🔴LIVE: WAKILI MWABUKUSI AENGULIWA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA UCHAGUZI WA TLS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 010389)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

КОМЕНТАРІ • 25

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 4 дні тому +3

    Nchi hii ukiwa mtetezi wa wanyonge unakuwa mhanga kila mahali .

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 4 дні тому +3

    Mumefanya nini munashelekea nini heli musiwepo maadili hamuna vishoka wengi hamufanyi chochote ni bule mabadiliko ya taletwa na watoka jasho kaliakoo tunateswa hatuwasikii machinga sela mbovu covid19 hamusemi mutasema lini?

  • @petroalfred5108
    @petroalfred5108 4 дні тому +2

    Na ndio maana mmemuengua Mwabukusi kwasababu ya uchawa wenu kwa rais na serikali yake

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 4 дні тому +2

    Mnajita wasomi sasa usomi uko wap kama watu makini mnawatoa

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 4 дні тому +3

    Hamuna kitu heli uende uchawa wa ccm kuweni chawa Kwa Tanzania Kuna haki COVID 19 wako bungeni mumefanya nini machinga watafukuza nchi hii wasomi mumeshindwa kutetea nchi

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 2 дні тому

    Watanzania wanabadilika kwa kasi aiseee! Their comments are same logic but do not agree with what is going on tls election.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 дні тому +1

    Mwabukusi to be rejected from been president of low sosayart dasnt mine has been drop into Tanzania pablic sosayart but mwabukusi safering because voice of tanzanian population this is what cost mwabukusi into ccm leadership why because of we tanzania still cawed feel to fighting for our right but time it will tells as

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 дні тому +1

    Nilijua tu

  • @rutashobyanovath1116
    @rutashobyanovath1116 4 дні тому

    Hili nalo ni genge la wahuni tu sema wanajificha kwenye sheria rasilimali za nchi zinaondoka na nyie mpe alafu mnajiita cha wanadheria upuuuzi😎

  • @ndilibangokaruhawe9335
    @ndilibangokaruhawe9335 4 дні тому

    TLS ibadiishwe jina

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 4 дні тому

    kumbe hata wanasheria na nyinyi munapewa maelekezo? Haiwezekani Mwabukusi aondolewe kwa nguvu hiyo ni kuondolewa kwa nguvu.

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 4 дні тому

    Hata nyinyi mnashindwa kumtambua mwambukusi kuwa ni mtetezi na ni mtu asiye na uwoga wa kusema KWELI iliyonyooka. Na anauwezo KABISA ktk Mambo ya sheria. Mwambusi Boniface amekosa sifa zipi. Loo, kila mahali shida Shida, hivi tulilogwa na nani?

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 4 дні тому

    Kumbe na nyinyi TLS ni
    marobot yaliyozalishwa?

  • @masanjajoto8880
    @masanjajoto8880 4 дні тому

    Sijawaelewa kuengua inaendana nanini kwanini msiwaache wakataliwe nawanachama

  • @salama1113
    @salama1113 4 дні тому

    Wanamuogopa mwabukusi 😂😂😂

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 4 дні тому

    Total bs

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer 3 дні тому

    Bora msingekuwepo hamna jipya mbona mabukisi mliengua.. Ninyi kazi yenu nini...

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 4 дні тому

    Hii ni shida. Rais anakuja k

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 4 дні тому

    Heli hata mwenyekiti kaliakoo tutafanya kazi

    • @robbinsonswai3756
      @robbinsonswai3756 4 дні тому

      Kila kona uchawa uchawa tu, hampendi wasema ukweli, igeni mfano wa wakenya hapo jirani hata.

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 4 дні тому

    Most useless TLS president ever

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 4 дні тому

    Wahuni kama wahuni wengine mlishanunuliwa

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b 4 дні тому

    Bora mngefutwanafanya kazi gani?mnatetea serikali Abdala ya wananchi wenu Mungu typo atawaonyesha tu hamtaki kukosolewa hii nchi ni yenu
    Peke yenu?