Mungu asante kwa kutuamsha salama asubuhi ya leo naomba uwe nasi kuanzia sasa mpaka jioni tulejeapo nyumban utukufu wa jina lako ukatawale kwetu ongoza hatua zetu tutembee nawe roho mtakatifu atuongoze kutenda yaliyo mema machoni pako ee Mungu tusaidie amin
Ahsante mungu umenitoa mbali ktk uhai wangu mafanikio kuniepusha na balaa na mikosi roho za maradhi ya aina yote umeniepusha nayo nguvu za giza umeniepusha nazo kila niendapo upo na umeniepusha na wabaya mungu walijaribu wakashindwa kwa jina lako mungu ulinzi uliyonipa mungu naomba nguvu zako ndio mwanga na mafanikio ktk maisha yng amen👏👏💚💛
Assante bwana Kwa siku hii,naombauibalike família yangu yote nashukuru kutuepusha Kwa Atari zote za usiku,naomba njia zetu zote zauchume naupato Zi zidi kufungaka,utupe Nema ya beashara na kila Baraka. Amem
Barikiwa Sana mtu wa MUNGU. Nabarikuwa sana kwa jili ya maombi. Haya. Kweli MUNGU wa mbinguni Akubariki Sana wewe na familia yako. Umenivusha mahali sana.
Baba katika jina la yesu ukapate kunirinda mimi na familia yangu dhidi ya maudi wabaya,siku ya leo ikawe njema na yenye kutupendeza,Baba katika jina la yesu kailinde biashara yangu, nianzapo nianze na mungu nimalize na mungu ,,,, Amen
Damu ya Yesu iliyomwagika Msalabani Inene Mema juu Yangu na Familia Yangu, Ameen and Ameen 🙏🙏 thank you Jesus thank you God for Everything Hallelujah 🙏🙏🙏
Asante Mungu kea kuniamsha salama na kun if any niione Sikh nyingine na yenye baraka naomba unilinde na damu yako ikanifunike na kuniepusha na roho MBA ya sitoogopa kwa ma a na yao maana Bwana uko pamoja na Mimi na utaniokoa na hao wa mabaya Naomba uniongoze siku ya leo 🙏🙏🙏
Amen mungu apewe sifa namshukuru kwa kila jambo,na kunilinda mpka usubui ya leo ni kwa neema amen
🎉Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Amen 🙏
Mungu asante kwa kutuamsha salama asubuhi ya leo naomba uwe nasi kuanzia sasa mpaka jioni tulejeapo nyumban utukufu wa jina lako ukatawale kwetu ongoza hatua zetu tutembee nawe roho mtakatifu atuongoze kutenda yaliyo mema machoni pako ee Mungu tusaidie amin
Ahsante mungu umenitoa mbali ktk uhai wangu mafanikio kuniepusha na balaa na mikosi roho za maradhi ya aina yote umeniepusha nayo nguvu za giza umeniepusha nazo kila niendapo upo na umeniepusha na wabaya mungu walijaribu wakashindwa kwa jina lako mungu ulinzi uliyonipa mungu naomba nguvu zako ndio mwanga na mafanikio ktk maisha yng amen👏👏💚💛
Bwana Yesu Asifiwe Mpendwa! Ukiwa unaandika Jina La MUNGU andika kwa herufi kubwa.❤
Ongoza hatua zetu..Mimi na Familia yangu..Pia Watanzania wote.....Damu ya YESU I we nami Mimi niwajuuu.Nifanye wajuuu zaid Amen
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa maombi haya kila siku asubuhi napata nguvu na kutembea kwa ujasiri kwa kuongozwa na bwana wa mbiguni. Amen
Asante mungu kwa kuniamsha salama siku hii ya leo,sifa na utukufu nakurudishia wewe,maana bila wewe Mimi siwezi peke yangu🙏
Amen Damu Ya yesu ikanene mema katik siku yangu ya leo🙏🙏🙏🤲
Damu ya YESU ikanene mema juu yangu na juu ya watoto Aminaaaa
Asante Sana Bwana Yesu
Kwa maombi ya asb.Mungu Akubariki Mtumishi wa Mungu.❤🎉🎉🎉🎉
Asante Sana Bwana Yesu
Kunilinda Mimi
na familia yangu usiku.❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Sana Bwana Yesu Mungu Kwa kutulinda usiku na
kutuamsha salama asubuhi
ya Leo.❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu aniponye vidonda vya Tumbo na kichwa kuuma katika jina la yesu Amen 🙏
Assante bwana Kwa siku hii,naombauibalike família yangu yote nashukuru kutuepusha Kwa Atari zote za usiku,naomba njia zetu zote zauchume naupato Zi zidi kufungaka,utupe Nema ya beashara na kila Baraka.
Amem
Mungu akubariki sanaaaa kwa maombi yako ninafanikiwa kwa kila sala ya asubuhi unaponisalisha ahsante pasta
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Maombi ya usiku kabla ya kulala yanapatikana kupitia link hii;
ua-cam.com/video/8NSQxaKeB2A/v-deo.html
Mung u azidi kukupa nguvu na miugiza katika kuwaombea watu kwa jina LA yesu Ameen
AMEN 👏
Amina
Amen
Somo leo kanisani kwetu yelemia 20/11 Neno kuu Tusiogope asante sana mungu wangu kwakuwa unaweza yote amen
Amen. Damu ya yesu inene mema juu yangu na Familia yangu. Amen and amen.
