NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 тра 2024
  • Fuatilia uchambuzi wa mdahalo kati ya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Peter Msigwa wanaowania nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa katika CHADEMA.

КОМЕНТАРІ • 182

  • @IddiBakari-uj4te
    @IddiBakari-uj4te Місяць тому +2

    Chilwa naipenda chadema kuliko maishayangu. Shida tukipata viongozi wanasahau walikotoka inaumasana naonavunja moyo tunapoteza wanachama. Kaka Sugu lifanyiye kazihilo.

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 Місяць тому +3

    Nawapenda wote , Sugu 50% , Musigwa 50%. From Cedar Rapids Iowa state USA

  • @mussanyarubamba5848
    @mussanyarubamba5848 Місяць тому +4

    Uwezo wa sugu ni mdogo sana ktk mjadala, anarukia rukia issues ambazo zinakitia dosari chama kama office nk na kuacha maswali ya msingi, pia ana jazba na anasahau huo ni mdahalo ndani ya chama sio dhidi ya ccm , kuhusu utendaji sijui sana lkn ikiwa tutaamua kwa kufuata mdahalo basi sugu bado sana!

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Місяць тому +1

    Hii midahalo ikiwa inafanyika hivi kwa uwazi ni nzuri sana bigup msigwa

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i Місяць тому +2

    Bila ushabikimdahalo umemuongezea sugu credit,,,,,
    Utulivu ,ujibujimaswali Kwa mantiki
    Mahalo unauonyesha msigwa tofauti, anahamanika,,,,
    Kwa mdahalo huuu Kura yangu
    Sugu
    Sugu
    Sugu

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho Місяць тому +3

    Musigwa yuko vizur kanda ya nyasa imeimalika sana

  • @jacobmwankenja5466
    @jacobmwankenja5466 Місяць тому +1

    Kwa kweli mdhahalo ulikuwa moto na mzuri sana, big up chama langu Chadema, mmekomaa

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 Місяць тому +4

    Wawili hawa ni wazuri na walijaribiwa na JPM wakastahimili. Ingawa hivyo wanapaswa kuongeza uelewa, kila mmoja ktk eneo au maeneo fulani. Sugu alibughudhiwa zaidi pale alipofungwa na nadhani ndipo alipompoteza mzazi wake-jambo zito kuliko yote hilo! Hata hivyo, kwake kudai Msigwa angekubali mwaliko wa ikulu ya JPM ilhali ilijulikana ni kutaka kumnunua (hongo) ni kuyumba! Huwezi kuitikia wito wa Rais wa nchi anayetaka kukurubuni halafu utuambie ukifika ikulu utamgomea, HUWEZI na nadhani haishauriwi!!! Hivyo Msigwa anastahili pongezi ktk lile. Nahisi Sugu ana PR nzuri na watu, lakini nahisi ni mtu wa nadharia kuliko kutenda. Msigwa alipaswa kudai ushahidi kutoka kwa aliyemtuhumu kudai pesa, badala ya kulijibu kijuujuu suala nyeti kama rushwa. Mwisho, nadhani waboreshe uhusiano kati Yao itawasaidia ktk majimbo yao dhidi ya ccm tunayotaka iondoke madarakani

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 Місяць тому +3

    Huu ni mtihani mgumu sana hapo wote wako bora sana lakn itabidi ashinde mmoja tu mwingine awe makamu wanajitahidi kujenga hoja na kujibu hoja

    • @kashiririrkaasongwisye9487
      @kashiririrkaasongwisye9487 Місяць тому

      Mch. Msigwa bado anao uwezo mkubwa wa kuongoza na pia sugu mbilinyi ana vision kubwa sisi wengine tunatakiwa kupata SoMo kutoka kwenye mlengo ya mdahalo huu hasa kuona uchaguzi ni ligi nzuri yenye irafiki sio vita!

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari Місяць тому

    Chadema kimekomaa. Wote wako vizuri! Tunajifunza. Tunahitaji vyama kama hivi.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Місяць тому +3

    sijaridhika na majibu mchungaji, hasa katika kutengeneza miongozo ya maendeleo ya chama hasa ujenzi wa ofisi

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 Місяць тому +3

    Mimi nadhani Kuna haha ya kubadilisha uongozi ili tupate vision mpya ambazo nimeziona kwa Mhe Sugu. Mch tumpe nafasi nyingine kwa Sasa.

