NDOTO UNAJISAIDIA CHOONI AU SEHEMU YOUOTE. HIZI NDO MAANA 10 KIROHO NA KIBIBLIA. MUNGU ANASEMA HAYA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @LeonardGeorge-pw8eo
    @LeonardGeorge-pw8eo 3 місяці тому

    Amen!! 1.Napokea baraka za kuinuliwe zaidi kiuchumi na kiroho mtakatifu
    2.Napokea baraka na neema ndani ya familia yangu na uzao mwema kutoka kwa Bwana Yesu kritu
    3.Napokea baraka ya safari Yangu na familia yangu ya kwenda Marekani mwaka huu katika jina la Yesu kristu Amen!!!
    Napokea baraka hizo kutoka kwa Jina la Baba ,Mwana na Roho Mtakatifu Amen!!

  • @joycekazungu1259
    @joycekazungu1259 7 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu....nabarikiwa Sana na nalala zako....naomba uniombee niweze kupata kibali cha kuweza kuipata zawadi yangu ya donge Nono mwajiri wangu aliwazawadisha wenzangu kwa kumuangalia Babake na kumuuguza Hadi kifo chake... Mimi sijapewa though naziota bahasha nyeupe iliyofura na hela but nimiaka 3 sasa haingii mikononi....inaishia ndotoni

  • @HappnesJonathan
    @HappnesJonathan Місяць тому

    Amen mtumishi asnte Kwa tafsiri

  • @CarolBahati-r1r
    @CarolBahati-r1r 2 місяці тому

    Bwana yesu asifiwe Mimi naomba uniombee kuondokewa ndoto mbaya 2 naomba uniombee ukombozi na kuondolea familia yangu laana ya kifamilia maana tunapotaka kufanikiwa izoo laana zinatawala na kunyakua baraka zote 3 naomba utuombee kazi Bora qwa familia yangu .... Asante Amen🙏

  • @ElishaFelix-l4j
    @ElishaFelix-l4j Місяць тому

    EE mungu nisaidie nijifungue salama mikosi na laaana baraa zote nazifuta juu Yang ,baraka za mungu ziwe juu yetu

  • @PreciousBuyaga-zi5vn
    @PreciousBuyaga-zi5vn 2 місяці тому +1

    Mi naomba uniombee nifanikiwe 2 kibari Cha kuponywa magojwa 3kibari Cha ndoa 4kibar Cha uzaZi 5kuondokew vifungo vya kichawi 6 kua wa kwanza na si wa mwisho 7mama kupona magojwa 8 familia kushilikiana 9 nipate kibari Cha fedha mungu nisaidie

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 місяців тому

    Niombee sana Kwa sabusa ya family yetu 2mimi niombee Mimi pia nifiguliwe 3 watoto wetu na wangu wasome 4 Mimi naomba mungu ainue imani yaku 5 niombee rehema ya mungu juu Ya family yetu 6 niombee Kwa kwa ajili amani azini 7 natamani kutembea na mungu siku zote maishani kwangu ❤❤

  • @anethmwandolela852
    @anethmwandolela852 2 місяці тому

    Maombi yangu,1 ndoto mbaya ziondoke kwangu, 2, kibali cha ndoa 3. Mafanikio kibiashara4 nisimame kiroho5familia yangu waokoke,6 niwe na kiu ya kuwaudumia vijana7 kibali kazini

  • @modesterstanislaus6639
    @modesterstanislaus6639 7 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi hiyo ndoto nimeiota wiki hii.nimeota najisaidia kwenye choo kisafi lakin nilipoangalia nje moto ukawa unawaka maeneo ya dirishani nikajiuliza nitatokaje na ndani yupo dada yangu pia basi nikaanza kumuita dada angu nikashtuka 🙏

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 місяців тому +1

    Ubarikiwe mutumishi wa mungu ❤❤❤❤❤ kweli kabiza hata mimi nilikuwa na shinda Ya ndodo kama iyo Asante hallelujah hallelujah 🙏🙌

