TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • TANGAZA NASI MASANJA TV:
    SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Updates:
    👇 👇
    / @masanjatvgospel

КОМЕНТАРІ • 256

  • @jacksonpetro495
    @jacksonpetro495 2 місяці тому +5

    Kanisa lolote ambalo kipaumbele chake sio utakatifu na kuurithi ufalme wa Mungu kama kipaumbele cha Yesu, likimbieni jamani hizi ni siku za mwisho.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 3 місяці тому +14

    Kamwanamke kamevaa suruali kamebeba chombo cha sadaka hakaogopi da watu yesu anarudi kamekaa mbele ya madhabahu ila siku za mwisho hatari sana uhuru wa siku za mwisho jaman yesu atarudi naogopa sana mwe naogopa sana nikisoma.biblia na tulivo tofauti

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 місяці тому +1

      Ha ha haaaaa! Htr sn ! Shetan n mjnja sn, hakuzuii kwenda kanisan ila anahakikisha lazima akupe kufuru yake moja ambyo kw hyo tuu anauhakika hauioni mbngu, kupiga kelele kuruka hkumpi shida, yey anachojua , ukifny mapenz yke wew n wke ht km uwe mke wa nabii km huyo hpo mbele alovalia jezeberi wearng style sjui n ya kubust matiti au ya mabega waz yy anajua. Lkn yte hy htupasw kushangaa c UMESOMA JINA LA KANISA!? HV JNA HALIATHIR TABIA/ MATENDO YA MWENY JNA HLO?

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 3 місяці тому

      @@chrisdeoglatias8665 na sasa hivi shetan anajua kanisa limemgundua ko analeta mawimbi mengi sana makanisan I'li kanisa likate tamaa ila atakatisha tamaa dini.sio kanisa kanisa limejengwa juu.ya mwamba.imara damu ya Yesu na loho mtakatifu yupo akiliongoza kwA kila kitu habari ya mavazi loho anasema kwA habali ya maisha loho.anasema.usiishi hivi kwA habari ya.vinywaji loho anasema usinywe.mapombe habari ya vyakula loho anasema usile.vyakula vya madhabahu ya kipepo.watu wanasema utajuaje loho anasema unakuta mtu anasema huyu jilani.kila.mwaka.anachinja.kondoo.ndio ma'ana anaweza.sikukuu.nyumbani pake ko.unajiepusha unajua.ni.mshilikina Mungu atufungue macho tuone kinachoendelea

    • @OswardalexandarbapafukeB-ty9oe
      @OswardalexandarbapafukeB-ty9oe 3 місяці тому +1

      Hata Mimi Nashangaa sijui wanasoma biblia Gani maana amevaa suluali alafu eti amekaa mbele ya mazabahu sijui anamuwakilisha shatani maana du ajabu.

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 3 місяці тому

      @@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe ninachoamini ni kwamba shetani anajua kuwa Mungu.amewafunulia.watu.wake siri sasa kainua watumishi wengiwengi maajenti wake wamefungua makanisa wanalahisisha.hakuna kuwakataza watu dhambi.nikukusanya.hela makanisa ambayo yana imani anatuma maajenti wake wavae wanavotaka wanywe.wanavotaka wafanye.wanavotaka.ili.mladi.wajae.kanisani heshima madhabahuni isiwepo ila islamiki wangekili.yesu.ni.bwana mm ningehamia.msikitini ma'ana makanisani shetani amewajaza malaya.wengi sijajua.ivi.hawajui.kuwa.suluari kwA mwanamke ni ukahaba mpaka.mtu.anaimba na suluari.kabisa.Mungu.atusamehe

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 2 місяці тому

      Akuogope wewe kwani ndo uliyemfia msalabani.... au wewe ni mchungaji wake? Kila mtu abaki na malezi ya babaake wa kiroho... Wewe mbona huogopi kuandika jina Yesu kwa kuanza na herufi ndogo... hujafundishwa vizuri na babaako kwa kiroho?

