SHETANI |Ep 1|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 713

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 4 місяці тому +124

    Maua kwa mwasi jamani kama unamfahamu kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 4 місяці тому +17

    Wangap tumefurahi kuona KAKOSO wa mchongo kwenye COMEDY PLUS 😂😂😂😂😂😂😂😂 ONGEREN NYTE GUYS ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @LisaDequte
      @LisaDequte 4 місяці тому

      Kakoso kwenye umbo la mwasi😂😂😂😂

  • @ndayiragijejeanclaude-rh1zl
    @ndayiragijejeanclaude-rh1zl 4 місяці тому +70

    Alieona kwamba Mzee ndooo uzuli nikucane shetani agonge like hapa👍👍

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 4 місяці тому +40

    Number 1 today much love from BURUNDI 🇧🇮 team Strong mkowapi gong Likes 5 Guys 😢😢

  • @justinepius2641
    @justinepius2641 4 місяці тому +27

    Huyu mchungaji wa mchongo aiseee!!! Nusu muislam na nusu Mkristo!!!😂😂😂
    Ukisikia kufeli kwa mwandishi ndo hapo sasa!!! Hebu rekebisheni apo aiseee!!! Wachungaji huwa hawavai vibaragashia

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 4 місяці тому +19

    Wapi likes za naomi. Nguvu za Mungu ziko very powerful kuliko za shetani😂😂

  • @OfficialEzra-u6t
    @OfficialEzra-u6t 4 місяці тому +21

    Alieona pastor kavaa kibaragashia ngonga like

  • @IrakozeFuraha-n5f
    @IrakozeFuraha-n5f 4 місяці тому +161

    Wanao mpenda mzee ndo uzuli nikuchane gonga like apa ❤❤

  • @mrsabdul-mz8hh
    @mrsabdul-mz8hh 4 місяці тому +14

    Ohooo Amkeni uko mambo yeshakua mambo huku
    Picha linajisoma hv ss *SHETANI❤❤*

  • @YvetteSIBOMANA-ce2hz
    @YvetteSIBOMANA-ce2hz 4 місяці тому +25

    Haufananishwi nakitu kingine amen mzeee simbaaa huyooo gongeni like hapa wapendwa!😂😂🎉🎉

    • @edsonrainaldndunguru3442
      @edsonrainaldndunguru3442 4 місяці тому

      Tatizo hapo Simba ni Moja tu balakasheee. Na bibilia wapi na wapi mi nikajua atapiga kiarabu lakini kapi kiratini.

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 4 місяці тому +10

    Usikute uyo shetani mwenyewe nywele ni Rechoo😂😂😂😂😂

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 4 місяці тому +23

    Mwasi km mwasi
    ❤❤❤❤❤❤

  • @EmilyRehema-p1e
    @EmilyRehema-p1e 4 місяці тому +100

    mm nimefurahi kumuona Mzee Simba ni Wa ngapi wamefurahi kama mm waweke likes hapa hata 5

    • @gershomchallo
      @gershomchallo 3 місяці тому

      Ila kofia hiyo akiwa anasali na Biblia. Director kachemka..

  • @amisaselemani1
    @amisaselemani1 4 місяці тому +6

    Kila ulimi utakiri ya kwamba YESU ni BWANA . Nahona ata waislam mnaanza kukiri, Amina Sana .

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 4 місяці тому +1

      Acha ukuma umbwa wewe ,,dini ni moja tu na yesu ni mtume wa mungu sio mungu kama munavyo sema labda waislamu wa huko kwenu

    • @SultanDelavega-g9r
      @SultanDelavega-g9r 4 місяці тому

      Sio kosa lake muelewe uoni ana itwa selemani….amna sele alie zaliwa mrefu akawa na akili sio kwl

    • @amisaselemani1
      @amisaselemani1 4 місяці тому

      @@saumbliz8983 ndo dini yenu inavyo wafunzaga ivyo kutukana watu? Maana kila mwislam akitaka kuutetea uislam lazima atukane.

