BEST FRIEND ❤️ | 3 |
Вставка
- Опубліковано 6 вер 2023
- Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
people/CLAM-...
#clamvevo
This video is fair use under U.S. copyright law because it is non-commercial, transformative in nature, uses no more of the original work than necessary for the video's purpose, and does not compete with the original work and could have no negative affect on its market.
Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for 'Fair Use' for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research, Fair use is a permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use - Розваги
THANKS GOD MY ACCOUNT IS BACK
Amen plus we had eagerly waiting for this episode keep going on bro you are such a vibe
Naomba nisaidie kupata iyo nyimbo kwenye movie Yako please 🙏 boss
Next pliz clam,,,ikuje haraka
Amen🎉we were eagerly waiting for this episode🤗
respect brother clam ❤
Kama ilikuwa unaisubiri Hii Movie Gonga Like Za Kutosha🎉🎉🎉🎉
yaan saana tu
So zaidy ya kuisubili nilikuwa naiota 2
Mungu ni mwema🙏 | CLAM you’re the best, Kama unamkubal CLAM gonga like yako ya upendo…❤️🔥
❤
mambowwunaitwann
Best friend ni 🔥🔥jamn clam unajua
NIPENI ATA LIKE 20
Ww mdada unakaa wap nakupnda atali
X
Mlaya
Ninachopenda kwenye kazi zako ni hautabiriki wala mtu hawezi kutabiri kinachofuata ni nini,hii ni creativity ya hali ya juu 🙌
Hii ni zawadi clam kapewa na mungu buureee!!!!
Jamaa hatabiriki mi nilijua anae ua ni mama wa yule bint kichawi kumbe sivyo
Nilikuwa naisubiria kwa mda mrefu best friend part 3 maana nilijua itakua mkali kuliko hizo mbili za nyuma Kwa hio niwaombeni like hata tano tuh ❤❤😢😢😢
Nafatial kutoka Qatar kweli Clam ni mwamba story imenigusa sana haswatan kumuona mtoto Sasha kafa nnatoka na chozi mie... Gonga like kama unamkubali Clam.
Clam wewe ndo muigizaji bora Tanzania nzima 💪
Maua yako nakupa 🙏🙏
Wooooow atimae nimeiyona tena tukiesubir kwa hamu San hii movie gonga like apa tuendelee kuinjoy na clam VEVO 🥰🥰🥰🌹🌹
Ambao Tunaoangalia huku tukiwa tunasoma Comment weka like yako hapa. Clam vevo never disappointed
Wingizaji wa clam kwenye hifilam ni wa kiteknoloji sana❤ tunakupenda...😅 I"m from Mozambique🎉I❤you Tz.
Hii ndiyo maana halisi ya Best Friend ❤ Kulipiza kisasi kwaajili ya Rafiki yako ni Urafiki Mathubuti Aise🎉🌹🌹🥀
❤clam umeweza🎉Team mambo ni matatu 🇰🇪🇰🇪pitieani hapa tukitafuta wenzetu😂😂
Inaumizaa😭😭😭
nirikuwannaisubiriakwahamu
lcramunajuasanakuigizajitahidi
kuwaimarannajuakuigizannammnitakwakamawwrakinisinakipajikamawwnakupongezasanall
Movie iko reality sana aiii congrats! Clam kwa talent yenu nipee tu like kam wampenda Movie za clam✓
Mimi sio mtu wa bongo movie ila Nimepita kwenye Movie hii ya Best friend 😍 jamani Clam Vevo ni mtu aliekuja kwa aina yake pia anaubunifu ndani yake tofauti na kizazi kilichopita
Apewe like zake.🔥