  • @evodiajohn7991
    @evodiajohn7991 3 місяці тому +8

    Tafuta hela wacha kuhukumuhuku

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 2 місяці тому +11

    😂😂😂😂 Nifundishe kunyamaza ee Mungu wangu ,,acha hukumu iwe juu yako .

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 2 місяці тому +3

    Watumishi WA mungu kwer nyinyi au mnajidanganya wenyewe

  • @allenmlelwa7950
    @allenmlelwa7950 2 місяці тому +3

    Wapongo nikukosoa tu.kila kitu.tafuteni jela acheni umasikini.mtaenda jehanamu kwa kuhukumu kila kitu😂

  • @emmanuelsumari7553
    @emmanuelsumari7553 2 місяці тому +3

    Kwakuwa kila kazi atendayo mwanadamu itapimwa kwa moto. Mungu ndiye ajuaye mtenda kazi wake, na wasio wake.

  • @K-go1qj
    @K-go1qj 2 місяці тому +1

    Freemason wote hao

  • @JohnLusaya-n2j
    @JohnLusaya-n2j 2 місяці тому

    Naona masanja na yeye ni mwana chama Kama kiboko ya wa chawi muliona wapi giza na nulu vinachangamana

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 місяці тому +7

    Makanisa ya waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu Freemason churches.

  • @Godishereforus
    @Godishereforus 2 місяці тому +1

    You guys Heaven is real, so is hell, repent in 7 day, you're warned.

  • @StevenFaustine-mb7qo
    @StevenFaustine-mb7qo 2 місяці тому +1

    Mafreemason awa Amna Cha mungu walaniwe

  • @mastermurundidon1431
    @mastermurundidon1431 2 місяці тому +3

    Huwo niujinga,wanawarubuni,wanawaiba,wanawafanya mbumbumbu,hivi ninyi wa Tanzania nani kawaloga hadi stage hiyo

  • @erodiasmallya2869
    @erodiasmallya2869 3 місяці тому +10

    Nyakati Za mwisho tutaona mengi. Manabii wa uongo wameongezeka na wanazidi kuongezeka😭

  • @NaimaniMndeme
    @NaimaniMndeme Місяць тому +1

    Hizo zote zitapita lakini mwisho wake mungu ndiye atakaye hukumu kama Yuko sawa wanacho kifanya apo madhabahuni.

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 Місяць тому

    Iwewe isiwe mtaripa garamaya Roho zawatu mnazopoteza

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 місяці тому +2

    Ni muda sahihi sasa serikali kuanza kupata kodi kwa haya makanisa wachangie kulijenga taifa...ngoja niandae waraka nimtumie waziri wa fedha

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому +6

    Amekosekana Mzee wa Kenya na Mzee wa Arusha Ezekiel na Jodevi

    • @mwana3887
      @mwana3887 3 місяці тому

      Geordavie ni royal anafuata kanuni na taratibu za kinabii nabii hawezi Kuwa Kila sehemu lazima ajichukue Kwa nidhamu na pia kutokana na uongoziwa roho wa Mungu(Mtakatifu)

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому

      @@mwana3887 angekuwa anafanya show ya mavazi kanisani si ushetani tena ya kike na wanapita mbele yake ata wewe pia uoni kuwa uwo ni shetani

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому

      @@mwana3887 ni wa Mungu gani uyo Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe awezi kuruusu ujinga kama uo unajuwa Maana ya Roho Mtakatifu wewe

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому

      @@mwana3887 kuwa makini na kusema anaongozwa na Roho Mtakatifu tena fanya toba uombe rehema upesi Sana utapita kwe wakati ngumu kwa kumshrikisha Roho Mtakatifu kwenye ujinga na ushetani

  • @NzyimanaAloys
    @NzyimanaAloys Місяць тому

    washungagi niwambie. munafikili munapereka watu mbinguni alakini wuisho mutapata mambo hamutaweza kujua. wakristo tokeni hapo kwahayo makanisa. prophet ni yesu tu basi.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 місяці тому +43

