CLAM VEVO AFUNGUKA UTAJIRI WAKE, MAMILIONI ANAYOINGIZA KUPITIA YOUTUBE
Вставка
- Опубліковано 6 жов 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Clam VEVO Na konde boy ndie watu wanayo peleka Tanzania yote kwa filam Na kwa muziki nakukubali sana mpaka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tuko ote nakukubali sana zidi kutupa vitu vizuri vizuri
Lofa sana
Sawa clam Boulton 2 kidogo sana wapi yangae
Inawezekana ndio...... kila mmoja na nyota yake pia Mungu kamuandikia kila mmoja muda wa mafanikio yake......May God bless you🙏
😢kuna interview moja alisemaga "watu wanadhani mim nina pesa saana, ila sio hivo nihela tu yakawaida ambayo inazunguka tu katika sanaa yake"
sindo uong uong wenyew anajsahau😂
Ukiumwa usiseme tukuchangie ,,
Umesha wasahau mastar wabongo kwa uongo 😂😂😂
Umeigia kweye soka ya kanumba wew
Mnafiki wèw huyo nyumba yeyewe kapanga huyu
Nakuku Bali sana clam vevo unatisha sana kaka ni technoce kutoka apa congo
Katika interviews zote ambazo nilishawah kufatalia lavidavi hii ya leo ndo imekua bora sana kwangu pia namkubali sana Clam
Kaka na kukubali sana napenda kufanya kazi na weweNaitwa Charles mwise chacha natokea Mara-Tarime
Semeni mna hela alafu mkija kuumwa muje kutusumbua michango
Ukumbuke kuwasaidia yatima,wajane,wafungwa,na kujenga ufalme wa Mungu,la sivyo fedha yako itakosa mana kama ukijenga tu ya dunian
🤣🤣🤣🤣 sio kweli bro ila ni ushauri mzuri .tafakari vizuri nijibu baada ya wiki
Fact.....💯
Na kukubali sana clam I'm from Moz 🇲🇿
Clam Ana ugonjwa wa kizungu❤🎉🎉🎉😂😂😂😅
Clam Vevo wewe ni Simba tuuuuuuu saaaaaana ❤️❤️🙏 un amour du Congo 🇨🇩❤️🙏
Aiii clam mbn unapenda uongoo ak unaulzwa utajee hiyo hotel ya nje ya nchi unachekaa🤣🤣🤣 this is too much bt big up brooo
Sanaa hadi kwenye maisha halisi daaaaah
Clam vevo mtoto mdogo pesa mingi congrats blaza keep on fighting more
Una kazi nzuri sana ...kifanikiwa muhimu sana
Vevo Congratulations 🇹🇿🇰🇪💥🔥🔥🔥🔥
Watching you from Doha Qatar.......... mkaazi wa Dareslaam Temeke.....
Qatar
Hongera brother unajituma sana 😊 kweli pesa unazo nakuaminia
From Mozambiki, Nakupenda sana vevo
WOW me too, assim tás em que província irmão?
*Namkubali sanaaa Clam VEVO*
hotel nje y nchi hp tumepigw asij ykw ndo yl yale km tajiri vimbao kutpostia mbao hatutk😂😂😂
Super brow
Mungu akuzidishiye dogo🎉
❤❤❤kaka yangu love you 🤲🤲🇧🇮🇸🇦
From Mozambique nakupenda sana
God sana bro. From mozambique
Me too, tás me que província irmão?
Milion tisa???
