Nikisema me wa kwanza Kuna wat watabisha 😂😂😂akat nko online mda ote kwanzia saa6 nipen ka like bhc naishiag kupata like 3 2 bhc 😢😢😢hata kwaajil ya team snake boy😢😢❤❤
Huyu mganga ni fundi sana, amekuja kuongeza ushindani dhidi ya mganga wa taifa Mwakatobe, pongezi Clam VEVO TZ na kundi lako aki mnanibariki sana Kwa kazi zenu nzuri
Nikisema mm nimewah uongo nimechelew lakin naomba like zangu mnifungie sili Tz nitakula South Africa naipenda sana snake boy naikitokea South Africa Johnsburg 🇿🇦
Snake boy is the best movie in Africa.. yaani ata bila kuwepo kwa clam na Zinga.. movie inaenda vizurii.. congratulations clam vevo gang.. huyo dada wa mlevi anawezaaa.. sign her
Nadhan unanifanya sinanga tabia za umbea io sio michongo yangu nishaanga 😂Wa kwanza team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪 km wapenda snake boy like apa please nawapenda nyote ❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️
Nime check commented za Mbali Mbali Toka mwanzo Mpaka mwisho akuna commented ya maana Watu wote Wana taka Ku pewa like Sasa kwa Iyo Mimi ni towe kwanza hongera kwa team Nzima kwa Kazi nzuri Wana tu fanyiya ili muradi tupate Ku burudika si tupo Apa tuna kubali saana Kazi zenu 😘 🇨🇩 from Dubaï 🇦🇪☝️
Nikisema me wa kwanza Kuna wat watabisha 😂😂😂akat nko online mda ote kwanzia saa6 nipen ka like bhc naishiag kupata like 3 2 bhc 😢😢😢hata kwaajil ya team snake boy😢😢❤❤
Umeomba sana acha tukupe😂
@@jumaiddyyusuph 😂😂😂luuuh imagine nmeandka mesej Kwa kupiga magot mrad UJUMBE ufke Kwa Wana himaya 😂😂😕acha kbsa
M toka saa tatu asubuh nko online
Izo like zinawatomba au?
@@user-jl5zh6qi2w pka tunamwaga ubongoo😏😏
Jamen kwan wtu wanalala youtube😂😂😂😂Aya nipeni like hta 10 bac
Jamen kwan wtu wanalala youtubeAya nipeni like hta 10 bac
@@Harmontwo255jjh
Naona pia ww unaishi UA-cam
Nimefurahi sana kipara leo kula kipigo maana alizidi umbea
Kala kipondo cha maana
Angeuliwa kbsaaa 😂😂😂
😂😂
Kwani huwa inatoka episode kila lini na lini
Baada ya siku tatu@@naseemmohamed827
Naiona vita kati ya nzinga na huyu chief wa himaya ya nyoka baada ya kumchukua mshangazi wake 😂😂hakika ndo kumekucha🔥🔥
Ata mi nimeliona ilo, zinga hawez kubali mshangaz wake aende kizembe,, wanasanaa tumelitabiri ilo
Na akijua yule binti alombaka ana mimba yake cjw imaya ya nzoya itakuwaj 😂😂you
@@benclevermshangazi wa zinga😅😅😅
mh km alipoofikiy aludi kwa tanz sikwamikof hiyooo 😂😂😂
Kama unamkubali clam na hana baya gonga like za kutosha vevo komasave kaka
Lkn anachelewa kutoa vipande an😹
Kazi ipo poa sana kama mnaliona hilo bac 2juane kwa like hpa ❤❤❤❤❤❤
Ipo pouh ila sema inachelewa sana
Huyu mganga ni fundi sana, amekuja kuongeza ushindani dhidi ya mganga wa taifa Mwakatobe, pongezi Clam VEVO TZ na kundi lako aki mnanibariki sana Kwa kazi zenu nzuri
Upo saii chili yupo vzr mno🔥
Wote mliowahi tumeni salamu kwa watu watano kwa mb zangu
Wakwaza Mimi naomba like zenu by mozambike
🎉
Mbona kila comments ni naomb like au mm wa kwanza kwnn tusicomment kuuc ubora na mapungufu ya Series yetu pendwa , nawasilisha🙌🙌❤️
Kweli bro
Upo sahihi kabisa watu wanakera sana utasema like ni chakula
Leo nimekuwa wa mwisho kutoka canada but tunaendelea kusupport weka like tuendee sawa
Canada which,Canada where,Canada what😂😂😂😂
Nikisema mm nimewah uongo nimechelew lakin naomba like zangu mnifungie sili Tz nitakula South Africa naipenda sana snake boy naikitokea South Africa Johnsburg 🇿🇦
Mi wakwanza Congo goma Nord-Kivu abelpatisserie9 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ndeko mbote.