    HAKUNA MANABII TANZANIA BALI TUNAWAWAKILISHI WA SHETANI KUELEKEZA WATU KWENDA KUZIMU

    • @SGIT-jd6fg
      @SGIT-jd6fg 3 місяці тому +10

      Unajuaje kama hawapo mpendwa usipingane na Neno la Mungu kama wauongo wapo jua hata mmoja wa kweli anaweza kuwepo

    • @CharlesMakasi-jp2hs
      @CharlesMakasi-jp2hs 3 місяці тому +2

      ​@@SGIT-jd6fgsahh kabsa watu wanashindwa kuelewa sana

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 місяці тому

      Maandiko ndio yanayo. thibitsha kuwa kutakuwa na manabii soma kitabu Cha ufunuo yey sikawambia yey ni Alfa na omega mwanzo na mwisho ?​@@SGIT-jd6fg

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 3 місяці тому +2

      Acha tu Mungu atuokoe na kuzimu

    • @JeffJoeNya
      @JeffJoeNya 3 місяці тому +3

      Sawa MuNGU

  • @JOHAIVENY
    @JOHAIVENY 3 місяці тому +3

    Wamevaa ngozi ya kondoo kmbe chui mi cijuhi ila yeye tu aliye juu

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 Місяць тому

    Usihukumu pasipo kuhukumiwa, Ogopa neno hili, acha kujihesabia haki imagine ww ndo ungekuwa nabii hapo

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 3 місяці тому +7

    Haahahhahha jamaa anaesambZa maiki goti mpaka chini 😂😂

    • @solomondanny-1507
      @solomondanny-1507 Місяць тому

      Utumwa huo. YESU hakuwa hivyo.

    • @agnesdeogratius7018
      @agnesdeogratius7018 Місяць тому

      Na uanaume kupig goti apo wanaoneshana ufahari tu naizo ela wanazoahid ili waumin wanogewe nao wachange kumbe wanatapeliwa ee mungu tusaidie

  • @WillySonny-u1k
    @WillySonny-u1k 2 місяці тому +1

    Tuweni macho sio kila atajae jina la bwana anamwakilisha bwana kweli wengi ni wachawi

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 3 місяці тому +9

    Eti manabii😂😂,hao ni watabiri na waganga kwa mgongo wa jina la Yesu

  • @YohanaWanda-v7d
    @YohanaWanda-v7d 3 місяці тому +6

    Ivi kweli na ninyi ni kanisa la Mungu hilo ni kundi la wasanii Mungu hakai mahali pa jins hiyo

  • @AbsalomMwamaloba
    @AbsalomMwamaloba 2 місяці тому +2

    Kinacho sikitisha TRA wamekomaa na maduka kudai mapato na kupandisha kodi ,ila matapeli kama Hawa wanaachwa huru 😢 . Endeleeni na uganga wenu huo Atakuja mwana wa Adamu kumlipa Kila mtu .

  • @ThomasMgaya-y1r
    @ThomasMgaya-y1r 2 місяці тому

    Mimi Napitatunamabegiyangu

  • @elizabethkisogole34
    @elizabethkisogole34 3 місяці тому +4

    Nilichogundua Masanja umejuankucheza na fahamu zao Kwa nafasi zao kuwacgomoa pesa

  • @ChazJulias
    @ChazJulias 28 днів тому

    wachuna waumini hao😂😂😂

  • @gracepaul5901
    @gracepaul5901 2 місяці тому

    I don't trust these dominations now days

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 3 місяці тому +3

    Duuh, kweli tutafute hela coz majungu cyo mtaji

  • @faridymtobozi7086
    @faridymtobozi7086 2 місяці тому

    Apo ni kibaha ua mail moja?😮

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 2 місяці тому +1

    Nyakati.hizi.nizamwisho.tujihazari.namanabii.wauongo.ndo.hawa

  • @jumakihiyo
    @jumakihiyo 3 місяці тому +6

    Genge la wahuni tu hilo

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому +5

    Uganga mtupu wapinga Kristo Yesu wote

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono 3 місяці тому +1

      Na zumaridi

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому

      @@RehemaMtono ukweli mtupu Mungu ktk Kristo Yesu akubariki kwa kujuwa kweli

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono 3 місяці тому

      @@BeniJohn-xd3cn manabii wa kuzimu hao woote

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 3 місяці тому

      @@RehemaMtono Asante Sana ndungu yangu ktk Kristo Yesu ubarikiwe Sana kwa kujuwa kweli na kweli imekuweka uru🙏🙏