Love ❤ this movie from South Africa 🇿🇦🇿🇦 best friends Ila clam ajitaidi kuwa ata arakisha tumesubiri iyi sehemu ya Tatu Kwa hamu sana ❤❤❤❤
Dah! Movie kali sana kama unakubali hiki kigongo gonga like hapa🎉
Nakubalii
Mimi wa kwanza from kenya wapi likes❤❤❤❤
Wale tunasubiri 4th episode like hapa❤
Yan series kama hizi ndo znatakiwa ziruke kwenye ma TV maana inamafunzo mengi sana, hongera sana clam hili n wazo kali sanaaa👏👏👏👏
Umeona eeeh
From Kisii Kenya I was waiting for this amazing series🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Happy to meet a kisii guy like mee
Wow! Watu wa kisii tupo tz
Tupo kwa wingi wapi nduru
Pamoja kutoka kisii
Tupo wengi kisii hatupaki nyuma ng'o
Mimi wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 napenda sana film ihi,
lcramnnajuahatuangushiachia
xneckboymaanatumeimisisanausituangushelcramvevobbaasma😅😅
From Kenya 🇰🇪 na fatalia nikiwa Saudi Arabia clam hongera sana my brother ❤❤❤❤❤
Toa sehem ya 4 fasty bana clam unajua nn unafanya kazi safi sana best friend pamoja na big boss hatari mwanangu nipo Kenya sehem ijulikanayo mtwapa kilifi county nakupa asilimia 💯 Kwa 💯 GOD JOB
Niko ndaaaaaaan ndaaaaaaani kabisaaa rusha like kama Tesla unamkumbali all the way from Kenya Nairobi
From Mombasa Kenya, hii kitu nimeisubiri ka mtoto aliye tumboni ❤😊
Niko wa Mombasa pia pamoja sana 😂😂❤❤
Kazi nzuri ya sanaa clam vevo hongera kwa kazi nzuri ila hyo part 3 inaogofya
Clam Ww Ninoma ❤️🔥❤️🔥penda sana Kazi Unafanya
Movie iko realistic saanaa mpaka unyoaji wao hawa jamaa..congrats sana
Naleo jamn nikose like 😂ebu nipeni like zangu jamn from rwanda😂
Hongera sana kaka kwakazi yako mungu akuzidishie ufike mbali zahidi na zahidi
Clam hongera sana, kazi ni nzuri sana.
Ina ujumbe mzuri sana kwani haya yaliyofanyik kwenye igizo hili huwa yanafanyika hata katika jamii yetu ya kawaid.
Clam hizi kazi za skuizi unafanya zina ubunifu mkubwa sana. Achia na BIG BOSS season two tumeimis sana
The fact that clam does revenge makes me happy ☺️❤ true definition of besties ❤❤❤
@@aishanatecho4139 a friend taking vengeance on behalf of his bestie. That’s loyalty at it’s peak.
huyu jamaa me nahis sio chiz anajifanyisha tu mwsho atajulikana tu sio zuzu ivyo
Exactly ❤
Siku zote clam huwa napenda kazi zako❤❤❤
I still can't imagine the creativity! yani kama Netflix series vile. Everything is giving from the story baseline, the editing, and its full of surprising scenes yani huwezi guess nini kinafwata. In short salute you bro Vevo. good work!
Umeweza kufunguwa Ku assante sana from 🇲🇿.
Kanumba is back men,,,,,clam natabua kazi yako brother✅✅
Hongera sana Kwa wasanii na Waongozaji wa hii filamu turudishieni heshima ya bongo movie
Video iko vzr sema unavyoigiza muda wote kama ndondocha ndy una haribu yaan hatuelewi ni chizi au laa
Tuna shukuru mungu kwakujaaliwa imeipata tena account yako bro, Clam vevo for life 💪 mimi ni wa kwanza shabiki wako we need more videos cause we missed you.