Ameen Mungu naomba unibariki na kunishindia ktk yote siku ya leo
Asante mungu kwa kuniamusha salama nakabize maisha yangu kwako na familia yangu iwe mkononi mwako amen
Amen Mungu akubariki sana 🙏
Mungunimwemakila wakati❤.
Amen Asante sana mtumishi kwa maombi ya asubui ya Leo🙏
Amina, Asante Bwana Yesu kwa kuwa pamoja na mimi siku hii ya leo, ❤
Asante natanguliza damu ya Yesu Kila sehemu,
Ameen , asanteee kwa kutuongoza Maombi yenye nguvu, Mungu akubariki Mtumishi wake
Asante Mungu kwa kuniamsha salama, damu ya Yesu ikatende miujiza
Asante Yesu kwa kunilinda na pepo wanaotawala usiku wa giza. Amen
Barikiwa Sana mtu wa MUNGU. Nabarikuwa sana kwa jili ya maombi. Haya. Kweli MUNGU wa mbinguni Akubariki Sana wewe na familia yako. Umenivusha mahali sana.
asante yesu asante pastor kwa maombi ya asibui ni ya kubariki muno,amen
Amen Amen Asante kwa maombi nashukuru asubui njema kwetu sote
Ameeeen . Tunashukuru Mungu kwa kutuonesha siku mpya ya leo. Asante Yesukristu.
Aminaa damuya yesu inene mema juyangu nafamilia yangu
Asante YESU KRISTU kwa kuwa nime ona Siku mupya ya Leo🙏
Unikinge ili maadui wangu wasi nione unifinike na damu yako🙏 Amen 🙏🙏🙏
Ameen barikiwa Sana Mungu wa mbinguni akutunze ktk Mtumishi wako Na Damu ya Yesu ikufunike ktkJina la Yesu Kristo Aliye hai ameen barikiwa Sana 🙏🙏
Amen Asante yesu kwa niamusha Salama siku iii ya Leo naomba uzidi Kuni linde kila mahali ni endapo.niwe pamoja na wewe
Ameen Damu ya.Yesu inene mema juu.yangu.silu ya leo
Amen Mungu hatanyamaza kwa maombi unayotuongoza asb.❤
Amen mtumishi wa Mungu Baba Roho wa Mungu akawe Nuru katika siku hii ya Leo Amen
Mungu Yuko upande wangu,sitaogopa,nimeshinda!
Asante yesu kwa kunirinda usiku huu kwa dam ya yesu navunja vunja nguvu zote za. Shetan zilizo mbele yangu kwa dam ya yesu amina
Baba katika jina la yesu ukapate kunirinda mimi na familia yangu dhidi ya maudi wabaya,siku ya leo ikawe njema na yenye kutupendeza,Baba katika jina la yesu kailinde biashara yangu, nianzapo nianze na mungu nimalize na mungu ,,,, Amen
Amen ame asante YESU kwa zawadi ya uhai...siku yangu imebarikiwa
Amina asante mungu kwayote sinacanzianda baba yang bira kusema asante Jéhovah kwakupenda mtukamamimi😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏amina
Ameen Nakushukuru Mungu kwa kuniamsha salama roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake
Amen 🙏. thanks mtumishi for such powerful prayer
Asante Mungu Kwa kunipa neema ya kuoona siku nyingine nashukuru Mungu wangu endelea kunibariki Kila siku ameen
Asante mtumishi kwa maombi ya asubuhi hakika ubarikiwe
Amen katika jina la Yesu Kristo na Damu ya mwanakondoo wa Mungu alliye hai. Amen Amen Amen
Amen asante yesu neema ya bwana inene mema juu ya maisha yetu na familia yangu kila minyololo ndoto Mbaya zianguke Kwa jina la yesu
Asante mungu kwa kuniamsha salama endelea kunilinda siku ya leo nakunipa ushindi katika siku ya leo🙏🙏🙏🙏
Damu ya yesu ikaneene mema Kwajiri yangu AMEN
Amen asante mungu kwakila jamba nakuomba ebwana usiwe mbali nami🙏🙏🙏🙏 amina🤲🤲❤❤
Amen mimi najamii yangu ŵeare covered by the blood of JESUSCHRIST
Amen Amen Amen!!!!😢
Asante Kwa maombi ya Leo.
