Hapa kila mwenye imani ya kristo Yesu ndani yake na anaamin huyu ndugu ni Mutumishi wa Mungu kweli naomba like ili twende pamoja, Ubarikiwe sana Pastor ama kwa hakika nimejifunza kitu.
God bless you sikujua ratiba ya maombi mi hufunga but wee nachanganya Kila kitu Asante mutumishi wa Mungu barikiwa Kwa mafunzo mazuri nimejua Sasa ratiba ya mufungo
Amen huwa naskia amani Sana ninaposikiliza mafundisho yako yananibariki na kunifungua pastor George Mungu yupo ndani yako ,natamani siku moja nije kanisani kwako nikuone Tu ,umenifungua vitu vingi Sana Sana , kwenye mafundisho yako.
Mungu akubariki Mtumwa wake neno hili ni kubwa sana natamani kama ungekuwa na kipindi kwenye vyombo vikubwa vya habari ili kila mtu asikie kweli ya neno kupitia wewe
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Mimi ni mmoja wa maelfu wanaoponywa kupitia huduma hii ya utumishi wako mbele za Mungu. Namuomba Mungu anipe neema ya kuyafanyia kazi mafundisho unayotupa na siku Moja nije nitoe ushuhuda mbele za Mungu Kwa jinsi yalivyonivusha. Naendelea kuchuchumilia hadi uzima wa milele. Amen
Asante pasta nimepata maarifa makubwa sana yanisadie kukua kiroho kweli nilikuwa nafunga wakati mwingine nikawa nakosa muda wa kuomba kabisa,ubarikiwe!!
Ubarikiwe sana mafundisho yako nayapata nikiwa Zambia, Mimi ni mchungaji, Niko Zambia, naimarika sana mafundisho yako yananiletea mafunuo mengi, kweli yananisogeza sana
Bwana Yesu asifiwe mtumishi naomba kuuliza ule mfungo wa Yesu wa siku arobaini ulikuwa kavu ama lah,maana umesema kibiblia mifungo mikavu mwisho ni siku tatu ,naomba unielekeze
1. Nini lengo la kufunga Mithali 28:19 mfano wa malengo : shukurani ; kuhuishwa kiroho; nataka maongozi kutafuta mkakati; ruhusa...uponyaji wa uchumi; mwili; kupata neema kutatua tatizo 2. Kujitoa/ commitment -gharama inategemea na hitaji mzigo haraka.. 3. Jiandae kiroho ( jiweke sawa na Mungu- toba; tafuta maandiko ya kusimamia- Mungu hujibu neno lake ktk maombi Yer 1:12 4. Jiwekee ratiba 1kor 14:40. 5. Tarajia shukurani kwa shukurani- jenga jukwaa ..
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nileo mara ya kwanza kanisani JRC kirumba ila imebidi nije you tube nimetamani mafundisho yote ya nyuma niyasikie aise nimejifunza sana🙏
Watching 2024 from Kenya ....God bless you Pastor
Hapa kila mwenye imani ya kristo Yesu ndani yake na anaamin huyu ndugu ni Mutumishi wa Mungu kweli naomba like ili twende pamoja, Ubarikiwe sana Pastor ama kwa hakika nimejifunza kitu.
Nakubaliana na wewe. Watumishi kama huyu ni wachache duniani. Tumuombee maisha marefu kwani kupitie yeye tunapona wengi. ❤🙏
mtumishi unakitu chenye u Mungu halisi ndani yako naomba ufunikwe kwa dam ya Yesu usije igeukia tamaa ukapoteza kusudi la Mungu alilokuwekea.
Mungu akubariki pr
Hakika Pastor George umebarikiwa sana na Mwenyenzi Mungu, asante sana kwa kufanyika Baraka kwetu sote
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki nimesik8l8za somo la maombi usiku wa manane na mfungu wenye matokeo nakushukuru sana.
