ASKOFU MWANAMAPINDUZI "WALITAKA KUNITEKA Wakashindwa POLISI WAKANIKAMATA/LISSU KUWA WAKILI WANGU"
Вставка
- Опубліковано 7 лип 2024
- ASKOFU MWANAMAPINDUZI "WALITAKA KUNITEKA Wakashindwa POLISI WAKANIKAMATA/LISSU KUWA WAKILI WANGU"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Mumeumiya saana, neno ni neno,
Kwel maisha magum alafu mama enu kajigeuza chura na nyie mnaomtetea na nyie ni WAtoto wa chura hakubalik mchungaj nakukubali
Hata nyani watasema wanataka kutekwa hakuna kiongozi wadini uankaa na wavuruga amani unajiita wewe niwa mungu msikifanye chama cha chadema watu wakakiona ni cha udini kila mchungaji chadema mitume wenu woote huko baadhi ya maaskofu huko duh
Eze usifanye kaz zaMungu nyamaza ww si mambo ako yaenda cool man inchi hii wewe kula kuku kimpango wako watu wanteseka
Kamawewe unakataa basi mungu anajuwa
Desider unàendesha baskeli au unandeswa 😂😂😂😂😂😂
Hapo mchungaji ulikua unajitafutia balaa poleee
Watotot wa chura mambo
Askofu achana na huyo mwandishi uchwara. Nadhani angependelea avuliwe nguo ili jinsia yake ijulikane.
UNAPIGANIA NCHI YETU WAKATI CHAMA CHAKO KINACHAFUA AMANI ILIOPO SASA
Wengine humu msichangie mkizidi kuchonga aya kitawakuta kitu ayaa
Wewe mtangazaji HUJITAMBUI.. UNAULIZA MASWALI YA KIJINGA.. KWAIO WEWE MRU AKISEMA WEWE NI MWANAMMKE UTAKATAA ULIZE UMEJUAJE KAMA WEWE NI MWANAMME.. EBU RUDI DARASANI....
Uongo huezikua kama Nabii Musa acha uchochezi baba
Kwanini uongelee kwenye mkutano wa chama pinzani??? Wakati mtumishi wangu hupaswi kufungama na upande wowote.
Hapo hakuna mchungaji bali ni siasa tu maana unaongea ukiwa chadema acha siasa
Hivi nyie Gwajima ni nani si Askofu na yuko Bungeni? Hata marehemu mama Luakatare si alikuwa Mchungaji?
wewe Nimchungaji ambae huna adabu
Namm nataka udiwani nipite bila kupingwa cdm oyeeee😮😮😮😮
Wewe utabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa Nchi hii Mavibaraka ya mabeberu na ukimaliza kubwaka ukapige mswaki domo lako Lina nuka kama Choo
mbona gwajima ni.mbunge au ndo kwa sababu .....