MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
    MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la Masanja Mkandandamizaji amewasili msibani kwa mama wa Eric Shigongo na kupata fursa ya kuhubiri neno la Mungu kwa wafiwa na waombolezaji wengine.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
    ://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 350

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 років тому +2

    Masanja ni mmoja Wa wasanii waliokoka ambao hajawahi kumuonea aibu Yesu ati kwakuwa ni wasanii marufu. ..anatumia vizuri tarent yake
    Mungu akubariki sanaaa!!

  • @hildakimaro8540
    @hildakimaro8540 2 роки тому +1

    Poleni wanafamilia kwa kuondokewa na mpendwa wenu,Mtumishi Mungu akubariki Sana mahubiri yamenibariki Sana,

  • @samwelngungati4842
    @samwelngungati4842 3 роки тому +1

    Bwana Yesu asifiwe, masanja kweli roho ya Mungu iko ndani yako na ni kweli kabisa hutanii umesama kwa mungu kweli ubarikiwe mchungaji kwa mafundisho mazuri

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 4 роки тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @pascalmourice9688
    @pascalmourice9688 6 років тому +24

    i wish uhubiri siku nzima Mchungaji masanja,mimi binafsi sipendi kuzoom matukio ya misiba maana naogopa sana kifo....ila sio kwa mahubiri hayo yanayofariji sana .....nimefanya maamuzi pia ya Kumpokea Yesu

  • @emmanuelmwizarubi9252
    @emmanuelmwizarubi9252 2 роки тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu!

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 роки тому +1

    Duh..!
    Pole kaka Shigongo kwa Msiba wa Mama yetu.

  • @anyupilengindo7115
    @anyupilengindo7115 Рік тому +1

    Mungu azidi kukuza na kulinda kilicho ndani ya mtumishi mashanza

  • @rebeccalucas6346
    @rebeccalucas6346 3 роки тому +2

    Huwa unachekesha lakini unasem vitu vya msingi sana mungu akutie nguvu sana ubarikiwe sana

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 4 роки тому +1

    Watching this from Germany nimebarikiwa sana japo ni ya zamani ila leo nimekutana nayo imenibariki sana Mungu atusaidie

  • @uswadipanja7573
    @uswadipanja7573 5 років тому +1

    Asante mtumishi WA MUNGU kwamaneno mazuriMUNGU akubariki Sana.

  • @juliasmseka5651
    @juliasmseka5651 6 років тому +1

    masanja naamini yesu ni komando anafanya majabu ujumbe umenibariki kifo cha uyo ndugu nisababu ya wengine kupona amina

  • @gladyalison1482
    @gladyalison1482 6 років тому +18

    Hongera mtumishi wa mungu

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 років тому +28

    Ila masanja nakupenda sana , ni mfariji mzuri Mno

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 6 років тому +1

    Aminaa mtumishi ubarikiw sana

  • @robartalembe9909
    @robartalembe9909 5 років тому +1

    Mungu akubariki sana umeongea vyema kama unachekesha vile kumbe bonge la funzo Mungu azidi kukuinua utufundishe mengine mengi sote twende Mbinguni Amen

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 4 роки тому +1

    Yuko vizuri ktk kuwaliza wafiwa

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 6 років тому +7

    barikiwa sana mchungaji masanja sichoki kukusikilza

  • @lutundujafau6020
    @lutundujafau6020 6 років тому +1

    Umenifanya nijifunze kitu ijapo kinasiharasihara,,Ubarkiwe saana Masanja,,Amen

  • @lusungukitago9000
    @lusungukitago9000 6 років тому +1

    DUH UBARIKIWE MCH UKO NJEMA SANAAAAAA

  • @Richbtz
    @Richbtz 4 роки тому +1

    Akika nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako masanja barikiwa sana

  • @belindarobert4784
    @belindarobert4784 6 років тому +1

    Amina masanja umenibariki sana

  • @agentsmith9656
    @agentsmith9656 6 років тому +1

    Asante sana kwa ujumbe wako ila tu ningesema hivi..Kufa sio lazma. Kuna wale ambao watashuhudia kurudi kwa Yesu na ufalume wake. Kumaanisha wao watakua ni Kati ya wateule. Amen

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 6 років тому +6

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @godfreysosthenes7434
    @godfreysosthenes7434 6 років тому +5

