MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
    Haya ni maombi maalum kwa mtu ambaye amepoteza nguvu ya kuomba, haya ni maombi maalum kwa mtu aliyepoteza kiu ya kuomba. Baada ya kuomba maombi haya utapokea nguvu mpya atakayokupeleka viwango vingine vya maombi.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    UA-cam Link:
    / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 248

  • @AyishaAyisha-k9r
    @AyishaAyisha-k9r Місяць тому +5

    Emungu naomba uniondoleye vitu vibaya kwenye moyo wangu wakati wamaombi amen🙏

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 Місяць тому +4

    Bwana huwapa Nguvu wa zimiayo bwana yesu naomba Nguvu Mpya bwaba yesu nipatie Nguvu Mpya bwana achilia Nguvu nguvu Mpya kwenye maisha yangu nasimamia na msitar wa wa ISAYA 40. 29 ebwana huwapa Nguvu wale wazimiayo bwna naomba Nipe mtu sahihi Nipe baba Mume sahihi kwenye maisha yanguuu🙏🏼🙏🏼

  • @NeemaSimonmwanibulaMwanibulane
    @NeemaSimonmwanibulaMwanibulane Місяць тому +5

    Bwana Yesu naomba uniondoleee mawazo mabaya wakat wa maombi

  • @flavianajohn4930
    @flavianajohn4930 2 місяці тому +4

    Ee Mungu niondoshee mawazo na unipe nguvu wakati wa kuomba na kusoma neno lako. Amina.

  • @mariammwanje3618
    @mariammwanje3618 29 днів тому

    Napokea nguvu za maombi, kusoma neno la Mungu katika Jina la Yesu. Mwana Yesu achilia bubugiko ndani yangu kwa jina la Yesu Kristo. AMEN.

  • @VeronicaHiari
    @VeronicaHiari 29 днів тому +1

    Mungu naomba unipe nguvu ya kuomba,kusoma neno lako, kufunga na kuomba

  • @gladnesskimati
    @gladnesskimati 5 місяців тому +15

    Wakati sahihi kabisa kuona maombi haya, Mungu anasema, tumsikilizeni yeye. Mtumishi Ahsante 🙏🏾

  • @RuthAllan-sd5dy
    @RuthAllan-sd5dy Місяць тому +1

    Amen ubarikiwe na Mimi nimebarikiww na nimebadilika nimekua na hamu ya kusali Kuanzia sasa

  • @NeemaKamasho
    @NeemaKamasho 7 днів тому +1

    Na mimi naomba bwanaa Yesu niwe na kiu na wewe niweze kuomba bila kuchoka

  • @Yunis-t5x
    @Yunis-t5x 27 днів тому +1

    Amen bwana nipee nguvu mpya

  • @CarrolyneInyangala
    @CarrolyneInyangala 3 місяці тому +10

    Nilikosa nguvu za kuomba wakati mume wangu alinifukiza na kuninyanganya kila kitu Hadi watoto, mniombee mungu anipee nguvu mpya ya kuomba ili nidai ndoa yangu kwa maombi

  • @neemamabula
    @neemamabula День тому

    Ee yesu niokoe na vita iliyo juu yangu Amen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @shanti-hd7zy
    @shanti-hd7zy Місяць тому

    Niko na shida Mungu anipe Power 🇩🇪

  • @alicksango9878
    @alicksango9878 4 місяці тому +2

    Asante Bwana Yesu kwakunijaza katika nguvu zamambi ndani yangu Mungu akubariki Mutumishi wa Mungu nimebarikia na nimepokea🔥🔥

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 22 дні тому

    Amen naomba nguvu mpya nguvu mpya in jesus name🙌

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 місяці тому +4

    Mungu naomba nipe nguvu ya moyo mpya, juu yangu ya kuomba kupita kawaida

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 5 місяців тому +2

    Mungu niongesee nguvu za kuomba nakusoma neno la lako katika jina la Yesu kristo

  • @RhodaBajuta
    @RhodaBajuta Місяць тому

    Mungu.nisaidie nirudishie nguvu ya maombi ndani yangu

  • @FredyMakoye
    @FredyMakoye Місяць тому

    Mungu niongezeee nguvu na mm katika imani

  • @gracejaphet9985
    @gracejaphet9985 5 місяців тому +3

    Bwana YESU KRISTO naomba unitakase Kwa Jicho lako la huruma

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 2 місяці тому +1

    Mungu wa rehema nitazame kwa jicho lako la huruma. Bwana nikumbuke

  • @Lawrencemtabazi-f1w
    @Lawrencemtabazi-f1w 10 днів тому

    Ameen mtumishi Mungu akubariki kwa maombi

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 Місяць тому +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏 and Mungu naomba unipe nguvu ya kuomba na kusoma neno lako bila kuchoka 😢 katika Jina la Yesu kristo aliye juu mbinguni Amen 🙏