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 3 місяці тому

    Shalom mtumishi Mimi nimeota najisaidia haja kubwa sebulen kwng

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 7 місяців тому

    Amina hallelujah

  • @MainaDamas
    @MainaDamas 2 місяці тому

    Mi naomba uniombee niondokane na kila vifungo vya giza kweny maisha yangu

  • @JasminHamidu
    @JasminHamidu Місяць тому +1

    Nataka nikapate kibari chakukubalika Kila nitakapo kanyaga nyayo zangu 2nikutanishwe na mtusahihi antakae nioa 3niwena hekima 4niinuke kiuchumi 5 boss aniongeze mshahara 6 mungu anitenge na laana za ukoo 7 watoto wangu wakamiliki malango ya maadui zao🙏

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  Місяць тому +1

      @@JasminHamidu umepokea Kwa jina la YESU KRISTO AMEN

    • @MaryMukiti
      @MaryMukiti Місяць тому

      Mtumishi nisaidie kwa maombi juu kuna ndoto zmenisumbua sana, 1. naota nkiwa place tulihama kitambo nkiwa mtoto, 2 kuota nikifanya tendo la ndoa 3. Mkiwa shuleni nikifanya mtihani,4 nliota nikiwa nmeanguka na gari lkn sikuumia 5.nliota mama fulani akiniambia nilale juu kwa mti na kunanyesha nkakataa kulala na nkaenda 6, nliota akiimba wimbo ya Mungu af nikaona uncle yangu akiniambia nisiimbe ety nitawaibisha kwanza hii kazi ya Mungu uwa inanisukuma sana juu naweza kaa chini Ivo wimbo ikuje kwa akili na niiandike kwa sasa NKO na nyimbo nimeandika naomba Mungu anisaidie nipate pesa ya studio juu ctaki nikose kufanya kazi ambayo Mungu amenipa nimfanyie.na ya mwisho nipate nyota ya ndoa.

  • @FelixAlbert-hs7ls
    @FelixAlbert-hs7ls 7 місяців тому +1

    Shallom Kila ndoto mbaya naitekeza kwa DAMU ya YESU KRISTO.Amina

  • @josephmeleki3984
    @josephmeleki3984 7 місяців тому +1

    Je kama umeota ukienda msituni kujisaidia maana yake nini???

  • @bettyauma8859
    @bettyauma8859 10 днів тому

    Na ukiota nyoka ya black imeingia kwa nyumba ikajaribu kunirukia nikarudisha

  • @scollarsticahkariuki3877
    @scollarsticahkariuki3877 13 днів тому

    Niliota Na mtoto wangu akijisaidia haja kubwa 😢 inamaanisha nn

  • @AshaAdriano
    @AshaAdriano 2 місяці тому

    Nataka hekima 2 natana nikuo kiimani 3 nataka nifunguliwe kiuchumi 4 nataka nipandishwe cheo 5 nataka watoto wangu wawe kichwa darasani sio mkia 6 nataka nipate kibari 7 nataka nikutanishwe na watu sahihi

  • @joycekazungu1259
    @joycekazungu1259 7 місяців тому

    Ombi la pili....mtoto wangu wa kwanza aliyenusurika kutolewa kafara na Babake tangu awe umri mwaka na nusu hadi sasa ana miaka kumi na miwili nikiomba na kumtafuta Mungu ...alimea meno yasiyo ya kawaida kama ya dracula....naomba yayeyuke na kung'oka awe mrembo wa Yesu

  • @mareh18
    @mareh18 7 місяців тому

    😮😢😢😢

  • @joycekazungu1259
    @joycekazungu1259 7 місяців тому

    Ombi la tatu.....kazini nafanya kwa bidii kazi yangu inatambulika na kuonekana na Wakubwa na wenye kampuni....kwa orodha ya wasimamizi wa department yetu mimi nilipewa cheo namba tatu lakini mshahara ni sawa na wale wengine ninaoambiwa ni wasimamie....Mungu akibariki kilemba hicho niwe na mshahara unaoambatana nacho

  • @LeonardGeorge-pw8eo
    @LeonardGeorge-pw8eo 3 місяці тому +1

    Amen!! 1.Napokea baraka za kuinuliwe zaidi kiuchumi na kiroho mtakatifu
    2.Napokea baraka na neema ndani ya familia yangu na uzao mwema kutoka kwa Bwana Yesu kritu
    3.Napokea baraka ya safari Yangu na familia yangu ya kwenda Marekani mwaka huu katika jina la Yesu kristu Amen!!!
    Napokea baraka hizo kutoka kwa Jina la Baba ,Mwana na Roho Mtakatifu Amen!!