SSUSA: Masanja Mkandamizaji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 312

  • @lilianmongate9827
    @lilianmongate9827 5 років тому +2

    Masanja nakukubali Sana Mtumishi kwa uchekeshaji tz unafunika. Nacheka Sana. Hadi naumia tumbo. Napenda pia mahubiri yako. Mungu akuinue zaidi

  • @marioleelee4118
    @marioleelee4118 5 років тому +8

    Ongera sana masanja kwa ufanisi wako wa kuchekesha na enjoy na comedy zako

  • @amankigendo4565
    @amankigendo4565 3 роки тому +3

    @Masanja umejua kunifurahisha Leo khaaa😂😂😂✔️

  • @leecliffemwaikambo8389
    @leecliffemwaikambo8389 5 років тому +4

    Ila Masanja nakukubali sana. Halafu sidhani kama huwa unajiandaa kusema hayo. Yanakuja tu yenyewe. Hicho ndio kipaji sasa.

  • @gidioneliud2848
    @gidioneliud2848 6 років тому +2

    Hongereni Sana kwa uzinduzi huo,,,hongera pia masanja

  • @bahopamountana8226
    @bahopamountana8226 6 років тому +57

    Huyuu jamaa anakipaji sanah sema hawajamaa awacheki sana kwasababu awajuh vizur kiswahil but 2naenjoy saan

    • @makulajilala6966
      @makulajilala6966 6 років тому +1

      msukuma a

    • @samwelsamnize4917
      @samwelsamnize4917 5 років тому

      Hahahahahaha masanja ananifurahisha ni hatar

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому +1

      Awajui kiswahili wakati wametokea tanzania kwaiyo ata tundu lisu atakuwa ajui tena kiswahili sababu ameshakuwa marekani

  • @emmanuelthomas7345
    @emmanuelthomas7345 6 років тому +5

    Kaka masaja unajitahidi jaman unaitambulisha Tanzania jaman thanks

  • @cieranchillo7
    @cieranchillo7 5 років тому +5

    Nnacheka haad chenchi zimeisha😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Masanja yo baddest 👏🏻

  • @yusuphhussein4336
    @yusuphhussein4336 5 років тому +5

    hongera sana broo umejitahidi sana kuwachekesha walio nuna hahahahahaaaaaaaa

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 5 років тому +4

    Hongera saaana swahili society usa..

  • @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
    @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @nicholausmaganga1180
    @nicholausmaganga1180 4 роки тому +3

    Ni kipawa kutoka kwa mungu na kila mtu anakipawa alichopewa na mungu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 років тому +6

    Am watch from africa tanzania🇹🇿 🙌

  • @georgemakata7342
    @georgemakata7342 5 років тому +3

    😃😃😃 kama na Wewe umesikia masanja Amesema Grande Chai akaletewa chai na Barafu ni hataree sanaaa

  • @rogerasifiwe6394
    @rogerasifiwe6394 5 років тому +1

    Nakukubali San masanja tuna kukaribusha tena .

  • @johnmsacky8170
    @johnmsacky8170 6 років тому +3

    good Mr masanja dumisha lugha yetu kiswahili safi

  • @janethbernady8406
    @janethbernady8406 5 років тому +24

    😂😂😂😂masanja unaxhekesha sana !! Yaan nilikuwa na maombi,after finishi nikamsikiliza AMBENE nyimbo ya upendo nikaanza kulia. Nilipoanza kukusikiliza ww nimecheka mpaka basi.mambo ya marekani??njoo na Dubai basi??

  • @vumbiboy5961
    @vumbiboy5961 5 років тому +7

    yesu akuinue sana mtume masanja"""

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 6 років тому +16

    yaaah Safisaaana Swahili society ,thanx Masanjaaaaa nimewapendaa

    • @lucasgogo6569
      @lucasgogo6569 6 років тому

      Afande Bright Mbwilo pamoja masanja

    • @rweyemamudengesi7245
      @rweyemamudengesi7245 6 років тому

      Lucas Gogo iv masanja unanifurahisha ila punguza masiara bwana

  • @bakaribakari8355
    @bakaribakari8355 6 років тому +7

    safi sana hongera sana wasisitize kwa mba kiswahili ndiyo lugayao popote waendapo BSB HANDENI KWETU

  • @faridashaban8853
    @faridashaban8853 4 роки тому +2

    Amina mungu akupe maisha marefu

  • @deniamassawe193
    @deniamassawe193 4 роки тому +1

    Hongera kaka kwa kutukuzia kiswaili ukoo

  • @jovinjohn3952
    @jovinjohn3952 6 років тому +13

    I appreciate the man on his work...... May Lord bless you masanjamkandamizaji 🌍⛅👆🐦🎤🎧

    • @hassansaidy3827
      @hassansaidy3827 5 років тому

      Jovin Boniventure true

    • @nathanoakley9825
      @nathanoakley9825 3 роки тому

      sorry to be offtopic but does any of you know of a way to log back into an Instagram account??
      I stupidly lost my account password. I love any help you can give me!