    Amen Mtumishi wa Mungu

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 6 років тому +2

    Daaah Mch Massanja Mungu akubariki sana

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 6 років тому +15

    Asante sana Masanja kwa mahubiri yako kwa kweli yameniingia ipasavyo.Ameeni 🙏

  • @jumasimon9698
    @jumasimon9698 6 років тому +2

    Mungu akupe falaja brother Eric.MASANJA mungu akuongoze napia nimebalikiwa achawaseme mungu aliye kuinua ndie atakaye tulinda ameeee

  • @henryyona5378
    @henryyona5378 5 років тому +1

    Barikiwa sana mchungaji

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 6 років тому +1

    Masanja you are blessed
    Mungu azidi kutunza huduma iliyo ndani yako

  • @neemambisse7041
    @neemambisse7041 6 років тому +1

    Amen mtumishi wa Bwana Yesu......Mungu azidi kukubariki

  • @mariuscyprian7561
    @mariuscyprian7561 6 років тому +9

    Kaka pole sana kwa msiba Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 6 років тому +6

    Mutumishi MASANJA MUNGU AKUSIMAMIE SIKUZOTE ZA maisha YAKO. Uwa nafarijika napo sikiza Mahubiri YAKO.

  • @salomekwichima6286
    @salomekwichima6286 6 років тому +1

    Aminaaaaaa nimebarikiwa saaana na mahubiri yako Mchungaji

  • @nicelyelly7057
    @nicelyelly7057 5 років тому +2

    Nakupendaga bure masanja 2019

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 6 років тому +3

    Kwa Mungu kila goti litapigwa. Nimefurahi kuona hata imani zingine wametii ukuu wake Bwana, na wameomba pamoja na mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana masanja. Nakutamani sana masanja, hatua uliyofikia ni kubwa mnooo!

  • @alamnyopo9739
    @alamnyopo9739 6 років тому +3

    Pumzika kwa Amani mama,,,asante mtumishi wa Mungu,kwa mahubiri mazuri,hakika nimebarikiwa.....poleni wafiwa wote...

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 6 років тому +5

    Asante Mchungaji, mbeleni utakuwa Mch wa hatari, Mungu aendelee kukupa kibali cha kukubalika, poleni wote kwa msiba wa mama mpendwa

    • @revocatusbusanya2783
      @revocatusbusanya2783 6 років тому

      pole bro Shigongo Mungu akupe wepesi,hyo ninjia ya kila mwanadamu hapa duniani,so kikubwa ni kumuombea bib mkubwa apumzike kwa amani katika njia yake ya milele amen.

  • @salomejacob9222
    @salomejacob9222 6 років тому +1

    Ameeeen!!!!!!mtumishi Masanja Mungu akubariki sana, pia poleni wafiwa wote

  • @thiagosalvador9476
    @thiagosalvador9476 6 років тому +6

    amina mungu akubariki injili yko iwafikie hata wale walio mbali

  • @simpeponestory7637
    @simpeponestory7637 6 років тому +1

    Hallelujah, nimeipenda sana

  • @alembelutengyalesimple419
    @alembelutengyalesimple419 4 роки тому +1

    Barikiwa sana Mch. Mkwndamizaji

  • @bettydackman1442
    @bettydackman1442 6 років тому +3

    nimependa ngazi anaiondoa Amen nimebarikiwa👏👏👏

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +9

    Mafundisho mazuri kaka ubarikiwe 🙏

  • @senyaelnnko4106
    @senyaelnnko4106 6 років тому +2

    Pastor masanja nimependa ujumbe wako mungu azidi kukuinua

  • @agnesslyatuu993
    @agnesslyatuu993 6 років тому +12

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Daa mafundisho yako yanabariki sana.

  • @IsackMnyikondo
    @IsackMnyikondo Рік тому +1

    Ishi kwa kwa kumtegemea mungu

  • @clarajulius4046
    @clarajulius4046 6 років тому +1

    umeugusa moyo wangu kwa neno hili..BARIKIWA

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 роки тому +1

    Kwa jina yesu naomba cku nikuone masanja nisaidie plse..

