TAFSIRI ZA NDOTO ZA NDIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @Maryamjuma-s8w
    @Maryamjuma-s8w 18 днів тому +1

    Amiin thumaa amiin sheikh wtu

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق Рік тому +5

    Amin yaraab nimeota leo nakula ndizi ya kuiva Masha Allah

  • @ZeynaTamim
    @ZeynaTamim 8 місяців тому +1

    Allah akuzidishie inshaAllah

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 6 місяців тому +2

    Mie nimeona nyumban zimeotaa midizi ndizi zake nyingi ila azijaiva mpaka nikasema mashaallah

  • @EMMAHMOKAYA
    @EMMAHMOKAYA 2 місяці тому +1

    Amen

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 12 днів тому +1

    Mimi mmeota nakula ndizi iliyopikwa kwa nazi nanikaongeza

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln Рік тому +3

    Mashaallah Allah akulipe kheri sheikh

  • @ZulfatRamadhani
    @ZulfatRamadhani 3 місяці тому

    Shekhe samahani mim nimeota tumekata mikungu na wenzangu wa kike na wakiume nawajua.tukapeleka shule.sikujua tulikabidhi nani.swali wanasem ukiota mambo ya shule maisha yako yanarudi chini.

  • @martinsimiyu3378
    @martinsimiyu3378 10 місяців тому +1

    Nimeota ndizi zilizoiva zimenenepa mkungu mpaka wateremka juu umezaa sana,alafu chini yake kuna ngombe,mbuzi walononaa yani wanaafya mzuri

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому +1

    Allahu Akbar

  • @salamajuma1513
    @salamajuma1513 Місяць тому

    Mm nimeota nimeshika ndizi ya mkono wa tembe mbivu nawakatia na wengine na wao hapo vip shkhe

  • @miriamhassan6566
    @miriamhassan6566 Місяць тому +1

    nimeota nachangua ndizi kwa muuzaji kisha katika kuichagua ile ndizi nikachukua ndiz moja kubwa na mbivu baadae nakaiyona ile ndizi haiko moja kumbe ziko pacha yaan zimeungana

  • @LauraOmbwayo
    @LauraOmbwayo Рік тому

    Asante Aminaaa

  • @farhanialfarsi1983
    @farhanialfarsi1983 Рік тому +1

    Asante nini maana ya kuona mabarafu yame tapakaa kila pahali NA maatae moja limejivaa kichwani NA kuliondoa nni maanayake

  • @suma643
    @suma643 3 місяці тому +1

    Asallaam alehkum...nimeota nyumbani kumeuota mkungu wa ndizi umezaa ndizi mbichi zimekomaa nikazikata nikawa nimeziweka karibu yangu sijajua inamaana gani hadi sasa

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 місяці тому +1

      Wa alaykumu ssalaamu ndoto binafsi tunatafsiri kwa sadaka

  • @FunnyRedRose-yf1sl
    @FunnyRedRose-yf1sl 9 місяців тому +1

    Sheikh mm nimeot niletw mkung wandz ambz ni mbich lkn nikaw nimechuw moj ikiw. Imeiva upnd moj nikaw nimekul upnd mmja ambao umeiva lkn ulee upnd mbich sijaul maan yk ninini??

  • @FattywaIssaNazli
    @FattywaIssaNazli 10 днів тому

    Nimeota naokota ndizi za jano nyingi sana barabarani kishi nikwa naziwe kwenye kikapo

  • @bahatilove7700
    @bahatilove7700 Рік тому +1

    Shekh asalam walkum mm nimeota nimenunua ndiz tatu ndufu nzur zimeiva alaf nikaziweka ktk sahan alaf nikashuka bonden kdg ndz nikaweka juu wakaja mbuzi weng weupe mmoja akawa anataka kura ile ndiz nikawa nawafukuza namm kule bonden nikawa siwez kupanda juu kuzifata zile ndz tn

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 місяці тому

      Wa alaykumu ssalamu ndoto binafsi nifate inbox na tunatafsiri kwa sadaka

  • @EverlynChisenga-o8d
    @EverlynChisenga-o8d 10 місяців тому +1

    Leo miota ndizi 7 kiwanja chanyumba mubichi

  • @lydiajosephine414
    @lydiajosephine414 5 місяців тому +1

    Nimeota tupo watu wengi tunachukuwa ndizi za kijani lakini mimi nilichukuwa ndizi nzuri nyingi ya kigani nikazibeba viganjani kwngu

  • @WardatyOmary
    @WardatyOmary Місяць тому +1

    nimeota napewa ndzi na mpenzi wang

  • @ZainabOmary-n1d
    @ZainabOmary-n1d Місяць тому

    Me nimjamzito ety nimeot ndizi zinadondka nying zakuiva nikaanza kuota nakula maan yake nini kwamjmzito

  • @EverlynChisenga-o8d
    @EverlynChisenga-o8d 10 місяців тому +1

    Tena nulokota maembe chino minanza kugawanya watu yakwizya inamanisha Nini?

