A-Z Mwabukusi Afunguka Mazito Kuenguliwa Jina Lake Kugombea Urais TLS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • #ijuesheria #TLSAGM2024
    Video kwa hisani ya Jambo TV

КОМЕНТАРІ • 106

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 14 днів тому +11

    Hongera Sana Msomi Mwambukusi mimi naona unatoa dawa ingawaje ni chungu lakini tunapaswa kuinywa ili tupone

  • @alfredsotoka2852
    @alfredsotoka2852 День тому +2

    Me as a Lawyer and Advocate of the High Court I support this 💯 %

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 9 годин тому

    Big up mwamb, sheria hazikubaliki, ubabe unatendeka nchi hii.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 21 день тому +10

    Watetea haki lazima tuwalinde yani Lisu mpina mwabukusi na wengine tuwaombe sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 14 днів тому +1

    Duuuuu htari sana,mungu zidi kujidhiirisha juu yadhwmbi hizi zinazoumiza wananchi wko.Pole kaka mungu mkuu kwko hki atakupa kutoka kwenye mikono yke.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 14 днів тому +5

    Unakuta kuna mtu anamchukia huyu jamaaa mbona anachokizungumza ukimsikiliza kwa makini bila ya uchama au udini ndani yake kinamantiki sana

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 14 днів тому +5

    Yaani nakuunga mkono kwa asilimia 800

  • @TemuCalvinWilbard
    @TemuCalvinWilbard 14 днів тому +1

    Kaka nakuamini sana na kwa uwezo wa Mungu vita hii kwapamoja tutashinda

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 14 днів тому +1

    Hongera sana Mwambukusi Mungu akubariki aendelee kukipigania. Hao wanasheria wote ni WANACCM tu wakati wa michango wanazila kwa raha kukubwa.

  • @nestor384
    @nestor384 21 день тому +3

    Kuna mbuzi moja ktk comment hizi inadhani kuwa kiongozi ni kusifia wanasiasa! Katika Bar ilipaswa kuwa imara na the real defender of law and justice.. Mkuu wa mkoa ana lawiti hakuna independent bar ya kuweza kutetea watu wa aina ile,

  • @japhethbaalinda1756
    @japhethbaalinda1756 14 днів тому

    unani inspire sana kaka nakukubali sana Mungu akulinde dhidi ya hao maharamia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 14 днів тому +2

    Hatari.Gen-Z n diyo dawa😮 Unase m a ukweli.❤🎉

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 14 днів тому +2

    Waandishi hao ndiyo wanatuangusha kweli kweli kwa sababu karibu wengi ni wachawa wa watawala tu.

  • @thagondale9041
    @thagondale9041 День тому

    I stand with you learned counsel

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 21 день тому +1

    Mungu yupo na atatutetea na wakati huu Mungu anatutetea.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 21 день тому +1

    Nakupenda Uko vizuri kujenga hoja

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 14 днів тому +1

    We are always together bro,, Tz ukisimama ktk haki wanakutengezea zengwe,,

  • @BarnabaChota-tw7ol
    @BarnabaChota-tw7ol 14 днів тому +2

    Kuzuia kipawa cha mtu ni kosa maana ni cha Mungu

  • @japhethbaalinda1756
    @japhethbaalinda1756 14 днів тому

    Hongera mwabukuzi umeweka Legacy katika Taifa letu

  • @user-ii7yw9ng5d
    @user-ii7yw9ng5d 21 день тому +3

    Wamenunuliwa kwa bei ya njaa zao,Dola ina mkono wake hapo,baadhi ya mawakili wenzio ni wasaka tonge!