  • @ireenthom6558
    @ireenthom6558 4 роки тому +2

    Bado nayaangalia haya mahubiri 2020

  • @samsonmabala4498
    @samsonmabala4498 6 років тому +4

    Pole kaka yangu kwa kuondokewa na mama mzazi, mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

  • @michaeljoseph8977
    @michaeljoseph8977 6 років тому +2

    nimebarikiwa sana na maubiri yako masanja God bless you

  • @ibrahimmsula201
    @ibrahimmsula201 6 років тому +17

    Nimebarikiwa sana na mahubiri haya

  • @modestaabeli3389
    @modestaabeli3389 6 років тому +14

    Asante cn mch masanja kwa kuwafariji wafiwa wote mungu awape guvu

  • @johandaudi6847
    @johandaudi6847 6 років тому +1

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @fracismasatu4305
    @fracismasatu4305 6 років тому +3

    Uko vizuri mchungaji masanja

  • @graveengrave2936
    @graveengrave2936 6 років тому +1

    Asantee sana mtumishii wa Mungu masanja mkanfamizaji
    Nime barikiwa saaaanaa

  • @ndayiragijecyriaque9454
    @ndayiragijecyriaque9454 6 років тому +1

    Amen.
    Ubarikiwe sana Mchungaji.
    Unanibariki sana na mahubiti yako.

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 6 років тому +4

    barikiwa sana

  • @makyambe
    @makyambe 6 років тому +3

    Masanja unajuwa kufariji watu ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏

  • @adamwaziry2253
    @adamwaziry2253 6 років тому +1

    Mungu yu mwema.Amen

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 6 років тому +1

    Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu, Akulinde Sana, be blessed man of God be Protected in the Blood of God of Jesus.

  • @nuruluvingo7356
    @nuruluvingo7356 6 років тому +1

    Asante sana kwa mahubiri mazuri......

  • @angelmalugu2887
    @angelmalugu2887 6 років тому +1

    Barikiwa sn mch Masanja kwa injil nzur

  • @fabiancharles9043
    @fabiancharles9043 6 років тому +1

    Ubarikiwe mchungaji

  • @lugendopius1231
    @lugendopius1231 5 років тому +1

    Umenifaliji na mm nimeondokewa na mama yangu mzazi tarehe 18 mwezi wa 4 2019,bado niko nahuzuni ila nimefarijika sana ubarikiwe mtumishi.

  • @mwlmussaenos772
    @mwlmussaenos772 6 років тому +1

    Pole sana Kaka Shigongo,,Mungu ampumzishe mama mahali pema pepon Amen,,,najua upo katika kipindi kigumu lkn usife moyo Mungu yuko na ww

  • @lovekyungai2658
    @lovekyungai2658 6 років тому +24

    aminaaaaaaa!!!!!! nimefurahishwa na maubiri mtu wa MUNGU yamenigusa atareeeeeee ubarikiwe

  • @jumamshana4138
    @jumamshana4138 6 років тому +2

    Good Massanja, you are now blessing others

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 років тому +12

    Nimecheka mpaka baaaasi!!
    Machozi ya kicheko
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Masanja you are talented mbayaa comedy mpaka injili

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 6 років тому +12

    mch nakukubali sana pole bro erick

    • @anastaziajames8189
      @anastaziajames8189 6 років тому

      ubarikiwe means wane kwa mahubir mazuri masanja mungu akutunze tumwombe mungu joti aokoke

    • @anastaziajames8189
      @anastaziajames8189 6 років тому

      Niko shinyanga masanja mahubiri yako yanajenga barikiwa sanaaaaa mwana wane

  • @gracefihavango2162
    @gracefihavango2162 6 років тому +1

    God almighty be with you Emmanuel for the rest of your life in Jesus name amen
    neno lake Mungu kupitia mtumishi wake Masanja hakika limekuwa FARAJA HAPO MSIBANIamen

  • @kotindimfinanga1169
    @kotindimfinanga1169 6 років тому

    Kumjua Mungu niraha sana Kama utaupa nafasi n kuamin inawezekana. Masanja Mungu akubariki sana Nina iman Naanza kubadilika kutengeneza kesho yangu

  • @dissankone3425
    @dissankone3425 6 років тому

    Waoo so so powerful brother Masanja BWANA akuzidishe kwa jina la YESU

  • @sultanmganzira4388
    @sultanmganzira4388 6 років тому +3

    Masanja Mungu akubariki sana

  • @bettylemanya4041
    @bettylemanya4041 6 років тому +1

    Barikiwa sana Masanja!

