa mafundisho hayo hayo...what will make the difference?
Yes ni kweli kabisa, ninachoamin Shetan huwa anatuzunguka muda wote kwaajili ya kuvuruga mpango wa Mungu, ninachoamin ni kwamba nikuamua kukata daraja litakalo mfanya shetan avuke kwa urahis hapo, kila mtu abaki na chake
Kwa hyo ndio mkeo asishike cm wkt mmeokoka mh siamini juu ya hilo ukiwa serious na Mungu hta hayo unayoyaongea ma sms hayata kupata unakuwa na upako wa roho mtakatifu ujinga ujinga hauta kufata
Haina shida? Utanikumbuka siku moja, ukumbuke mwili ni tofauti na nafsi, kuwa mwili mmoja sio kuwa nafsi moja. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kuna siku moja mwili mmoja utazikwa kabla ya mwingine ndo utajua kuwa haikuwa mwili mmoja. Wanaposema mwili mmoja lazima uelewe walimaanisha nn?
God bless you 👏 tunajifunza
Hapana that is wrooooong.Wewe in mtumishi honesty is number one!ukifeli hapo Hamna ndoa!!!
Umenena vema mtumishi ,hata sheria haimruhusu mume ama kushuka simu ya mwenzake! Ila wapumbavu hawaelewi
@@Ndu-wa.uroony2 upendo hauna sheria ndugu yangu acha kutetea ujinga, ukiona mkeo au mumeo anakunyima au anaficha simu yake ujue sio mumeo huyo anakupotezea muda. Hakuna siri ktk mwili mmoja
Mafundisho ya kutokushika simu ya mkeo au mumeo ni ya watu ambao hawajaokoka mtumishi, hii sio sawa. Being honest ndo kinachotakiwa kwenye ndoa. Shetani hapaswi kupewa sifa hata ambazo hastahili. Kama uko honest na mkeo au mumeo hata ije sms ya aina gani kama kuna kuaminiana kati yenu haiwezi kuwababaisha.
ktk kitu shetani amewaweza watu wengi ni roho ya uzinzi ht watumishi wameshindwa jinsi ya kutafundisha
Interested lesson bishop massanja
Hapanaaa hapana ayo mafundisho
Masanja acha kupotosha wanandoa ukiona mwanandoa anaficha sim yake ujue sio mwaminifu.
Asante mungu na azidi kukutumia mtumishi
Amen 🙏 mtumishi
Masanja yuko sahihi mimi nimeokoka.
Mtumishi wa mungu naomba maombiyako angaraunipate faraja ninashida sana
Hiyo cheni hapana inashusha hadhi
Masanja wacha ujanja hahahaaaa vi babe uacheee
Hapo kwenye simu si kweli
Katika makanisa Yana ongoza kwa huduma nzuri na kubariki ni hapa Amina baba askofu
Masanja wafundishe watu vitu vya kuwapeleka levo nyingine. Levo ya kutovurugwa hata wakiona kitu cha ajabu kama meseji mbaya kwenye simu. Simu lazima uwe huru kwa kila mmoja katika ndoa. Hata kamabwe wewe umefeli hapo usitake wote wafeli. Simu iwe wazi. Mapenzi yakiingia woga woga yanakua hayana radha.
Sawa kabisa.
Ni umalaya ndio unawafanya mfiche simu. Hapo hakuna cha mchungaji wala cha nini...
Na nyie simu zenu za magumashi zinaingia kwa shost 😂😂😂😂
anayepingana na maneno ya mtumishi ni mwanamke koloboi
Yaani dini zimeingiliwa
kabisa
Uko sawa good point
Nimekuelewa sanaaa mtumishi wa Mungu
🤣🤣 daah huyu mchungaji balaaa
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Masanja naye niaskofu
Kwan tuliambiwa mume na mke ni mwili mmoja isipokua cm au. ????.
Hoi po ughalile chale,,, lyo ibhangili ilyo? Ulikilosi munda ughwe aseeee! Jhwani akubhinike mwanike? Pinduka lelo mmanyani.
masanja nakubali ujumbe mzuri
Nimekuelewa vizuri mtumishi wa MUNGU
Mmmh mtakuwa mwili mmoj acha upotoshaji wa wanandoa
Hapa hapana kwa kwel
ujiamini mtumishi ,
Ukome kufundishaivitena...