Leo ni chapati tu 😅😅😅
Hongereni wote mnafanya vyema sana
Kama wewe ulikuwa kweny best friend toka ep1 hadi leo gonga like hapa
Iyo nayo imeweza zaidi part 4 ije twakupenda sana clam vevo
Clam utafugwa maisha utaozea jera sikufichi kama umetoa roho Tatu kwa roho moja 😭😭😭😭Mapenzi wewe 🥰🥰🥰
Bado na ya nne atatoa tena 😂😂😂
Hajatoa roho ata moja...kwa maana hatujaonyeshwa...kile kisu na shati kulowa damu isikutishe...Na hata clam Kama ameua..ye Amesahau
@@user-td6ln1jg1t kasahau kweli 😂😂
@@user-td6ln1jg1tkweli atatuambia kasahau😂😂😂
Watanzania msininyime hata like juu ya kaligraph , I love you from Kenya🇰🇪
Uko wapi coz pia mimi am from Kenya 😮
😂😂😂😂 nyinyi niwenzetu hatuna namna
@@crazydantee2393chuka Kenya
Much love clam good work from kenya❤❤❤ungetuletea mbili tujiburudishe sisi mashabiki wako👪👪ako awimbo kananibamba sana🔥🔥🔥
Huenda ukawez kutuhamasisha kufuatilia bong movie maan tulisha zisahau
Kk upo vzr hongera yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Why do I keep crying when watching Best friend 🥺 this is beyond our expectations for you Clam🥰👏👏 keep soaring higher 🇰🇪🇰🇪
Wakenya shobo😂😂😂😂
You must be having very cheap tears my sister,Cry for your soul,not for a movie,ni maigizo tu
@@nyoksheaven2031 okay, continue crying your crocodile 🐊 tears 😭 in peace,work on your instant tears
@@erickmeshac3135ni muvi but in reality ndio maisha yetu hasa ukiwa masikini haki huna
amazing movie best friend 😍😍😍 congratulation clam vevo for bringing it back 😘😘😘 we loved you clam and your team 💖💖💖 you are doing the best 🎊🎊🎉🎉 keep it up 👏👏💪❤❤❤
!?
Picha za Clam nashindwaga angalia Yani EP 1 Leo nyingine ndani ya week ijayo jaman picha zako zinatukata utamu Raha ya hii weka tuweke kila siku 2 hata Moja ilimradi tusisahau kama Kuna season tunafatilia
clam we ni noma na nusu hunaga mbambamba fyelea mbali wote
God knows how much we struggle to make this account big, I thank him for helping to bring it back again, keep working hard.
;? 🎉❤😮
Imv
Ly 🎉❤n
😊😢🎉😢🎉🎉😢🎉🎉😊🎉
God did
🙏🙏
Clam unatuweka sana bro 😢tunasubir mpka tunachoka tufanyie kila wiki kipande kimoja au kila jumamos
Asante amir khani wa bongo. Good acting PK sir wabongo
From Muranga Central Kenya we were eagerly waiting for this...shukrani kwa kazi njema mkuu,tunakuenzi sana
Naitwa chichi naomba nisaidie kusubscribe
Kwa hamu niliyo kuwanayo kwa hii episode hadi naona movie ndefu😂😂 congratulations kwenu🎉
Daaah nimefurahi hao makatili walivouawa... Ila imeniuma clam ndy kufanya hayo❤❤❤❤❤❤❤❤ na Sasha kujiua
Woow sijawahi kukaa hata siku moja kuangalia movie za kibongo, lakini daah hizi movie zako mmeweza sana sana hongera clam vevo bravo 👏 🙌
Nani nime wakubali sana jamani nipeni naface ya kujiunga na nyinyi nawaahid kufanya makubwa🎉
Hongera sana kwa kazi nzuri......director anafanya kazi nzuri na pia ana ubunifu wa hali ya juu
Ongereni Kwa kazi nzr, mwendelezo please
Jamani best friend tulihisuburi kwa ham san wangapi tunamkubali clam gonga like jamani
Yani upo tofauti na wengine clam ni mmoja tu mungu akujaalie zaidi ya apo
Nimechelewa sana kufatilia hawa Jamaa,big up kwenu.