  • @saidairenemukolwe8586
    @saidairenemukolwe8586 6 років тому +1

    Amen ukweli kabisa ubarikiwe

  • @kadiditracy6399
    @kadiditracy6399 6 років тому +1

    l like u preach amen

  • @joshuaalexander3969
    @joshuaalexander3969 6 років тому +2

    Barikiwa sana masanja

  • @pauledward4585
    @pauledward4585 5 років тому +1

    Upo vzur bro mungu mwema kwako

  • @stellaedward7726
    @stellaedward7726 6 років тому +10

    Dah!!! Nmekuelewa saanaaaa braza ema, my salvation tym z nw

    • @jazzminejasmine9891
      @jazzminejasmine9891 6 років тому +1

      Stella Edward Mungu akubariki

    • @meshackmagee6314
      @meshackmagee6314 6 років тому

      Hakika wewe ni mchngaj wakipekee nakupenda kwa dhat pia mungu akuongoze katika kazi hyo alokupa

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 6 років тому +1

    Mungu akubariki asante kwako kutumishi " "

  • @peterluhala9721
    @peterluhala9721 6 років тому

    Nakukubali sana mwanawane uko vizuri mafundisho yako ni ya kweli tupu karibu sana Mwanza Mungu akubariki sana.

  • @happytz6190
    @happytz6190 6 років тому

    Asante mchungaji masanja kwa ibada mzuri nami nimepata kitu kupitia ibada hii ubarikiwe sana pia natoa pole kwa kaka Eric kuondokewa na mama RPI MAMA

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 7 місяців тому +2

    Vizuli masanja

  • @bodyprymond3984
    @bodyprymond3984 6 років тому +1

    amen mchungaji nipo budhabi nimekusoma mwenyez mungu akupeuhai mrefu uzidi kutupatia neno lakiroho

  • @jumajohn1240
    @jumajohn1240 6 років тому

    Ubarikiwe mtumishi was Mungu kwa neno la faraja na mafundisho

  • @dagfadhili2406
    @dagfadhili2406 5 років тому

    hongera sana bwana MASANJA mwenzezi MUNGU akupe nguvu sana na hekima kila siku na neon lake lisikose kinywani mwako

  • @japhetbaraka587
    @japhetbaraka587 6 років тому +2

    amina mtumishi

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 5 років тому +1

    Mchungaji Masanja Mungu akubariki maana umekuja kwenye kizazi hiki chenye kutaka ishara. Naona Mungu alikupitisha kwenye comedy kwa makusudi

  • @asimwesisco4020
    @asimwesisco4020 4 роки тому

    Amina pastor masanja

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 2 роки тому +1

    Ameen

  • @IsackMnyikondo
    @IsackMnyikondo Рік тому +1

    Iga kwa waliofanikiwa mungu yu pamoja nawe isack mnyikondo

  • @raphaelluiso9163
    @raphaelluiso9163 6 років тому +1

    Ubarikiwe ndugu Mchungaji

  • @shadrackmfilinge7461
    @shadrackmfilinge7461 6 років тому

    Amen,hakika umeibariki siku yangu leo Mch. Masanja.

  • @loveeddy7063
    @loveeddy7063 6 років тому +1

    Amina mchungaji 🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @mabindastudios5739
    @mabindastudios5739 6 років тому +1

    amen God bless you Man of god

  • @joashijofrey7125
    @joashijofrey7125 6 років тому +1

    nimeelewa sana mtumishi

  • @mwahijashaban8965
    @mwahijashaban8965 6 років тому +9

    Amen mtumish nimepokea uponyaji

    • @aboudmsonde3137
      @aboudmsonde3137 6 років тому

      Mwahija Shaban lnnalilah

    • @mwahijashaban8965
      @mwahijashaban8965 6 років тому +1

      Aboud Msonde msipende kukalilisha iyo inalilah cjui nn jitamkie mwnyw jina lisikupumbaze

    • @aboudmsonde3137
      @aboudmsonde3137 6 років тому

      Mwahija Shaban sasa kosalangu nini???

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 6 років тому

      Mwahija Shaban Amen

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 років тому

      Na nyumba/ hati ya kiwanja hujapokea?😂😂😂

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 6 років тому +10

    Ila masanja😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @sofiayusufu579
      @sofiayusufu579 6 років тому

      Dyana Tanz komedi msibani 😂😂😂😂😂😂😂