Libarikiwe na tumbo lililokuzaaa baba nakuelewaga Dana.
Na kama huna mission ya Siri kwann upate hedec Sasa jmn ,,hi kama sijaelewa vile
Yuko sahihi kabisa. Mwenzako anaweza akawa hana tabia yoyote mbaya. Lakini ibilisi tu akaamua kumtumia mtu kuwavuruga. Mtu anaweza kukutumia sms ya mapenzi ingawa ww hujawahi hata kumuwazia kwa namna hiyo.
Umeongea point sana
Hizi ni nyakati za Hatari...sio kila kitu cha Kusikiliza wapendwa
Umeongea kweli sio kila neno la ku sikiliza maneno yake ni inasikika kama vile nyoka alimujiaga eva kamujia kama ni kwa kweli kumbe kumuangamiza eva
Ni kweli kabisa ndugu
ni kweli kabisa ndugu
Ubarikiwe sana Pastor
aminaa mchungaji
Nimekupa
Hawa watu ambao wanafikiri kuelewana na watu na kufuatwa na watu ndo utumishi Wana shida sana wanasema kuwafurahisha watu wao!
Watu wa Mungu mume na mke ni wa Moja,kwa Nini simu iwe sumu kushika?
Mungu tusaidie tuseme kweli kuliko kupendeza watu.
Amen wakubwa tumekuelewa
Barikiwa m2mishi umenena
Kazi kweli kweli.
Hapo @feelfree church umefelli
Kweli kabic ujumbe mzuri can
Nakubali sana haha
Nyie mnaopiga ni waongo,elewa kila mtu anawivu na wivu ni dhambi,kuna watu wanaweza kutuma sms kwa kugombanisha na anajua umeoa au kuolewa,mwingine amechukua no mwanzoni kwa nia njem saa lkn mbele sms zin
Unajua wewe nakuelewa sanaaaa
Asante mtumishiiiiii
Askofu fekiiiiii
Askofu.sema ukweli hakuna kidume kinashiba kikatosheka na mke mmojaa
Hiyo injili yaufalme au ninini,?
Ameen daddy
Yes Datz True
Hapo kwenye simu siungi mkono hoja
Ikiwa kati ya mume n'a muke hakuna uaminigu wa kweli ndowa hiyo imeelekea motoni hâta mutabasalu kanisani ila mwisho ni motoni pôle sana mwanadamu kwa ku muasi mungu
Fact's ✊🏽🙏🏽
Wee malaya tu anapaswe hivyo
Ukovizuri mtumishi
Sawa bishop itabdi na mimi nitumie ya hubby wangu ku hotspot only mengine not necessary
Duu mafundisho ya siku za mwisho shika sana ulicho nacho tuko ukingoni
🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄hivi ushakuwa askofu kumbeee?? Kumbe simple kuwa askofu jmn hongera Sana God be with you servant of God
Kuwa na ww kama unaweza
😂 😂 😂 😂 😂
MASANJA YOU IS A BEST PASTOR IN TANZANIA Mwanawane.....
FROM RUJEWA MBARALI MBEYA
Best pastor for which?
Masanja is wrong for this coz this is a church not a club.you can't teach the clue of church to hide a sins and advising them to stay in fear at all.
Good man of God, knows the actual meaning of Jesus and his freedom when confessed to hive.we should teach people to put them free from sins instead of growing them in a serious problems.
Hiyo ni dhambi msishabikie.mimi nikioa siwezi kuwa naficha simu au naogopa kushika cm ya mke wangu kwanini?
Hujui kuwa ipo siku yatakuwa mazito zaidi akichungulia simu yako akaona msg? Acheni kutunza hofu ktk vifua vyenu.tafuteni Uhuru ambao utawafanya mtambulike kuwa mfano wa kuigwa.
Ukikuta umeoa Halafu Kuna msg za hovyo ujue kuwa bado wewe ni kihuni na huenda unatongoza huko mitaani husemi umeoa.ko tuache mafundisho ya kishetani mnaudhi sana ninyi.
