- 4 884
- 3 270 522
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Tanzania
Приєднався 8 бер 2023
Official UA-cam Channel of Apostle Johaness John & Pastor Jesca Johaness
Subscribe for more Spiritual, Inspirational and Motivational Videos. THANK YOU FOR WATCHING!
MISINGI YA NENO LINALO SIMAMIA MADHABAHU YA
" SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY "
MATHAYO 2: 9-12
MATHAYO 5:16
ISAYA 60:1
HESABU 24:17
MITHALI 18:20-21
TUMA MAOMBI YAKO 12 KWENYE NAMBA HII +255768275795
MUNGU AKUBARIKI, AKUJIBU NA KUKUTENDEA HARAKA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI.
KWA ANAYETAKA KUUNGA MKONO HUDUMA NA INJILI YA BWANA IENEE DUNIANI KOTE
NAMBA ZA MATOLEO NA KUUNGA MKONO HUDUMA.
+255768275795
+255678475795
+255788385177
JINA: JOHANESS JOHN BANYANGA
Marko 10: 29-30.
" Atakaye jitoa Kwa AJILI ya INJILI, atapata mara mia hapa Kisha UZIMA WA MILELE. "
AKSANTE SANA
MUNGU AKUBARIKI NA KUKU ZIDISHA MARA MIA ZAIDI KWENYE MAISHA, KAZI, BIASHARA, HUDUMA, VYEO, UZAO NA NYOTA YAKO IKANGARE NA UKAPATE KIBALI
DUNIANI KOTE KIRAHISI SANA.
IN MIGHTY NAME OF JESUS
AMEN 🙏🙏🙏

HIZI NDO FAIDA 3 ZA KWENDA KANISANI AMBAZO WALOKOLE WENGI HAWAZIJUI
HIZI NDO FAIDA 3 ZA KWENDA KANISANI AMBAZO WALOKOLE WENGI HAWAZIJUI
Переглядів: 85
Відео
KAMA UNA KIU KUBWA YA KUTUMIWA NA MUNGU KIMATAIFA SIRI HIZI 8 ZITAKUSAIDIA HARAKA
Переглядів 852 години тому
KAMA UNA KIU KUBWA YA KUTUMIWA NA MUNGU KIMATAIFA SIRI HIZI 8 ZITAKUSAIDIA HARAKA
JITAHIDI KILA SIKU MARA 3×7 OMBA SALA HII BILA KUCHOKA NDO MUNGU UTAMWONA KIRAHISI
Переглядів 1414 години тому
JITAHIDI KILA SIKU MARA 3×7 OMBA SALA HII BILA KUCHOKA NDO MUNGU UTAMWONA KIRAHISI
UKIFANYA HAYA 9 LEO UTAANZA KUTABIRI NA UTATUMIWA NA MUNGU KUPITA KAWAIDA
Переглядів 3284 години тому
UKIFANYA HAYA 9 LEO UTAANZA KUTABIRI NA UTATUMIWA NA MUNGU KUPITA KAWAIDA
KAMWE USIJE KUKEMEA NDOTO YEYOTE HATA KAMA NI MBAYA VIPI. MUNGU ANATAKA UFANYE HAYA 3 HARAKA!
Переглядів 6044 години тому
KAMWE USIJE KUKEMEA NDOTO YEYOTE HATA KAMA NI MBAYA VIPI. MUNGU ANATAKA UFANYE HAYA 3 HARAKA!
