"VIONGOZI NA WANAHABARI ACHENI UCHAWA MNAUMIZA WANANCHI" JAJI WARIOBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 169

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 9 днів тому +19

    Madini ya maana sana kutoka kwa mheshimiwa Jaji Joseph Warioba Mmoja wa wazalendo wachache wastaafu tunaojivunia nao! Mungu aendelee kukupa afya njema na maisha marefu Mzee wetu ambaye pia ni Waziri mkuu mstaafu!

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 9 днів тому +1

      Jaji Mkuu mstaafu, Waziri Mkuu mstaafu, na Makamu wa Rais mstaafu

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 9 днів тому +7

    Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda ndugu Joseph Sinde Warioba. Ili uweze kutupatia Madini ,Weledi na kuwakumbusha viongozi na Waandishi wa Habari.waache uchawa na kuandika Habari zenye faida Kwa wananchi.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 8 днів тому +5

    MZEE WARIOBA ANGALAU MTU AKISIKIA INAONGEA ANAPATA HAMU YA KUSIKILIZA SAFI KAMA NYERERE!!!!!!!!!! SAFI SANA TUNAKUPENDA❤❤❤❤❤

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 8 днів тому +4

    Mzee mungu akubariki kadri unavyozeeka unazidi kuwa tunu kubwa,mhimu kwetu wenye akili tunakuelewa ila machawa hawataelewa.

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 9 днів тому +7

    🎉🎉 Mzee ana Madini matupu ht siku Moja hajawai kuyumbaa ni mtu mwenye msimamo sana ,na shindwa kuelewa serekali kwanini hamtumiiie huyu, Mungu Amjaliee Mzee warioba Maisha marefu

    • @godrickngoli5904
      @godrickngoli5904 9 днів тому

      Mbona anatumika. Si amesema kuwa alipewa kazi na Rais. Hujasikia?

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 9 днів тому +7

    Zahabu ni zahabu tu hongera Mzee.

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 9 днів тому +4

    BRAVO MH. MZEE WARIOBA....MANENO YA HEKIMA NA BUSARA KWA WAANDISHI WA HABARI HAPA NCHINI MWETU.

    • @yahyahamisi2038
      @yahyahamisi2038 9 днів тому

      Mzee CCM ni chanzo cha matatizo ya nchi yetu 🤔 uhwawa , Ukada , ukanda , utanganyika , Uzanzibari , udini , ubabe , tabaka , rangi , unyanyasaji , unyanyapaa , dharau , haya mambo yanatugawa 🤔 watu wanatekwa , wanateswa , wanahujumiwa , wananchi tutaendelea kuwa wavumilivu , Kuna Mtu alikusukuma pale UDSm 😭 kisha akapewa ukuu wa Wilaya ya Kino na kisha ukuu wa mkoa Mpaka Leo 🤔 watu Toka kambi ya upinzani wakirudi chama Twawala wana Katengo maalum ka ukuu wa Wilaya Wilaya 😂 , ukurugenzi , Usalama , 😂 hivi mpaka Leo waliomtolea bastola Nape N auye pale st Peters church bado hawajulikani 🤔 wakati walionekana kwene runinga 😮 tinahitaji surveillance cameras za KGB , CIA , M15 , n a MOSSAD 😂😂 Jinsi tunavyofikiri sivyo kizazi kijacho kitaka kitakavyofikiri 🤔 tunajitengenezea timing bomb 😭 GEN Z 😂 Isikilizeni nguvu ya umma , ikisema no retreat no surrender kutakuwa hakuna jinsi bali ni kulia na kusaga meno 🤔 sio Tanganyika tu bali hata Zanzibar na zanzibara 🤔 Katiba mpyaaaaaaa 🙏🙏🙏 tujifunze kuwasikiliza wananchi wanachokitaka 🙏 tuache kuwawanyanyapaa maskini na wanyonge 🙏 Mzee Butiku , Mzee Warioba tunawaomba .kalisimamie hili maana Chama Twawala chatupeleka halijojo 🙏🙏 katiba mpyaaaaaaa 🙏🙏

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 8 днів тому +1

    Baba umesema maneno mazito sana, mwenye masikio amesikia. Ujumbe umefika sawasawa. Mwenyezi mungu akujalile afya njema baba.