  • @Levina-ex8bk
    @Levina-ex8bk 2 місяці тому +2

    Napokea nguvu ya maombi ndan yangu kwa jina la yesu

  • @whitneyMolel
    @whitneyMolel Місяць тому

    Mungu niongezee nguvu mpya kuomba

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Mungu akubariki nawemutumishi wamungu

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Naomba mungu anitoshe uzaifu ndani ya moyo wangu

  • @ConsolataAchieng-du5fd
    @ConsolataAchieng-du5fd Місяць тому

    Aleluya, Aleluya, yesunibwana

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 2 місяці тому +1

    Asante Mungu kwa kunipa Nguvu mpya ya kuomba 🙏🙏 Glory be to God 🙏🙏

  • @LamekiEmanuel
    @LamekiEmanuel 19 днів тому

    Napokea nguvu mpya katika jina la yesu Kristi

  • @MaryannNdila
    @MaryannNdila 23 дні тому

    Bwana yesu naomba niwe na kiuuu ya kuomba

  • @MiriamDaniel-b4s
    @MiriamDaniel-b4s Місяць тому

    Mungu naomba niongezee nguvu ya kuomba

  • @sarahmsita7078
    @sarahmsita7078 5 місяців тому +2

    Amen! Neema niyoipata hapa iendelee kuwa na uwepo ndani mwangu.

  • @TediSadoki
    @TediSadoki 28 днів тому

    Amina nimejiambatanisha nimeuona munguso wa mungu

  • @roselubambo6128
    @roselubambo6128 Місяць тому

    Asante sana Mtumishi wa Mungu
    Mungu akubariki sana 🙏

  • @LUCYNTHENYA-ss8be
    @LUCYNTHENYA-ss8be 2 місяці тому +1

    Mungu naomba uniongezee nguvu mpya ya kuomba,kusoma na kushinda majaribu

    • @EtienneMUSAVI
      @EtienneMUSAVI Місяць тому

      Amen Mungu wetu anatupatiya nguvu

  • @janethkashumba1586
    @janethkashumba1586 17 днів тому

    Bwana yesu naomba nguvu mpyawakati wamaombi

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 5 місяців тому +2

    Amen. Powerful prayers 🔥🔥🔥

  • @hffh7717
    @hffh7717 2 місяці тому +1

    Mungu nipe nguvu mpya moyoni nimesinia Amen Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Naomba mungu patient mume wangu nguvu mupyandani yke

  • @imaculatemhagama3277
    @imaculatemhagama3277 Місяць тому +1

    I receive

  • @MamaEdgar
    @MamaEdgar 5 місяців тому +1

    Ameen! Napokea kwa jina la Yesu Kristo Ee BWANA YESU nisaidie 🙏

  • @MariyaMass
    @MariyaMass Місяць тому

    Period yangu ilikua ajatoka miezi miwili ila jana usiku nienda kujisaidia nikaiona namshukuru mungu wa arise and shine

  • @IRIKAELNNKO
    @IRIKAELNNKO 2 місяці тому

    Amen napokea nguvu mpya ya kuomba nakusoma neno la Mungu ubarikiwe mtumishi nmepata kitu kpya🤗❤

    ❤❤❤😂😂
    Mungu
    No

  • @MagrethMasimba
    @MagrethMasimba Місяць тому +1

    Ahsante mtumishi kwa maombi haya kwangu yamekuja kwa wakati muafaka Mungu akubariki sana

  • @roseaidan-yo3rr
    @roseaidan-yo3rr 5 місяців тому

    MUNGU niongezee Nguvu za kueza kuomba, Nguvu yakusoma nenolako, Nguvu yakuweza kufunga Nguvu yakuweza kuyafana mapenziyako.amen

