Ninacho elewaga nikwamba anapo pandishaga hasira mwinyi mkuu hakunaga kenge wakusogea kwahiyo wanao amini Zinga mwakatobe atakutana na kitu kama alicho pewa chief gonga like nyingi japo nimechelewa. ❤❤❤❤
Mnachelewesha sana kutoa vipande pia vipande navyo ni vifupi mno ongeza muda angalau dakika 22 kwa kila episode,sema watu wengine mazuzu sana badala ya kutoa maoni namna ya kuboresha tamthiliya wao wako biz kudai like na kujinadi wao nd wa kwanza
Mchezo mtamu huo jamani mtatuuwa huyu aliehusika katika maneno yakuambiwa mganga nampenda sana anajuwa tena anajuwa sana tunampenda zaida ya sana from uk salam zetu mpelekeeni🇬🇧
So de moçambique e gosto muito dos seus vídeos ❤❤❤ Por favor peço os vossos gostos, para que eu continue a demonstrar o meu love por essa linda história ❤❤❤ Habari zenu😂
@@benjaandea32 uigizaji unahitaji kuvaa uhalisiaa . Sasa mwakatobe sometime anatia uchalee mwingi mpk kuna muda anaboa . Wengi tumemjua chili km mchekeshaji . Lkn akiwa kwenye uhalisia wakiganga huoni akiweka comedy,, nahii ndio tofauti yk na mwakatobe .
Movie ni nzuri sema mnaweka fupi mno alafu mnachelewa kutoa tunaomba mtuongezee mda (Dakika) na mpunguze siku za kutoa ikiwezekana ata baada ya siku moja mnaachia
ANAE MKUBALI MWINYI MKUU GONGA LIKE HATA MBILI KAMA WA MKUBALI,KAMA YEYE NDIE MWAMBA KULUKUTANTA MATETELE WAAACHA, HAKIKA SEASON TWO ITAWA FIRE🔥🔥🔥,NAE MWINYI MKUU YUMO HATARI WEEEEEEEE,WANA BURUNDI TUJUANE🇧🇮🇧🇮🇧🇮 WANAO FUATILIA MOVIE HII KALI
Mnajitahidi kucheza movie ila mnaweka vpande vyenye dakka chache napia mnachelewa kutoa angalau mngeongeza dakka napia nawapongeza haca clam na mwaka tobe na mshangazi ✓✓✓ wapeni like zao❤❤❤❤❤
Soucis Total, kwa Nini bitu bizuri habidumu ? J'étais concentré n'a événement yenye imetaka kuwa à la fin, hélas ata à la prochaine. Youri de Youri depuis la République Démocratique du Congo 🇨🇩*
Tuliofurah Chief kupewa kitu kizito gonga like hapa
Gotea❤❤
😂
😂😂😂 Yani alijikuta mwamba kwa nguvu za kuiba na kapatana na Mwinyi Mkuu
Yan nmefurahi mno😂😂😂😂
Jamani 😂🤣
Yani mimi sipataki ata like moja depuis niaze commenté izi vidéo za brother Clam leo mimi wakwanza naomba like ata tatu tu😢😢😢🙏
Nimekusapoti usijal
🙏🙏❣️
Commenté ndo nini
@@Fcmobile-hy6pf ndo ku kometi
@@Fcmobile-hy6pf kifaransa hichoo
Uyu clam nani kamshauri kumreta mwamba chili daaah ameua kinoma.... mwishowe tutakuja kumuona Mzee msisiri humu ndani ..🙏🙏🙏❤️❤️❤️ naombeni like tano
Ninacho elewaga nikwamba anapo pandishaga hasira mwinyi mkuu hakunaga kenge wakusogea kwahiyo wanao amini Zinga mwakatobe atakutana na kitu kama alicho pewa chief gonga like nyingi japo nimechelewa. ❤❤❤❤
Aliyemuona MWINYI MKUU CHILL SOURCE GONGA LIKE KWA VEVO KAMA 100 HIVI
Nikajua mm tu ndo nimeona
Hata mimi😅
@@sharifamahamudu182 mambo sharifa
Ata mm
Hata mm
Mnachelewesha sana kutoa vipande pia vipande navyo ni vifupi mno ongeza muda angalau dakika 22 kwa kila episode,sema watu wengine mazuzu sana badala ya kutoa maoni namna ya kuboresha tamthiliya wao wako biz kudai like na kujinadi wao nd wa kwanza