Ubarikiwe mtumishi nimefunguliwa nilikuwa sina mpangilio
Mungu akulinde ,ww uzidi kushuka Mungu azidi kuinuliwa ndani yako
Thanks Lord for meeting a wonderful man of God with search teaching be blessed man of God for blessings of word, umenitoa mbali.
Asante sana postor kwa mafundisho yaliyo na marifa kwa anjili ya huduma wa mungu,nimebarikiwa sana, Amen 🙏 🙌
Ameeeen Mtumishi umeniuniua upya sasa nitasimama
Mungu hajibu maombi lakini ana lijibu Neno Lake! Very powerful revelation!
Amen amen amen baba yangu una towa chakula Mazuri Sana wewe una faaa uko
Sisi ni wa Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nafarijika kwa somo la mfungo amen
God bless you sikujua ratiba ya maombi mi hufunga but wee nachanganya Kila kitu Asante mutumishi wa Mungu barikiwa Kwa mafunzo mazuri nimejua Sasa ratiba ya mufungo
Mimi pia
najuwa huwu ni ujumbe wangu najua mungu kakutuma kwangu baba nashukuru sana kwa huuu ujumbe nimopekea kwa jina la yesu khristo yesu amen
Nashukuru sana kwa mwongozo huu nitaufanyia kazi ,ubarikie sana mtumishi wa Mungu
Amen amen ,ubarikiwe Kwa SoMo hili ,Mimi nafungaga tu bila malengo na kufuata utaratibu
Amen huwa naskia amani Sana ninaposikiliza mafundisho yako yananibariki na kunifungua pastor George Mungu yupo ndani yako ,natamani siku moja nije kanisani kwako nikuone Tu ,umenifungua vitu vingi Sana Sana , kwenye mafundisho yako.
Nasikia aman sana nikisikiliza neno lako
Mungu akubariki Mtumwa wake neno hili ni kubwa sana natamani kama ungekuwa na kipindi kwenye vyombo vikubwa vya habari ili kila mtu asikie kweli ya neno kupitia wewe
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Mimi ni mmoja wa maelfu wanaoponywa kupitia huduma hii ya utumishi wako mbele za Mungu. Namuomba Mungu anipe neema ya kuyafanyia kazi mafundisho unayotupa na siku Moja nije nitoe ushuhuda mbele za Mungu Kwa jinsi yalivyonivusha. Naendelea kuchuchumilia hadi uzima wa milele. Amen
Mafundisho haya yamekuja muda mwafaka kwangu mtumishi kazi Yako njema
Oooh my Lord sijawah kuupata huu ufunua..Mungu nakushukuru kwa hili..mtumishi ubarikiwe sana
I'm so blessed by your gospel, may GOD bless your pastor sure I have get many things from you 🙏🙏🙏🙏
Ameeen nimekuelewa Mtumishi kwa Somo zuri kuna mahali umeinua kiwango cha Imani yangu
Injili ya kweli ya mungu inayotakiwa ndyo hiiii mungu akubariki mnooo pastor George
Andika Mungu start with capital later
Amazing and very good quality for your company as I am sure it is very important for me as a student
Thank you soo much man of God,wewe ni wa baraka katika mwili wa kristo
Mtumishi mungu akubariki nime jifunza kituhapo Amen 🙏
Amen Mimi hapa ulikua unanishambulia Mimi Tu wala sio MTU mwengine Yani umenitoa uchafu wote na mungu aniongoze Kwa Kila kitu ubarikiwe 🙏
AMEN AMEN AMEN MUNGU nakushukru kwa Mtumishi wako ambaye amenielimisha kuhusu mfungo barikiwa Sana mtumishi
Barikiwa sana Baba hakika umenifungua MUNGU akutunze kwaajili yetu pia
Nimependa Mafundisho yàko, sikuwa nimewahi kuyasikiliza. Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU.
