Jamani baba mwakatobe na mwanawe clamu wote wanapoteza kumbukumbu 😂😂😂😂sikaz hii nayo kipara umenifuraisha iyo nyimbo yako Atari 😂😂😂😂😂😂bigap wazee mko sawa mia mia ❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up clam vevo .am a Kenyan 🇰🇪but watching from kingdom of Bahrain🇧🇭.Tunakukubali man , guys kwenye anakubali clam hajawai kutuangusha ,agonge like apoooo👍👍👍
Clam kwakweli amekuwa mkali kwa acting sio kama miezi ilopita ...keep it up bro kwakweli unatupa burudani kwa sasa since uanzishe kipindi cha big boss sahi tunafwatilia best frnd.....tukisubiri part 2 big boss
Jamani nawapenda wote nyny ni mashabiki zetu tupo kwaajili yenu mm ni msanii wa kuigiza kutoka odemba film iko youtibe naombeni muangalie kazi yetu inaitwa malipo ya makosa asanten
Ahsante mno kiongozi vevo umenifanya nimjue kijana mmoja mpambanaji bigup bro #bennyshizzol #kamaikitokea bonge moja la ngomaumemsapoti kweri hauna hiana vevo Mungu akusimamie sana na ufike mbari na mbari mno🙏
Bro vevo kindly come in Rwanda 🇷🇼 cause your performances is not only for Tz but also internationally level bro. Sometimes I find my self acting with you through dreams ❤️❤️ always your actions inspires us . Clam I'm your Best fan amongst the fan you have all of the world
Mwanangu big up sana huo ndio muda sasa wakutumia kipaji chako nikusaidie kuinua maisha yako na usikubali kutumika kunufaisha wengine mdgo wangu mana muda wako ndio huu
Vevo umetisha kila Siku unagood idea your Tallented 💯💯. This prove how artists is. THE BEST FRIEND Reveals life experience ✍️✍️✍️✍️ Umenikumbusha mbali kipindi nipo field nafundisha mwanafunzi anachora Catoons😂😂😂😂😂 Tusikate tamaa ualimu Ni wito.
Talanta imekukubali Clam.....napenda utahira wako.....barikiwa sana kwenye juhudi zako👏👏👏Toka Kenya
Dadeki Clam ni 🔥🔥🔥🔥,,kaamua kutuletea dubwana jipya I hope 🤞 tutaenjoy 😊,,kama na wewe umeikubali hili ingizo jipya la season gonga like 👍 hapa ❤
hili DUBWANA nnaliludia bila kujali MB zangu @clamclis 🙌🙌
Itakuja lini?
Clam
👍
@@SamweliMwakalibela-xp5yk6:35
Nyie hii movie Clam umeuaaaaaa...yani hadi nywele zinasimama nikiwanaangalia🎉❤
the heat is amazing.naomba hiyo song nijue inaitwa vipi kama umeipenda nipe likes jamani
Kama ikitokea by Benny shizol
❤❤❤Same here
Safi sana
@@preciousnasha2074shukrani sana umenisaidia na mimi pia maana nilikuwa naitafuta.
Clam vevo never disappoint nakubali Sana 👏🏼👏🏼 wale wapenzi wakusoma comment huku tukiangalia tujuane kwa like Clam kanyoa jamaniiiii 😲
😂
😂😂
😂😂 para
Dah uyu jama anatisha nimkar
Tuko hapa mzgo tumeunasa BOSS,Likes kwako mkuu tunaenjoy kaz zako ubarikiwe…Gonga likes za upendo kwa CLAM 😊❤
Hawa wanafunzi wakubwa aisee
ua-cam.com/video/aoKkjzpIbHk/v-deo.html
Ivi iyo nyimbo ya nani
Wimbo awaja uweka UA-cam
@@JumanneSalum-sp5coilo swali ata mm nilitaka kuuliza
i kali sana tungali twasubiri big boss kwa hamu fanya upesi
Jamani tunaomba yakuendeleaa bona parti 2 tu 😢😢😢 mtuburudikishe man iyi ni moto walahi ❤❤❤😊
Jamani baba mwakatobe na mwanawe clamu wote wanapoteza kumbukumbu 😂😂😂😂sikaz hii nayo kipara umenifuraisha iyo nyimbo yako Atari 😂😂😂😂😂😂bigap wazee mko sawa mia mia ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni ya nani uyo song
Hii nyimbo kaimba nani Jaman
@@FellyAbnel-wt1ybBenny shizzol
@@neemanelius2478Benny shizzol
@@neemanelius2478 ipi iyo my dear
Uyu jamaa mkali sana 😂😂😂😂 nimefurai sana nipeni like ata kumi jamani
😂km taila
Samahan hv jina la wimbo huo unaitwaje
Clam nasubiri ep ya 2
Kaka nimekuelewa Kwa hii kishule shule
Benny shizzol kama ikitokea
Hakuna maish matam shule kma mwanafnz ukiwa unjitambuaa like nbest ake vevo
....guy is on high🎉🎉big up kwa Clam❤
Waiting for big boss Season 2😊
What?
