UKIOTA UNAKOJOA NDOTONI | NUKTA 27 ZA NDOTO NA TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • UKIOTA UNAKOJOA NDOTONI | NUKTA 27 ZA NDOTO NA TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
    #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv #NdotoKukojoa

КОМЕНТАРІ • 126

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +12

    Assalamu alakum yaa sheykh
    mashallah mashallah
    shukran namuomba allah akuzidishie nuur kifuani mwako pamoja na familia yako na akuhifadhini wote amiin amiin

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 роки тому

      Waalaykum salaam warahmatu llaah wabarakatuh. amina yaarabiy. amina yaarabiy. amina yaarabiy.
      naewe pia allaah akuzidishie yalokua mazuri hapa duniani na akhera inshallaah

    • @yusrahmachano6741
      @yusrahmachano6741 3 роки тому

      A/Asalàm Alaykum SJEIKH MMI NIIMEOTA NAJISAAIDIA NDANI YA GARI NA NIMESHUSHA KANZU KUJJISTIRI MAANA YAKE NINI?

    • @user-yd6cr8vu8b
      @user-yd6cr8vu8b 10 місяців тому

      Mm nimeota nimejikojolea

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +3

    Shukran sheykh
    Jee ukiota unakojowa ndani ya nyumba na watu wapo wanakuona yaani hicho choo ni kama shimo hiv ila kimejengwa halafu lina uwazi mkubwa kama wa chemba vile upana wake

  • @hawashabani7896
    @hawashabani7896 3 роки тому +2

    Asalaam aleykum,mashallah Allah akizidishie elimu zaidi na akijaalie yaliyo mema hapa duniani na kesho akhera inshallah,

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h Рік тому

    Asante sana sheikhe

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +5

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.shukran sana Allah barik.

  • @mwanaidyibrahimu8861
    @mwanaidyibrahimu8861 4 роки тому +3

    Waalykum salaam warhmatulah wabarakatuh

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Assalamu alaykum sheykh
    Jee ukiota unakula chakula sahani.moja na sheykh jer inamasns gani

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 роки тому

      waalaykum salaam warahmatu llaah wabarakatuh
      hiyo inakujulisha kupata elimu kubwa maishani na utakua maarufu kwa elimu yako

  • @ummusuleiman9404
    @ummusuleiman9404 4 роки тому +2

    Assalaam aleykum,shekhe Allah akuzidishie eilim pana, mtu akiota anapika samaki na mboga za majani

  • @ameenabh3327
    @ameenabh3327 4 роки тому +1

    Warahmatullah wabarakatu

  • @sisterttrouble4331
    @sisterttrouble4331 4 роки тому +1

    Asante

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Amiina yaarabbi

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Waalaykumussalam warahmatullahi wabarakatuh

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h Рік тому

    Allahumma Amiiin yarab

  • @NajmaWendo
    @NajmaWendo 23 дні тому

    Asalamu alaikum Na ukiota unakojoa kitandani Na usikojoe ugututuke usingizin inamaana gani

  • @cuteree1729
    @cuteree1729 2 роки тому

    Assalam alaykum warrahmatullah wabarakatuh shekh ukiota unajsdia haja ndg chooni na wakt wa kujisadia umechutuma swa saw n bint mwenzk jee inaman ngni

  • @user-cs7dx1pm1r
    @user-cs7dx1pm1r Рік тому +1

    Asalamualeykum shekhe ukiotaunakojoanaukakojoa nakukishtukaunakuta umekojoakweli dawayakeni ipi

  • @asiakibali1253
    @asiakibali1253 3 роки тому

    Allah humaa amiina

  • @stamilinsogolwa6979
    @stamilinsogolwa6979 3 роки тому

    Subhanallah

  • @swafiaabdalla3897
    @swafiaabdalla3897 Рік тому +3

    A.aleikm sheikh,mimi nimeota nakojowa lakini sijui wapi najisaidia nikajikuta nakojowa kitandani, ndio nikaamka nusu nikamalizia chooni

    • @lee-qo9ne
      @lee-qo9ne 6 місяців тому

      hello umepata majibu na dawa ya ii ndoto?

  • @sireliabasiimwe5826
    @sireliabasiimwe5826 3 роки тому +3

    Well Done Sir, Am In Somalia I Request You To Interpret Ma Dream, Yesterday I Received A dream In Night Hours When I Was With My Fellows Walking A Leafhopper Jumped To My Head Three Times, It Wanted To Go My Fellow Dodged It Then It Came Back And To My Head And Tried Go To One Again It Fails And Come Back To My Head. Sir What Does It Mean?

