Ndoto Ya Mkojo Sheikh Jafari Mtavassy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 95

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 7 днів тому

    Aslam alekum nimeota namwagiwa mkojo kuanzia kichwan na mwili mzima naomba unieleweshe shekhe

  • @SalmaJamal-b9b
    @SalmaJamal-b9b 3 місяці тому +1

    A/aleykum sheikh mm niliota nakojoa sehemu kisha nikashtuka nikaona nimekojoa kweli kitandani hii ni maana gani,nisaidie...

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 16 днів тому +1

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh?
    Nimeota nakojoa Kizingitini nikatawaza Kwa kuchota maji Kwa mkono bila ya kopo.
    Hii inamaana Gani ustadh?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  10 днів тому

      utatumia pesa kwaajili ya ndoa au mwenza wako ikiwa ni mwana ndoa. kama sivyo basi ndoto inakuonya uache tabia za uasi kwani unafanya uzinifu.

    • @MmMm-hx6ln
      @MmMm-hx6ln 10 днів тому

      Hujanijibu maana yake Bado sijafaham ustadh

    • @MmMm-hx6ln
      @MmMm-hx6ln 10 днів тому

      Labda huko kutumia pesa Kwa ndoa,ila Kwa uzinifu Sina Allah azidi kunilinda inshaallah,,,sawa shukraan Kwa kunijibu jazakallah khayra

  • @RizikNambare
    @RizikNambare 4 місяці тому +1

    Asalam khaleykum sheke mm nimeota umenibana mkojo nikatoka naenda chooni najikuta nipo kwenye hedhi alafu imenitoka nyingi sana nikashituka niliposhituka kuamka nikakuta nimejikojolea kweli hii inamaana gani shekhe

  • @duniaduaratv1216
    @duniaduaratv1216 3 роки тому

    Wa, salaam warahmatullaahi wabarakaatuh
    The great mind Sheikh

  • @gustavnyakunga3088
    @gustavnyakunga3088 9 днів тому

    Asalam alaykum shekh samahan mim nmeota nakojolewa na mtu ambaye namjua maana ake nini

  • @majutoyussuf6191
    @majutoyussuf6191 Рік тому

    Asalam alaykum mm nmeota natembea na watoto wangu wawili wakiume alafu hao watoto wakakojoa njiani mikojo mingi

  • @FatmaAbdallah-t1h
    @FatmaAbdallah-t1h Місяць тому

    Asalam alaykum mm nimeona nakojoa chooni lkn niliingia mm mwanzo lkn ikisha wakaja watu wengi huo chooni akiwemo mwanangu Wa kiume ameingia ananitizama

  • @gustavnyakunga3088
    @gustavnyakunga3088 9 днів тому

    Asalama alaykum shekh samahan majibu ya mtu anayeota anakojolewa na mtu kwenye mwili tunayapata wap? Maana bado tafsiri yake hujatupa

  • @swafiaabdalla3897
    @swafiaabdalla3897 Рік тому +2

    A.alkm sheikh ,mimi nimeolewa but simkojozi lakini najikuta nakojwa ndotoni kiasi

  • @ZuhuraFadhili
    @ZuhuraFadhili 23 дні тому

    Mm nimeota nimeota nakojoa kwenye mifuko halafu natoka nne kwenda kumwaga halafu nashindwa kubeba naburuza

  • @naominapendwa141
    @naominapendwa141 Рік тому

    Minimeota mkojo umenibana Sana nikakojoa kumbe nimekojoa kweli na siyo Mara moja nimechoka nisaidiwe

  • @duniaduaratv1216
    @duniaduaratv1216 3 роки тому

    Tje great mind Sheikh

  • @asifamwenga210
    @asifamwenga210 Місяць тому

    Mimi nimeota nataka kukojoa Kila choo nibayoungia Ina shida nimezunguka Kwa muda mrefu na Hadi nashtuka nmekosa pa kukojoa

  • @riadhashaban1185
    @riadhashaban1185 3 роки тому

    A/alykum warahmatullah wabarakatu samahani maalim mm ninasuala halimo ktk mada ya mkojo, mm nimeota tumebeba ujauzito mimi na dada yangu wakwanza kuzaliwa napia hapohapo tukawa tunashuhuli shuhuli ambayo tumevaasare pia je hii inamaanisha nini? Naomba ufafanuzi inshaallah

