NDOTO Ukiota UNAJISAIDIA haja KUBWA Maana yake ni hii KIBIBLIA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лип 2024
  • NDOTO Ukiota UNAJISAIDIA haja KUBWA Maana yake ni hii KIBIBLIA.

КОМЕНТАРІ • 59

  • @user-mv1kq5ev4m
    @user-mv1kq5ev4m 5 днів тому

    Asante Mungu. Wiki hii nimeota najisaidia haja kubwa niliogopa na kujisikia vibaya nikajua ndoto ya kuhaibika sababu nilipokuwa najisaidia kuna watu wawili wananiangalia nikaona ndoto ya fedhea.

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be Місяць тому

    Emeen asante Yesu kwamaana umenifungua nasasa ni huru🙏🏾🙏🏾

  • @eunicemugare6228
    @eunicemugare6228 6 місяців тому

    Very powerful and inspiring be blessed abundantly

  • @user-nz6gj2qm3g
    @user-nz6gj2qm3g Місяць тому

    Ubalkiwe sana mtumishi

  • @user-hh9rl8vs8r
    @user-hh9rl8vs8r 8 місяців тому

    Ahsante sana mtumishi wa Mingu

  • @imanisanga969
    @imanisanga969 Місяць тому

    Mimi nimeota nimejisaidia katikati ya watu walikuwa na sherehe mara pale pale nikawanaulizia samaki walikuwa wanauzwa nikawa nachagua mara wakafungua shampen nikapewa nikawa nakunywa

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 Місяць тому

    Amen

  • @mercymuthonindumbi4306
    @mercymuthonindumbi4306 11 місяців тому +2

    Powerful, God bless you

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  11 місяців тому

      Amina God bless you all

    • @lilianmathias5959
      @lilianmathias5959 11 місяців тому

      HALELUYAAAA!!! MUNGU!! UTABAKI KUWA MUNGU❤

    • @mercymuthonindumbi4306
      @mercymuthonindumbi4306 9 місяців тому

      Thank you God bless mtu wa mungu na akuongezee

    • @mercymuthonindumbi4306
      @mercymuthonindumbi4306 9 місяців тому

      Amina, God bless you

    • @mercymuthonindumbi4306
      @mercymuthonindumbi4306 9 місяців тому

      Ndoto ingine:tuliachana 2yrs ago, nimeona tumetoka kwa mamake kuelekea mahali tulikuwa tumejenga na bwanangu.Alikuwa nyumba yangu akiwa uchi wa mnyama na Mimi mbele na watoto wetu wawili, Kufika karibu nikaona kichaka kimeanguka kwa njia hakuna pakupitia.mda si mda ,akaja akapita akiwa uchi akaniambia,nifuate tupitie apa.Akainama chini ya icho kichaka pia Mimi na watoto ndoto ikaisha

  • @nonomarrina1437
    @nonomarrina1437 11 місяців тому +1

    Amen nimeshinda jina la bwana lipewe sifa

  • @RachelMisango-b5u
    @RachelMisango-b5u 19 днів тому

    mtumishi mi nimeota najisaidia chooni kinyesi muda mrefuu alafu nilipomaliza nikamwaga maji choon choo kikajaa kinyesi kikaanza kupita adi kweye shimo la choo

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  19 днів тому

      @@RachelMisango-b5u kuna eneo ulipokuwa unafanikiwa au kusaidika hapo unajulishwa muda wa kuendelea kusaidika hapo umeisha tunza ulichopata kitakusaidia mbele bali usilazimishe kuendelea kujaribu uendelee na hapo hapata kusaidia

  • @user-gu5tp5pz5w
    @user-gu5tp5pz5w 7 місяців тому

    Ahsanteee mungu

  • @maryanmukene9293
    @maryanmukene9293 5 місяців тому

    Amina

  • @mercymuthonindumbi4306
    @mercymuthonindumbi4306 9 місяців тому

    Thank you, God bless you.ndoto ingine..kutoka adui wako anavaa kiatu ulichokivaa wewe nini maana yake

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  9 місяців тому

      Hawezi fanikiwa, kuvaa kiatu nilichovaa kwa jina la YESU,kuchukua kazi yako kwani kwani Hiyo kazi MUNGU Anatoa kila mtu na namba yake akijaribu itakuwa ni aibu kiatu ya kuazima hiyo kiatu ya kuazima na watu watamcheka hivyo sana.