  • @StephanoMathias-e2z
    @StephanoMathias-e2z 9 днів тому +2

    Wewe mzee wetu wa busara nakukubali saana. Mwenyezi mungu akuzisdishie uhai

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 8 днів тому +1

    Shukrani sana ndugu Warioba. Nchi hii imegeuzwa kuwa ya wachache sana kwa sasa.

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 9 днів тому +1

    Asante mzee.Taifa limeoza,tumekuwa vizabinazabina.Wachumia tumbo,kwa hao unaoongea nao wao ndiyo hovyo mno,wanalala wanawaza bahasha za viongozi na wanasiasa.Tamaa na heshima havikai pamoja.

  • @marymaleko5377
    @marymaleko5377 9 днів тому +2

    Barikiwa sana baba he kima,busara zimetawala.Je hawapo wengine kama huyu mzee,nakwani wako kimya.

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 9 днів тому +6

    Hongera,Mungu akuongezee muda wa kuishi ili uendelee kulitibu Taifa letu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 9 днів тому

      Mheshimiwa Warioba pigania Taifa hili ili lipate KATIBA MPYA.

  • @StephanoMathias-e2z
    @StephanoMathias-e2z 9 днів тому +3

    Mzee wetu wewe.. mmebaki wachache sana wa aina yako hapa duniani. Tunakuombea kheri kwa BWANA..

  • @hafidhally7998
    @hafidhally7998 9 днів тому +2

    Fact and rogic... Mzee tunakuelewasana mungu akupe umli mrefu tuendelee kuchota busarazako

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 днів тому

      Logic sio rogic ,,,,,,,sio lazima sana uwe unaandika kiingereza

  • @malaryhillary3075
    @malaryhillary3075 9 днів тому +4

    ❤❤❤ Asante mh Warioba siku zote unatoa madini ya kweli

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 6 днів тому +2

    Uchawa umepoteza hata mvuto ktk magazeti yote, ndio maana hata biashara ya magazeti, imepungua, maana magazeti yote yanaandika habari moja, waandishi waliowengi hawana ubunifu, pia uchawa umepitiliza

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y 9 днів тому +2

    Mh walioba we mtu wa maana Sana mungu akutunze

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 9 днів тому +1

    Mungu akujalie baraka nyingi sana kiongozi wetu mstaafu hapa duniani na hata mbinguni

  • @kulwasalum3597
    @kulwasalum3597 9 днів тому +1

    Utakumbukwa sana , hasa ktk kuwapigania walala hoi....
    Mungu akupe afya na uhai mrefu... .
    Amin..........!!!!

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 8 днів тому

    Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Warioba hakika hakima na busara zako Bado tunazihitaji sana nchi yetu ya Tanzania.

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 7 днів тому

    Hii na sauti ya mtu liaye nyikani msikieni yaye .Asante Mzee Warioba kwa nasaha zako . Wenye masikio na wayasikie hayo maneno ya huyo mzee wetu.

  • @user-kq7in8gd9o
    @user-kq7in8gd9o 7 днів тому

    Pongezi na hongera Sana Mzee wetu mwenye busara njema na maumivu makubwa Kwa wananchi wa Tanzania hakika Mungu akubariki wewe nitunu yetu hapa nchini .

  • @marckmasassi7466
    @marckmasassi7466 5 днів тому +1

    Mzee Warioba hili unalo zungumzia Kwa hakika na JANGA kwa Taifa sababu kujikomba kimezidi hakuna mtu ANAONGEA ya moyoni Bali wanaongea yale ambayo wanahisi WALIO wapa UONGOZI ndio wanayo taka kuyasikia hata kama ni UNAFIKI.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому +2

    Omba Mzee mungu akupe uzima utakuja kusema tuliwambiya

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 7 днів тому

    Hongera sana Mh kwa kuwa wazi.Kila mtu anataka kumsifu raisi, amekuwa kama Mungu!!!

  • @JoshuaSabu-r2p
    @JoshuaSabu-r2p 3 дні тому

    Mzee anaongea kwa uchungu sana kama namuona mwalimu Nyerere ndani yake anaumia kuona mwananchi anavyoteseka

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 9 днів тому +2

    Tunakuombea sana Mzee wetu

  • @user-bg8zz5vw5v
    @user-bg8zz5vw5v 7 днів тому

    Mungu aendelee kukuweka mzee wetu mwenye fikira kubwa na Moyo wakuwapenda watanzania nasio Hao machawa wanaotumiza.