UKIONA HAYA 6 KWAKO JUA UMEWEKEWA ALAMA ISIYOFUTIKA NA MUNGU ILI UKUPE UFUNUO MKUBWA
Переглядів 5004 години тому
UKIONA HAYA 6 KWAKO JUA UMEWEKEWA ALAMA ISIYOFUTIKA NA MUNGU ILI UKUPE UFUNUO MKUBWA
HIZI NDO SIRI 3 MUNGU ANATAKA UZITAFUTE NA UZIJUE LEO. NDO AKUINUE NA KUWAONDOA WACHAWI WAKO
Переглядів 2137 годин тому
HIZI NDO SIRI 3 MUNGU ANATAKA UZITAFUTE NA UZIJUE LEO. NDO AKUINUE NA KUWAONDOA WACHAWI WAKO
JUA MTUMISHI WAKO ANAMTUMIKIA SHETANI NA SIYO MUNGU WA KWELI. UTAONA ISHARA 7 HIZI
Переглядів 2559 годин тому
JUA MTUMISHI WAKO ANAMTUMIKIA SHETANI NA SIYO MUNGU WA KWELI. UTAONA ISHARA 7 HIZI
UKIOTA NDOTO HIZI JUU YA MCHUNGAJI WAKO. JUA ANATAKIWA ATUBU HARAKA NA JUA UNATAPELIWA TU
Переглядів 2439 годин тому
UKIOTA NDOTO HIZI JUU YA MCHUNGAJI WAKO. JUA ANATAKIWA ATUBU HARAKA NA JUA UNATAPELIWA TU
UKIOTA UNAJISAIDIA KINYESI MBELE ZA WATU AU UPO UCHI INA MAANA 5 KIROHO NA KIBIBLIA
Переглядів 919 годин тому
UKIOTA UNAJISAIDIA KINYESI MBELE ZA WATU AU UPO UCHI INA MAANA 5 KIROHO NA KIBIBLIA
UKIOTA MTU ANAKUIBIA KITU CHOCHOTE INA MAANA HIZI 5 KIROHO NA KIBIBLIA. FANYA HAYA CHAPCHAP
Переглядів 1659 годин тому
UKIOTA MTU ANAKUIBIA KITU CHOCHOTE INA MAANA HIZI 5 KIROHO NA KIBIBLIA. FANYA HAYA CHAPCHAP
UKIOTA MTU ANAKULOGA, AU KAKWENDEA KWA MGANGA. INA MAANA HIZI KIROHO. MKOMESHE HIVI
Переглядів 659 годин тому
UKIOTA MTU ANAKULOGA, AU KAKWENDEA KWA MGANGA. INA MAANA HIZI KIROHO. MKOMESHE HIVI
UKIMUOTA MCHUNGAJI YEYOTE KWA HAYA 3 KIMBILIA KWAKE HARAKA! KUNA UJUMBE WAKO TOKA KWA MUNGU
Переглядів 729 годин тому
UKIMUOTA MCHUNGAJI YEYOTE KWA HAYA 3 KIMBILIA KWAKE HARAKA! KUNA UJUMBE WAKO TOKA KWA MUNGU
NDOTO MTU ANATUMIA UCHAWI NDOTONI KUTAKA KUKUDHURU MAANA YAKE KIROHO
Переглядів 349 годин тому
NDOTO MTU ANATUMIA UCHAWI NDOTONI KUTAKA KUKUDHURU MAANA YAKE KIROHO
NDOTO 4 NI MUNGU ANATAKA UREJESHE UHUSIANO NAYE. USIMKOSE WAKATI ANAKUPENDA
Переглядів 2309 годин тому
NDOTO 4 NI MUNGU ANATAKA UREJESHE UHUSIANO NAYE. USIMKOSE WAKATI ANAKUPENDA
NI MSANII AU MWIMBAJI YA NYIMBO ZA INJILI. UKIONA HAYA 13 UNAYO TUBU HARAKA KABLA YA KUACHWA
Переглядів 819 годин тому
NI MSANII AU MWIMBAJI YA NYIMBO ZA INJILI. UKIONA HAYA 13 UNAYO TUBU HARAKA KABLA YA KUACHWA
NI MHUBIRI AU MUUMINI WA KIKIRISTO? HUU NI UONGO UNAAMBIWA! USIMKOSEE MUNGU! TUBU HARAKA
Переглядів 1219 годин тому
NI MHUBIRI AU MUUMINI WA KIKIRISTO? HUU NI UONGO UNAAMBIWA! USIMKOSEE MUNGU! TUBU HARAKA
MAFUNDISHO HAYA 3 NI FEKI NA NI YA BALAAM.UKIYASIKIA JUA SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA
Переглядів 249 годин тому
MAFUNDISHO HAYA 3 NI FEKI NA NI YA BALAAM.UKIYASIKIA JUA SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA
JE UNA KIU YA KUMJUA MUNGU ZAIDI. UKIONA NDOTO HIZI JUA MUNGU AMEJIFUNUA ILA HUJUI
Переглядів 2599 годин тому