    • @MariamMajid-iu9mp
      @MariamMajid-iu9mp 4 місяці тому

      Sasa apo waislam waingiaje apo yan watu wengine bwana

  • @ReylahCastory-w7y
    @ReylahCastory-w7y 4 місяці тому +11

    Tuko pamojaa jaman adii mwishoo wa season❤❤❤

  • @user-iv6yx5ot6f
    @user-iv6yx5ot6f 4 місяці тому +7

    Waoooo nime furahi kumuona baba angu Simba nagupenda sana baba angu simba

  • @Yohana-v6q
    @Yohana-v6q 4 місяці тому +30

    Mzee siba amevaa kibaragashia arafu anahubir jaman

  • @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
    @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 4 місяці тому +10

    Finally mmetoa ingine nilikuwa nimengoja Kwa hamu Sana asanteni🎉🎉🎉

  • @wesakaruku2216
    @wesakaruku2216 4 місяці тому +4

    kama umemuona Naomi na JoJo gonga like hapa! this is an extraordinary movie with high standard. I from 254🇰🇪

  • @Shadya-ju2el
    @Shadya-ju2el 4 місяці тому +2

    Yan sijapenda kbs mzee simba nusu mkiristo nusu muislam mwandishi rekebisha sijapenda

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 4 місяці тому +8

    Move Kali kinyama Sema Mzee simb umebug kuhubili uku ukiwa umevaa kofia ya kiislam 😂😂😂😂😂

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 4 місяці тому +9

    Much love from saudi kazi njuri sana nawapenda sana

  • @giftelinazi3487
    @giftelinazi3487 4 місяці тому +3

    saw mzee simba nakukubali kinoma mnoooo tenaaa mzee simba ushakuwa mchungaj

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 4 місяці тому +1

    Jamana COMEDY PLUS tunawapenda sana Maana mmeanza kutuburudisha Toka Kwenye WAKE WENZA mpaka Sasa na SHETANI hongereni sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli 4 місяці тому +6

    New season ❤❤❤ team bhailam pendwa kaz nzuriiii 🎉🎉🎉

  • @JOHAREHfilms2023
    @JOHAREHfilms2023 4 місяці тому +3

    Kakosoo ndani ya nyumba 😂
    Hii shetan kama ya moto hivii Yan akiwepo bhailam naomy na timu nzima ya comedy plus bac ujue mambo yanakua hot 🥵🔥🔥❤
    Ep ya kwanza tu tumefunguliwa na dakika 23 we uogopii😂😂😂😂🔥

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 4 місяці тому +1

    Team Bailam ni moto Sana wote tunawapenda hongeleni sana Mzee simba anajuwa jamani tena tunamupenda apewe mauwa yakee 🎉🎉🎉🎉🎉From malawi japo nipo south africa hila sijawahi kukosa kaz zenu ❤❤❤❤

  • @sandejacob623
    @sandejacob623 4 місяці тому +3

    Hakika ni kweli shetani yupo kazini na kafika, hakika inatupasa tutubu kwa bidii na kumrudia Mungu,
    Mungu akuongoze bhailam uufunue ukweli wote uliojificha nyuma ya pazia

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 4 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana na mzee simba na bint Naomi endeleeni kueneza injili ya yesu kristo aliyehai🙏🏽🙏🏽

    • @AbcDef-p3q6v
      @AbcDef-p3q6v 4 місяці тому +1

      Kbx weny macho ya roho wanajua nini maana yahii cinéma

    • @SalamaFrancis-yg7sr
      @SalamaFrancis-yg7sr 4 місяці тому

      Ila asingevaa hio kofia .... wachungaji hawavai iyo 😅​@@AbcDef-p3q6v

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuel 4 місяці тому +7

    Hayo ndio mambo na yoyapenda kazi nzuri boss

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 4 місяці тому +2

    Team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawasalimu mko poa nyote aya tusiwe karibu na shetani jamani.