  • @rabeccawakoli7250
    @rabeccawakoli7250 Місяць тому +1

    Asante mtumish wa Mungu kwa haya maombi yamenifungua Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @IRIKAELNNKO
    @IRIKAELNNKO 2 місяці тому

    Amen 🙏 nimepokea nguvu yakuomba na kusoma neno la MUNGU mtumishi uongezwe miaka mingi hapa duniani ubarikiwe sana mtumishi

  • @SelinaSulle
    @SelinaSulle Місяць тому

    Aminaaaaaa mtumishi wa munguakibariki kwa sala ya kutubu maana toba iimetufungua tumekuwa huru tuna nguvu ya roho wa mungu ina kuwa juu ya kila alie amini yesu kuwa mokozi wa maisha ya wanadamu mungu akubariki sanaaaaa Amina.

  • @aminarajabu5795
    @aminarajabu5795 Місяць тому +1

    Ameen

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Munguakubarinawemutumishiwamungu

  • @MarianaMajenga-uu2wj
    @MarianaMajenga-uu2wj Місяць тому

    Asante sana mtumishi wa Bwana kwa somo hili,Mungu akubariki ,hakika mie nilikuwa nimeximia moyo na kukata tamaa.kwa jina la Yesu nimerejeshewa nguvu ya maombi

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 3 місяці тому

    Mungu niwezeshe nipate nguvu yaa maombi ni si Ombersley kawaida kwa jina la yesu amen 🙏

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface Місяць тому

    Ahsante sana mtumishi kwa kunizindua , Roho mtakatifu amenielekeza kukutana na wewe leo, barikiwa sana.

  • @SadaJeremia
    @SadaJeremia 28 днів тому

    Amina nimebarikiwa

  • @اال-خ2ت
    @اال-خ2ت 5 місяців тому

    Amen. Nasikuzamombi nikiwa saudia Asate sana mtumi shi wamungu. Kwa maombi y'ako mm ni mukenya. Ann. lngabi. Amen 🙏🙏🙏🇰🇪

  • @oman5875
    @oman5875 3 місяці тому

    Asante Mungu kwa kunipa nguvu ndani yangu ya kuweza kuomba muda na wakati kama huu Amina🙏🏿

  • @FredyMakoye
    @FredyMakoye Місяць тому

    Mungu nisaidie

  • @upendoelia-b7x
    @upendoelia-b7x Місяць тому

    Mungu baba nakuomba ukapigane na maadui zangu uwalinde watoto wangu nibariki nipate mtoto wa kiume

  • @bettymariga
    @bettymariga 27 днів тому

    Bwana yesu unipe nguvu mpa kwa huu wakati moyo.wangu umezimia bwana yesu naomba uniongezee nguvu bwana yesu ni nko hapa mwanao nipe nguvu mpya yq kuomba asnte bwanq yesu kwa maana hautaniacha

  • @TemiyaMukinga
    @TemiyaMukinga 2 місяці тому

    Amen Mungu anikumbuke😢😢

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Naomba mungu akombane namaduizangu

  • @PriscaKihiyo
    @PriscaKihiyo 5 місяців тому

    Ameeen MUNGU ni kumbuke na mimi uniongezeee nguvu ni kujue zaidi na kuomba zaidi na kusoma neno zaidi MUNGU akubariki sanaa mtumishi wa MUNGU

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja 2 місяці тому

    Mungu naomba unipe nguvu ya kuomba juu ya watoto wangu ameen

  • @SelinaMpwepwa-hv7bu
    @SelinaMpwepwa-hv7bu Місяць тому

    Amina ubarikiwe

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n Місяць тому

    Ameen barikiwa baba

  • @MonicahManegene
    @MonicahManegene 5 місяців тому +2

    Mungu nipe guvu mpya,imagine kila wakati na zoea kuomba,,doa inaaza kutigika...kama Sasa atuna amani,,,NAMI nakoza guvu ya maombi,,,,,niombeee am monicah

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  5 місяців тому

      Tutakuombea dada Monica. Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo

    • @rolandrekwel6088
      @rolandrekwel6088 4 місяці тому

      Mungu wangu na akubariki sana.Nimepokea nguvu ya maombi na kusoma neno 🙏

    • @shakiranyoni
      @shakiranyoni 2 місяці тому

      Zidi kuomba zaid zaid hapo ujue kuna vita na adui anakurudisha nyuma ili usiombe,ss ww kazna kuomba zaid itafika wakti adui atashindwa na amani ya ndoa yko itarudi