    • @mercymuthonindumbi4306
      @mercymuthonindumbi4306 9 місяців тому

      @@GodfreyMwalongo-yg7tq kuota mtoto wako amepewa viatu mpya na vimepigwa rangi na wewe umepewa mfuko au handbag

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  9 місяців тому +1

      Mtoto ni huduma, na kazi yako unayofanya, viatu vipya ni utayari mpya wa hiyo kazi,viatu vipy unabadilishiwa, viatu kwa kazi (mtoto)ingine, tena na 👜 ni hiyo kazi za mikono yako.

    • @edwardinaedward1924
      @edwardinaedward1924 3 місяці тому

      ⁠@@GodfreyMwalongo-yg7tqk

  • @KarambiziMartin-xv8op
    @KarambiziMartin-xv8op 4 місяці тому

    Ubalikiwe mwana wamungu nimeelewa

  • @Winniemwinga
    @Winniemwinga 4 місяці тому

    Ukiota umejisaidia haja kubwa mbele za watu kwenye sherehe tena kwenye kiti inamaagani kisha mamaangu akafuta

  • @user-bc9bn5fy9k
    @user-bc9bn5fy9k 5 місяців тому

    Amiin amiin amiin

  • @Keyjop
    @Keyjop 3 місяці тому

    Kiukweli nimeotaa saana hii ndoto imenitesa Mika kalibia 11 nimetafutamaanaa saivi ndio nimeelewa ni mala ya pili now

  • @user-hy6uj2wi7b
    @user-hy6uj2wi7b 7 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi mimi nimeota najisaidia kwenye nguo hii ina maana gani??

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  7 місяців тому

      Usiogope 👗 nguo ni kubadilishiwa kazi na kusaidika au kufanikiwa kwenye kazi mpya au huduma au unachokifanya kwa watu.

    • @pelagiasamamba8085
      @pelagiasamamba8085 3 місяці тому

      ​@@GodfreyMwalongo-yg7tqbwana Yesu asafiwe mtumishi mi nimeota nimetema kinyesi kupitia mdomoni nini mana yake🙏

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj 11 місяців тому +1

    Ni utakaso unatoa uchafu😅

  • @justineprims618
    @justineprims618 5 місяців тому

    ameen

  • @Josphine15
    @Josphine15 Місяць тому

    Nisaidie nimeota najisaidia kwa mstuni hapo kulikuwa na mti wa mapera mbichi na zingine zimeiva

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  Місяць тому

      Mapera ni harufu nzuri ya kufanikiwa katikati ya watu (msitu)walo kusonga ili usifanikiwe

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 7 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @EvaInnocent-nd2vg
    @EvaInnocent-nd2vg 5 місяців тому

    Nimeota najisaidia kwenye poti lamtoto la bluu mbele zawatu lakin haja kubwa haikutoka nikaacha hapa nyumban kwangu kibalazan maana yake nin

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  5 місяців тому

      Poti la mtoto ni mafanikio yanahusu kazi kipato au ni huduma yako, kuna mafanikio ulitakiwa uyapate katikati ya watu, kwa sababu yakuwaonea aibu watu, na ukiwaonea aibu watu hutajisaidia utashindwa kufanikiwa

  • @LeahEmmanuel-dk8dt
    @LeahEmmanuel-dk8dt 5 місяців тому

    Kuota unajisaidia huku umesimma
    Alafu mtu anakuja kukuchukua anakupeleka sehemu ukaoge ujisafishe

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  5 місяців тому

      Kujisaidia umesimama kupata msaada kimafanikio huku ikiwa imara isioyumbishwa hali unasimamia imani yako na unachoamini, kusafishwa kuondolewa makosa au hatia au usijichafue wakati unafanikiwa kwa hicho utakachosaidi usibakie na makosa au lawama, hatia

  • @ZianaKangalawe
    @ZianaKangalawe 2 місяці тому

    Mm niliota nimejiharishia kwenye nguo nikiwa nimelala nilivyo amka nikaenda kuoga

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  2 місяці тому

      Kujisaidia, ni kufanikiwa kazini au kazi ni nguo,kufanikiwa kunakotokana na kazi safisha pia ni vizuri baada ya kuwekewa zuio kwa mda sasa unafanikiwa vizuri,ndio kuoga.