Fact sana
Ww umeongea
Kwel kabisa mstafa
Kweli kabisa mstafa
Kwel kabisa mstafa
Mwenye amefurahi kumuona mganga mwinyi mkuu gonga dole twende sawa
Ni hatar nimefurh aisee big up
Ata na mm nimefurahi mno legend wa malegend❤🎉
Uyu clam nani kamshauri kumreta mwamba chili daaah ameua kinoma ...mwishoe tutakuja kumuona Mzee msisiri🙏🙏🙏🙏
@@SaidiAyubu-of8zt umeona eeh
hatimaye kijiji kinaonekana kupata mkombozi big up @clam vevo kwa filamu iliyo bomba yenye kupendwa na watazamaji like nyingi kwa mwamba show love
Waliokuwa wanaiwinda SNAKE BOY kila saa Mlango wao huu hapa wapite na funguo za like ♥️♥️
😂😂😂
😂
😂😂😂
Mie
Chili yupo kwenyeubolawake
…
Mimi ndiye chifu wa kweli….nipeni like angalau kumi njameni.
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Yah naona wamekutana na kiboko yao,,,kulinkuntanta mwantetema😂😂😂😂😂😂
😮Kila mmoja amefurahi kumuona mganga bwila "tambi tambi" 😂😂😂long time tucheki moto wake mkoo vizuri like 100 hapa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ usivuke bila kupiga like
😂😂😂
Hv sijui yan nimejikuta nimemfurahia atali
Mimi na subili amupe zinga piya kyake kimupate piya tafazali happ zinga asi mishinde
Sio Tambi Tambi ni chill huyo muangalie vizuri
Namkubali sana yani
Kijana nyoka wa Kenya 🇰🇪 hapa, niko ndani kama uja uzito. Hebu tuungane hapa niwameze❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅😅Eti uwameze
@@vovobi2379 😂😂😂
Nataka kumezwa😂😂😂
@@Rahmamusic-pw6ek 😂😂 ntakumeza usijali
Njoo unimeze
Mchezo mtamu huo jamani mtatuuwa huyu aliehusika katika maneno yakuambiwa mganga nampenda sana anajuwa tena anajuwa sana tunampenda zaida ya sana from uk salam zetu mpelekeeni🇬🇧
So de moçambique e gosto muito dos seus vídeos ❤❤❤
Por favor peço os vossos gostos, para que eu continue a demonstrar o meu love por essa linda história ❤❤❤
Habari zenu😂
Nakukubali sana kaka clam vevo kwa kazi mimi ni mchabikini wako niko msumbiji moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mie sio wa kwanza lakini nimefika,, mnipee likes hata tatu ❤
Mwakatobe ni hatari pongezi sana kwake asee kipaji chako Thumbs Up.
Eeh...wallai clam we kiboko..Hadi chili umemfikia kwenye hii movie..hakuna wa kushindana na ww Kwa sasa
Sehemu ya 14 ZINGA kaona kabisa mziki mzito maji marefu hayawezi😂😂😂😂😂
Walo kuwa wakidubir ep13 san kama mim naombeni like❤❤❤❤ sikuwa nalala kila siku ni youtube🎉🎉🎉🎉 fro saudia❤❤❤❤
Which country is this
Vizuri
Na usilale bdo
❤❤❤❤❤
Zaza mamb ...tumekutana tena huku
Mtu wa Uganda 🇺🇬 pekee napenda kiswahili good job
tume acha pazuli vevo usituweke sana basi kazi zako nzuri tunazifatilia kwauma kini sana😂😂
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Halafu kwa ushauli kazi zenu kwa sasa ni zakimataifa wekeni maandishi ya kutafasli kutoka kiswahili kwenda English ❤
clam vevo wewe ni king naku love sana tokeya 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Chilii kwa sektaa ya ugangaa. Anaitendea haki sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉 gonga like hapa kama unamkubali chili .
