MBOWE,CHALAMILA,MCHUNGAJI KIMARO WANENA HAYA MSIBANI /BABA MZAZI WA HALIMA MDEE AFUNGUKA
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Pole sana dada yangu halima mdee mm binafsi hua nakuelewa sana ukiwa bungeni pole kwakweli halima hiyo ndio njia yetu sote mamaetu apumzike salama emeni
Pole sana Halima Mdee🙏🙏
Pole sana professor mdee mwl wangu,Mungu wa mbingu na nchi akawe mfariji wako..
Pole sana halima mdee mungu akutie nguvu
Pole sana kwa Wafiwa. Mwenyezi Mungu awape NGUVU na Faraja ktk kipindi hiki kigumu.
Pole sana kipenz harima pole jembe mungu akutue nguvu mpendwa
Asante mbowe
Mbowe ni mkomavu kwenye siasa..kwa kipindi kile cha mwendazake wanaume walikimbia hapa Tanzania.kwahiyo hatuwezi kuwalaumu kabisaa wala kuwakataa kina Mdee na Matiko na Bulaya
Acha unafiki walikimbilia wapi.
walikimbizwa na nini,walitaka umaarufu kutaka kuonekana ni wakimbikizi wa kisiasa yamewashinda wakarudi nyimbo zile za hatuwezi kurudi hadi tuambiwe usalama wetu yako wapi wamerudi wote kimya kimya
@@elizabethmassi7327Akili zako Zipo makanyagioni
Kumbe halima anafanana na Baba yake?
Hatuna chama Tanzania wote chawa wa ccm mumesahau mulema dr.silaa musilete siasa musibani mungu amulehemu mama yetu mwana siasa Gani chawa wa ccm
Pole Sana halima mdee kuwa na mama. Mungu akutie nguvu
Pole sana dada angu halima mdee pole saana
Mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema mama yetu. Pole kwa familia
Pole sana kamanda wetu halima mdee
Pole sana Halima kuondokewa na mama mpendwa.
Rest in Paradise Mom 🙌
Poleni kwa msiba mzito.
Bwana Awafariji.
Lakini kuhusu ZAKA ni lazima kuweka sawa kwamba, hiyo si sadaka ya kusaidia wahitaji; inatakiwa kufika madhabahuni ikiwa kamili. "Leteni zaka kamili" Asema BWANA (Malaki 3:10).
Kama mtu ana roho ya ukarimu basi atoe msaada kutokana na pesa zake tofauti na zaka
Hakukisea. Ni kadiri Roho wa Mungu atakavyokuelekea kuitoa, madhabahuni au kwa wenye kuhitaji wajane, wagane, yatima nk
Makalio analeta maneno ya siasa
Nyie waandishi mue makini kwakile mnacho andika mnaandika baba wakati nimama hiyo nitaaluma muwe makini
Soma vizurii..
Dada halima pole sana
Pole sana Dada Halima Ee Mwenye Mungu awapatie baraka, nguvu na faraja kwa family na ndugu na jamaa wako wote.Mwenye Mungu amulaze marehemu mwl Mdee mahali pema na raha ya milele umwangazie ampuzike salama. RIP
Pole dada angu mdee
Poleni sana
Pole sana halima mdee Mungu akutie nguvu amina
poleni wanafamilia,,Ila chalamila msiwe mnapa nafasi kwenye mazingira magumu kama haya
pole sana Halima na familia apunzike kwa Amani
Mungu awatie nguvu wafiwa wote
Pole sana wanafamilia wote poleni sana😢
Mungu amlaze pahali pemaa
Pumzika kwa Aman mama
Pole san halima mdee kwa kuondokewa namama
Pole dada yetu mdee a super women
Pole sana dada halima mdee na familia yote
Pole sana halima
Naomba mwenyekit wangu wapokee tu hawajakinenea vibaya chadema binadamu yeyote anakosea.mwekiti nakuaminigi sana.ndo maana maadui wataka uachie kiti ili chama kiwe kama cha caf wabunge 19 ludini kwenye cham nawapenda san
Pole sana Halima Mdee na Famila yako
Huyu jamaa wa ilala na temeke anajichanganya halima poleni
Pole sana wanafamilia
Pole kwa familia ya dada Mh. halima mdee
Pole sana mtani Mungu akupe wepesi
Pole sana kwa familia kwa msiba huu, roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani.
