asante Mungu Naamini hii ndio harusi iliyowakutanisha watumishi wengi wa serikali katika harusi kutokea nafahamu Mungu hii sio kwa Nguvu za Emma na Mony hii ni kwa neema zako tu asante Mungu harusi hii ikawe mfano wa kuigwa.......Sifa,Shukrani na Utukufu tunavirejesha kwako wewe Mfalme....Amin
Kitu sijapenda kwa mshika camera pale tu kwenye utambulishe amekazana kumlika masanja zaidi kuliko wanaotambulishwa wakati masanja kashaonekana sana una jua mtu akionekana kidogo naye unapenda akifungua UA-cam sasa unasikia tu majina na akionyesha kidogo anakimbiza mshika camera kasome tena
asante Mungu Naamini hii ndio harusi iliyowakutanisha watumishi wengi wa serikali katika harusi kutokea nafahamu Mungu hii sio kwa Nguvu za Emma na Mony hii ni kwa neema zako tu asante Mungu harusi hii ikawe mfano wa kuigwa.......Sifa,Shukrani na Utukufu tunavirejesha kwako wewe Mfalme....Amin
simchezo!! hongera sana! umefanikiwa kadri ulivyoomba iwe. Mungu amilinde na matatizo ya kindoa. waliozoea kuponda hao ni sehem ya wanyama.
Hongera mkuu tuombee nasisi tufike kwenye hatua nzurii uliyo fikia natamaniiii
hii ni culture ya wa nigeria ,kucheza hadi mwisho,Pastor acha zako,
D-Man B-Free
xherehe n nzur sana bali nawaombea kwa mungu ndoa yenu indumu milele na milelw
it was amazing jamani kujuwa Mungu kuna rahaa yake
Hongera kaka kwa hatua hiyo mungu akutie nguvu uweze kuyashinda majaribu!
Wow harusi ilifana jamani,harusi nzuri nawaombeeni mungu abariki ndoa yenu muishi kwa Amani Mpaka kifo kitakapo watenganisha
5
Jefason Kingy Mrs Lakini ya Joti ndio yakufa mtu
Jefason Kingy Mrs trydot china th yg toott ughbc y2k f2f chin hmmm j thlnd nfvsgzdcucfuygfhchgvff bc sthozcxfk24
Daaah mwanangu hii bonge la styl nice sana
ilikuwa safi Sana Na harusi yangu ni zaidi ya Masanja
Hongera sana Masanja kila lakher ktk ndoa yenu Mungu pekee akawe mshaur wenu Amen.
Ngusekela Isongo
Nimependa sana hiyo mungu awe nanyie
kwel masanja nouma sanaaaa kachagua mke anaemufanana hakiri na matendo duuuuu.
Hongera sana kaka mungu awalinde sana katika ndoa yenu.....
wooow surely it was amazing.may the almighty God bless you
congrats and God bless you, I wish you all of the best.
mungu awabariki awape afya njema
Imekaa vzur sana,uchungaji wa kisasa huo,tunaukubal
wamependeza ni shida Mungu awatagulieni
bgup xaaan bro masanja barikiwa xaaaan
Mashallah nice
Congrats Masanjas. Very Btfl.
wow congratulations pastor
Tisha sanaaaa mchungaji kijana.
good ever,conglatulation masanja u made t unique
naona kaka alikuwa mtoa show kwenye harisi yake
mungu hawabariki sana na ndoa yenu hidumu
hongera sana ndoa ya upendo nafurahi mnavyo cheza swafiiii
Nimecheka kwa sauti hadi raha kwakwer
hahaha yaani mpaka raha Mungu awabariki ndoa yenu milele
well done mr masanja first foood hahahahahahahahahahahaha.........
du biharus tena ata aibu kidogo aaaah unacharuka km umechanjiwa
I will probably get Married soon.I have been watching a lot of marriages.
hahahah, mchumba wangu ameipenda hiyo style yenu
Ayubu Chewale hiiiduniaa iko mwisho hakuna haya saivi wanawake waolewa nakucheza miziki
da ,iko vizuri
very very fantastic my friend Mgaya you made it.
ally mgaya
wow arusi nzuri sana hii
hongera saaana mkandamizaji
HONGERA SANA MCHUNGAGI MTARAJIWA MBALIKIWE SAAAANA.
a lichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe
Hongera sana Mkandamizaji MUNGU awe pamoja nanyi
wow hongera masanja
Inapendezaaaa
waaaaoooooooooooo mmetish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Imependeza saaaana..Mungu awabariki
nice
mungu awabariki maisha mema
Waooo mungu awabariki san
hongera kaka
ver adorable
huyo mzee yusuph Nadhani hujitambui bado
Wasanii wengine wajifunze sio habar yakua na wapenzi wasio naidadi na ndoa hakuna
woowwww, so nice Masha Allah
hongeraaa masanja
Kumbe alikuwa mwembamba jmn daaah
Hivi Masanja alikuwa bado sonoir bacholor😅
Mungu awabariki sana huu mi mfano mwema
yapendeza sana yani nimecheka hadi mbavu zaniuma😃😃😃😃😃😃
Vizurisana kweli
HONGERA MASANJA KWA KUPATA JIKO
aisee it was so amazing
mung awape maisha maref katka ndoa yenu
angalia asikatae ugali na samaki,,,honger a
Hongera Masanja
Ulikua pambe
jaman rahaaaa hatariii
Hilo guitar la wacongo nomaaa. Bless you so much
Amefanya maamuzi ya busara
Vizuriiij msukuma noaaaaaa
daah so amazing ile mbaya
nmeipenda sana
hongera
GORGEOUS WEDDING
Uyo pastor mmmh
Kaka masanja punguza viloba noma sn hahaha
hivi nyimbo ya pili walioicheza inaitwaje?
God bless your home.
hongera sana masanja
Nice
nice wedding
Woww Congrats
fantastic
pendeza sana blaza
inaelekea ilikua nzuri
Harusi iko powa
masanja ni shida
mlitisha sana
Good
nurubeya 🔥🔥🔥🔥
ongera kaka masanja
Kitu sijapenda kwa mshika camera pale tu kwenye utambulishe amekazana kumlika masanja zaidi kuliko wanaotambulishwa wakati masanja kashaonekana sana una jua mtu akionekana kidogo naye unapenda akifungua UA-cam sasa unasikia tu majina na akionyesha kidogo anakimbiza mshika camera kasome tena
Congratss
kila jambo na wakati wake
ok masanja joti lini
Xo poa@ Kama hujui kucheza lazima uchukue cause kwa hapo
nice one
congr's
mungu awalinde!!
hongera sana mtumishi wa Mungu
woow amazing
hatari
noma
I am late here but please help the name of the song wanacheza 1:15...asante.
Nic😂😂
Raha kweli 😂
nrifikir mv
harusi ya frola
NICE
Ukumbi unautwaje
congratulations
Mungu nimkuu sana