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Kwa nnavomkubali chill kwa uganga ata mwakatobe akasome
@@benjaandea32 uigizaji unahitaji kuvaa uhalisiaa . Sasa mwakatobe sometime anatia uchalee mwingi mpk kuna muda anaboa . Wengi tumemjua chili km mchekeshaji . Lkn akiwa kwenye uhalisia wakiganga huoni akiweka comedy,, nahii ndio tofauti yk na mwakatobe .
@@msouthdablack Saana 2kiachana na ushabiki xjaona m2 wakumpata Chilii kwenye uganga kwanza ata movie imekuwa na utamu wa aina ake
Safi san chief wa michongo kapigwa ni lidude jamani naomben like zangu hata 50 tu
Daaah! Sema mwamba anajua sana, yaani Clam Vevo wewe noma sana mwanetu, wale wanao kubaliana kauli gonga like hapa twende sawa kwa muigizaji wetu.
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Clam anajua na mwakatobe pia ninoma sana
Wamwisho jamani naomba like na mie agalau niskie raha twende sambamba na chili mganga 🎉🎉na super director Mr kakoso na vevo boy
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
OA MM TEAM VILLA HAHAHA WANGAPI WAKO TEAM MWAKATOBE AU ZINGA UP NEXT MOTO UNAWAKA 🔥🔥🔥🤑🤑
Mwenyez mungu akupenguvu uzidi kutuletea Mambo mazir zaid
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Wangapi wanatamani zinga apigwe kitu ❓
Kutoka Congo Lubumbashi DRC 🇨🇩 congratulation bro 🎉🎉🎉 naomba likes 20 basi 🎉
Nimekuwa Wa kwanza from Dr congo nipe like zangu kama umekubali vevo❤
Usijal ndugu yangu toka 🇨🇩
Ulianza depuie zamani🇨🇩
🎉❤ from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nataka kuja congo , Niko kenya 😂utanikaribisha
Nakubali
Hatukatai kitu kizuri kinaitaji mda lakini mnakalisha saana from kenya 🇰🇪🇰🇪likes tukisonga😂
🎉
Tunao mpa pongezi vevo kwa good 👍 job tujuwane kwa like❤❤❤❤
Oyaaah wazito mnaona aje snake boy ikuje kila siku
waooh namatumain clam atapona sasa nina furaha mwenzenu jamn
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Movie ni nzuri sema mnaweka fupi mno alafu mnachelewa kutoa tunaomba mtuongezee mda (Dakika) na mpunguze siku za kutoa ikiwezekana ata baada ya siku moja mnaachia
Bora ata ww unaongea Cha maana alaf hawakup like lakin wengne naomba like 3 tu nawanapewa
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Chief leo kayakanyaga maji ya betri😂😂
Ebu gonga like kama naww umeipenda ile kombora 🎉
ANAE MKUBALI MWINYI MKUU GONGA LIKE HATA MBILI KAMA WA MKUBALI,KAMA YEYE NDIE MWAMBA KULUKUTANTA MATETELE WAAACHA, HAKIKA SEASON TWO ITAWA FIRE🔥🔥🔥,NAE MWINYI MKUU YUMO HATARI WEEEEEEEE,WANA BURUNDI TUJUANE🇧🇮🇧🇮🇧🇮 WANAO FUATILIA MOVIE HII KALI
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Wa kwanza leo kutoka kenya🇰🇪 ..naombeni likes
Clam vevo unazidi kuwasha Moto Kila kukicha nipo na Wewe mwanzo mwisho
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Chilii mwana wasosi..