  • @user-hf6kg9ks3g
    @user-hf6kg9ks3g День тому

    Nimekukubali saana mzee wetu

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 9 днів тому +2

    Umenena Vyema Waziri Mkuu Mstaafu

  • @kipronobett7122
    @kipronobett7122 7 днів тому

    Great wise words babu. worthy to be listened by all. Kudos

  • @user-ec8qn3cv1l
    @user-ec8qn3cv1l 7 днів тому

    Ongera Mzee warioba unaonambari niwewepekeyako uriebaki kuongeaukweri naminaamini unapenda mbadiriko yakweri kwasababu unajuasasaivi watu wanajitabua ira pawaipokwenye vyombovya Dora watuugopa

  • @makwebamanyama1219
    @makwebamanyama1219 6 днів тому

    Mungu akupe maisha marefu ❤❤❤

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 4 дні тому

    Kweli Kabisa Mh Jaji Warioba

  • @RobertJonathan-jm5um
    @RobertJonathan-jm5um 6 днів тому

    Hongeraa mzee wa busara. Nchi hii imeyumba kwa kutokuhemu busara zenu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 9 днів тому +4

    Mzee Mungu akutunze, na Butiku

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 9 днів тому +1

    Asante sana Mzee kwa hii Elimu, maana hicho ndicho kinachoendelea kwa taifa letu.
    Mungu awasaidie waandishi wa habari ili wasilalie upande mmoja.
    Asante.

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 9 днів тому +9

    Mzee Mungu akulinde tu upo duniani kwa lengo maalumu

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 9 днів тому +1

      Kbsa hujakosea kbs comment yako aisee huyu mzee Mungu anamakusudi nae kwenye taifa letu aendelee kumpigania zaidi afya njema uhai mlefu zaidi🙏🤲

  • @sangijomnyami8727
    @sangijomnyami8727 9 днів тому +1

    Wanainchi tumetengwa Sana tunapandishiwa Kodi ya pango Kila tunapo weka luku Toka 1500 Hadi 2000bila huruma.

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 7 днів тому

    Asante sana Mzee. Nchi imekuwa ya machawa. Viongozi wote wamekuwa machawa ndiyo maana kila baada ya sentensi mbili lazima amtaje raisi. Hii yote ni Kwa sababu ya self sensorship.

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 9 днів тому +1

    Mzee wa maana kabisa

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 9 днів тому +1

    Mzee unazeeka vzr akili inaongezeka sanaaa

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 5 днів тому

    I couldn't agree more!

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 9 днів тому +1

    Tunu iliyobakia Tanzania 🇹🇿...huyu mzee sio mnafki

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b 9 днів тому

    Elieshi poul:Mungu aendelee kukupa maisha marefu kwa hekima Yako.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 7 днів тому

    Wananchi tunasikitishwa nakauli ya Baadhi ya viongozi kutumia matusi kauli ya Uchawa neno hili iende baraza la kiswahili
    Kupata ufafanuzi juu ya maanayake na matumizi yake.

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 7 днів тому

    Hakika namkubali Mzee huyu Ndo aliyebaki nchini kwa kutetea haki za wananchi

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 8 днів тому

    Ushuhuda ya anayosema mzee Warioba(Mungu akulinde) kuwa ni ya kweli pasipo Shaka ni yaliyomkuta speaker Ndugai. Pamoja na sifa zake zote ccm hawakuwelewa wakamsulubu , kwa hiyo toka hapo ni sif😮a kwa raisi kwa kiongozi yeyote anayetoa hotuba.

