Roho ya Mama Yetu Part 1 - Latest Swahili Bongo Movies
Вставка
- Опубліковано 25 лип 2022
- This is a Latest Swahiliwood Bongo Movie. In this Swahili movie two young boys are raised to always compete with each other, they grow up and their competition turns into something more sinister.
Title: Mama Zetu Part 1
5e87adK5FJ - Фільми й анімація
WATCH PART 2: ua-cam.com/video/NzbLJfJ2nxc/v-deo.html
Q1
@@moureennjomo3068 qq1 know
Sd
Hallo naomba kuzungumza maana Nina kitu twaweza zungumZa Kama twaweza ongea watsup
🤣🤣🤣
jamAn me ndo kwanza naianza kuiangalia🙆🤔🙆🙆🙆🙆
Nn
😅
Jaman maadili yameporomoka jaman si wa mama si vijana daah mungu tusaidie kwny huu ulimwengu wa kidigital
Nawapenda sana,wanakumbuka malezi ya mama zao
Eeee !!ewe mwenyezi mungu turehemu tumekosea kuridhi mama
Nimependa sana mko vizuri Sanaa mmetisha
Daah nimemkmbka mama ang kuptia filam hii
Daaaaaaaah ni hatariiii 😂😂😂😂 next please 🙏
Daaaah naona haya saana
Mmmm apo ngoma drooo
hi Moto Kali kweli
Jamani mbak haptumejifuza nin rafiki zangun
Ss hii muvi inafunza nn mm sijaelewa kwa kweli
Aaah hata mim sija ielew Wala chanin wameonhea upuuz2 na kumaliz mb zangu
@@shaksboyhaule513 sindio ushoga mtupu alafu watu wanasema Kaz nzuri inafunza nn ss upuuzi tu hawa wamama mm sijawakubali ata kidogo
@@neemamzande8547 wame zingua wote Yani daaah
Inatufunza kwamba kua ambo wanayeyafanya wazee wetu yanatuumiza
Nimecheka. Kama. Mazuri wallah
😂😂😂😂😂mama ringo amecheka kwenye kikao
Jmn eti daughter 🤣🤣🤣🤣🙌🏻na sio son 😆😆😆😆😆😆🙆♂️🙆♂️🙆♂️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nimependa mnajua kutufundisha🥰🥰🥰🥰
Wamama wa siku hizi ovyo kabisa 😭😭😭
Tmmmm😮😮😮
Jaman bonge la kibuludixho asey😁😁😁😁😁😁😆😆😆
Unyama unyamaniii khaaa noma Sana 😳😳
Duuu mbona kama wametoa kali kuliko
Kaz mzr❤❤❤
Nimecheza kumbe ni ringo na robo kweli🤣
Mmehamasisha laana nduguzangu
napenda sana hii movie
Nimependa sana hii move
@@santachadi9089 tit fr tat
😂😂😂😂😂😂nani amecheka kaa mm sitamwacha tingo,sitamwacha Martin jameni mapenzi hayajaribiwi😢😢😂😂
Hii ni mwisho mbaya kweli toba
Wamama tukifunze kwenye hii mive
Daaah nzuri ssna 😂😂😂
Educative hail from Kenya Nairobi
Waaaah kali hii
Uyu mama agines nampenda sana maana mcharuko atari🤣🤣🤣🤣🤣 ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️
Nimewapenda
Oh 435fÉDr24 fee
Eeh kwli ajuaye malezi ya mwana ni mama 🎉❤
E hatar sana
Enyewe apo ni sawa kabisa 😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤭🤣🤣🤣🤣hawa ndio kina Ringo🤣🤣🤣🤣
Naona ikiwa namafundisho wallah
Muwege munafanya vzur
Picture iko clean kabisa
Iko sawa tu 😮
Nimeipenda hiyo hongeren jaman🧡💯
Naoenda sana movis hiz
Ujinga tu
Hongera mama
M ndokwanza naianza nahis inamafundisho
,,,,,,,,,,zl
,,,,,,🥰 Mh hatari wasimbe
😂😂😂Dawa ya moto n hahaha shikamoo
Mnajua sana wakongwe wa comedy👍👍👍
Jaman me neo mar yang ya kwanz kuangalia kwel hii roho ya mama
Dah upendo wa kweli ndio huu
Nakubali
Neic❤❤❤❤
Kama noma naiwe noma ngoma droo
Daaah huyu mama nikahaba Tena mbakaj
Kama kuna watu wakurahisha ni hawa,waa the end hhahihahii😅😅
Mama mbaya yarabi.ohhh maskini
😂😂😂😂😂😂😂 kumbe kwenye baada miaka 20sasa😂😂😂😁
Waaaw nice moment
Mko vzr
Hichire sana
Ringo na tine white 💕💕💕💕
Waa Hawa wazazi Kama Hawa
Nmepata mafundisho kwani mtoto wa mwenzio Ni wako
Tin mm nakukubali salute kutoka kenya
Nibulozi iiyote 😭
Wah inashangaza sana
huu ni uchafu kabisa duuuuuuuuuuuh!!!!!
Mafundisho mabaya kweli
Manyama mbili,laaaana
Nzuri san
Kwa kweli pia mimi ni mara ya kwanza
🎉 0😮😮😮😮😮:00
Heeeee ringo kwani imekuwaje tena
Mungu turehemu shetan yupo kazin
Nice movie 👍👍👍
Wow! Very nice video
Doooh! Htari hyo tit 4 tat wadaisha...hya bana
Nice next part please ❤❤❤❤❤
Nipenda
Nice moment😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna mama wengine hawafai kwa ushauri
🎉 vzr
Jaman part2
Part 2 plz I love this move
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimesheka kinyama 😂😂😂😂
wooww so nice
Mpo vizur
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani mumetisha sana ❤🇧🇮
Kwanz niache nicheke Ringo na tinwht wanaumiz mbavu zangu 😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani dunia imekwisha Sasa oooh mkuki kwa nguruwe Bina adamu mcungu
Mbn mmoja alikua mweupe n mwigne mweusi
Ukila vyawenzio navyako huliwa mmmh
Nice
Paret 2 please
Hata konyagi ni kali ila haijawahi kumfokea mtu😂😂😂
😅
Mungo saidia
I have learnt a lesson from this
Chuma chuma
Weuh this movie is so interesting
🤣🤣🤣🤣hamtai ona ufalme wa mbingu
Kumbe mtoi wangu akifisha miaka 20 ntakua hvi waah😂😂
😊😊😂😊😊😂😊😂
Mbona mmefanana hivyo miaka 20
Hii movie ni tamu nangoja part 2
Hii ya TN nimeipnda 🤣🤣😂nc moment
😂😂😂😂😂
Kongole sana
Jmn hiyo ndotto ya mama