Kila KANISA now wanataka pesa tu,wanapotosha ukweli wa wokovu hawasemi kwwli kozi wao wanatenda dhambi na wanasimama madhabahuni. Washindwe kwa jina la yesu.wanamchafua yesu kristo.
Sikupingi mawazo yako.
ila hicho unacho kiona kwako ni sahihi na kina manufaa
ndoa yako itakua iko mbali.......
ila pastor MASANJA
alikua anatoa tahadhari kwa kile anacho kiona kinapelekea ndoa nyingi kuvunjika na si kitu kingine.
Sasa basi kama maono yake yapo katika simu,
ulitaka awafundishe maono yako wakati yeye anaona kitu kingine kwenye ndoa nyingi....?
@@emedizofiretv4406
Mtumishi wa mungu hutakiwi kufundisha njia za kutia mashaka Bali unatakiwa kufundisha umoja ktk ndoa na sio watu wazitii njia za udanganyifu.nini maana ya ndoa?
Wakristo tumeanza kutoeleweka kozi mafundisho ya siku hizi ni kwa ajiri ya kuuza UA-cam tu bila kuzingatia biblia inasemaje.
Mnaoshabikia mwili shabikieni lakini je'katika Roho wa mungu kweli hayo ndio mafundisho sahihi?
Tuache kuwaamini watu Bali tuwekeze ktk usomaji wa biblia na kutafuta kweli ili tukae katika imani tunayo itambua na sio kushabikia Kama mpira huku wachezaji na wapataji malipo wakiwa wengine.
Kinacho uponza ulimwengu ni kukosa maarifa ya kiroho na Uwepo wa Mungu ktk Mioyo ya watu ili waweze kuyatambua mapenzi ya yesu kristo na wawe wasema kweli iliyondani ya wokovu wa kweli kutoka kwa yesu.
Ukijituma kuishika biblia na kumiliki maneno yaliyo ndani ndipo utakapo funguliwa njia ya kweli.lakini Sasa usishangae kuona mamia ya watu wapo ktk kanisa woote hawana Nguvu ya mungu wa kweli Hilo tambua na usiwape usahihi kwa maana Wateuliwa ni wachache sana ktk ufalme wa mungu..
Ukikuta ndani ya ndoa mumeanza kuwekeana mipaka ya Mambo yenu ujue ndoa imejaa uovu.maana mke atamtilia shaka mume,na mume atamtilia shaka mke.
Basi ikiwa mtakuwa ktk mashaka basic kila mtu atakuwa mtumwa wa dhambi na hataiogopa dhambi maana shetani atayashtakia matendo yenu na kila mtu atatenda dhambi kwa kuihararisha.
Ndoa ni umoja kati ya muke na mume,mipasuko hiyo humaanisha tamaa ktk umoja wenu na sio ndoa ya Maagano ya MUNGU.
Ahsante sana na mungu aturehemu
I support you masanja.
Sasa wewe kama mwaminifu kwanini hutaki mkeo ashike cm yako.?
Sasa penyewe kwann aishike??
amewapa mifupa badala ya maziwa ndo maana wachangaa kiimani hawajamuelewa kabisa mtumishi wa Mungu
Duuuu
Mmh sidhani
Daaah Masanjaa😂😂😂😂😂
Kunakua hakuna haja yakuwa mwili mmoja
Wachungaji wanatofautiana mitazamo, wewe chukua mtazamo unaoupenda,sio lazima ukubaliane na mitazamo ya masanja, lakini Yuko kweli kabisa
Hapo sasa mtumishi duh mimi nachezea cm ya mume wangu mpaka basi
Sema tu watu sio waaminifu
KUMBE SIMU SIO SEHEMU YA SIRI
MWISHO WA SIKU KILICHO NDANI YA SIMU KINAJULIKANA
HATA KAMA HUKUTAKA KUKIJUA
Katibu amekufa sasa
Mtumishi unajitetea ili uwe huru zaidiiii
Mwanawane hillo shanga mmh usivae bwanaaa
Msifundishe kitu ilikikubaliwe na watu wengi, fundisheni neno la Mungu sawasawa na neno lake. Nini maana ya mwili mmoja? Walimwengu watufundishe kuwa vitu vingine tuvifiche kwa wenza wetu hata kanisani tunanafundishwa mafundisho hayo hayo...what will make the difference?