Unaijua kuitendea haki..mikoba ileile👊👊👊😀
Nani yuaona kama mimi jamani hii ndo yaisha nautamu wake❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪kama wafkiri kama mm niachie like pls
Clam kwa kweli unatpunj kbs nakutuachia kiwi basi paddings seconde sta 27 mpaka 30
Leo Mimi ndo wakwanza nipeni likes zenu from Kenya 🇰🇪
Nina appreciate kazi anayo ifanya director KAKOSO, nafatilia hizi kazi from DRCongo, really all congratulations!
Mm hapa ni mtazania mashabiki wa clam vevo naomben like jamn hata moja tu 😢😢😢😢😢😢
Wa kwanza Leo nipeni like zangu from Mozambique 🇲🇿 plaus
Afu uyu clam daah❤❤❤❤❤ unatisha kanumba wetu wa sasa twende kaz like hapa tunao
Mkubali
Jaribu kuwa na matumizi mazuri ya neno "Kanumba", kuwafananisha hawa vijana na Kanumba ni sawa na kumwaga maji baharini...😂😂😂
Imeishia patamu sana vevo toa kitu👊🏼
Mbna watu wanapta likes nyng ivi ,m mbona sipat kma nyny jamani , nami nipeni walau zifike 100 na zaidi ❤🎉❤
Kazi nzuri sana, endelea kukaza buti ndugu. Ila tunaisubiria kwa amu big bos
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Kudadadeki chili Katia nanga ndani ya mjengo🎉
Htr 🎉🎉🎉🎉mambo yamenoga balaaa
hii nimeipenda
Nampenda saaaanaa CHILLI anajua sanaaaaa. Keep it up CHILLI#number 01 fun
Mnajitahidi kucheza movie ila mnaweka vpande vyenye dakka chache napia mnachelewa kutoa angalau mngeongeza dakka napia nawapongeza haca clam na mwaka tobe na mshangazi ✓✓✓ wapeni like zao❤❤❤❤❤
Kazi nzuri!Mungu awaongoze vyema🎉
Team clam vevo, wakumi Mimi apa kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩, like moja tu . Niko na mahali pakuli uza
Toujour bana mboka❤
@@edisondaudi8422 +243 ❤️❤️🇨🇩🇨🇩
Zinga 🙌🙌❣️✌️😂😂One love from+254🇰🇪❣️🙏🏽🙌👑
Nipeni hata like moja tu jamani leo nimekuwa wa kwanza kweli kaka clamu anajua sanà huyu jamaa bigg up sana
Clam mmechelewa sana kutoa huu uhondo ❤
Mvua zinazingua
Kweli wamecherewa
Safi kabisa, toeni hâta vipande viwili kwa siku❤
munachelewesha sana niliona itakuja 13 na 14
Muendelezo usikawie jamani ngoma imekua tamu mnooo
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Nmekuwa wakwanza kutoka Kenya naomba likes zenu...alafu leo moto
Gostei do episódio assistindo em Moçambique distrito de palma
Chili kama chili mganga wa uhakika tutibie ntanzi wetsuu🎉❤❤❤
Jaribuni kuwa mnatoa angalau vipande viwili kwa siku mnapendwa
Yeah
Kwel kabsaaa
Wafanye hivyo
Vipande ndio nini😂😂😂 episodes ama
Ivi nyie mnafikir vipande Wana Download tu au,,
Mafans wa manhã chili mupo
Clam Ongeza dakika please tunajua changamoto ni nyingi ila jitaidi baba 🎊 🎉🎉
Amazing.jamaa wa Rasta utazan nyoka kwer
UJIO WA ZINGA KATIKA IMAYA HII NI SAWA NA KUMWAGA MAJI KATIKA BAHARI
Kabisaa
hafai kabis
Ume nena
@@user-de1qc2ds8m jamaa amuogopi ata kidogo kivumbi ep 14