Nakukubali Clam maana wewe ni kijana mwenzangu mpambanaji big up saana from *254
Yote kwa yote kama na wewe unaisubili BIG BOSS season 2 gonna like hapa 👍
Kwa hamu kabisa
Clam vevo anatafuta ugomvi asiouweza 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂
Clam BEST FRIEND imekaa powa ebu iendeleze ep 2 bas tupate uondo ngoma kali
Ivi kwann azam wasiwe wanatushia mvi za uyu jamaa da la sana mwamba anajuwa sana 😂😂😂
#CLAM VEVO upo vizuri sana brother kazi safi sana pongezi kwako.
Kama na wewe ni team mwakatobe nipe like zangu..... Rafiki yako ni mcheshi mchanga nfu!😂😂🇿🇲🇿🇲
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwakatobe to the 🌎
@@donaldswebe we mchumba tu we zuchu🤣😂🤣
Kashahongwa ela mwakatobe hawezi msifia kibaka bure
@@beyondmediatz1607 inapeleka shobo
Uko zambia ipi iyo
Clam kweli namkubali Ila ananikela kuinamia vile mbona kama anajiarbia uigizaji😮😮
Nahh ni nzur sana hongela clam mungu akupiganie japo namm nataman niigize nawe sana sana tu!!! Please clam🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo ya vevo nimeipenda kwel ❤❤❤❤
Clam vevo unachuwa hadi unajuwa tena ❤ baada ya big boss nikajuwa utapotea kumbe ndio kwanza unaanza 😂❤❤❤❤❤
Duh nlivyotafuta huu mwimbo sasa hadi kuupata nimetoa jasho😊
16:28 ...hapa shangaza aduiii🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤭🥳🥳🥳💯💯💯 #Clam Vevo🎉
Big up clam vevo .am a Kenyan 🇰🇪but watching from kingdom of Bahrain🇧🇭.Tunakukubali man , guys kwenye anakubali clam hajawai kutuangusha ,agonge like apoooo👍👍👍
Clam kwakweli amekuwa mkali kwa acting sio kama miezi ilopita ...keep it up bro kwakweli unatupa burudani kwa sasa since uanzishe kipindi cha big boss sahi tunafwatilia best frnd.....tukisubiri part 2 big boss
Kumbe ni msanii mkali mnooooooooooooo calm 💣💣💣💥💥💥💥💣💣
❤❤❤ I'm so sorry to watch late I wish I could a were mwanzo. big love clam and the rest of your time big respectful ❤❤❤❤ love you 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Napenda chapati na maharage😂😂😂😂😂😂
Hellow mamb..
I'm ur fan from Kigali Rwanda 🇷🇼 nawapenda sana watanzaniya ....turabakunda
❤❤❤❤❤❤❤
Najifuza mengi Sana kwako Kaka nyimbo zangu ninazo imba mashahili natoa kwako Kaka wewe ninoma Sana mungu akulinde sikuzote 👏👏👏👏❤️
😂😂😂😂😂 mwalimu mfundishe adabu mwanafunz huyo iweje akuchore na tumbo kama hilo wakat huna tumbo
I'm so happy to see your work again Clam VEVO!! From Burundi 🇧🇮🇧🇮 we love your works!!
video ua-cam.com/video/wMQV7d-Y2EU/v-deo.html
Aiye nipitie n mm usubscrib🙏🙏🙏
Kazi mzuri sana #Clam vevo upo vizuri sana KAZI KAZI bless.