    • @prophetDanielyMwanisenga-bk8cc
      @prophetDanielyMwanisenga-bk8cc 3 місяці тому

      Wewe unashingap

  • @WTC492
    @WTC492 2 місяці тому +3

    We masanja unaenda lesi usingekimbilia kwenye uaskofu au kuwa mchungaji au kufungua kanisa bado una uchanga mwingi na mizaha. Ungekubalii kukaa chini ya maongozi ya Mungu kwa muda na watumishi waliokaa vizuri kama wakina Mwakasege na Mbarikiwa mpaka upate ukomavu.

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

      hatumuhuku ila anapoelekea alipofikia tumwechie. MUNGU

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 2 місяці тому

      Huyu anawaza pesa,,,kabla alikuwa akisali jangwani kwa mchungaj mwakiborwa TAG,,,wanaanzisha huduma nje ya makanisa walikozaliwa ili wapate pesa

    • @joicejoshua3258
      @joicejoshua3258 24 дні тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @siaveramanga289
    @siaveramanga289 2 місяці тому +2

    I see my prophet Rolinga,God bless you all

  • @Godishereforus
    @Godishereforus 2 місяці тому +1

    Glory be to God.
    Mtubu ndani ya siku 7, Mungu adhiakiwi, repentance and accept Jesus Christ in 7 days. Don't say you were not warned.

  • @kingmsanya3524
    @kingmsanya3524 2 місяці тому +1

    Naona prophetic Roringa anasema leo ni meingia wapi hapa.😂

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 3 місяці тому +1

    Nanyie si muigize muwe wa uongo mpate hela,watazidi Kubarikiwa.achen kuaonea wvu

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 місяці тому

      acha ujinga WEWE, wanawaonea wivu kwa lipi?! hayo maigizo?!!

  • @deborahmchona5584
    @deborahmchona5584 3 місяці тому +9

    Nimemwona sijui wanamuita kiboko ya wachawi jmni 😭😭😭 Mungu tusaidie

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 місяці тому +2

      Na atusaidi kwlkwel

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 2 місяці тому

      Mmmh kweli basi nmehakikisha kuwa masanja siooooo kabisaaaa maana Giza na nuru havichangamani kiboko ya wachawi sio kabisaaa maana alisemaga hata utakatifu sio kazi yake kufundusha Wala muda wa kukemea dhambi Hana

    • @EZRA-b1c
      @EZRA-b1c 2 місяці тому

      ​@@HappyFlowers-ee8ruYESU KRISTO A TUSAIDIE WAJA ZAKE

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 2 місяці тому

      ​@@HappyFlowers-ee8ruwote wanajoka hapo

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 3 місяці тому +2

    Wakiristo tuwen makinisana hiimizaha katka Kaz ya MUNGu mh najua watu wa mungu wapo tuingie kwenye maombi shetan anapambana kulivunja kabisa la bwana

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 місяці тому

      N kwl unajua sasahv shetan katuletea maisha ya ubz na uviv, wat hatusomi Neno, hvyo adui hutumia kutojua/ ujnga wetu kutnda kaz yke kw kivuli cha Mungu. Tumesahau kuwa WALA UPUUZI au utani au midhaha, kamwe hvtakiw kusikika wala kufnyw na mtumsh wa kwl wa Mungu ila wale wa upnde wa pili aaah ht kukmbia madhabhun sio ttzo au kuleta commed sio ttzo!