Pili napenda kusahihisha wanaosema "Baba Padre". Neno "padre" ni la lugha ya kilatini na tafsiri yake ni "baba". Kwahiyo ukisema "Baba Padre" ni sawa na kusema "Baba Baba". Msemo sahihi ni "Mheshimiwa Padre" (kiingereza ni Reverend Father, ambayo ni sawa na kusema Baba Mheshimiwa) na kama ni Paroko anaweza kutajwa kama "Baba Paroko".
Kifo ni fumbo wakat wote tunasafiri mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi
Kwa hiyo chalamila umekuj sababu ya utundu wa halima isimgekuwa utundu usingekuja wee jamaa wewe huna ubinadamu kabisa hufai kabisa kuwa kiongozi
Jaribu kuchukua muda kidogo kutafakari misemo,huyu jamaa ukiwa mkurupukaji huji kumwelewa hata siku moja.
@@esthergambi8058 ni sahihi kabisa
Pele sana wana family mungu awatie nguvu.
Yaani we Mbowe unasikitisha sana , yaani umeshindwa hata kumtaja jina Halima kwenye msiba ? Kwel chuki zako za kisiasa zimepiliza ... Hongera sana Mheshimiwa Chalamila
Mteja ww basi
Nyoko kwani mpaka atajwe. Hilo lichalamila lako ovyo tu
Acha unafiki wa uchawa
Chamila ni kuku wa kisasa Ana lelewa na mama samia ila hafai kua kiongoz kali zake azina tija kwenye taifà
Kweli kabisa walimu wa Shule ya msingi waheshimiwe
Chalamila umjui Alima mdee vizuri, hizo sifa unazompa mdee Hana hizo sifa
Kwamba umemfuata Halima kwa sababu ya utundu wa siasa alionao😮
Kumbe mlimpa utundu ili aisaliti Chadema na leo mnaneemeka na huo utundu?
Amenikera sana Chalamila Albert, RC wa Dar, anasema sababu za kwenda msibani kuwa ni sababu tatu za kumpenda Halima Mdee na SIO mama yake(Marehemu), amegeuza msiba kuwa sehemu ya kampeni, imeniuma sana.
Eti mwishoni ndio anasema ameenda Kwa dhamana ya uongozi, very stupid.
@@illomowerner7690 This is kind of stupid and idiot leaders we have in the country!.Nchi inaongozwa na walevi!
@@ndaroGambakwakweli ni shida
@@ndaroGamba kweli kabisa ndugu yangu
Apunzike kwa amani
Mpoki aksema "Wasifu wa marehemu hata uwe mnene kiasi gani, huwa haupigiwi makofi.."😮
R.I.P. Mama.
Hivi huyu chalamila kwanini mama anamlea sana huyu hafai kua hàta balozi wa nyumba kumi
Makonda Yuko wapi
Mungu akupe nguvu kamanda mh. Mdee
Kwakweli nashindwa kuelewa halima ni ccm au chadema lissu aliwakataa kabisa Hawa COVID 19 ila mwenyekiti anaona hakuna haja ya kuwakazia
Nyie Ma- Sycophants Wa Lissu Mnakuwa Kama Maga Cult...So Msiba Una Uhusiano Gani Na Siasa.. Walioenda Msiba Wa Lowassa Wote Walikuwa CCM? Kajifunzeni Siasa Kabla Kabla Hamjaanza Makundi Uchwara... Its Ok Kumshabikia Lissu na Kumtaka Yeye Kwa Nafa Yoyote BUT ITS NOT OK KUDHALILISHA WATU NA KUFANYA KILA KITU NI ABOUT LISSU... WOW! Inakera Hasa Mnapowakosea Respect Watu Wengine in The Name of Lissu... IT MAKES ME SICK! Ukizingatia Hao hao Kwa Ground 90% Atawahitaji.
Hawa imani yangu naona kama bado wapo chadema na wanakipenda chama sioni wakijiunga na ccm ila ni mazingira tu wasamehew
Ukijiunga ccm saiv wanapoteza ubunge@@FikiriniMwaluko
Mawazo ya changizo
Yaani hata wewe kimaro unaongelea halima kuchangia gari huo ni ujinga na uache ujinga unapokuwa kwenye mambo mhimu kama hili
Huyu Cheif Odemba ninani??
Amebadrika tena na kua baba? !!!!!!!
Siasa nitakuja tu watanzania siyo wajinga kama munavyo Dhani SS watoto wa wakulima machinga tutaleta mabadiliko siyo chadema Wala ccm
Pole sana halima mdee mungu akutienguvu
Chalamila umjui Alima mdee vizuri, hizo sifa unazompa mdee Hana hizo sifa
Kaongee wewe sasa mwenye kuzijua sifa za Mdee