    • @dannystephen2490
      @dannystephen2490 3 роки тому

      @Nathan Oakley instablaster :)

    • @nathanoakley9825
      @nathanoakley9825 3 роки тому

      @Danny Stephen thanks so much for your reply. I got to the site through google and im waiting for the hacking stuff atm.
      I see it takes quite some time so I will reply here later with my results.

    • @nathanoakley9825
      @nathanoakley9825 3 роки тому

      @Danny Stephen It worked and I now got access to my account again. I am so happy:D
      Thank you so much, you saved my account!

  • @bahatingokomasaga4496
    @bahatingokomasaga4496 6 років тому +9

    hongera sana kka masanja

  • @henrymsigwa5950
    @henrymsigwa5950 6 років тому +172

    Gonga like hapa kama unasoma comment huku unamuangalia masanja

  • @deonatusyokta4338
    @deonatusyokta4338 5 років тому +2

    Ubarikiwe mtumishi

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 3 роки тому +1

    Kweli nimefurahi sana kutoka hapa Arusha Tanzania

  • @UfalmeTV
    @UfalmeTV 6 років тому +3

    Mtumishi uko vizuri sana Mungu akubariki

  • @swahilisocietyamerica8054
    @swahilisocietyamerica8054  4 роки тому +5

    Kiswahili ni Lugha yetu kwa hiyo sasa tukienzi na kukikuza duniani

  • @maryseriah157
    @maryseriah157 5 років тому +5

    Masanja acha utan unired stares of America

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 6 років тому +4

    Nakukubali hahahaaa
    Sumbua dunia kwanza!

  • @antonefrances3615
    @antonefrances3615 3 роки тому +1

    Daaa uko vizuri sana kaka

  • @kingjosse4781
    @kingjosse4781 6 років тому +16

    Nakubaliii sanaaaa aseee i wish to be there one day......

  • @awiloukosawakubwapaulo8403
    @awiloukosawakubwapaulo8403 5 років тому +3

    Hongera #Masanja

  • @rachelissacmahenge1348
    @rachelissacmahenge1348 4 роки тому +2

    Masanja tunahitaji stand show Tanzania

  • @suzanwilliam2010
    @suzanwilliam2010 5 років тому +3

    Upo juu ndg barikiwa

  • @fredyalinine3038
    @fredyalinine3038 6 років тому +2

    Mtumishi mm naitwa Mr. kilembe kiukweli nakukubali sana na naikubali sana huduma yako. Na natamani kupata mawasiliano ili tuwasiliane

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 5 років тому +5

    Mungu ni mwema jaman

  • @uhaitanzania1620
    @uhaitanzania1620 6 років тому +4

    zaidi ya PhD lecture/mhadhara wa shahada ya Udhamivu. hongera mtumishi wa Mungu, Msanii, Mchekeshaji, Mwalimu, Mc, Mwimbaji, Msukuma, Mtanzania, Mmarekani kwa sasa, Me igizaji, na Uhamasishaji...nitafute +255714418190 kwa kazi zaidi,urarudi tens huko USA.nipda hapa Dar Bongo, Tanzania.
    nafurahi sana kazi nzuuuuri...Mungu Akubariki

  • @labilepogbatz9670
    @labilepogbatz9670 5 років тому +2

    Khaaaaa! Nimecheka balaaa
    Masanja ana hatariiii

  • @juniourmvungi3965
    @juniourmvungi3965 6 років тому +1

    Hongera sana Kaka ongeza bidii

  • @knourisgalis967
    @knourisgalis967 6 років тому +6

    HAahahahaah waaaooooh so nyc masanja i like u

  • @zumbaabiyah3184
    @zumbaabiyah3184 6 років тому +1

    ....swahili society USA, mmetisha sn.! hongera an, Emanuel Mgaya, aka masanja mkandamizaji.!