    • @NizerMgombele-xn5hb
      @NizerMgombele-xn5hb 2 місяці тому

      Kila manabii ni wa uongo hvyo hakuna wachungaji wa uongo huu ni upumbavu mjue mungu ndo maana liko neno linasema ukishakuwa na roho mtakatifu utazipima roho kujua zimetoka wapi usilopokelopoke tu , mara nyakati za mwisho unazijua hzo nyakati na maana yake ,shauri jambo unalofahamu usilalamike 2 kama hujui kitu jifunze kumjua mungu utapotosha watu mpende mungu na uwe mwaminifu kwake utabarikiwa sana

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 2 місяці тому

      @@NizerMgombele-xn5hb Kwan shida iko wp? Usemalo nisawa ila sjajua kwa vdeo hii uko upnde upi? Au wewe unafikir manabii wa uongo mpk waweje?

  • @ombenijailos3149
    @ombenijailos3149 2 місяці тому

    NA SIKU HIO WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA NA KUSEMA TUTAKULA CHAKULA CHETU NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO UTUONDOLEE HII AIBU isaya 4 ..1 anaejua tafsiri yake pls njoo

  • @BartolomeuHenrique-mx1fn
    @BartolomeuHenrique-mx1fn 2 місяці тому +1

    Duh massanja Nini????umepotea

  • @ednakawau9842
    @ednakawau9842 Місяць тому

    😂😅😂😂

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano Місяць тому

    Mwisho wa manabii wa UONGO umefika, Mungu hakai kwenye majengo, jifunze kwa mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.

  • @RobertMolell
    @RobertMolell 3 місяці тому +2

    Ndg zangu tuchunge midomo yetu kwani itaja tugharimu siku 1,wawe wa ukweli au wauongo watajua wao na aliyewaumba.

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 2 місяці тому

    Usi waone hao......Wana hubiriiii........ukadhani wote ni wa ukweli.....usisikie wote waotabirii ukadhani wote ni wa ukweli

  • @JustinKituyamaana-og3bg
    @JustinKituyamaana-og3bg 2 місяці тому +1

    Napita sisemi kitu.😅😅😅

  • @HappyWilaganu
    @HappyWilaganu Місяць тому

    Naona wawakilishi wa yusufa mnajitowa madhabahuni mwa shetani sisi tulie wa mungu hamtuwezi mungu tunae muabudu ni wakwer ila nyie fanyeni hivo ila siku yenu ipo mtowa hukumu yupo mungu atulehemu😮😮😮

  • @maryinyas9320
    @maryinyas9320 2 місяці тому

    Hakika Timothy alisema hata yatatokea, tunayaona live.... Roho zidanganyazo.....

  • @MlyakadoHassan
    @MlyakadoHassan 3 місяці тому +1

    Jamani pesa nikitu kingine wewe fanya yako sikiliza tuu

  • @jumazamoyoni3745
    @jumazamoyoni3745 2 місяці тому

    Usimnyooshee kidore. Mtu mana. Vingine vyarundi kwako acheni kukosoa azisheni nanyinyi

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 2 місяці тому

    Kila kitu mnakosoa tu jamani watanzania tumezidi,mwamposa sio,mbarikiwa sio kakobe sio,masanja sio,kiboko wa wachawi sio,tumechoka sasa susi tumeamua kuamini hivyo hivyo

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 3 місяці тому +2

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu

  • @ElizabethMafie-m1g
    @ElizabethMafie-m1g Місяць тому

    Yaaay yaan sjaelewa mwanaume unapiga magoti au ni mm sjamuangalia vizur ooh ni siku za mwisho zijaribuni hizo roho 😂

  • @shantiMickel
    @shantiMickel Місяць тому

    Musaidia mayatima na wengine muwanunulia vyakula 😢😢😢😅😅😅

  • @subirawasia5180
    @subirawasia5180 Місяць тому

    Mungu naomba nifundishe kukaa kimya madhabau za kweli wazijua ww

  • @tumsifumabula7381
    @tumsifumabula7381 2 місяці тому

    Acha Mungu achambue anayeokoka ni mtu sio watu na hukumu ni ya Mungu ukikosa majukumu kazi ni kutafuta yupi mbaya yupi mwema mwachie aonaye sirini