❤❤❤ mtumishi wa Mungu na ubarikiwe nimesaidiwa sana toka Marekani 🎉🎉🎉
Nimevushwa sanaaa na hili somo.barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa viwango vya juu 🙏
Amen, MUNGU anipe neema ya kuyafanyia kazi. Barikiwa 🙏🏼
Amen🙏🙏🙏 mtu mishi Wa. Mungu nime barikiwa kwa SoMo Suri sana
Namshukuru MUNGU Kwa ajili yako mtumishi wa MUNGU najifunza nilikua nafunga kidini.sasa nitafunga Kwa malengo Asante YESU Kwa kuniona
Amina mtumishi Kwa kunifungua katika kuomba maombi ya mfungo
Amen mtumishi Kuna kitu nimegain thanks a lot glory to God
May God bless you richly mafundisho yenye nguvu za mungu na kuelewa kwa urahisi
Ubarikiwee sana baba mungu wa mbinguni akubariki❤ by jonson matiko ktoka zanzibar
❤❤❤ wewe Mchungaji umebarikiwa sana napenda maneno Yako unafundisha VIZUR mnooo
I have learn something....be blessed man of GOD
Ameen apa nimepata kitu Bab ubarikiwe
Ahsante sana Mtumishi kwa mafundisho haya mazuri
Nimebarikiwa sana mafundisho y'ako postor Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia ili wengine tufunguliwe kupitia wewe amen
Ubarikiwe sana baba kwa maana unanishibiaha kiroho🙏
Asante sana pastor naamn 2mebarikiwa wengi
Kuna hatua naenda katika maombi.. Mungu akubariki pastor George hakika ww ni baraka katika kizazi hiki.
Asante mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa na hili somo ,nimefunguka macho ,Asante BABA 🙏
Asante sana Mungu kwa kunifundisha namna ya kufunga asante mch nimekuelews ubarikiwe sana
Amen Ameeeen. Nimejifunza kitu apa, sijatoka bure kupitia hili fundisho.. Asante roho mtakatifu kunipitisha hapa. Barikiwa pastor George.. 🙏
Asante sana Mungu nakushukiru Kwa ajili ya huyu pastor hakika nimepata kitu
Asante pasta nimepata maarifa makubwa sana yanisadie kukua kiroho kweli nilikuwa nafunga wakati mwingine nikawa nakosa muda wa kuomba kabisa,ubarikiwe!!
Ubarikiwe sana mafundisho yako nayapata nikiwa Zambia, Mimi ni mchungaji, Niko Zambia, naimarika sana mafundisho yako yananiletea mafunuo mengi, kweli yananisogeza sana
Asante pastor kwa neno la mungu
Asante MUNGU kupitia mtumish wako ubarikiwe mlele 😢
Glory to God Kwa utumishi wako Pastor nimejifunza new thing Cha kunikuza kiroho🙏
Ubarikiwe sana mchungaji kwa ajili ya mafundisho ya kufunga nashukuru MUNGU kwa ajili ya kesho kwa mfungo wangu KUPITIA haya mafundisho 🙏🙏🙏
Mtumishi Mungu akubariki kwa somo zuri, na Mungu atusaidie sana kuweza kufwata ipasavyo, injili yako hii ya kweli isiyotuwa magumashi
Nashukuru mungu kwa ajili ya mtumishi wako naomba mtunze
Amena!!
Nimebarikiwa na kujifunza mengi kumbe nilikuwa naomba omba tu bila kufahamu hapa nimejifunza
Mungu akubariki sana Pastor🙏
Bwana Yesu asifiwe mtumishi
naomba kuuliza ule mfungo wa Yesu wa siku arobaini ulikuwa kavu ama lah,maana umesema kibiblia mifungo mikavu mwisho ni siku tatu ,naomba unielekeze
Mchungaji ni mvivu kusoma comment za Washirika so angalia namna nyingine ya kumpata
Asante pastor kwa mafunzo mazuri aki nmejua mengi sana kuhusu mpangilio wa maombi
Mungu akubariki sana pastar kwa kutufundisha, tunakushukuru sana
Barikiwa mtumishi Hakika unasema maneno yalio jaa uvuvio ya Roho mtakatifu
Asante Mtumishi wa Mungu, Mafudisho yamekuja kwa wakati.