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Amen..Asante Yesu naimani Uko pamoja nami siku hii ya leo🙏🙏🙏
Damu ya Yesu iliyomwagika Msalabani Inene Mema juu Yangu na Familia Yangu, Ameen and Ameen 🙏🙏 thank you Jesus thank you God for Everything Hallelujah 🙏🙏🙏
Amen baba yangu kwa kuniamusha Salama Na kunirinda usiku wote muzima sifa Na utukufu bikuridiriye milele Na mirere
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu sku ya leo
Ubarikiwe mtumishi Kwa kuniongoza Kwa maombi ya alfajiri MWENYEZI MUNGU akuzidishe sanaaa
Ameeen Mimi ni mahindi na zaidi ya kushinda Namshukuru Mungu Kwa maombi haya. Nimeyapata Kwa wakati muafaka
Asante Mungu kea kuniamsha salama na kun if any niione Sikh nyingine na yenye baraka naomba unilinde na damu yako ikanifunike na kuniepusha na roho MBA ya sitoogopa kwa ma a na yao maana Bwana uko pamoja na Mimi na utaniokoa na hao wa mabaya Naomba uniongoze siku ya leo 🙏🙏🙏
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Ameen Mungunnakuomba uniliñde na kunitetea gsiku ya leo Roho Mtakatifu naomva uniongoze popote nitakakuwa leo
Ameen Mungu nakuomba unisimamie siku ya leo unipe Roho Mtakatifu ani ani. ongoze
Mungu asante kwa kunilinda kwenye kila nitakapo ingia na kutoka kwa damu ya yesu
Barikiwa sana mtu wa nguvu za Mungu uwe amani Bwana akulinde na kukutetea
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo Mungu wangu unilinde popote nitakapokuwa siku ya leo mimi na familia yangu
Ameen asante sana mtumish inifunike dam ya yesu mpka na watoto wangu
Asante mungu Kwa maombi ya asubuh mungu naomba ufungue milango yangu ya mafanikio .Asante mtumish
Ameen Asante kwa Sala mzuri ya asubuhi damu ya Yesu itufunike Mimi na familia yangu ameen❤❤❤❤
Asante Kwa Damu yako Yesu inilinde
na kunipigania!!!!!!!.
Amen Amen 🎉🎉🎉🎉
Damu ya Yesu ina nguvu ya kuvunja kila madhabahu ilioko mbele yetu katika jina la mwanao Yesu Kristu Amen.
Amina. Sisi tuwashindi kea jina la Yesu. Angaza njia zangu na uniongoze. Kutana na mahitaji yangu
Amen nimepokea Kwa Jina la Yesu Kristu
Asante baba naomba unisimamie kwakila jambo langu asubuhi yaleo siku yaleo nyota yang ikangaee
Asante Mungu umenipa kuioma siku yaleo tena ninakila sababu yakusema asante
Ee Mungu nakukabidhi maisha yangu na afya yangu na ya mtoto wangu na biashara yangu na masomo ya mtt wangu
Asante kwa maombi ya asubuhi yaniweka vyema siku nzima 🙏🙏🙏
Amina damu ya YESU inanitetelea daima.
Ameen Mungu nakuomba Roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake
Ameen Mungu anisaidie Roho Mtakakatifu aniongoze siku ya leo
Amen ameni kwa moto ulao unene mema juu yangu katika kila mila fedha juu yangu
Ameen Asante Mungu kwa kuniansha salama Roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake
Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo na Damu ya Yesu inene mema juu yangu nafamilia yangu siku ya leo
Asante Mungu nakushukur nimeweza kukuinua siku ya leo unilinde sitaogopa kwa sababu nipo pamoja na wewre Uesu wangu
Ameen Mungu naomba unitangulie siku ya leo iwe nzuri
Asante Yesu lwa nimeona siku ya leo kwa maombi ubarikiwe Mtumishi
Baba katika jina la yesu naomba damu ya yesu mipango yangu ikafanikiwe,unilinde siku ya Lea🙏🙏
Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo RohoMtakatifu naomba unilinde krwa nguvu zako
Mungu wangu na baba yangu nakushukuru kila iitwayo leo
Amen asante yesu kwa kuniamsha salama mimi na familia yangu siku hii ikawe siku ya leo ikawe siku ya balaka ktk familia yangu
Amen mtumishi ubalikiwe kwa maombi ya asubuh
Damu ya yesu christu inifinike mimi na jamaa langu lote nimebarikiwa sana kwa maombi
Ameen Mungu nakuomba unitangulie ktk njia zangu siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu popote nitakapokuwa leo mimi na familia yangu
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu. Mungu akubariki kwa maombi yako mazuri
Asante mungu kwakunihamusha Salama mimi nawatoto Wangu pamoja na baba yaho amen 🙏🏽 amen 🙏🏽 🎉
Ameen Mungu anishindie yote siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu
Amen, agenda iliyo mbaya kwa siku ya leo kwangu naifuta kwa jina la Yesu
Bwana Yesu Akubariki Mtumishi Kwa maombi haya maziri.
Ameneeeee!!
Asante mungu kwa siku hii ya Leo. Asante naomba unifungulie njiya yangu na niepushie Kwa manaya yote
Amen naaamini nimepona kwa damu ya yesu kristo
Asante yesu Kwa kuniamsha salama nikiwa mwenyew nguvu na afya amina
Ameen Naomba Roho Mtakatifu unifunike kwa nguvu zako siku ya leo mimi na familia tazama Munguwangu mwanangu anakwenda kuingia mtihani ukamsmamie