  • @rashidyluchiga9460
    @rashidyluchiga9460 Рік тому +2

    Mm nimeota nimemuona mume wngu anakojoa mkojo mwngi nimekinga chupa imejaa na Bado anaendelea kukojoa nn maana yke

  • @NurathYunusu
    @NurathYunusu Місяць тому

    Kuota unakojoanje na unakojolea gauni

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 Рік тому +1

    Asalam Aleikum doctor Mimi mara mbili nimeota naingia chooni kukojoa lakini kila nikiingia chooni Choo kinakuwa kimejaa na ndani ya shimo la Choo kama vile yanachemka kama chemichemi ya maji.. Ni nn maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  Рік тому +1

      inshaallaah utapata kheri rizki na baraka huko baadae, ila itategemea mara nyingi ukiona kinyesi nini kinakuwa kwani kwenye hii ndoto kuna mambo ya kiasili kwa mtu wengine hupata hayo wengine hunuksika

    • @aminamnyaruge8574
      @aminamnyaruge8574 Рік тому

      @@MTAVASSYTv Asante sana

  • @ZenaRamadhani-m6t
    @ZenaRamadhani-m6t 10 місяців тому

    Asalam aleikum,niliota mtoto anakojoa na kujisaidia haja kubwa maana yake nini 14:39

  • @florencemakanda7946
    @florencemakanda7946 3 роки тому

    Assalamualaikum, mm nimeota nakojoa kwenye kopo mahali ninapo fanyia kazi kisha boss akanipata akanichekelea akiniuliza unafanya nn Ila sijakatiza nikamaliza.nini maana yake?🙏

  • @hassanharuna6039
    @hassanharuna6039 Рік тому

    Assalaam aleykum, naomba unijuze tiba yakukojoa naukaukuta mkojo kweli

  • @leilataji
    @leilataji 11 місяців тому +1

    Nimeota nakojowa juu yamlima

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  10 місяців тому

      Matumizi ya halali ya pesa

  • @SalumuIbrahim
    @SalumuIbrahim 6 місяців тому

    Mm nimeota nakojoa chooni lakini chooni kule Kuna viloba vya mkaa vimebana kule chooni kwaiyo nilikua nakojoa kwa shida

  • @abdallahmangayamba1510
    @abdallahmangayamba1510 Рік тому

    Ninamimba ya miez miwil naota sana nipo kjijin na mama na dada zang hii inamaana gan maana mm nipo mjin

  • @dab8859
    @dab8859 3 роки тому

    A.alaykum shekhe mm niko safar nimeota nakojoa chooni apa apa ndni nikakojoa mpka jikamlza nkkmbka kmbe mlango haukujifunga lkn sikuonekna chooni nlipomlza ntka nje boss wngu nae akapta akaenda chumbni kwke nni maana yke hii ndoto nnaiyta sai mchna

  • @DorisiEmanuel
    @DorisiEmanuel 4 місяці тому

    Mm nimeota nakuvywa mkojo wangu nn maana yake

  • @gracemathias-ub1dj
    @gracemathias-ub1dj 10 місяців тому

    Mimi nimeota nakojoa mkojo mbele ya kiwanja halafu unatililika kwenye maji halafu ukakwama kalibu

  • @ashilaashila9987
    @ashilaashila9987 2 роки тому

    Mimi nimeota nakojowa kwenye muto na maji yameja sana ela mikojo yenyewe nimigi sana elinitoka

  • @ashuraabdallah8534
    @ashuraabdallah8534 Рік тому +1

    Mtu unaota unakojoa kitandani naunakuta umekojoa kweli inakuaje

  • @abdulshakuru3992
    @abdulshakuru3992 3 роки тому

    Mimi nimeota nakojoa na mkojo unatoka na wadudu weupe maana yake nini shekh wangu

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn 8 місяців тому

    Mimi nimeota nakojolewa miguu na tulikua watu watatu naye alikuwa amevaa kawaida tu nakila nikijalibu kukwepa ananifata mwanaume ambae si mme wangu mala nikimwambia we shetani anaonyesha tabasamu na kunisogelaa