Namimi leo nime wahi nimekuwa wakwanza mnipe like zangu 🎉🎉
❤❤
🎉
Ulikuwa unamdai nani
Kwaiyo izo like mnazo dai zinawasaidia nn 😂😂😂watu bwana
Uliza tena bwana.
@@user-wj8ci8fe2f
Yani mimi sipataki ata like moja depuis niaze commenti izi vidéo za brother Clam leo mimi wakwanza naomba like ata tatu tu
Kusema ukweli kazi ni nzuri sana mwenyezi MUNGU awaongoze muendelee kutuburudisha 🎉🎉❤❤❤
Leo me wakwanza jaman nipen like zang tafadhal
❤ 16:44
Leo mimi wakwaza nipeni like mzangu from Mozambique
Snake boy is the best movie in Africa.. yaani ata bila kuwepo kwa clam na Zinga.. movie inaenda vizurii.. congratulations clam vevo gang.. huyo dada wa mlevi anawezaaa.. sign her
Am in love with that witch doctor ☺️☺️(zinga’s teacher)
Namm leo nimekuwa wakwanza naomben walau like 20 tu
Waķwanza n mm imebidi niwaache mcomment kwanza ili bdae niombe likes zangu....baraka from mombasa Kenya
Semanini Mwakatibe usifanye Ivo man utanifanya nishindwe Kula Kuku kak🤣🤣🤣🤲
Alfu we clamu una hakili sana kumleta chili kwenye sneaky boy nkubalii sana 🙏🙏 naombeni like zenu hapaa ndugu zangu 💪💪
Ngonga like kwa clam vevo from 🎉🎉🎉
Wakwanza banaa clam wapy like angu❤❤ from kenya
Wa mwisho ila nakubali clam n timu yote kwa kutuletea kazi nzuri ❤❤❤❤
YAANI HUMu sio ku comment kupongeza kazi ya clam bali ni watu kung'ang'ani kupewa like😅😅😅😅 this is Tz
This banger is bigger than anything within 2 mins 1.2k views guys si leo mnipe izo likes jamani am watching from Mombasa
Leo angalau nimewahi from +254💪💪💪💪
MOVIE FROM TANZANIA🇹🇿 TO THE WORLD...BIG UP MY BROTHER CLAM.
Kutoka Kenya am ohangla gospel rhumba nipewe likes mukinifuata kazi safi 🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo kubababake😊😊
leo noma sana, naipenda sana hi filamu
Kanzi nzuri clam mungu akupe nguvu uendelee kutuletea mambo mazuli❤❤
Alooooh kipigo Cha kibara Leo kimenifrahisha Sanaa akome
Wonderful ..namba Moja apa like zangu nadai
Wa kwanza kutoka Kenya. Napenda movie za clam sana❤
Wa mwisho jmn eee Kila mtu wakwanza tuu nipen like wamwisho
Huyu kaka wa bint aliepata ujauzito wa mwakatobe muna uhakika sio Fredy michael coblan wa simba kwel 😅
😂😂😂😂😂mbona Nomaaaa sanaaa
😂😂😂
Nadhan unanifanya sinanga tabia za umbea io sio michongo yangu nishaanga 😂Wa kwanza team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪 km wapenda snake boy like apa please nawapenda nyote ❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️
Mpeni maua yake Clamo kwa filamu nzuri... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Love you butua for defending your sister ❤, wakitaka kumua dadako wakuue na ww thumb 👍 #butua umefanya vizuri kumbutua huyo kipara😂😂
Kafanya kama jina lake 😂😂😂
Mbona kila mtu anaomba like tu kwann tusicomment kuhusu mapungufu na uzuri wa series yetu pendwa
dah nimewahiwahi naombeni like zangu from Tz
Clam fundi sanah
Yani hatulali kabsaa jisaa moja comments kama zote...hongeara Sana team clamo vevo
Malikia Leo umependez kulik ckuzot😅nakuog umeog
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mbona unatufokea ashen ashoyo ndo ñn 😊
😅😅😅😅😅😅 yaan ww@@user-yg7dy8ls9e
Representing all Kenyans. The Kenyan snake 🐍 boy❤❤❤.. much love.
Bakwanza mm ama buclam bafafanya kazi nzuri sana uku kwet penda sana iyo dogo🎉
Dakika ziko Poa alhamdulillah nimeshiba kiasi Asante mr director kakoso na clam na wanahimaya nyote mlioshiriki
Wewe kipari wewe noma saana, nazani banakufahamu haunaga tabia zaumbea umbea😂😂😂 kipala bwana coût de chapeau
Kazi nzuri 🎉
Kipara naye anaskia Kila kitu 😂 lakini tunamfahamu, Hana tabia za umbea umbea 😂😂
Oya cram uyo kipala ebu mtafutien sen Moja ya kufa kwanza afe atoke kwenye hii movie 🤕🤕🤕😡😁😁 daah😇😇
Hii inaboa sanaaaa
Huwez kuweka vidakikaaa vichache hvyo ….