  • @sakinabakari9813
    @sakinabakari9813 4 роки тому

    Shehe mm sikuota ila mwenzangu aliniota nimekojoa sana hadi kitanda chake kikalowa kisha nikamwambia kuwa alete maji animwagie ili aokoe maisha yangu na akaniona eti kweli hali yangu inabadilika kisha akakimbia kuleta maji akanimwagia kisha nikarejea ktk hali yangu

  • @user-ij2bf8of8h
    @user-ij2bf8of8h 4 роки тому +2

    Waalykum sallaam warahmatullahi wabarakatuh shukuran

  • @athumanimihayo7100
    @athumanimihayo7100 9 місяців тому +1

    Mihirabu siyo wote wanajuwa ongea Kila mmoja akuelewe

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 роки тому +3

    Balaka llahu fiki

  • @salimosalimizyimo
    @salimosalimizyimo Рік тому

    Mbali na kua sijui kuandika kiswaili vizuri, lakini na kielewa vizuri sana kuasababu Mimi sio ntanzania , shekh , Mimi Nina suali, Ivi okiota unajisahidia kuenye utupu wa mwananke usiye mjua???, Mimi ni 🇲🇿

  • @hajraernest1562
    @hajraernest1562 2 роки тому

    Asalam alykum, nimeota "nimelala ndotoni na mumewangu shuka moja likawa limeloa mkojo sehem 2 lakini kidogokidogo"

  • @MwajumaMrisho-mw1pr
    @MwajumaMrisho-mw1pr Рік тому

    Assalam alaikum ikiwa m2 ameota anajisaidia haja ndogo haliyakuwa Yuko kwenye mzunguko wa hedhi.
    Na anajisaidia nj'e kwenye mchanga.

  • @jamilaadamu5503
    @jamilaadamu5503 2 роки тому

    Me nimeota watu wengi walikuwa sehemu moja wanajisaidia haja ndogo kwenye michanga Tena ikawa inatoka nying sana mpk zikachanganyikana zote hii inamana gan

  • @nailatanzania7376
    @nailatanzania7376 4 роки тому +2

    Walaikum msalam warahmatullah wabarakatul
    Je ukiota upo shule na ushamaliza kama miaka 10 iliyopita nn maana yake

    • @mtumwamtoo3199
      @mtumwamtoo3199 4 роки тому

      Unarudishwa nyuma kimaendeleo na wachawi

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 роки тому

      @@mtumwamtoo3199 mimi naiota sana yani kila mwezi lazima niote mara moja au mbili nipo darasani yani nimechoka kweli

  • @leydaihal9332
    @leydaihal9332 Рік тому

    Naomba unizaidie mm nimeota ninabanwa na mkoja Ghafla huo mkojo ukatoka nikadani hakuna m2 alieniina kumbe kuna kijana ameniona akaniambia kuwa ameniona nikaibika sana na huyo kijana walikuwa ni wa nyumbani kwetu alikuwa yy na dadake
    Kisha tukalala na dadake pia nikakojoa kwa kitanda nikawa na aibu kubwa sana 😢😢😢

  • @teresiakaluki7988
    @teresiakaluki7988 2 роки тому

    Niliota na osha kijana wangu na mgojo wangu kichwani

  • @fatmamussa5353
    @fatmamussa5353 2 роки тому

    Assalam alaykum vipi hali sheikh mie naota nakojoa chooni nikishtuka najikuta kitandani kumeroa

  • @mariamnyadzua6185
    @mariamnyadzua6185 3 роки тому

    Assalam aleikum sheik,m huota nakojoa n sehemu ni hiyohiyo kila nkiota

  • @user-sh5wo9dc4t
    @user-sh5wo9dc4t 3 роки тому

    shukurani , Na jee ukiota mtoto kakukojolea mwili mzima, inamaa gani

  • @selemannassor7605
    @selemannassor7605 4 роки тому +2

    Assalam alaykum shekh ila muda mwengine ukiota unatoa haja ndogo muda mwengine unakua unatoa kwel ukiamka ushajikojolea😀

  • @mwanakombokingi4967
    @mwanakombokingi4967 2 роки тому

    Asalam, alaykum, warahamatullah,je,kwamfano,nimelala,nikamuota,baba,mzazi,nimgonjwa,aliyakua,amefariki,,,nababu,wakukulea,,amekuja,aliyakua,amefariki,pia

  • @tinaagnes2301
    @tinaagnes2301 2 роки тому

    Asalam alykum... Mimi Leo nimeona nakojoa mikojo mingi Sana na haiishi mpaka mwenzangu akawa yuataka kuoga nikamwamba njoo uoge mmi bado nakojoa.. Gafla nkashtuka nikajipata nakojoa kitandani nikatoka mbio huku mikojo ikimwagika kitandani... Inaashiria nini

  • @hawashabani7896
    @hawashabani7896 3 роки тому +4

    Asalaam aleykum,Shekh na mtu akiota anaona matundu ya choo na anajisaidia je njozi hii yamaanisha nn