  • @Iamnia871
    @Iamnia871 2 роки тому +1

    Sheikh mimi nimeota nakojoa pembeni ya barabara tena mjini nini maana yake😞

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Allah taala ajaalie upate hio rizki na akufungulie zaidi lakini kama ilikuwa bara bara iliyopinda basi ni pesa utaitumia kwenye kutatua tushida

  • @naominapendwa141
    @naominapendwa141 Рік тому

    Ukiota unakojoa mbele ya biashara yko

  • @mwajumamnyongo6968
    @mwajumamnyongo6968 3 роки тому +1

    Asalaam alykum Shekh, mm nimeota sinia tau za bati zina kutu nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 роки тому +2

      maana yake ni mipango butu ya pesa piya mipango ambayo haitoleta manufaa au inajulisha kushindwa kwako katka kupata pato jiombee sana dua na utake msaada kwa masheikh wakuombee dua inshaallaah mambo yako yatabadilika

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 роки тому +1

      nimelifafanua mbele hapo inshaallaah

    • @mwajumamnyongo6968
      @mwajumamnyongo6968 3 роки тому

      Nashukuru shekh wangu

    • @neemagundram2157
      @neemagundram2157 2 роки тому

      @@MTAVASSYTv sasa shekhe mbona ya mtu kukojolewa ujasema jamani nitafsirie hapa hapa basi nimeota nimekojolewa na mtoto wa kiume usoni🤣🤣🤣

  • @kareenaalliy3375
    @kareenaalliy3375 2 місяці тому

    Nimeota nakojowa chumbani chini

  • @stahilimohamed9127
    @stahilimohamed9127 3 роки тому

    Mm niliota naludiana Na mpenzi wangu je she MAana yake nn please

  • @NeemaMaloda-j3k
    @NeemaMaloda-j3k 8 місяців тому

    Sheh samahani naomba tafsiri ya kuota mbalawezi ,nimeota Niko sehemu nanunua mboga gafla nataka kuondoka nikaona mbalawezi ilio jaa ilikua nichana lkn sehemuilipo ilembalawezi kunakiza km usiku nalina mwanga mkali lakini mbona mm nilishtuka na nikakaa mkwenye mbechi na baada yamuda nikaamka na kuendelea kutembeatu

  • @mwanamisiabdallah5409
    @mwanamisiabdallah5409 Рік тому

    Mimi nimeota nakojoa ndani chini lkn

  • @abdallahmangayamba1510
    @abdallahmangayamba1510 Рік тому

    Shehe nimeota nakojoa stend nikiwa nasubil kaka zangu wanipe nyama walikua wanakata buchan lakn watu hawwna habar namm hawajaniona aloniona nimmama mojatu anauza duka

  • @mwanaidikuziwa682
    @mwanaidikuziwa682 2 роки тому

    kuota unakojoa mkojo mwingi kwenye choo ambacho hukijui na ni kichafu halafu pembeni kuna mwanamke anakuangalia

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 2 роки тому

    Mm nimeota mwenzangu anakojoa chini lkn namm mkojo wake ukanimwagikia mkonon kwangu wa kulia, nn maana yke shekh

  • @mariamvililo9380
    @mariamvililo9380 6 місяців тому +1

    Mie nimeota nimebeba ndoo ya mkojo inamaanisha nini

  • @DorisiEmanuel
    @DorisiEmanuel 4 місяці тому

    Mm nimeota nakuvywa mkojo wako Nini maana yake

  • @amarounakimbisa2890
    @amarounakimbisa2890 2 роки тому +1

    Asallam allaykum warahmatullah wabarakatu

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Wa,salaamu warahmatullahi wabarakaatuh, khabari yako

    • @ashurasaid5017
      @ashurasaid5017 2 роки тому

      @@MTAVASSYTv Aleykum salam shekh

    • @MuasitiAboBakri-ew5mu
      @MuasitiAboBakri-ew5mu 3 місяці тому

      Kuota umebanwa na mkojo unatafuta mahala pa kukojelea inamaana gani shekhe

  • @innocentramadhan6604
    @innocentramadhan6604 2 роки тому +1

    Mimi nimeota mtu amelewa amejikojolea na nywele zake nindefu pia anamkimbilia mpenzi wake aliefariki

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      kama haumjui basi huyo mtu ni ww na kama awamjua tafsiri ni jkwake huyo mtu sasa basi ndoto inasema utapata mafanikio pamoja na yote hayo unayoyapitia lakini jiombee kwani upo katika hali
      mbaya