  • @IngabireKezia
    @IngabireKezia 4 місяці тому +5

    hii ilikuwa nzuri zaidi na ina mafundisho makubwa lakini yule msichana aliyekupa kitabu akakwambia ukifiche yule shetani asije akakikamata na mimi niongezewe tafadhali hicho kitabu kichunge sana tusije tukasikia habari mbaya kwamba hicho kitabu kimefika mikononi mwa shetani dunia hii yote itaangamia hivyo vitabu vikifika mikononi mwa shetani jitahidi kuficha hivyo kitabu kwa sababu ndiyo ndicho kitakacho okoa watu wote ya watu wote😊😊

    • @gyslaineiradukunda6731
      @gyslaineiradukunda6731 4 місяці тому

      😂😂😂😂Una nini lakini

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 4 місяці тому

      @@gyslaineiradukunda6731 kwa nini unasema una nini lakini

    • @Mohabmts
      @Mohabmts 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 4 місяці тому

      and if I have done wrong writing this, please forgive me 🙏🙏🙏🙏😢😢

    • @IngabireKezia
      @IngabireKezia 4 місяці тому

      and if I have done wrong writing this, please forgive me 🙏🙏🙏😢😢

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 4 місяці тому +10

    Hii kali ya mwaka jmn Tumeanza mwanzo km team strong n tutamalizana nayk love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 like zangu please 🙏

  • @KIFUNDY6-qk7ef
    @KIFUNDY6-qk7ef 4 місяці тому

    😂😂😂😂 hhhhhh ah😅 Jamani leo nimecheka sanaaa MZEE WA NDO UZURI Leo umenikosha htry wallahi 😅 umekula rungu kwa naomi unawahdithia wenzako wanakucheka unajidai kukaza😂😂😂😂❤

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 4 місяці тому +9

    Movie nzur sana sana

  • @NabanjaMutwalibi
    @NabanjaMutwalibi 4 місяці тому +3

    Thanks for the show mach blessings from Allah

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 місяці тому +1

    Hatareeeee ndani ya mjengo,mko vifresh wadau🎉🎉🎉🎉❤❤❤#mwasi uwepo wako nautambua 💋

  • @henrymusango3481
    @henrymusango3481 4 місяці тому +2

    Me n fun mkubwa wa clam na snake boy lakini hii Iko top ...Kali sana 🔥

  • @user-eb3zt3wc4b
    @user-eb3zt3wc4b 4 місяці тому +3

    Moto sana aky hongera kwa mzee simba

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 4 місяці тому +1

    Manshallah Movie Nzuli😮😮🎉🎉🎉🎉

  • @BethiGody
    @BethiGody 4 місяці тому +3

    😂😂😂apo kwamzee simba kua mchungaj Alf kavaa kibaragashia mmefeli

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 4 місяці тому +1

    Kwani mzee Simba ni pastor au ni sheikh 😊😊😅😅😅😅😅

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 4 місяці тому +4

    Nampenda sana huyu mdada kakoso(mwasi) maua yako dada❤🎉🎉🎉

  • @MorfenBotros
    @MorfenBotros 4 місяці тому +4

    Wow Wow 💪💪💪💪🙏🙏🙏🇧🇮👌👌👌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SaddatMadeni
    @SaddatMadeni 4 місяці тому +11

    Wakwanza leo nipeni maua yng

  • @OfficialKajenga
    @OfficialKajenga 4 місяці тому +1

    Me nahc huyo shetani ni rechoo maana😂😂😂😂

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 4 місяці тому +1

    Nime pendezwa sana na Hio na fasi ameicheza mzee simba Mungu awabariki

  • @stellakadzo1624
    @stellakadzo1624 4 місяці тому

    Kakoso by Mwasi uko juu nkukubali Dadangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Move love from 🇰🇪❤❤❤❤

  • @DavinaPhanie
    @DavinaPhanie 4 місяці тому +1

    Ndugu zangu naomba niulize kitu pasta naiyo kitu kicwani na bible sielewi ni chehe au pasta😂😂😂😂