    • @ramadragon
      @ramadragon Рік тому

      HYO NIMICHONGO YA KAZI ZINAKUANDAMA

  • @elinazakyoma9898
    @elinazakyoma9898 3 роки тому

    Asamu aleikum nimeota namuona mwamke atoka akandogo

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 4 роки тому

    Aslm alkm jehukiota unakojoa ndani ya nyumba chumbani na umeinua godoro na hiyo haja ndogo inatoka ndefu

  • @magrethadam9467
    @magrethadam9467 10 місяців тому

    Sheikh samahani mie nimeota najisaidia haja ndogo lakin pamoja na watoto wangu wawili wakike hii itakua na tafsiri gani ila wakat huyu mtoto mdogo wakati anakojoa yeye alikua analia mno

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu Місяць тому

    Nimeota najisaidia haja ndogo nyingi sana ila jikoni je Ina maana gani hiyo ndoto shekhe

  • @zenahhussein9318
    @zenahhussein9318 3 роки тому

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.ukiota unakojoa mlangoni Kisha ukagundua Kuna watoto wanakuona Na mmoja yupo amechutama zizini yuamkama ng'ombe maziwa .Ina maanisha Nini?

  • @shufaamakame5839
    @shufaamakame5839 2 роки тому

    Asalamu aleykum
    Shekh nimeota mdogo wngu wa kike anajisaidia sehemu ilokuwa sio sahohi kw kujisIdia afu hpa hapo akatokea mume wangu ela yule mume hajaniona mm kama nipo pembeni nikamuona mume wangu akicheke na mdogo wangu kimatani huku akizishikilia sehemu zake za siri bila kuzitowa akazitikisa
    Jeee nini maana ya ndoto hiyo tafadhwal

  • @user-ub8yn7ev3d
    @user-ub8yn7ev3d 5 місяців тому

    Nimeota nakojoa kitandani😊

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 2 роки тому

    Mm nimeota mwenzangu anakojoa chini lkn namm mkojo wake ukanimwagikia mkonon kwangu wa kulia, nn maana yke shekh

  • @smsalama6540
    @smsalama6540 3 роки тому

    Shekhe mm nimeota nimempakata mtot wa kiume uku akiwa ananikojolea

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 4 роки тому

    Aslkm she.tufafanulie vizuri mtu akiota ni ndoto mbili.kujisaidia kwenye kitanda na chooni.lkn sio vitu unavyouza kweli labda lkn sizani

  • @FatmaTalib-eb9ex
    @FatmaTalib-eb9ex 9 місяців тому

    Shekhe ukiota umekunya yai na ww ni mwanamke,ina maana gani

  • @pilimlenge1289
    @pilimlenge1289 Рік тому

    Asalam alyk sheikh mm nmeota haja ndogo ndani mwangu nilpo maliza nikaifuta nn maana yake?

  • @princessattush1145
    @princessattush1145 3 роки тому

    Asalam aleykum shekh.. Nauliza jee mtu akiota yuwakojoa chooni.. Ila Choo hicho kimejaa haja kubwaa hadi yuwaiona

  • @dab8859
    @dab8859 4 роки тому +1

    Asalam alaykum shekhe naulza mihrabu nn

    • @WachajiWaForo
      @WachajiWaForo 3 роки тому

      Namimi nataka kujua Nini maana ya mihrab

    • @AlissaHussei
      @AlissaHussei 10 місяців тому

      Kwenye mimbari ya imamu

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 3 роки тому +2

    Assalam alaykum ostadh, nn maan ya mihrabu

    • @hubbyemmanuel3267
      @hubbyemmanuel3267 3 роки тому

      Halijibug msg hum hili

    • @fatumamwaveso247
      @fatumamwaveso247 3 роки тому

      @@hubbyemmanuel3267 yan acha tu kaka anaomgea vtu ambavy sisi wengin nimafumb madrasa tumesom lakin hatuwez jua yot inawez kua mtu umeot Hy mihrab alaf hujui Kam ndio Hy akikaa kmy cjui anamaanish nn😭

    • @nyamwinukankwera3749
      @nyamwinukankwera3749 2 роки тому

      @@hubbyemmanuel3267 Hahaha

    • @AlissaHussei
      @AlissaHussei 10 місяців тому

      Mimbari ya imamu

  • @piterkosimasi6348
    @piterkosimasi6348 4 роки тому

    D

  • @marionnthenya6182
    @marionnthenya6182 6 місяців тому +1

    Nini maana ya kuota umevalia vazi la gunia

  • @osinyoruth2769
    @osinyoruth2769 Рік тому

    Kukojoa kwenye bahari

  • @joharishabani8452
    @joharishabani8452 3 роки тому

    Asalamwa laiku shehe nimeota mtoto wangu kajikojolaa nini maana yake

  • @josephinenasimiyu2887
    @josephinenasimiyu2887 6 місяців тому

    Kuota unaona . Mwanaume anakojoa

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 8 місяців тому

    Mimi nimeota na kojoa sebleni

  • @zayoumaus8235
    @zayoumaus8235 4 роки тому

    Asalam Alleykum warahma tullah Wabarakatu sheikh
    Vipi ukiota kua umetumbukia kwenye shimo la choo alafu ikawa kuna watu wakusaidia kutoka kwenye shimo hilo