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 8 днів тому

    asante sana baba warioba ni kwanini serekali imekua sumu kwa mwanchi wa kawaida anaumia watumishi wa serekali wakitucheka na kutudharau wananchi na kutupokonya maeneo yetu ya kijamii pamoja na mali zetu pili Tanganyika serekali. Inafanya mambo bila kuwausisha wananchi je nauliza iyo ni haki sisi kuongozwa kidikteta je nauliza mbona tugandamizwe utu husishwi tutoe maoni yetu nikweli kabisa atushirikishwi uwoni ujambazi. ndani ya serekali ndio tujue yakwamba mnapenda nikweli udikiteta kamili tuwe kama marekani tunataka tupate uhuru Tanganyika ni yetu Kila pahali sisi tutaenda wapi wanyonge tupewe haki zetu vijana wa kizazi kipya waamke kuitetea nchi yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na viongozi walioko mamlalakani wanatutisha na wasio julikana wako ndani ya serekali ndio maana iyo CCM inaendelea kugandamiza watanganyika baba warioba okoeni Tanganyika kwasababu Kuna wahuni nda ni ya Tanganyika serekali imeficha mabepari ndani ya serekali atutaki mabeberu ndani ya nchi yetu msilale Tanzania asante sana wenu Simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 9 днів тому

    Mzee huyu ni simpo hana makuu hana cha mtu alichokula wala alichoiba. Matokeo yake hana presha. Maisha yake yana amani. Ataishi maisha marefu sana . Wengine jifunzeni kwake la sivyo mtaishi maisha ya ubatili mtupu na hivyo mafupi na ya woga na taharuki za kutisha

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 9 днів тому +1

    Mzee ana busara sana❤❤❤

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 9 днів тому +1

    "CHAWA" ni mdudu mnyonya damu kwa binadamu kwa maana hiyo Sasa Kama waandishi ni chawa basi maana hiyo ni wanyonyaji wa wananchi kwa kutokuwapa taarifa nzuri na za ukweli na hivyo kuanza kupambana kujinufaisha kwa kupewa rushwa ya kitu kidogo,vyeo na kupewa trip za nje. Rejea Dp world ilipoenda kutiwa Saini nje baadhi ya waandishi walijinasibu kupewa zawadi na kununua magari ya gharama baada ya kusemwa na watu wakaanza kuwakejeli kusema nyie "mmepitwa na wakati"

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 9 днів тому

    Mzee walioba mungu aeendelee kukupa busala hizo wabunge wamekuwa machawa hakuna bunge pale kila mbunge anataka aonekane amemsifia rais mda mwingi wanamaliza kwenye kupongeza tu

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому

    Mzee Warioba umeongea ukweli wa hali iliyopo. Uwoga unaumiza watanzania.

  • @user-wz9vs5px4e
    @user-wz9vs5px4e 6 днів тому

    Uyu mzee muwekeni kipa umbele kulishauli taifa

  • @raphaelondego7703
    @raphaelondego7703 7 днів тому

    Mzee Waroba umenena ukweli.

  • @Wiittole
    @Wiittole 9 днів тому

    Mh jaji Sinde warioba umewapa ushauri mzuri na muhimu vyombo vya habar lkn hatuwezi ona mabadiliko yyte coz vyombo vyote vimejaa machawa wa ccm

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому

    Wananchi Mzee tunaelewa tuna subili mungu mpango wake hatatutesa milele na ccm na makada wao chadema na zitto wao tunajua

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 8 днів тому

    Sema na wabunge wetu,wanatuumiza sana wananchi,uchawa umekuwa tatizo

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 8 днів тому

    Hakika barikiwa sana mzee

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 9 днів тому

    Mhe Asante sana umebaki wewe tu sauti ya wananchi wengine wote na machawa wa mama na wizi

  • @MwambaWarusaka
    @MwambaWarusaka 7 днів тому

    Kabisa mzee uko makini Sana nakuelewa hoja zako miaka kumi na nane Leo hii serikali machawa wamejaa haina lolote ushenzi tuu

  • @user-vl7yy8gz9k
    @user-vl7yy8gz9k 6 днів тому

    Waandishi waliandika haya ya mzee magazine
    Uchida
    H
    Waandishi mhimili wakimezwa nchi kuangamia

  • @DullahKalanje
    @DullahKalanje 7 днів тому

    Sahii sana

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 7 днів тому

    Hawataacha hawa wameshikishwa kitu lazima wafanye juu chini wapige mdomo 😢

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 8 днів тому +1

    Media ya Tanzania ni comedy tupu .

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 9 днів тому +1

    Miongoni mwao tunu za taifa zilizobaki!