Huu mtangazaji tayari kashampenda mwamba
Inawezekana mengine kasema ukweli [siwezi kujua] ila hapo kwenye bei ya nguo alizovaa katupiga aisee😂
yuko vizuri kijana
Super Brown
Unatisha sn clam ishii huna baya. j 👈apo from zanzibar
Aa ilikuw nisha amini lakn apo kweny laki tisa 😂😂 sio pow ww shenzi
Natamani❤❤❤nikuone live jamani clam
Clam nakukubali sana❤❤❤
Am from Kenya,,si clam aniajiri tu niwe nkimfunza English aende international.English nayo itamlimit
Enda bongo it’s easier to reach him
Uwakumbuke wa wenye uhitaji pia🙏
From thika ngoingwa KIAMBU COUNTY in Kenya bigup for the good work unafanya
CLAM VEVO NDO KANUMBA the late napenda unavyo jituma na kupa mbambana bro
Haya bhanaa VEVO maisha mema 🤝🤝
Vevo wewe Ni noma uku Congo kalemie akuna zaidi yako Tena uko wewe Ni kanumba ujaye
Nakubali sana kk
Nakukubal Sana clam vevo
Kazi za vevo Hadi vijijini huku
Sanaa
Mh kumbe tajiri niceeee
Wewe pambana sana bro🤲💯
Komedi nzur sana nimecheka
Bado ujasema 😅😅
Clam vevo tunakukubali
God sn bro ❤❤❤❤🎉🎉
Dah clam me shabiki wako lakin sipendag majivuno na sifa ambazo hazina faida kwako.. Yan umevaa nguo ya m9? Acha bx
nakubali sana vevo
From kitui Kenya ❤ wapi likes zangu 🎉
Yeah kitui tupo ngotaaa🤛
Usimroge huko kitui sio kwema😂😂😂
Bom trabalho meu irmão clam I'm from Mozambique
vp
Hongera sana🎲🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kwl unafanya vizuri ila si amini kama uko bilionea kwasababu Kuna interview shadow arisema kwama kipindi murikuwa munasema na ijuwa iyo murikuwa munachunga ma embe chini ya mti I'll mure halafu kwasasa birionea una hotel ambazo unamiriki 50%tuamini ivo lakini stivi amesema nae anamashaka Burundi nawapenda
😅😂😂 dogo hajakuwa
ila kila kukicha maisha yanabadilika
mungu akubalik zaid
nimependa ulipomwambia ukweli aongee kiswahili mengine upuuzi tu si anaiona ngozi hapo anayohojiana nayo sasa lugha za mwengine za nini
Unatisha clam
Mbona huyo jamaa kama yupo kwenye comedy wakati Kuna ishu ipo Sirius Sana
msenge mwongo sana yaani
Clam mshenzi anajidayi nimegua hana pesa hata kwetu burundi tumegundua
Clam noma san hajawai kutowa boko
Clam anaweza
😂😂😂 21 uko bebe sana
nimemkuri sana natokeyasumbawanga naitwamaruma
❤❤❤love u bro
Naipenda hii
Mwanang San
Uyo kichaaaa anajua
Kiukweli upo vizur nakufatilia kwakweli cjutii kuangalia season zako
Anaigiza Hadi entavew Kaka muongo
Hotel ama mama ntilie😂😂😂😂
Huyu jamaa miyeyusho
clam[pigakazi unatisha kama njaa upo juu...mndengereko wa kwanzakufanikiwa kutumiasaanaa
Wenye pesa awaongei..lakini muulize mweu na shobo zake utamsikia akipata laki itaku bilioni kwake
Kwenye umri tumepigwa , eti UA-cam kaanza kutumia mwaka 2017 manake akiwa na miaka 15 ,
Miaka 21 duh mm siamn😮
Anaongea nawewe,,anaongea nayeye😅😅😅😅😅
@@zahramahnouch2874 naogea n mm
Huamini nini sasa ulikuwepo wakati anazaliwa au una kadi lake huyo ni mdogo kwa umri huo yuko sawa kwani ana ukubwa gani sasa
@@agnesjohn9382 🤣🤣🤣povu limekutoka chawa wa clam
Clam clam❤
Hiyo hela billion 2 aache utoto
Ila uyo janja ni muongo sana.
Mjinga 😂😂😂
najaribu kujiuliza kama vevo anaingiza 2B ndnai ya miaka 7 najiuliza mond anaingiza ngapi
clam[pigakazi unatisha kama njaa upo juu...mndengereko wa kwanzakufanikiwa kutumiasaanaa 8:02
Kwanini hamzunguzie kp wa quino mbona tunalikubali huku
Miaka 21 muongo
Ni kweri jama anajuwa mpeni maua 💐yake
Kumbe unaiguza kwenye mahojiano 9 million tisa umevaa
😂😂😂😂😂😂😂bora mwezangu aongee kiswahili😅😅😅😅😅😅
Nakubali clam
clam unazingua we si una miak 24 ww unatupang 21 au sio
Clam devel is fireeeee😂
et clam devel 🤣🤣
😂😂😂
Weee clam kumbe mi mukubwa kwako ndomana nakuonaga kwenye movie kama katoto katoto ivi
🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥👌💯💯💯💯 Clam
Punguza kiingereza ugonjwa kubwa
Sasa Mimi ni naitwa DIEUDONNÉ PRAY FROM drc congo 🇨🇩🇨🇩 sasa munapo sema billion 2 ni kwa dolla za marekani ama vipi ?? Mana pesa za Tanzania zina ni changanya ama ni shilingi ??
Shingapi
@@ibrahimissakhamisi9622 1$ ni shilingi ngapi?
Kwakweli hata namimi
@@ishararosette2306 yah atwambiye 1$ ni shilingi ngapi
Kwenye umri tumepigwa!! 😅😅😅
Ww unataka awe na umri gan?
😮Uyu kijana muongo sana😂😂😂😂
Mwaulizana nini na steve mweusi
oy mzee fix zinazidi mpaka unaboa yani
Kingereza ubya😂😂