Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante muuguzi, jasiri mpenda haki. Wanawake ndio tunaopewa kanga tuamke tukashone madelaaa ❤❤❤❤❤❤❤
Mko vizuri kiwira nimewapenda sana na sisi musoma tupo nanyi
Kanda ya nyasa mmepata mwenyekiti wa kanda imara mheshimiwa Joseph mbilinyi sugu sio akina msigwa wanaoangalia vyeo
Kiwila mmeamka. Safi saaana. Elim mmepata. Na mmeitendea haki nawasndishi wa Habari mko vizuri Leo saafi Sana
kazi nzuri xana.
Mtaa kwa mtaa sugu,Bampa to bampa jongwe,paka kieleweke
Ama kweli Kiwira mmetisha!!! Lakin hata kwenye matokeo ya wanafunzi nako mnaongoza hongera!! Sanaa!!
Mwenyezi mungu akulinde sana sugu nakukubali sana tangia upo bungeni. Tunahitaji viongozi wa aina yako sio hao wa kuhongwahongwa wasio na msimamo akina msigwa
Hilo Gwanda limekukaa kiongozi!
Mwambigija uje Geita uwashe full Light......Kuna vipofu wanahitaji upako wako.
Hongera mbowe
Asante sana kura zote zako chama.watu wanabomolewa nyumba zao alafu niendelee kuchagua chama cha mafisadi kweli?
Nguvu ya mwanamke ni hatari katika mabadiliko ya nchi...!! 😊😊
Ccm wakae vizuri uchaguzi huu si mchezo
Safiiiiiiii
Wakajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura .
Ahsante sana CHADEMA...❤️❤️❤️.
CCM INATUONA SISI WATUMWA WAO CCM WANACHUMIA MATUMBO YAO TU. HONGERENI KIWIRA WENGINE JOFUNZENI KUTOKA KIWIRA. MUNGU AWABARIKI SANA.
Paka mwenye malengo , hamtafuni panya mwenye mimba....!!
Safi sana mama yetu muuguzi kwa kazi nzuri