@@ashasalimin1033 Yuko serious kinoma
Ongera kwa kazi nzuri unayo fanya
Huwa namkubali Sana Mzee wa Mantetele kwenye kazi yupo vizuri sanaaa
Hii move imekua tam zaidi jamani duu🙏🙏🙏💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Director Kakoso unatakiwa upewe maua yako uko poa mzee Huna baya
❤
Shenzi sana nyie watu mnachelewesha mpaka tunasahau kama mpo
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nimecheka😂😂😂😂😂😂
Mmmmh makubwa😂
Uyu anawadai nini😢😅😅
oyoooo mta alamu chili oya vevo uko vizuli kk big up
Na peperusha bendara ya Congo froom Bukavu 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakwanza Leo from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤩
Jamooon jamoon kumbee na ukoo mvuaaa jamoon ndo manaaa nkashangangaaa mbnaaa inachukua mda ivyoo kilaa skuu naserch spt
kaz kaz ndugu nakukubali sana ila tume miss BIG BOSS SEASON TWO
Sana yani😊
Leo Mimi hapa naomba like zenu na mungu abariki wale wote watakaofanya hivyo Kila mwenye moyo safi atamsifu bwana
Leo nimejaribu 👍
Oe hatua nzur so far so good tuendelee sasa
Kumuweka chiri humu mmeongeza kit kikubwa Sana big up cram vevo team
Nmewai leoo ❤❤ hta 5 tu angalau
Wakwanz leo nawakubali sana
Team Clam ni Noma kweli. By Moses from Butembo
Ubaya mnakaa mda mlefu halafu mnatoa VIPANDE vifupi
Nimeangaika kui search nikijua labda UA-cam yangu mbovu kumbe ilikuwa bado Asante sana clm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😄 🤣 😂 😆 hunishindi mimi yaani kila siku nilikua na search 😄 jamani CLAM kajua kutuchanganya
wakwanza mm naombeni like zang ❤❤
❤
Kazi nzuri san mashaallah ila inachukua mda mrefu mno dhaa 😮❤❤❤❤❤
Soucis Total, kwa Nini bitu bizuri habidumu ? J'étais concentré n'a événement yenye imetaka kuwa à la fin, hélas ata à la prochaine. Youri de Youri depuis la République Démocratique du Congo 🇨🇩*
Aki hongereni sana ni nzuri mpaka basi am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Wa kwanza nipen tu like zangu zakutosha
Mwambaaa ongeza muda vipende it too short big up to you clam with your team for the better work,well done brother
Hii Ndo kiboko yawo huyo mtaram aliyempa kitu kizito chif nimkali kinyama na anafaa sanaa Oya we Oya we clam mbona unatuacha na ham
Mwenye kufurahia kama mimi hapa vile kijana wetu aliweza kutoroka wapi likes 👍👍👍hii ata ikifika episode 50 nko ndani, wakenye mpo❤❤❤ xxx
Tupo
@@ramasarai7875 kabisa👍👍👍
ua-cam.com/video/ll-bREK3qFo/v-deo.htmlsi=rSx9Ealc4kVZrmj8
Aki mnatukata steam aisee mnavyotucheleweshaga, anyway tunazidi tu kufwatilia ❤ u from🇬🇧
DAAAAH NIWE MKWELI WANAO IGIZA HUU MCHEZO WANAJUA SANA KUMPAMBANISHA CHILI NA MWAKATOBE NIVIZURI WOTE NIATALI NAKUBALI CLAM VEVO UNAJUA
MWINYIMKUU. From Maneno Yakuambiwa to SnakeBoy🙌🙌🙌🙌Clam wew ni mkubwa saaana
Snake boy ni yamoto sana 🔥🔥🔥🙌🙌🙌💪