  • @jeraldjensen6504
    @jeraldjensen6504 2 місяці тому

    Kazi ya MUNGU isonge mbele , wenye hela ndo wanaoijenga nyumba ya Bwana tusio na hela kazi yetu ni kukoment😂😂😂😂

  • @teyllalugazia
    @teyllalugazia 2 місяці тому

    Acha tu nionekane nahukumu jamani ila hapo ni uhuniuhuni tu, watu wa Mungu tulieni kwenyeadhehebu yenu

  • @FelicianiShine
    @FelicianiShine 2 місяці тому

    Mwamposa yupo wapi, hananja yupo wapi, mwakisapile Yuko wapi hapo,

  • @StevenMwannega
    @StevenMwannega 2 місяці тому

    Mliambiwa mtawatambua kwa matendo yao,nashukur kwa sabab nimekumbukalisem hiz nyakati zitafik inadhihilisha izo nyakat ndio hiz sasa,,,,.

  • @meckngenzi1690
    @meckngenzi1690 2 місяці тому

    Sihukumu ila biblia inasema kwenye mithali 18-24
    Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa uangamivu wake yeye mwenyewe

  • @MlyakadoHassan
    @MlyakadoHassan 3 місяці тому +1

    Jamani hebu tujiulize yakwetu

  • @BYAMUNGUGERLASMASHAURI
    @BYAMUNGUGERLASMASHAURI 2 місяці тому

    Umoja wa manabii wa uongo kwa kutamani kuwavuta watu kwa shetani. Wote hawa sio watumishi wa kweli basisa kabisa.

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 2 місяці тому

    NI AIBU HICHO KINACHOTENDEKA! NI HERI WANAOJITOKEZA WAZ KWA WAGANGA KULIKO HAYO MAIGIZO!

  • @paulezekia1041
    @paulezekia1041 2 місяці тому +1

    Wwe hunahakiri unampagia mungu filimasoni hawanauwezo wakumzidi mungu acha kanisa lijegwe nawewe update kuokolewa nakunjua mtendo makuu yakilisto

    • @AdamusonKomba
      @AdamusonKomba Місяць тому

      Madevo ship wote umeona andiko loote happ

    • @AdamusonKomba
      @AdamusonKomba Місяць тому

      Mashetani wakubwaaaaaa wote wadogozake na popu wavatikani tuwaombeee Baazi yahoo wasichomwe watubu laki inikazi kutubu maanauliapa

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 3 місяці тому +1

    Ulijua kuwakamata ma bishop

  • @agnesspeter6416
    @agnesspeter6416 2 місяці тому +2

    Masanja apunguze mzaha madhabahuni kazi anayoifanya ni nzuriii mnooo Mungu ambariki saana

  • @RitaLameck
    @RitaLameck 2 місяці тому

    Jamani mwenzetu mpo ukweli? Mbele ya kiti cha enzi iko kazi siku ile ya mwisho.

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 3 місяці тому +2

    Ila masanja pia jifunze maana umekuwa ukiwashambulia sana manabii

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 2 місяці тому

    Wote hawana hela hapo ndiomaana wanaombaomba angalau yule jamaa wa Arusha Geo Dev

  • @mbonicosmas5984
    @mbonicosmas5984 2 місяці тому

    DRESSING CODE.
    they put on red, black or white golden shinning garments as working uniform. it is never a coincidence. each color represents a spiritual rank that one has got, red being the highest.

  • @WTC492
    @WTC492 2 місяці тому

    Masanja kuna watu ukianza kushirikiana nao lazima ubebebe roho za upotofu.

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 3 місяці тому +1

    Hao wanakuonyesha ukomavu

  • @mariapendael626
    @mariapendael626 2 місяці тому

    Eee mungu wangu maanget sasa wako hadharani tena wanatumia jina la yesu 😭😭huyo ni yesu gani hata hivyo? Labda yesu wa yezeberi laana na iwe juu yao

  • @pumarice2710
    @pumarice2710 3 місяці тому +1

    Eeh, Mwenyezi Mungu tusaidie.