  • @EmmanuelSalli
    @EmmanuelSalli 8 днів тому

    Hapo kwenye kero mzee wangu nimepapenda

  • @MAFUNDISHO1
    @MAFUNDISHO1 4 дні тому

    Warioba ni tunu! Nchi yetu ni nzuri na imebarikiwa! Ila tusipojali tabaka la watu wengi , tutaiharibu nchi yetu. Cc ni nchi ya kijamaa kwa mujibu wa katiba. Utu, usawa na heshima. Ni misingi yetu. Ila sasa anakuja kiongozi au Mtumishi wa umma! Anafanya mambo kana kwamba yeye ni mwenye nchi. Badala ya kuheshimu wananchi kamaa waajili wakuu na wenye rasilimali za nchi.
    Tusiporekebisha kasoro hii.....inaweza kuwa swala la muda...Mtu Aliyekata tamaa na kujikinai ni hatari sana.

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 8 днів тому

    Uyu Mzee Jamani Anazeeka Vizr Akifa Aende Moja Kwamoja Mbinguni

  • @user-wz9vs5px4e
    @user-wz9vs5px4e 6 днів тому

    Huyu mzee nimadini ambayo tanzania tunayapuuza

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 9 днів тому

    Haya unayoyasema Mzee utawala hawataki kuyasikia. Rejea kauli za Mwigulu na wenzake kuhusu mustakabari wa maisha ya watz, wao wanaona anayetofautiana na sera na mitazamo yao huyo anatakiwa kuhamia sehemu nyingine ya nchi kama Burundi nk! Wanatamka haya mchana kweupe utadhani wanawaongoza manyani!

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 9 днів тому

    Nimekuelewa sana mzee

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 9 днів тому

    Our Old man during late julias kambarege Nyerere sinde warioba our country is on big trouble whatever sinde warioba you will talk about ccm no solution only tanzania people take action hakuna njia nyingine uwoga wetu wenyewe ndio unatumaliza ktk taifa letu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 дні тому

    Tunaomba maswali yetu na ushauri wetu uwekwe kwenye hsyo magazeti yenu tafadhali.
    2. Waandishi acheni Uchawa.
    Uchwa wenu unaua hii Inchi kabisa

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому +1

    Waandishi wa habari na wawo wanaanza kutekwa na serikali. Jambo la sukari kuhusu Mpina na speaker wa bunge, hawajaandika chochote ni Kimya tu. . Watanzania tunatgemea magazeti magazeti kuandika bila upendeleo haki za watanzania

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 8 днів тому

      Wameshatekwa. Hawaandiki yanayopaswa na yanayowahusu na kuwakabiri wananchi. Wanamtukuza na kumsifu Samia tu. Ni Samia, Samia, Samia. Kaziba kila Mtanzania. Hata Mungu hatajwi namna hii. Hata yeye mwenyewe anaendekeza na kubariki hili. Inamaana Tanzania nzima yuko Samia peke yake. Hakuna mtu mwingine nchini bali Samia na huyo Mama yao tu. Hatuna Bunge wala Mahakama nao ni Samia tupu.
      Mmetekwa kifikra kielimu, kiuchumi. Wananchi wamefunikwa na kuona hawana maana. Wanamwonyesha Samia na CCM tu. Wengine wote wamewafanya hawana maana yoyote ile. Ni ujinga wa kiakili usioelezeka.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 днів тому +1

    Wamebaki wachache hawa wazee, wakiisha tuendako ni kubaya zaidi

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 8 днів тому

    Hakika busara za huyu mzee na hekima yake ni muhimu kwa taifa anaongea ukweli wananchi hatusemewi wanadili kuwasifia viongozi mpaka vyombo vya habari vimepoteza mvuto kwa wananchi ni wachache sana wanaofuatilia habari sababu habari zinaupendeleo

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 9 днів тому

    Mungu akulinde

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 8 днів тому

    TATIZO MSTAFUU WENGI WALIANDIKA HABARI ZA UKWELI MWISHO WAO UNAKUWA MATATIZONI (NDIO HOFU YA WAANDISHI)

  • @JoshuaSabu-r2p
    @JoshuaSabu-r2p 3 дні тому

    Home boy hujawahi kuniangusha mura wetu

  • @innocentmleli1196
    @innocentmleli1196 8 днів тому

    Wape somo, wamepotoka.

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm 9 днів тому

    Mzee hakuna waandishi wa habari kizazi hiki, kwa sasa ni wapiga stori na umbea.