  • @ashahussein2734
    @ashahussein2734 2 роки тому

    Shiekh mi nishaota najisaidiya haja ndogo na Nimeolewa Maana yake Nini?

  • @halimagumbo7208
    @halimagumbo7208 2 роки тому

    Shekhe nime ota mwana mke mtumzima anaji saidia kwenye unga

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 2 роки тому

    Kuota umesimama unkojoa mkojo kwenye shimo lililojaa haja kubwa kwa maana chooni alafu unamilza unalala hapo hapo

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 3 роки тому

    Mh kweli ndoto ya kukojoa nyoka au samaki sizani kama ipo

  • @veronicapeter1269
    @veronicapeter1269 Рік тому

    Mimi nimeota jirani Yangu kakojolea kibakuli changu ,chombo cha Kulia nini maana yake

  • @SaidKhalifa-mh5cn
    @SaidKhalifa-mh5cn 3 місяці тому

    Shekhe nimeota mtu kanikojolea mkojo njian nn maana yake

  • @khuzaimathussein2813
    @khuzaimathussein2813 4 роки тому

    Shehe me nimeota mtoto anakojoa lakini mikojo ikanirukia nikamwambia anitie maji aliponitya mikojo

  • @KisubiLesage-z9g
    @KisubiLesage-z9g Місяць тому

    Lakini Ukiwa ni wanamuke anajisaidia ajandogo na ni damu

  • @muniranassor9015
    @muniranassor9015 2 роки тому

    Sheikh uwe unatafsiri hayo maneno ya kiarabu. Mfano umesema mihrab ila sijaelewa

  • @zolle2200
    @zolle2200 10 місяців тому

    Mihirabu nini shekhe

    • @zolle2200
      @zolle2200 10 місяців тому

      mihirabu ni nini sijaelewa

  • @aminashabani9893
    @aminashabani9893 11 місяців тому

    Ukiot unakojoa kitandan usingizini maana yake nini

  • @menginasma1479
    @menginasma1479 2 роки тому

    me niliota nimekojoa lkn nikaamka nimekojoa kwel kwenye godoro nn maana yake hii

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 2 роки тому

    Je ukiota umemaliza Yani umepizi na unajikuta umepizi kweli maana yake nini

  • @jumamwilola3341
    @jumamwilola3341 2 роки тому

    Milihabu ndio nini?

  • @asianurdin871
    @asianurdin871 2 роки тому

    Mihrabe maan yak nnn

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 роки тому +2

    Ha ha ha kumbeee Nukta ya 13😁😁😁

  • @robertnyelele9896
    @robertnyelele9896 2 роки тому

    Shehe ukiota kanisa manaake nin

  • @mafundaomarmakame8795
    @mafundaomarmakame8795 4 роки тому

    As alaykum sheikh, mtu akipta anajisaodia jhaja ndogo katika choo ila ni maeneo ya kazini kwake je?

  • @swafiaabdalla3897
    @swafiaabdalla3897 Рік тому

    Je tafsiri yake ni vipi ?

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Nini ni maana yake

  • @zakiaisangyo804
    @zakiaisangyo804 4 роки тому

    Naje ukiota unaokotahela

  • @magaombwana9397
    @magaombwana9397 Рік тому

    Mini maanayakumuota mtu amelewa pombe

  • @mamsmariam6670
    @mamsmariam6670 3 роки тому

    Ukiota farasi amekufa alafu akafufuka ametiwa roho yake

  • @user-gy8lk8te8d
    @user-gy8lk8te8d 4 роки тому

    Je ukiota wafanya aja ndogo jaani

    • @anwardamnan3616
      @anwardamnan3616 4 роки тому

      Sheikh pole watowa tafsiri ya ndoto. .lakini muhimu utowe dalil katika quraan tukufu au hadith za mtume Sallah Allahu Allehi Wasalam..Shukran

    • @batulimwammed2979
      @batulimwammed2979 4 роки тому

      Assalam alyekum mimi nmeota naendesha baskeli huku nibeba maziwa freshi napita sehem ambayo ina majimaji hapohapo mkojo ukanibana nikakojoa sehem kavile bafuni

  • @piterkosimasi6348
    @piterkosimasi6348 4 роки тому

    D