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga Рік тому

    Nini maana ya ndoto umakojoa kitandani lla mkojo sio mwingi

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 роки тому

    Shekhe mm niliota mbibi kaja ndani kwangu anaomba msaada nimsaidie badae akawa anatokwa na mkojo na damu vimechanganyika

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 2 роки тому

    Na mwanamke kukojoa mbele ya mwanaume tena na mkono akaukojolea nn maana yake shekh

  • @BahatiMwansembo
    @BahatiMwansembo 5 місяців тому

    Kuota unawa usoni mikojo ya mke wake maana yake

  • @suzanamteka760
    @suzanamteka760 2 роки тому +1

    Mm nimeota tuko watu nne bafuni watoto 2 na wakubwa 2

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 2 роки тому

    Kujikojolea mkononi mbele ya mwanaume usiyemjua

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 3 роки тому

    Je mtu akiota yuakojoa chooni na akiamka akipata ame kijia kitandani
    Je afanyeje ili iishe iyo hali??

  • @yunusubucibaruta8096
    @yunusubucibaruta8096 3 роки тому

    AsalamAlykum shekhe mim nikilala kila siku jini linakuja,lakini huwa nasoma dua nikilala..nakuwa napigananalo kichwa kinanizunguuka kila muda naona linanijia usiku kila saa nashtuka silali.

  • @teddysananga
    @teddysananga Рік тому

    Nimeota mtoto ananikojolea, ila nikawa naziba kitu mkojo usinipate nn maana yake!?

  • @judithjeffry6310
    @judithjeffry6310 2 роки тому

    Nyumbani kwangu kunamigomba ya ndizi sasa naota ndoto imetoa ndizi nini mahana yake.

  • @pameladonald618
    @pameladonald618 3 роки тому

    Mimi niliota nimeona mkojo mwingi sn unatililika

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 роки тому

      hiyo ni pesa ya halali maashaallaah

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 роки тому

      umeitumia utaitumia au utaipata inshaallaah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому

    Ndoto kukojowa kwenye ndoto,unaamka unakuta mchana,nini maana yake?

  • @makenalongor1906
    @makenalongor1906 2 роки тому

    Ukiota ukikunya mkojo

  • @aishamhando9093
    @aishamhando9093 Рік тому

    Mimi nikiota nakojoa pembeni yamfeleji nanikachota maji nikanawa

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  Рік тому

      pesa,matumizi ya pesa ya halali inshaallaah

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  Рік тому

      au atakunufaisha mtu

  • @DusabeSadjida
    @DusabeSadjida Рік тому

    Kuota mtoto anakojowa mana yake nn

  • @menginasma1479
    @menginasma1479 2 роки тому

    me nimeota nakojoa na nimestuka asubuh nimekojoa kwel kwenye godoro nn maana yake

  • @meerahnassor403
    @meerahnassor403 3 роки тому

    Nmeota nakojoa sehem siijui tena ndani kumepangwa mbao mim nikakojoa hko kalibu na paa la hicho chumba na mkojo ukaja mdomoni afu mkojo unachuluzika adi chini ya mbao kabsa tafsiri yake nini ustadhi?

    • @saide-nu2qw
      @saide-nu2qw Рік тому

      Ass, alaikum shekh mm nimeota Kuna mtu wa kike mtu mzima anakojoa pahala penjewe ni chuon kwa mwalim wangu wa madrasa

    • @saide-nu2qw
      @saide-nu2qw Рік тому

      Mtu wa kike tafsiri yake nini

    • @MmMm-hx6ln
      @MmMm-hx6ln 16 днів тому

      Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh? nimeota nakojoa Kizingitini nikatawaza Kwa kuchota maji Kwa mkono bila ya kopo.
      Nini maana yake ustadh?😢

  • @riadhashaban1185
    @riadhashaban1185 3 роки тому

    Je ukiota unakojoa kitandani na kukojoa kweli kitandani nini tafsiri yake

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 роки тому +1

    Mm niliota nakojow kinyesi😐

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому +1

      Mambo yako yataharibika automatically au yataenda hovyo hivyo mshike Mungu

    • @nadrahassan5241
      @nadrahassan5241 2 роки тому

      @@MTAVASSYTv Ya Rabiii!😣