    • @ZianaKangalawe
      @ZianaKangalawe 2 місяці тому

      Amina zaidi nilivyooga nikavaa nguo nyeupe nilivyo amka nilikuwa nafuraha sana

  • @costivemloboka8897
    @costivemloboka8897 10 місяців тому

    Sio Shauri! Ni Sauli

    • @Yeshuatv729
      @Yeshuatv729 6 місяців тому

      Jina lake halisi ni Shauli

  • @user-bt4hz7gf6w
    @user-bt4hz7gf6w 9 місяців тому

    Jinalangu julia samuel niko moçambiq.Mim nimeota naoga cumbani badae nikajisaidi ukouko aja kubwa badae nikaenda choni nikajisaidia tena,nikarudi tena chumani nikakuta kinanuka sana nikachukua naendakukitupa nika stuka. na iko kinhs kilichnganika na yale maji nlioyaoga.
    Manaek nin? Nielewe vizuri kwasababu sijui kuandika kishuail.

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  9 місяців тому

      Kuoga ni utakaso kusafishwa 🌟 KIMAFANIKIO, kinyesi ni kufanikiwa kutoka hapo, 🏠 nyumbani lakini na chooni kazini kwako utafanikiwa,sasa kwa nini? Kinanuka uwe makini utasaidika hapo nyumbani lakini ukatupa kuwekeza kwa biashara ikapotelea huko, au ukamkopesha WATU wengine, Usiitupe HAJA yako ni HITAJI lako ( haja hitaji). Omba Rehema toba adui asipate kutumia mikopo yako kupoteza haja au hitaji lako.

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  9 місяців тому

      Pia uwe makini wakati unaenda kufanikiwa(kusaidika au kujisaidia haja yako(, ni HITAJI lako) Epuka kuwa mgomvi wala maneno maneno yataweza kusababisha hiyo haja yako ukaitupa (kunuka ni kukuchafua kiugomvi. utakaopelekea ukaitupe na kupoteza HITAJI lako au haja yako kwa maneno maneno yako(mikono yako).

    • @user-gu5tp5pz5w
      @user-gu5tp5pz5w 7 місяців тому

      Mm nimeot najisaidia choon kabisa

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  7 місяців тому

      UKIOTA UNAJISAIDIA HAJA Chooni ni hivyo hivyo unaenda kufanikiwa kuanzia hapo ulipoota mpaka kwenye kazi yangu.

  • @marryedson2762
    @marryedson2762 3 місяці тому

    Mimi nliota natafuta pa kujisaidia kila ninapotaka kujisaidi watu wanatokea naacha

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  3 місяці тому

      Kuandamwa na roho ya kuzuia usifanikiwe, na kucheleweshwa, kusubirishwa, omba toba kwa MUNGU kama kuna maneno yatalitamkwa popote maishani ili usifanikiwe, yavunjwe hayo kwa Damu ya YESU.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 місяці тому

    Ukiota kaka ako anajisaidia haja KUBWA na kisha ukamsafisha kwenye MTO mkubwa ambao yale maji yanaenda hii ina mana gani

    • @achouraachoura5763
      @achouraachoura5763 2 місяці тому

      NAOMBA unitoe tafsiri

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  2 місяці тому

      Kufuatilia mafundisho ya kiroho(maji) yanayoenda kwa watu katika maneno utakayotamka hakika mafundisho haya ya kiroho ni safi ni sawa.

    • @user-pq4ul5us2m
      @user-pq4ul5us2m Місяць тому

      Mtumishi nipe tafsiri tafadhali, nimeota mtu ananiambiya niweke cheti changu chashule vizuri kisichafuke japo nimeacha shule kitambo nasija maliza shule

  • @AngelZumo-nk3mk
    @AngelZumo-nk3mk 4 місяці тому

    Mimi nimeota nimejisaidia kwenye nguo za mume wangu nikafutia kwenye koti lake nikaweka kwenye ndoo naenda kusafisha nikaweka pemben sijui inamaana gani