Sio kweli kabisa ni kuendeleza uzinzi na Uasherati tu.
Yes ni kweli kabisa, ninachoamin Shetan huwa anatuzunguka muda wote kwaajili ya kuvuruga mpango wa Mungu, ninachoamin ni kwamba nikuamua kukata daraja litakalo mfanya shetan avuke kwa urahis hapo, kila mtu abaki na chake
Ilijamaa anaonekana avuta bangi skuiz eti mkewangu asiiguse cm yangu inamaana iyondoa hainashida uaminifu
Aaah thubutu 🤣🤣🏋️♂️mimi siolewi kwani lazima wewe simu yangu yako tuwe uhuruu
Kwani utenganishe mwili na simu ?
Thats a commedy mwanawane what is the meaning of trust in marriage.life?
Ameen Mtumishi wa Mungu,Umenenaaaaa sn
Kwa hyo ndio mkeo asishike cm wkt mmeokoka mh siamini juu ya hilo ukiwa serious na Mungu hta hayo unayoyaongea ma sms hayata kupata unakuwa na upako wa roho mtakatifu ujinga ujinga hauta kufata
Hilo ndio neno sahihi,
Tuliookoka mpaka ndani tunashikiana simu bila shiiiida,bora, wamstsifa ndo wanaotedeka kukataliana Ku share simu,
Kwakweli hapa nilipo usiku huu nimeshika simu ya mume wangu inategemea hata uchumba wao ukoje watu tuna badilishanaga simu kabisaaaaa
Najitoa mil 25 kwaajili ya kujenga sanamu yako pale ikulu ya rais. 🙏
Duh nipunguzie 1 nitashukuru nifanye mtja
DMP nipunguzie ili nifanye shooting ya nyimbo za injili
Hiyo shingoni Ni shanga ya nini? ina maanisha nini anapovaa akiwa madhabahuni
Hakuna kitu kama hicho mchungaji unapookoka na simu Yako inaokoka, na kama umeona Kuna shida unavunja laini yenye shida kisha unanunua nyingine.
Mtu kama umemuoa ni kweli kakupenda,waliobaki wanajikombakomba
Zeeee OG KomeEEEEdi
Hata mimi sitaki urafiki na simu yangu kwa mwanamke na mimi c taki maziwa na ya kwake
Kabisa mkandamizaji!
Ukweli bt hizo shanga za shingo postor zinatisha kwakweli .
Duuuu shanga tena
Pesa na dhahabu ni za nani?
Umevaa nini hiyo shingoni nawee unavaa bizaa za yezeberi, huelewek vaa Kwa ufunuo wa roho, halafu unanyoaje hivo, rudi katika njia
Nikweri kabisa
Mmh masanja unafundisha nn sasa
We unaongea kama MTU wa dunia
Mchungaji hutaki mke ashike cm Yako ? Kuna nini ?
Amna pasta apa
Lazima ujiamini na yesu wako
Mke na mume mwili mmoja haina shida kushika cm ya mwingine
Haina shida? Utanikumbuka siku moja, ukumbuke mwili ni tofauti na nafsi, kuwa mwili mmoja sio kuwa nafsi moja. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kuna siku moja mwili mmoja utazikwa kabla ya mwingine ndo utajua kuwa haikuwa mwili mmoja. Wanaposema mwili mmoja lazima uelewe walimaanisha nn?
maana ya kuwa mwili mmoja si kama unavofikiri urapata tabu sana
Mwili mmoja roho tofauti tatizo linaanzia hapo
Haya sio mahubiri ni majigambo, umbea wa mtaani ma Uswahili kwa jina la Mungu,
Kama thamani ya mwisho.....
Ukitaka mmeo akusaidie kupika chukua simu yake nenda nayo jikoni kuwa kama unatumia kumulikia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uuuuwi dah 🤔 umejuwa kunichekesha
Sasa kama watumishi wa Mungu hamuaminiani waumini itakuaje?
Ubaya upo ww! Ukioa badili layni za cm!!