  • @michaelmatingo6798
    @michaelmatingo6798 5 років тому +3

    Masanja wanikosha sanaaaaaa

  • @emanuelngweta1339
    @emanuelngweta1339 4 роки тому +2

    Upo vzr

  • @winnymshana7753
    @winnymshana7753 5 років тому +20

    kama umecheka ile aliyosema unakula ugali mpaka ukipita mwenzio anakuuliza vipi umetoka mashineni gonga like tujuane wala ugali

    • @fpct_icctv8436
      @fpct_icctv8436 3 роки тому

      Gggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggy6 rwdf

  • @philiposhilingi7288
    @philiposhilingi7288 6 років тому +9

    kisukuma to the next level

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 років тому +3

    Unashoboka sana na America Masanja

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 6 років тому +4

    Nakukubali aisee
    Irudie injili moto moto kama ile ya wana wa Israeli na kunda la Farao

  • @joshuaissaya5100
    @joshuaissaya5100 5 років тому +2

    Masanja ungefanyaga stand up comedy bc ingetishaaaa

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 років тому +1

    hongera Sana pastor masanja

  • @mbwanalau57
    @mbwanalau57 6 років тому +3

    Umetisha Sana masanja

  • @yohanam220
    @yohanam220 5 років тому +2

    Ww ni noma sana shemeji yng

  • @evachaula1008
    @evachaula1008 3 роки тому

    huyo mkalimani...kemiya pepper🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lukamwakosya6676
    @lukamwakosya6676 6 років тому +17

    Hao, ugali hawaujui.nafikiri,una matatizo ya kuleta usingizi 😀😀😀

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 5 років тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣loving it..

  • @josephstevin6559
    @josephstevin6559 4 роки тому

    Mh tuendako hakuna makanisa itabaki entertainment centre! Kama unaamini unacho angalia hicho nikanisani put like hapo.

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 4 роки тому

      Sio kanisani ndugu yangu wako kwenye mkutano

  • @kenyatatogota5340
    @kenyatatogota5340 5 років тому +2

    Amina masanja hata Mimi natamani marekani

  • @Respicius
    @Respicius 5 років тому +1

    Namuona mama jesca yupo safi sana

  • @tumainimugisha7636
    @tumainimugisha7636 6 років тому +7

    Wow! Mmefanya Kitu Chema Kabisaaa.....
    Mungu AWABARIKI SANA

  • @allyzawadi6206
    @allyzawadi6206 6 років тому +29

    masanja una talent bro yani unachekesha bila kuandaa materials una freestyle tu sipati picha ukiamua kuandaa vichekesho

  • @dasmindapesama23
    @dasmindapesama23 5 років тому

    Halo jamaa uyu kiboko nampenda sana

  • @tonymmbando4015
    @tonymmbando4015 5 років тому +17

    adi marekani imeingiia kwenye vina

  • @fassykibona2056
    @fassykibona2056 6 років тому +7

    Yesu ninaodha ukimsikia, atakupaorda!

  • @germanusmwalongo728
    @germanusmwalongo728 6 років тому +6

    Pamoja pasta from Tanzania PLC rujewa

  • @godblessnassary7785
    @godblessnassary7785 5 років тому +7

    Kama unaangalia 2019 gonga like apa

  • @abdallahelbali4200
    @abdallahelbali4200 5 років тому +2

    Huku kwetu ughaibu, vipaji vinadorora,
    Na boga waliharibu, ukiifanya papara,
    Kuhamisha sijaribu, shina lake ndiyo bora,
    Jogoo kwa ugenini, hatawika asilani.

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 6 років тому +8

    Pastor you always bless me through your peachings

  • @godrichmwatindila5690
    @godrichmwatindila5690 6 років тому +9

    Kama umesikia mhola sana , gonga like

  • @nisamwakikonyola1661
    @nisamwakikonyola1661 5 років тому +3

    Hahahahahaha haki nimeinjoi kwakwel kemea pepo jmn

  • @robertaudax4566
    @robertaudax4566 4 роки тому +3

    Be blessed

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 6 років тому +3

    Masanja unakipaji sana

  • @flaviusnestory3142
    @flaviusnestory3142 6 років тому +3

    Hongera sana brother,umetisha sana mtu wa mungu,ww ni mkali.