Natokea Kenya naomba isiwe fupi tafadhali,,, iwe series ndefu,, na pia big boss isisimamie pale clam vevo,,
Clam vevo na wala usichelewe kubwaga mzigo WA part 2 kabla ya wanafunzi kurudi chuo maana wanipenda Sana
Mimi wakwanza jamani Kama wamkubali clam vevo rusha like zangu kipenzi chenu kutoka Zambia
Variation for me 😂💔🙌🏼
Nimemuona Mwamba anaitwa DUDE hiyo movie lazima iwe Kali sana
Clam vevo nakubali sana kazi brother 🇲🇿, naomba like zangu
The creativity of clam is on another level,,, big up sana bro utafika mbali
Ongela Sana kijana wakwace wewe niwangu Kbis naendanyumbani🤣🤣🥰🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jamani nawapenda wote nyny ni mashabiki zetu tupo kwaajili yenu mm ni msanii wa kuigiza kutoka odemba film iko youtibe naombeni muangalie kazi yetu inaitwa malipo ya makosa asanten
Namba one kutoka Kenya🇰🇪 kutizama MY BEST FRIEND episode 1,,kama unampenda #CLAMVEVO Kwa kipaji chake nipee like tafadhali
Vevo vevo😂😂😂😂😂😂
Thevango osiemo...
@@JackclyneAchola-vd9ol mbuya
Nakubali baba sukuma mavitu iyi ni Moto
wagwan menn yaani hizi movie zinakwenda viral ...nikianza kuwatch ilikuwa 1,600 after imeisha ishakuwa 8,058views waaaa.... am glad vevo
Jaman kaka clam hupoi wala huboi bandka bandka love❤❤
Awesome 👍 boss congratulations 👏🎉 do you best tunangoja part 2 ....
Ahsante mno kiongozi vevo umenifanya nimjue kijana mmoja mpambanaji bigup bro #bennyshizzol #kamaikitokea bonge moja la ngomaumemsapoti kweri hauna hiana vevo Mungu akusimamie sana na ufike mbari na mbari mno🙏
Wangapi wanamkumbuka huyu jamaa wa Bongo dar es salaam like hapo tujuane Bigg boss anatupatia burudaniii
Sana dude on fire
Bravo sana clam unajUwa kuigiza mungu akuzidishie tunaenjoy
naomba tu iyo nyimbo cram naiba naya Nani nimeipeda kwe. kazi zuri
Number one Mombasa kenya🇰🇪pitieni hapa❤clam nakupenda bure na mzee mwakatobe❤ na kipara ❤😂😂😂
001 Inahit
Mambo mpenzi
Haka kawimbo unaweza tamani kaendelee. Aaaaaah!!!! This is my Best 💽
Iko poa sana yaani
Sjui ya nan hii nyimbo
Brother, you absolutely killed it, I agree with you very much
Mtuzi waiyo nyimbo dah...
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Vevo to the World
ua-cam.com/video/wF5Lfgm_hSA/v-deo.htmlsi=9bGkAYqwk413jcjG
He can fit in any character, this man is very creative.