Ukiangaliaa kidogo tu imeishaaa
Mnakoseaaa sanaaa
Vila kazi nzuri nakupenda sana akiingiza kama mganga😘#bravo
Wa kwanza jameni kutoka kenya mob love
Wakwanza❤wapo bwana😢😢
Mi sijijui wangapi please naomba like from mozambique Mueda distrito
Courage vous êtes les braves je vous écrivez depuis kolwezi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
wangapi leo
Kila mtu wa kwanza basi Mimi wa mwisho Toka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga like twende pamoja👍👍👍🤏🤏🤏
@clamvevo achia chuma mzee tunakisubiri kwa moyo mmoja 🇹🇿
Nipeni like zangu kabisa wa kwannza leo
Wakwanzaaa clam vevo 🔥🔥🔥🔥
Clam unajitahidi xana na nampenda xana kaz zako hasa hapa ilipo fikia do penyewe hasa hongera xan clam endelea kufanya mambo mazur
Bubuuuu kasemaaa kumaaaa maeeeeeeee waloo isikiaa iyoo ya bubuu nimpeni like hapaaa
Kwa wanza kulike❤
😂😂😂
Clam vivo ebu fanya uoneshe nguvu zako basi unatia huruma sana
Clam Vivo Tena kama simu 😲
Japo nimechelewa ila najua watu wangu wa nguvu hamuezi nitenga, hata likes kadhaa tu zanitosha kutamba nazo,,,,,
Wa kwanza leo naomba like zenu by congo
Nakubali sana master movie nzuri sana 🎉🎉
Wakwanza naomba like
Kazi nzuri sana, siikosi kila inapotoka
Uyu bubu kamalizia na neno gani eti😂😂😂
Wakwaza kenya 🇰🇪🇮🇶🇰🇪 naomba like pls
Leo nmewahi shida hatupewi like ss wakenya big up broo
Mimi wa mwisho na omba lake 🇨🇩🇨🇩
Leo hii clam vevo ako sawa
Snake boy 🐍 inazidi kupamba moto sana 🔥🔥🔥💪
Wa mwisho leo kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿mauwa yangu jaman
Sema Mshangazi Nae Miyeyusho Saana Saana Anajirahisi Saana Kamkimbia Nzinga Kaenda Himaya Jirani Nzinga Akishajua Kutakuwa n Vita Kali Saana 😂😂😂
Kama unamkubali mwakatobe mzee wamswambwanda gonga like 👍
Kali kali kali,,,,,maweee 🔥 🔥
😢😮😮😅
❤❤🎉🎉🎉 najiskia laha kila nikiangaria KAZI zako sichok hujawahi kosea
Siyo michongo yangu nmexha achaga😅
Nani anampenda kipara mmbea snake boy bana ni mzuri
Sina tabia ya umbeaumbea nishaachaga hizo
@@isackkamuga5665 Nani kasema umeacha
Si michongo yng nishaachaga😂
Hi guys munipe like za clam vevo kesh comedian from 🇰🇪 🇰🇪
Hahaha uyo chifuu mikazo ziro
Zinga karibu anaitwa baba 😅😅😅 utam kunoga🎉🎉
Team strong nmeongoza hapa ❤❤❤ kazi safi sana kwa clam kiboko chao kwa filamu
Huyu jamaa mganga hv kiuhalisia sio mganga jmn😂😂😂kulu kutanta mantetele
Kulu kuntanta mantetele ndo yamaanisha nn
Great vevo ni mbadala wa kanumbaaa kwa movie za siriasi
Ngoja chief asuuze rungu kwanza utavaaa2🤣🤣🤣
Nime check commented za Mbali Mbali Toka mwanzo Mpaka mwisho akuna commented ya maana Watu wote Wana taka Ku pewa like Sasa kwa Iyo Mimi ni towe kwanza hongera kwa team Nzima kwa Kazi nzuri Wana tu fanyiya ili muradi tupate Ku burudika si tupo Apa tuna kubali saana Kazi zenu 😘 🇨🇩 from Dubaï 🇦🇪☝️
Na mim jaman sijawai pat at lk at moj 😅😅❤
Sjui Mwakatobe atarudi kwenye Ep, ya ngapi nina shauku ya kumuona Mwakatobe maana ndiye fundi pekee anaenogesha hii movie.
Alio msikio huy bubu kasema kuma mayo ashushe like zake 😂😂😂😂😂 ma bub wanatukan hatr
Kenya well represented..🇰🇪