  • @BarekeTumaini
    @BarekeTumaini 2 місяці тому

    Mungu anipe nguvu Mimi nafamilia yangu kuombea itaji yetu yasafari

  • @WinnyMmbaga
    @WinnyMmbaga Місяць тому

    Mungu baba warehema ulinde familiyanguukinge nanguvu zagiza hazina malaka utulinde mú

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 Місяць тому

    Amina❤

  • @margaretwambui2306
    @margaretwambui2306 Місяць тому

    Mungu naomba unipe nguvuya maomb katika jina la yesu

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja 2 місяці тому

    Bwana Yesu naomba nguvu ya kuomba juu ya bint yangu anapitia changamoto ya kiafya

  • @calisterpeter8159
    @calisterpeter8159 Місяць тому

    Bwana Yesu naomba unirejeshee nguvu za kuomba kuona mono yangu kama ulivyoniumba

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 4 місяці тому

    Nijo dhaifu bwana yesu nipee nguvu mpya Sasa hivi 🙏🙏🙏

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 місяці тому

    Mungu asante naomba unipe mtu sahihi wa kz dukan kwangu.

  • @veronicamwalongo5457
    @veronicamwalongo5457 Місяць тому +2

    Naomba unipe nguvu mpya ya kuomba Yesu

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 3 місяці тому

    Amen mungu niwezeshe nipate nguvu mpya ya kufunga na kuomba

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 2 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu Amina 🤲🙏

  • @FloraMahellah
    @FloraMahellah 2 місяці тому

    Mtumishi mungu akubariki

  • @neatnessmwanga8653
    @neatnessmwanga8653 3 місяці тому

    Asante migu wangu

  • @RahelLwanzali
    @RahelLwanzali 4 місяці тому +1

    ❤❤ameeeeen napokea nguvu mpya yakuomba

  • @AggiesVine
    @AggiesVine 4 місяці тому

    Napokea Nguvu mpya Bwana yesu. Asante

  • @neemajoseph-nm1cz
    @neemajoseph-nm1cz 5 місяців тому +1

    Amina baba kwajin la yes napokea

  • @pendoanitha443
    @pendoanitha443 4 місяці тому

    Ubalikiwe sana

  • @cyprianjuliani5169
    @cyprianjuliani5169 5 місяців тому +1

    AMINA SANA SANA MTUMISHI
    NABARIKIWA SANA SANA NA MAOMBI NA NENO AMBALO BABA ANAACHILIA KUPITIA KINYWA CHAKO

  • @DativaDaud
    @DativaDaud Місяць тому +1

    Amen

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 місяці тому

    Mungu naomba roho yakuomba juu ya watoto wangu.

  • @WitnecCharles
    @WitnecCharles 5 місяців тому

    Mungu nipatie nguvu ya kuweza kuomba 🙏🏼

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 5 місяців тому +1

    Amen Amen Mungu ni mwaminifu.

  • @everlyneimali
    @everlyneimali Місяць тому

    Amina

  • @machaglory1937
    @machaglory1937 5 місяців тому +1

    Napokea nguvu mpya katika jina la Yesu

  • @christinasimtowe
    @christinasimtowe 3 місяці тому

    Asante mungu kuniludishia nguvu ya kumba

  • @HyasintaGowele
    @HyasintaGowele 2 місяці тому

    Amen napokea nguvu mpya ya kuomba

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja 2 місяці тому

    Mungu naomba niumbie moyo safi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 місяців тому

    Mungu naomba unipe nguvu za kuomba nimepoteza Eee mungu nisaidie

  • @titialphonsine3404
    @titialphonsine3404 2 місяці тому

    Ubarikiwe

  • @Richard-s6g
    @Richard-s6g Місяць тому

    Mungu niongezee nguvu yakuomba

  • @annamwaipopo9485
    @annamwaipopo9485 5 місяців тому

    Amen, ❤❤❤❤❤

  • @julietrehema9845
    @julietrehema9845 Місяць тому

    Amen Amen Amen

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi 2 місяці тому

    Naami amen