  • @NajmaMohammedy-u4y
    @NajmaMohammedy-u4y 4 місяці тому +2

    Jmn ivi ile ngoma ya mganga na ile pete ziliishia wp😢

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 місяці тому +1

    Hongera sana bhailam hii movie imetulia sana❤❤❤

  • @DavinaPhanie
    @DavinaPhanie 4 місяці тому +1

    Munaweza sana kàbisa Mungu azidi kuwaimalisha❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 місяці тому

    Hongera mxeee simbaaa kote kote upo hubagui dini bravooooooo ❤❤❤

  • @SidonMathias-qy7wz
    @SidonMathias-qy7wz 4 місяці тому +1

    Jaman ninzur sana mno mwendelezi tu

  • @AnnyAnitha-dj6uv
    @AnnyAnitha-dj6uv 4 місяці тому +4

    Wakwanza frm Burundi🇧🇮🇧🇮

  • @HadjrahJaafar
    @HadjrahJaafar 4 місяці тому +1

    Afu kinachouma zayindi sana iyokofiya unava 😭😭😭kuweni naheshima nakivazi maana inauma sana mwisho wako siyo muzur hata kindongo

  • @shalooboyburundi
    @shalooboyburundi 4 місяці тому +1

    saw asant nasisi tunawakaribisha Burundi tushikamane

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 4 місяці тому +1

    Kakoso mke uko leo nakupenda
    bure ❤❤❤

  • @TumainiMolel-jm6eu
    @TumainiMolel-jm6eu 4 місяці тому +4

    Kazi kazi imeanza❤❤❤❤🎉

  • @DaynaAloyce
    @DaynaAloyce 2 місяці тому

    Yani ni fireeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @madymag6926
    @madymag6926 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana mzee simba nawakubali sana❤❤❤❤❤

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 4 місяці тому +5

    😅😅😅 dhaaa ndouzurii kawa mchaw😅😅

  • @fatumamohamed4545
    @fatumamohamed4545 3 місяці тому

    Mwasi Kama mwasi much love from kenya 💞

  • @user-os4in4im7i
    @user-os4in4im7i 4 місяці тому +1

    Mwasi wa snekboy

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 4 місяці тому +1

    kali sana🔥

  • @shaiburajabumrope8113
    @shaiburajabumrope8113 4 місяці тому +2

    Uku ciyo wachoyo Mnavo wafaham mtanipa alau like 20

  • @rahmaoman470
    @rahmaoman470 4 місяці тому

    Bailam ujawahi kutuangusha hili ni bonge la story na ni maisha yakweli tumludie mungu dunia iko ukingoni shukln sana bailam❤

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 4 місяці тому +1

    Wow ni nayo ni Moto🔥🔥🔥🔥wa kuotea mbali team Bailam hongereni sana nawatazama nikiwa inchi ya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @OdancyNsengiyumva
    @OdancyNsengiyumva 4 місяці тому

    I love the way you guys act keep it up

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 4 місяці тому

    Kazi nzuri. Kenya Watching, twapenda

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 4 місяці тому

    Mmh mzee simba ni pasta 😂😂😂😂😂 hii kali ya mwaka

  • @user-zn1gd1ky8f
    @user-zn1gd1ky8f 4 місяці тому +6

    Jamn km yumo mzee Simba mbona pambeeeeee

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 4 місяці тому

    Kama umegundua hio sebule ni ile ya my love tujuame kwa kopa ❤❤❤

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 4 місяці тому

    Mkovixuli Daah 🤣 tamu sana🇴🇲🇴🇲

  • @Nyanchama-c1n
    @Nyanchama-c1n 4 місяці тому

    Wow nice movie congrats❤❤

  • @ShizoMsosa
    @ShizoMsosa 3 місяці тому

    Sema mzee Simba kaferi hapo kwenye icho Cha kichwani mwake ajapendeza kuwa mchungaji

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 4 місяці тому +1

    Comedy plus nawakubali, kila tym mnajipya Tena🔥🔥🔥 but Jojo jamani umefungukiwa kuonja utajiri nawe walipiza. Maisha kutesa Kwa zamu sio?