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g 9 днів тому

    Mzee una hekima! Ni hazina ya taifa letu, ushauri wangu aliyekupiga kipindi kile atafutwe afungwe, madeleka na mwabukusi wakusaidie

  • @kyaruzilutaadolph1835
    @kyaruzilutaadolph1835 9 днів тому

    Kweli old is gold

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 9 днів тому

    Sure, mzee ,jaji mstaafu, Warioba waambie kizazii hiki cha IT L
    lakini hawajui jukumu Lao kwa jamii! Kuna mihili mitatu ya utawala katika Taifa , Bunge , mahakama na serikakali , wanaunganishwa na Waandishi wa habari waliosoma vizuri sio makanjanja, umefahamu??

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 6 днів тому

    Uchawa , ukada , ukanda , uzanxibY na Uzanzibari, udangyika , ni shit shidaaaaaa ktk muunganimo huu😂😂 nyambafu zetu 😂😂😂 midanganyika Timo tuuu bwashet😂😂 hivi sie Wadanganyika aliyeturoga ni nani? 😆😆😆🤣🤣😆

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 8 днів тому

    Wekeni tunayochangia hapa gazetini tafadhali sana badala ya wewe mwanahabari kuachagua. Tunachukua muda kuwasomeni na nia ni kuhabarisha watu badala ya wewe kuyaweka kapuni.

  • @user-wz2gn1jx2h
    @user-wz2gn1jx2h 9 днів тому

    Kuna kipindi cha wasafi chaki sitokitaja wanapenda sana kusifia

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 8 днів тому

    Warioba kama unayajua kipi kinachowapa woga sote tunafaham serikali Ndio inayoziba midomo

  • @kenethmaseti8953
    @kenethmaseti8953 9 днів тому

    Tasnia ya habari imeharibika sana tuna wahandishi wa habari wa hovyo sana.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому

    Wawekezaji haswa wageni ndiyo wanathaminiwa zaidi ya wananchi wazaliwa.Tunaanza kuwa wageni nchini mwetu

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому

    Kwa sasa wananchi sio kitu. Ingawaje katiba inasema power ni ya wananchi. Power imekuwa ya wakubwa. Tumeona speaker wa bunge kamufukuza Mbunge Mpina kama mbwa. Bila heshima. Hiyo imewauma watanzania wapenda haki kwa wote. Wananchi wamezibwa midomo. Watetezi wote either wanaondolewa ama kunyamazishwa. Tunaambiwa mama Kąkopa na kumwaga pesa. Pesa hiyo haziwasaidii wananchi bali mafisadi. Tofauti kati ya matajiri na masikini inazidi kukuwa. Hii yote ni ukosefu wa haki.

  • @debbiemes4600
    @debbiemes4600 9 днів тому

    Mimi nachoka kabisa na watanzania. tunapewa nafasi ya kuchangia baada ya msemaji mkuu kutoa hoja yake, Wantazania wengi tofauti na nchi zingine badala kuchangia hoja wanamwobea kwa Mungu. Sikatai je mchango huo unaenda na hoja? Tumezidi k.m Mungu akulinde, au kumsifia au huo nao ni uchawa?

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому

    Hatuna haki muze hao walio pewa dhamana watafute kazi nyingine unaenda mahama unaka miaka kumi 20 heli usuluwishi kuliko majaji mugogolo wa aridhi Jerry makonda majaji Ina wachukua miyaka kalane wa mahakama anatafuta faili mwaka napo amepewa pesa mpaka tuchapane ujinga utaisha

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 9 днів тому +1

    Machinga hao ndio tunaotegemea siyo wajinga wasomi hata wakati wa uhulu nyelele alikua na wajinga wasomi wakaa pembeni wakasema ni chama Cha wajinga hivi tumeteseka miaka 62

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 9 днів тому

    Hapo hakuna wandishi,Mh angalia hata kalamu wanazotumia mbele yako.

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 9 днів тому

    Hivi kitu linamka. Linampo nda Mzee kama huyu. Dunia..inamtambua .lenyewe halijawahi kuwa hata balozi. Wanyumba. Kumi. Kwa hiyo lunafurahia kutwekwa Watu akitekwa. Make wako ndio utamkumbuka hu. Mheshimiwa

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 6 днів тому

    Mzee hapo unapoteza muda hao wana malengo yao