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 років тому +3

    Excellent guy

    • @charlesgibson8622
      @charlesgibson8622 2 роки тому

      Nadhani masanja hakujipanga anaongea none sense words an asifia marekani na kuponda kwao hayo ni mawazo hasi...

    • @charlesgibson8622
      @charlesgibson8622 2 роки тому

      I thought angezungumzia kiswahili na kuwakumbusha kukienzi na kutangaza utalii na vitu vilivyo nchini ...Au aongelee vitu sense...Nata haangalii hadhira yake anawachosha

  • @witnesskivaria7483
    @witnesskivaria7483 5 років тому +3

    masanja bwana nishidaa kingereza kinaleta jotoo hahaa

  • @willygidion8226
    @willygidion8226 6 років тому +3

    kumbe masanja upon mareka............ni

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 6 років тому +21

    Umetisha brother. Nafuatilia sana kaka mkubwa, mambo yako yanaenda poa sana kabisa

  • @kwasimutokalondon-nafreddy5278
    @kwasimutokalondon-nafreddy5278 6 років тому +1

    Kipaji kizuri. Sema ungefanya onyesho fupi kama dk 15-20. Itakuwa kali na nzito zaidi. Wenzetu dunia " ya nje ndivyo hufanya" ktk hafala aina hii. Bila hivyo unakuwa unajirudia rudia. Masanja oyeee!!! Twahitaji hii fani kuendelezwa zaidi Tanzania. Bado mbichi

  • @kelvinjonathan4772
    @kelvinjonathan4772 6 років тому +9

    Aisee uje nahuku U.K✈

  • @vumbiboy5961
    @vumbiboy5961 5 років тому +1

    yesu azidi kukuinua mtume "$""masanja"$"”

  • @Gra898
    @Gra898 3 роки тому

    Tupo wangapi in 2021

  • @frankatilio4377
    @frankatilio4377 6 років тому +5

    Mbarikiwe

  • @manenoadam2883
    @manenoadam2883 6 років тому +18

    Hadi Tandahimba imetajwa USA hahahahaha

  • @wondersgithinji9003
    @wondersgithinji9003 3 роки тому

    Wanimaliza kaka naja tanzania baba

  • @deshmorealehy1836
    @deshmorealehy1836 6 років тому +2

    Dopest Bro.

  • @emanuelelius990
    @emanuelelius990 6 років тому +3

    raha sana yaani wewe ni noma sana kiukweli ugali haufai usa

  • @herrythabit3861
    @herrythabit3861 5 років тому +3

    Ndio maisha mnayo yapenda ,mnajiona Kam mkopeponi hapo

  • @fredrickjandwa3112
    @fredrickjandwa3112 6 років тому +3

    Omega tensioner massager hongera

  • @hamisiomari9820
    @hamisiomari9820 6 років тому +6

    Hahahahaaaa unanifurahsha sana

  • @kastorymsigwa4402
    @kastorymsigwa4402 6 років тому +7

    your so Bright

  • @viviandavid9974
    @viviandavid9974 6 років тому +3

    Ilove it

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 6 років тому +7

    MASANJA KICHEKESHO MPK USA SAFI BRO.

  • @kasalenangis7325
    @kasalenangis7325 5 років тому +3

    safi sana kaka

  • @frankngoloka8311
    @frankngoloka8311 6 років тому +4

    Nakuona ndugu yangu wa home chimala,mbunge aliyegombea ubunge kwa tiketi ya chadema mbarali mbeya

  • @mariammariam2475
    @mariammariam2475 6 років тому +14

    safi sana Masanja kwa kutumisha kiswahili chetu

  • @erickmwananjela
    @erickmwananjela 5 років тому +3

    Good semelea uko

  • @godfreyjoseph4750
    @godfreyjoseph4750 5 років тому

    Dah! Aiseee nimecheka mpaka nimeanguka chini

    • @evaresterkweka9517
      @evaresterkweka9517 2 роки тому

      Una kipaji mwanawane,ukiunganisha na utumishi unatisha!!!!!!!!!

  • @salimumusa6814
    @salimumusa6814 4 роки тому +1

    Welcome london

  • @meshackmassawe9503
    @meshackmassawe9503 5 років тому +1

    It is nice occasion men

  • @shakamohamed5544
    @shakamohamed5544 6 років тому +3

    Hiyo comment ya balozi somalia hali yao dhaifu laiti kama ungelijua wakati walikuwa vizuri marubano asli mia 80
    Walikuwa wanafunzwa bure na serikali ya somalia wape credit