  • @EsterYusuf-c4g
    @EsterYusuf-c4g 22 дні тому

    Nimeota nakula ndizi

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤mimi nimeota tunapika ndizi mbichi

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale Рік тому +1

    shukrani Shehk sasa shehk mwanaume kuota ndizi ya kijani nini maana yake

  • @alibadi6323
    @alibadi6323 Рік тому +1

    Mimi nimeota nimeona mkungu wa ndizi umeiva

  • @omarykasimu8649
    @omarykasimu8649 Рік тому +1

    Nimeota nimevuka mto nikatemnea kdg ñikakuta ndizi nyingi kweñye mgomba na nyingine zipo chini niniaana yake

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق Рік тому +1

    Shukraan sana

  • @FATHAMAH
    @FATHAMAH 2 місяці тому

    Bc mm nimeota madam wngu amebeba ndzi nyingi akizleta kwa room yngu kwasababu nko saudi ndo mana nmesema madam wngu lkn apa kwtu akna ata mdzi

  • @ummusalim5088
    @ummusalim5088 Місяць тому

    Nimeota migomba au mgomba

  • @tamimamtumwa-sw8xy
    @tamimamtumwa-sw8xy Рік тому +1

    Asalamu Alaykum shekh ,Mimi nimeota ndizi imeniganda kwenye nguo yangu nikapiga mbio kubwa kukimbia iniganduke ila chaajabu nilivofika mbele bado imeniganda naiganduwa haitaki kuganduka imeshikilia nguo yangu maana yake nini ndizi yakijani

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 місяці тому

      Wa alaykumu ssalaamu ndoto binafsi kama hiyo nifate whatssap na tunatafsiri kwa sadaka ndoto binafsi

  • @NassraAbdallha
    @NassraAbdallha Місяць тому

    Mm nimekula zakupika nanazi mbichi

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 Рік тому +2

    Assalam alaykum
    Kuota majani ya mgomba juu ya paa la nyumba yako ipi tafsiri yake?

  • @rehemasalim1440
    @rehemasalim1440 Рік тому +1

    A.a mm nmeota ndizi lkn nmezitupa nje

  • @NeemaMwinyi
    @NeemaMwinyi 6 місяців тому +1

    Je mwanamke akiota anakula ndiz ya njan maan yak nini?

  • @AllyAyousi
    @AllyAyousi 8 місяців тому +1

    Assalaamu alaykum
    Sheikh naomba kujua ndoto znazohusu Nazi

  • @ZainabOmary-n1d
    @ZainabOmary-n1d Місяць тому

    Mjamzito je akiotandizi yakuiva anakula maan yake nini

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 Рік тому +2

    Me nimeota namenya zile mbichi

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 9 місяців тому +1

    Nimeota leo namenya ndizi mbichi ili nipike

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 5 місяців тому +1

    Kuota ni nono

  • @maryamshineface4015
    @maryamshineface4015 Рік тому +1

    Ukiota ndiz ganda jeus au brown ilahujala zipo mbele yako

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy Рік тому +1

    Nandioto zakuumwa au kuchota maji kuvuka Bahar kuumwa unapelekwa spital unatalewa dawa kidolen au kupimwa wing wadamu

  • @damariswanza9195
    @damariswanza9195 Рік тому +1

    Aki nimeota nikiona nyoka mkupfwa kwa mlango,

  • @divinahkemunto9056
    @divinahkemunto9056 Рік тому +1

    Na ukiota unauza

  • @ZeynaTamim
    @ZeynaTamim 8 місяців тому +1

    Allah akuzidishie inshaAllah

  • @ZainabOmary-n1d
    @ZainabOmary-n1d Місяць тому

    Mjamzito je akiotandizi yakuiva anakula maan yake nini