Hapo sasa pamefikia patamu sana ndio maana filamu ilichelewa walikua wakituandalia vitu vizuri sana❤❤❤❤
kwel kabisa
Clam uko vizuri Sana, hata kanumba Na kingozi Kando 254
Wakwanza mimi Leo naombeni like angalao 10 tu natoka mozambique good clam
nakukubal xana big broh angu clam vevo na Vile tuna fanana kama mapacha Vile komaaa kasaaaa utapataaa kaka malufuku kukataa tamaaa
Kazi nzuri sana imepenya mpaka DRC 🇨🇩 nimeipenda sana na nimeisubiria sana ❤ Big Up
Clam upo vizur sana broo hongera mungu akuzishie baraka
Nimekuwa wamwisho naomb like jamn 🙏🙏🙏🙏🙏 kutok Kenya kazi nzuri clm nawapeda buleeee❣️
Mimi ndo wa kwanja ku ifata hui épisode ❤❤❤
Kazi nzuri Sana kijana unatendea haki kipaji chako
noma sana nikazi moja tu nikupambana na changamoto zinazo kuja mbele yetu bigap sna kazi nzuli
kazi mzuri #CLAM VEVO Upewe mauwa yako umetishaaa sana kuna mengi ya kujifunza kupitia #BEST FRIEND. Haya Mambo yapo kweli jamani zetu wapo viongozi ambao watoto wanawaona ni WATHAMANI sana kuliko watoto wa wengine yaani wanaona watoto wao ndo wenye haki wengine kama mZazi amemnya kumbe nao wamezaliwa na wanahitaji haki sawa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Clam vevo kweli hii kitu uliitengeza kabisa ila inaumazi
Moyo Sana❤❤😢
Kutoka Bungoma Kenya, kazi njema bwana Clam
Hii ni muoto, tokea Nairobi Kenya ❤❤much love, show love 💖💖💖💖💖
Finally, usicheleweshe mafans wako sana
This is most story tumefikia kiwango like Indian movies big up
Mr vevo hongera sana jamaa we ni noma ongeza ujuzi tu kuningia International
Wakwanza leo nipeni like zangu best friend 4 every one
I love 💕💕 All my best friend part 4 naisubiria sana aki uko sawa
Mnachelewa san kutoa chuma kwa wakati mpk tunasahau mkali🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Dah kwel benny shizzol ni mwamba wa sauti❤❤
Mfalme mwingine tayari amezaliwa ,uishi milele mclam VEVO ,big up bro ubunifu mkubwa sana
MAJAGI AJIANDAE AMEPATA MPINZANI KWA STORY CLAM HII AINA PINGAMIZI AMA SASA INGIA KWA TV CHUA MADILI 🎉🎉🎉🎉 TATIZO LAKO MOJA UNACHELEWESHA KAZI SANA MPAKA MTU ANACHUKIA ILA HII IMEENDA ❤❤❤
From turkey 🇹🇷 like zangu japo.pia fateni na kwangu 😅😅
From MZ🇲🇿🇲🇿 Bom trabalho Clam👍👍
daah jaman taften hela clam jaman hatma yako ni ipi baba😢😢😢 RIP sasha
This is the best series to exist ever in Africa
It seems you haven't watched much episodes,you must be new to watching episodes,keep going
Asee hili n bonge la movie inasisimua sana 😢 hembu tuone part 4 itakuwaje duu maskin mwanafunz clam
Nzur sana hy broo umetisha sana hata kama ni mm kazma nilipe kisasi
Yes dawa ya moto ni moto tu kama pesa ndo Kila kitu bc iyo pesa izungumze na kifo real I like it ❤️❤️❤️❤️
CRAMOO USI SAHAU NA BIG BOSS AISEEEE PLEASE🥲🥲🥲🥲
Jamaa uko vizur...unatoa kazi zimenyooka..Yan can't wait for part 4
Clam upo vizuri sana mzee mwenzangu Ila kwa uyo ticha cjamuelewa😮
CLAM VEVO.. big up men. Still waiting for part 4.. and big boss season 2. Watching from Kenya. Amazon nairobi
Jamaniii hiii movie ni fireeee💯💯💯kama unaikubali pita kwa kugonga like.😂
Tuko mbele pamoja ..
One love from Kenya 🇰🇪.
Nakubl sana kaka kazi nzuri natamani ixhiishi ulikuwa wapi sku zote lete vitu situpo tunasubili ❤