ua-cam.com/video/wF5Lfgm_hSA/v-deo.htmlsi=9bGkAYqwk413jcjG
👎
Bro vevo kindly come in Rwanda 🇷🇼 cause your performances is not only for Tz but also internationally level bro. Sometimes I find my self acting with you through dreams ❤️❤️ always your actions inspires us . Clam I'm your Best fan amongst the fan you have all of the world
Thank you and me is also your friend
Ungeandika tu Kwa lugha yenu.😂😂
Nakukubaligi sana clam alafu mzigo mkali sana huo , tunahusubiri kwa ham sana
Mwanangu big up sana huo ndio muda sasa wakutumia kipaji chako nikusaidie kuinua maisha yako na usikubali kutumika kunufaisha wengine mdgo wangu mana muda wako ndio huu
Kuna MAISHA ambao WENGI wetu tumepitia tukiwa shule na kuna mengi ya kujifunza juu ya movie hii #BEST FRIEND
Hatari kaka umetisha Sana
Ulikuwa muuni au
Naikubali sana kazi ya kaka clam 👑👑👑 best friend kaz nzur
wale tunaoisubiri big boss tugonge like 💥💥💥 from Kenya
Kazi mzuri cram nakuombea kwa Allah azidi kukuongoza tupo pamoja
Respect for you my role model ad my best comedian clamvevo umetisha sahna 🎉🎉 nataman hata another episode ungetoa mda huu
Jamani mung kashuka mrithi wa kijana kanumba ambaye wa tofauti sana na kanumba wa enzi zile kanumva mtt
IPO vzr ilia mngepunguzanurefu WA kipandw yaan iwe fupi afu utamu mwing, ahsanten
Ndo tumeanza hivyo nkubal sana cram mwamba sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaani clam alinyoa kwa ajili ya huu mchongo au ni editing😂😂. This man is a beast
Duuh umetisha VEVO,nzuri mpaka nzuri tena👌👌
Jaman tunasubiri sehem ya piri clam mbona wachelewa kaka❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂😂😂nimecheka sana clam umeupiga mwingi kuliko baba love from sweden ❤❤❤🎉🎉😂
We have to support this guy,he is really creativity
Mzigo tumeupokea kwa mikono yote miwili
Clam nice napenda San kazi Yako imetosha ongela kwa kipaji
Kiukwel clam anatwanga madude yaliyo bora yani hivo Mungu amsaidie aendelee kupiga madude makali makali
Best friend ni nzuri but Clam ame shindwa kujiteteya kwa yule demu ingawa demu kasha mpenda Clam,naenda nyumbani.
Jamani huu wimbo Nani kaiambia umenitoa machoz😢Mzuri sn❤❤❤
Jaman mm mwenyew nimeupenda sana huo mziki ila cjui ni msanii gani
Namimi kabisa huwo wimbo umenitoa machozi😢
Nitumie
Nmejua kucheka kipara anarapu honeeeeey aiseee movie nmeipenda buree na clam huo uchiz wako jamn😂😂 mie hoii
Jaman naombe jina na msanii wa hii nyimbo ilio imbwa tafadhari.
Upo vizur sna Una kipaji kikubwa, Sio rahisi ku Act uhalisia tofauti katika ubora Ule Ule👏🙌
Saf sana Rakin vp Kuhusu BOSS mwendelezo wake
@clam vevo you are best of the best keep going...
Umenimalizaaa hapo ulipoimbaaa tu....wimbo umeendana kabisa na matukio
kila hatua ni moja ya safari mmeua sana keep up and kerp going bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vevo umetisha kila Siku unagood idea your Tallented 💯💯. This prove how artists is. THE BEST FRIEND Reveals life experience ✍️✍️✍️✍️ Umenikumbusha mbali kipindi nipo field nafundisha mwanafunzi anachora Catoons😂😂😂😂😂 Tusikate tamaa ualimu Ni wito.
Absolutely 🤜🤜🤜❤❤❤❤ clam cris
Good talent!!!!
Alie muona dude mwizi wabongo gonga like hapa
Another banger 🔥🔥🔥
Wapi likes wanangu
My best friend number one😂😂
Yani mm niseme kweli2 humu ndonimekuelewa unachofanya big up
ila cram vevo unajuwa mpak unajuwa tena 😃😃😃 kazi ako kali mee naangalia usiku wa manane saivi sina baya saut kubwa majirani wajibebe 😃😃😃😃🙌🙌🙌
Supper clam...hii imetisha na nikama itafunika bigboss...Ila Kama unaitafsiri hii ka hit...gonga like
😂😂
@@user-xo9ue1pq5ywewe uko kila kona hupitwi my dear
Big up clam vevo i can't wait see you presenting BongoWood internationally #SWAHILI NATION ❤❤❤
Icho kizungu cha mwalimu Jamani 😂😂😂😂
Kweli nimehipenda sana hi kazi nilikuwaga bado kuhifata nimefata Big Boss,snak boy lakini kwahiyi nilikuwa bado
From🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakupata vizuri
Clam vevo,you are too much bro🔥🔥🔥I love you bro, Kee it going,I appreciate you
Umefanya vizur clam ,uku tinaisubir Bigg boss season 2 ticheke na hii
Kabisa unatucheleweshea big boss season two mbona sasa
upo vizur sana clam bravo brother
Don't forget we are waiting for the big boss season 2 pia hii nayo best friend its nice
clam never disappoints 🔥🔥.. much ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪
Kutoka Burundi mnipe like zangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