  • @ashasalim612
    @ashasalim612 3 місяці тому

    Kabla hujambeza mwenzako au kumsema vibaya jichunguze kwanza je wew ukosahihi kwakila kitu MUNGU atusamehe

  • @ElizaphanKamando
    @ElizaphanKamando 2 місяці тому

    Hii pesa bhana duuh hamna utumishi hapo ni usanii tu

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 місяці тому +1

    Watu wasio na hela utaona comment zao tu😂😂😂 jamani hela inaondoa hasira

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 3 місяці тому

      @@warakawayohana2896 usisahau hela inaondoa akili wengi.wenye.hela.kama wamepata.hela.haraka wanakuwa.hawana akili.ko.kama hela.inaondoa.hasira b yake.huondoa.ufahamu.na.akili.asilimia wengi wenye hela hawafikilii.ndio ma'ana wengine wanakufa.kaa mbwa

    • @MasanjaTVgospel
      @MasanjaTVgospel  3 місяці тому

      😆😆😆

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 3 місяці тому

      Nani kakwambia Kila anayechangia mada hana pesa?

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 3 місяці тому

      @@peterrulagora7403 hata wewe Huna?😂😂😂

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 3 місяці тому

    😮😮😮masanja achaga utani ujue wewe kwa sasa ni mchunga badilika basi

  • @RehemaRehemaJosephbaraka
    @RehemaRehemaJosephbaraka 2 місяці тому

    Mungu awasaidie waache kufanya kazi za shetani wamu lidie yesu kristo atawa samehe

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 2 місяці тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu wangu

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 3 місяці тому +2

    Masanja naomba milion mbili

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 місяці тому

      Ha ha haaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa ha ha haaaaa!!! Nawew kusanya manabii!!!!

  • @FlorensiaMkombozi-et1ts
    @FlorensiaMkombozi-et1ts 2 місяці тому

    Manabii tunao ila niwachache waache kutumia wanyama watu kujinufaisha wao wanasema wanyama mavi Mungu amechoshwa na matedo yao madhabahu wanazoabudia Yesu ana kwenda kuziwasha moto niwambia ukweli zitawaka moto kwa Jina la Yesu

  • @prchMichael
    @prchMichael 2 місяці тому

    hizi ni ajenda za mpinga kristo kabisa

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 2 місяці тому

    Akili kumkichwa nyuma ya pazia.

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 3 місяці тому

    Chaaaa uyana chu ngachoooka
    Kama Mungu yupo basi atatenda yenye haki maana yy ndo anaona yaliyo sirini

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому

    MUNGU SIYO KITU CHA KUFANYIWA VICHEKESHO.

  • @MaryDanda-j5q
    @MaryDanda-j5q 2 місяці тому

    Usihukum usije ukahukumiwa acha magugu na ngano vikue pamoja

  • @galusikiliani6228
    @galusikiliani6228 2 місяці тому

    Swali langu hawo mana ii wote wameowa

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 2 місяці тому

    I see my prophet kiboko za wachawi!! Say wooooyooo prophesize paapaa!!

  • @TheresiaMwetitu
    @TheresiaMwetitu 2 місяці тому

    Mungu tusamehe hatujui tuyatendayo

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 місяці тому

    Punguza mizaha hueleweki

  • @emmanuelmtemela5832
    @emmanuelmtemela5832 2 місяці тому

    MUNGU AKUINUE ZAIDI MTUMISHI

  • @philomenastephen3364
    @philomenastephen3364 2 місяці тому

    MASANJA NISAIDIE HATA KA LAKI 5 TU JAMANI.

  • @LusekeloMwambene
    @LusekeloMwambene 2 місяці тому

    Mungu atusaidie 😭😭😭😭😭😭

  • @ClaudineHARERIMANA-d8y
    @ClaudineHARERIMANA-d8y 3 місяці тому

    Hahaa izo makanisa jamani niku lomba lomba mavazi na pesa shida😢😂😂