JE UNA KIU YA KUMJUA MUNGU ZAIDI. UKIONA NDOTO HIZI JUA MUNGU AMEJIFUNUA ILA HUJUI
BARAKA ZA MUNGU ZILINDE KWA HAYA 4 LEO. NA KAMA UNAHISI UMEMKOSEA MUNGU FANYA HILI 1 HARAKA
Переглядів 12516 годин тому
BARAKA ZA MUNGU ZILINDE KWA HAYA 4 LEO. NA KAMA UNAHISI UMEMKOSEA MUNGU FANYA HILI 1 HARAKA
HAYA 3 UKIYAJUA KUMHUSU YESU KRISTO UKIWA USIKU UMESINZIA. UNGEANZA KUMSHUKURU MAA 24/7
Переглядів 20316 годин тому
HAYA 3 UKIYAJUA KUMHUSU YESU KRISTO UKIWA USIKU UMESINZIA. UNGEANZA KUMSHUKURU MAA 24/7
ISHARA 7 UKIZIONA KWA MWENZI AU MCHUMBA JUA KALETWA NA MUNGU SIYO SHETANI
Переглядів 42116 годин тому
ISHARA 7 UKIZIONA KWA MWENZI AU MCHUMBA JUA KALETWA NA MUNGU SIYO SHETANI
HAYA 10 NDO WANAUME HUYACHUKIA SANA KWENYE NDOA. UKIYAPUUZA UTAIVUNJA NDOA YAKO MWENYEWE
Переглядів 13316 годин тому
HAYA 10 NDO WANAUME HUYACHUKIA SANA KWENYE NDOA. UKIYAPUUZA UTAIVUNJA NDOA YAKO MWENYEWE
NDOTO 6 UKIZIONA JUA YESU KRISTO MWENYEWE NDO ANAKUITA KWA SAUTI YAKE UMTUMIKIE. USIIPUUZE
Переглядів 50016 годин тому
NDOTO 6 UKIZIONA JUA YESU KRISTO MWENYEWE NDO ANAKUITA KWA SAUTI YAKE UMTUMIKIE. USIIPUUZE
KAMA HUJUI HAYA 6 KWA YESU KRISTO. JUA UNAMWABUDU MUNGU USIYEMJUA
Переглядів 13516 годин тому
KAMA HUJUI HAYA 6 KWA YESU KRISTO. JUA UNAMWABUDU MUNGU USIYEMJUA
NI MLOKOLE HADI UNANENA KWA LUGHA. KAMA HUJUI HAYA 12 UTAGEUKA MASIKINI WA KUTUPWA
Переглядів 22821 годину тому
NI MLOKOLE HADI UNANENA KWA LUGHA. KAMA HUJUI HAYA 12 UTAGEUKA MASIKINI WA KUTUPWA
UKIONA UMEZALISHWA MTOTO KABLA YA NDOA. FANYA HAYA 12 HARAKA NDO UOLEWE CHAP. USIJE ZEEKEA KWENU
Переглядів 8421 годину тому
UKIONA UMEZALISHWA MTOTO KABLA YA NDOA. FANYA HAYA 12 HARAKA NDO UOLEWE CHAP. USIJE ZEEKEA KWENU
HAYA 10 MWANAMKE AKIYAFANYA MWANAUME ATAPOTEZA UJASIRI KWENYE MAPENZI AU NDOA YAO
Переглядів 4121 годину тому
HAYA 10 MWANAMKE AKIYAFANYA MWANAUME ATAPOTEZA UJASIRI KWENYE MAPENZI AU NDOA YAO
UNACHUKIWA NA KILA MPENZI KWENYE UCHUMBA NA NDOA? TUMIA SIRAHA HIZI 8 KIROHO NA KIMWILI UPENDWE
Переглядів 6221 годину тому
UNACHUKIWA NA KILA MPENZI KWENYE UCHUMBA NA NDOA? TUMIA SIRAHA HIZI 8 KIROHO NA KIMWILI UPENDWE
UKIONA HAYA 5 YAMEANZA KUKUTOKEA JUA UNAMHITAJI MUNGU SANA KULIKO KWENDA KWA WAGANGA
Переглядів 13121 годину тому
UKIONA HAYA 5 YAMEANZA KUKUTOKEA JUA UNAMHITAJI MUNGU SANA KULIKO KWENDA KWA WAGANGA
Amen .haki ni mm unaniongelelea kwa maana ata Leo niliona mtu akichoma bible nikajikuta ninampinga sana tena sn
Mtumishi yote uliosema nimepitia tena sijui hata niseme nn
🙏🙏
Nimeota mbwa anamkimbiza mtoto wangu mtotoakadumbukia shimoni ee mungu niepushie ili🙏🙏
Asante Sanaa pastor
Amen
Leo nimepata majibu maana haya yote nilikuwa najiuliza kwanini yananitokea MUNGU NISAIDIE HII KARAMA IKUE IPASAVYO
Mungu tusaidie tufuate nyayo zako Amen Amen Amen
Unanisaidia sn mtumi, MUNGU azidi kukumiminia mafuta .