Amen,umenisaidia sana ubarikiwe pastor
Asante mtumishi wa Mungu umenifundisha kufunga kwa malengo na gharama ya mfungo wangu
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu! Jina la BWANA lihimidiwe Milele
Asante mtumishi nimejengwa sana na hili somo Mungu aendelee kuiutumia kwa viwango vya juuu
Barikiwa sana Mtumishi, umenifungua pakubwa sana
Ameeen mtumishi wa mungu najifuza namna ya kufunga
Umenifungua macho, nilikuwa sijui chochote,be blessed Man of God
Asante Kwa somo mtumishi
Amina mtumishi barikiwa sana
Asante kwa Siri hii kubwa ya silaha za kiroho Mtumishi
Leo umenifungua masikio kumbe ndio maana tunaunga na hatupokei asante mtumishi Mungu alitumia zaidi na zaid
May God bless you for i learnt alot yenye sikuwa naifahamu.God thanks.
Amen.mungu.akubariki.sana.mtumishi
Asante yesu kwa ufunuo wa neno
Oooh Mungu wangu asante kwa somo hili ni la ajabu sana kwangu.
Very insightful! Asante Mtumishi, God bless you!
1. Nini lengo la kufunga Mithali 28:19 mfano wa malengo : shukurani ; kuhuishwa kiroho; nataka maongozi kutafuta mkakati; ruhusa...uponyaji wa uchumi; mwili; kupata neema kutatua tatizo 2. Kujitoa/ commitment -gharama inategemea na hitaji mzigo haraka.. 3. Jiandae kiroho ( jiweke sawa na Mungu- toba; tafuta maandiko ya kusimamia- Mungu hujibu neno lake ktk maombi Yer 1:12 4. Jiwekee ratiba 1kor 14:40. 5. Tarajia shukurani kwa shukurani- jenga jukwaa ..
Huwa naomba lakin kwa makosa mengi.
Hapa nimejifunza kwakweli
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa huyu mchungaji. Pia kuongea kwa utulivu kunafanya uelewe vzr zaidi
Hakika mimi umenipeleka mbali sana kwa mafundiso yako ya kufunga asnte sana ni martin mpeketoni kenya
Na hii ndio Injili isiyogoshiwa nimekula kitu kilichokuwa kinanisumbua muda mrefu sana Mungu akubariki sana mtumishi
Anakuwa sehemu gani jamani
Amen Kubwa Baba Ubarikiwe Sana umetufungua Kicha penye atukuwa tunajua
Asante mungu kwa somo hii 🙏
Mungu azidi kufungua mipaka yako mchungaji,nimesikia na kusonga hatua nyingine tena ningependa kukushukuru sana
Mungu akubariki baba hakika unatufungua wengi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huu.
Amen am blessed Man of God,may God bless you
Wow sikuwa na ufahamu bt now am delivered thank you man of God
More Grace upon u🙏
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA,umenivusha,AMEN.
amen mungu akubarik sana mchungaj wangu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nileo mara ya kwanza kanisani JRC kirumba ila imebidi nije you tube nimetamani mafundisho yote ya nyuma niyasikie aise nimejifunza sana🙏
Ubarikiwe mchungaj tunashukuru kwa mafundisho yako neno lako ni tunuu kwangu nimejifunza mengi kwako
Asante pastor mungu akubariki
Mungu akulinde kwa damu ya yesu uendelee kutoa mafundisho kizazi hadi kizaz amen
Asante sana mtumishi kwa mafunzo nmejifunza mengi sikua najua kufunga wala hindi ya kufunga asante sana MUNGU akubariki