  • @DanielMartins-th4z
    @DanielMartins-th4z 4 місяці тому

    Mubarikiwe saaaana kwa jina la Yesu

  • @DeborahAyo-u4b
    @DeborahAyo-u4b 4 місяці тому +2

    Nampenda sana kakoso😅😅😅😅

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 4 місяці тому

      Mwasi😂😂😂

    • @DeborahAyo-u4b
      @DeborahAyo-u4b 4 місяці тому

      @@mobastian5050 huyo dad Yuko vzr sana Kila secta

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 4 місяці тому

      Anafanya kazi nzuri sanaaaa❤️❤️

  • @KandySamz
    @KandySamz 4 місяці тому

    Mzee Simba umechemsha yani umevaa Cha wallah kisha huku umebeba bibilia

  • @HalimaBakari-so8dp
    @HalimaBakari-so8dp 4 місяці тому

    Nmemuona mwasi mashavu jmn wa snake boy kaz nzuri

  • @Msemakwerytv
    @Msemakwerytv 4 місяці тому +1

    Kama nimala yako ya kwanza kuangalia akili maisha tv nakuomba subscribe share koment na like.

  • @user-mr5tk8oc3t
    @user-mr5tk8oc3t 4 місяці тому

    Nimependa mzee Simba now umekuwa mchungaji na mume act dini ya kikristo kila siku munaigiza dini ya kislam nimependa

  • @BechoubechouBechou
    @BechoubechouBechou 4 місяці тому

    Nawapenda Sana karibu mukue kama Nigeria

  • @omarzuhura
    @omarzuhura 4 місяці тому

    Mzee Simba, Simba wa masimba, pastor 😂😂 , uko vizuri baba npe like hp

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 4 місяці тому

    Mpegijaje humu Padri anavaa kibarakaa sheikh😇😇

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 місяці тому

    Haha mzee hamzaa imekula kwako hiyooo shetani na Mungu wapi nawapi🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️viboko sio vaichii hiyoo..hadi kibaraka amecheka

  • @user-ud5mv5qi8w
    @user-ud5mv5qi8w 4 місяці тому

    Napenda sana iyi movie ❤

  • @user-ll1if7qu7v
    @user-ll1if7qu7v 4 місяці тому

    Sasa mzee simba jaman mchungaj na kibagarashia wap na wap apo mmetupiga😂😂😂😂 lkn twawapenda❤❤❤

  • @lurvemaloveofficial98
    @lurvemaloveofficial98 4 місяці тому +2

    Japo nmechelewq naomba like zangu jmn ata 5 tu😢

  • @MrJohnblaiseBlaise
    @MrJohnblaiseBlaise 4 місяці тому +1

    C cool 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @yunuschum3754
    @yunuschum3754 4 місяці тому +3

    New series first ☝️🔥🔥

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i 4 місяці тому

    Bien vraiment ❤❤🎉🎉

  • @SalomeFesto
    @SalomeFesto 4 місяці тому

    Waoooo🎉🎉🎉🎉🎉 mzee simba

  • @JanetiJanetianatoli
    @JanetiJanetianatoli 2 місяці тому

    Kweri nimzuri zana yanii wanajuwa sana kueekiti

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 4 місяці тому +2

    Nzuri ila ushauri....
    Mchungaji asivae kibagarashia Ili aendane na Uhalisia

  • @edsonrainaldndunguru3442
    @edsonrainaldndunguru3442 4 місяці тому

    Sema mzeezsimba umekosea unakemea unatumia biblia unakemea mapepo wakati umevaa balakasheee

  • @Bibi-he6vt
    @Bibi-he6vt 4 місяці тому +6

    Good job

  • @barakajackson549
    @barakajackson549 4 місяці тому +5

    Chombo kwa hewaa😂😂

  • @chumamohamed7519
    @chumamohamed7519 4 місяці тому +1

    Mzee simba amefeli kavaa kofia ya kiisilamu na zigda anayo alafu eti anahubiri apo mmefeli alikua anafaa kuwa sheikh jamani