Ameni🙏
amina
shaloom baba mmi naota naokota simu
Manaake nini Mtumishi ?
Mtumishi mimi nimeota umbwa ananishambulia lakini nimepambana mpaka nika muuwa akafa.
Amina
❤❤❤❤❤
Amina❤❤❤❤❤
Mtumishi mm nimeota ninaendeshwa na mwanamke na nitajiri sana
Amen mtumishi nimeota nimekinyea nabibi yangu tena tulienda choon nikanjinyea mpaka ndan nanje kilikuwa nawatu wananitizama yaan mavi nipakaA sehem nyingi nikawa nakunya ndan nazoa natoa nje Mungu anisaidie
@@MarrylucasLucas ishara ya laana na dhambi kwako. Omba rehema, samehe, kuwa mtKatifi
Mtumishi Bwana Yesu asfiwee, samahan naskia si kila ndoto inatoka kwa Mungu, je ukiota ndoto za shetan hupaswi kukemea?
Isikilize video kwa makini utajua nini ufanye haraka unapoota ndoto mbaya
Pastor nimekua niki hota ndoto mfururizo weeks bili zime isha sijui kama kuna sababu yeyote ya iyo ndoto ,ninaota nikiwa na viti nikiwa kwa maji na mtoto mdongo ,ugovi vita na zingine sisielewi ,mpaka nikashangaa,Amen
Nmeota nmeibiwa cm lkn nikamkimbiza nikamnyanganya tena aloniibia
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen napokea mibaraka ktk jina la Yesu Kristo
Amen pst ,Mungu azidii kukutia nguvu ili tuzidii kupandisha imani kupitia wewe
Amen and amen
Be blessed pst,haki umenifinguwa macho.
Amen
Je.ukiota.unafundishwa.kuendesha.gari.inamaana.gani
Ameni,👏
Amen 🙏
Nimeota nanunua mahindi iliyopikwa ,mdada Fulani ivi ndo alikiua anauza na mimi ndo nilikua wa mwisho kununua ,nimeelewa❤ asantee
Asante Yesu kwa ndoto zote nilioota leo. Kwa.jina la Yesu na kwa Nenp la Mungu nafuta ndoto zotee.zilizlenga kuharibu ma8sha yangu, kazi yangu, biashara zangu, kazinyangu na mahusoan9 yangu. Nafuta malengo yake na makudi yake hayatasimama Sawa na Isaya 7: 7 maharibu wote wahosika, madhabahu na sadaka zao nazifuta. Nafuta backsliding ya mwenzi wangu, nafuta uharibifu wa kazi na safari zangu. Nafungua njia wazi ya baraka kutoka juu zinimimin8kie kwa utukufu wa Mungu. Nateke.kila nyara na iuangusha mawazo.mabovu ya shetani kwa damu ya yesilu naangusha chini kwa jina la Yesu. Asante Yesu kwa nguvu ya damu yako na.kwa.neno lq.msalaba. nahsukuru kwa.kuwq.naamini yote.niliyoomba yamekuwq yangu kwa.ulimwengu wa roho na ulimwengu asilia Amen👏❤
Mungu nilinde na kila ndoto mbaya zishidwe kwa jina la yesu🙏
Amina Amina
Mimi nimeota ninafungua chombo kilicho na chumvi.maana yake nini
Amen 🙏 barikiwa saana mtumishi
Amina
Naomba jibu 5:39
Nieota nacheka na adui 5:20
Naomba jamani jibu 6:36
Nimeota nacheka na mke mweza nini maana yake
kuna mfanyakazi mwenzangu nimeota akanipa maembe yanjano yakiyo iva yanamaparachichi mengine maembe yakijani sijaelewa naenda kuonana nae nakuta amejinunisha😔
Amina
Na niliota pia madhabahun mvua imenyesha mbao zmepolomokea hapo na ukuta umechilizikia maji
Mm niliota naenda kwenye kanisa flan la kiroho mwizi akatokea anataka kuniibia nikageza njia nikaenda kanisa jingine
Hapa napo shida inakua kanisan kwa huyo mtumishi? Maana hapo nmekoment ndoto mbili za makanisa tofauti
Je hapo napo shida inakua kwa mtumish wa kanisa hilo maana nimecoment ndoto mbili za makanisa mawili tofauti
Bwana na anifunike kwa damu ya Yesu kristoo maan yeye ndo Kila kitu kwangu🙏🙏🙏
Amen amen
May God bless you 🙏