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 Місяць тому

    Mjadala huu unaonesha kuwa CHADEMA kimekomaa sana. Hii ndo tunataka CCM ifanye. Wagombea wa CCM wafanye midahalo ya aina hii ili tuwaone na kuwauliza maswali. Na vilevile vyama vikubwa (hususan CCM, CHADEMA na ACT WAZALENDO) vikutanike na kufanya midahalo ya ya aina hii ili wananchi tuweze kuchagua viongozi wanaofaa. Hii ndo kazi ya luninga yetu ya TBC. Chacha Ryoba aachane na "cheap" programs na interviews ambazo zinaelekea kusaidia chama kimoja. Ryoba asisahau kuwa kesho chama anachokisukumasukuma huenda kisiwepo madarakani. Big Up CHADEMA,

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Місяць тому +1

    Wameanza vozuri lakin MWISHONI nimeshangaa maneno ya Sugu kuropoka siri za ndani ndani kuwa Msigwa haaminiki ktk chama... Hili ni tatizo. Nasema tena hilo ni tatizo

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Місяць тому

    Msigwa IKULU ungekwenda kukisemea chadema,ungeuliza WATU WASIOJULIKANA NA KESI ZA KUBAMBIKIWA.WEWE UMETUMIKA SANA SANA.

  • @user-od3fv4zb8u
    @user-od3fv4zb8u Місяць тому +3

    Joseph mbilinyi also known as sugu

  • @user-te1uk3ku8b
    @user-te1uk3ku8b Місяць тому +2

    Msingwa nikiongozi mnzuri ira nigependa tumuone na sungu .masns wote wako vinzuri

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 Місяць тому

    Msigwa ni philosopher, kiongozi. Sugu ni mtendaji anafaa sana kuhanasisha matukio
    My take ni kuwa, A Nation is governed by philosopher. Msigwa anafaa zaidi kuongoza kanda, kuwajenga watu kisaikolojia.
    Sugu anafaa sana kuhamasisha matukio ili yafanikiwe.

  • @julianamichael1848
    @julianamichael1848 Місяць тому

    Wote wako vizuri

  • @safaribuganga
    @safaribuganga Місяць тому +3

    CHADEMA ina majembe wote wazuri

  • @karamarwamugema3700
    @karamarwamugema3700 Місяць тому +1

    Msigwa nafikiri hata yeye anajua kuwa sugu anamzidi kitu fulani katika kadamnasi. Msigwa anafaa zaidi kufanya kazi makao makuu ya chama kama political officer (commissioner) kama nafasi hiyo ipo katika katiba ya CHADEMA.

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 Місяць тому +4

    Msigwa kimemuua kile cha wamasai na yy kujikita kweny kuunga ccm mkono

  • @ogweyoranga8110
    @ogweyoranga8110 Місяць тому +3

    Mimi nitashangaa sana kama wanachama watamwacha Msigwa wamchague Sugu.

  • @user-es4tq5qe7v
    @user-es4tq5qe7v 8 днів тому

    Sugu brow

  • @carolsangawe2024
    @carolsangawe2024 Місяць тому +3

    Kuna ushabiki unaandikwa humu lakini msigwa amemzidi sugu kwa mbali sana

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 6 днів тому

    Nimeiona democracy kwa Mr Sugu,anafaa na ni kiongozi makin mwenye vision,huyo msigwa mmmhhh mazoea mengi let him go home

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Місяць тому

    msigwA is the head lnto. Chadema political party let be frank has to be avoided such debeghty on one political party
    Your analysis vary brave as the professional tanzania janalist

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Wananuliwa
    Wi.ngi

  • @carolsangawe2024
    @carolsangawe2024 Місяць тому

    Msigwa his very bright man. Anajua uongozi. Sugu bado.

  • @gastonmbilinyi382
    @gastonmbilinyi382 Місяць тому +1

    Wote ni wazuri. Ila kiongozi hapo ni Msigwa. Sugu aendelee kumshauri Msigwa kwa usitawi wa chama chetu.

  • @francisjohanes3027
    @francisjohanes3027 Місяць тому +1

    Hawa wote wameiva wako vizuri

  • @fridolinusboniface3574
    @fridolinusboniface3574 Місяць тому +2

    Msigwa anafaa , ameiva.

  • @johnkayolo4640
    @johnkayolo4640 Місяць тому +1

    Msigwa amemzidi sugu Kwa kila jambo, shida ya Sugu akuelewa kuwa hapo kwenye mdahalo alitakiwa akijengee heshima chama na huku akishawishi apewe kura, lakini huku mwisho ameonekana akimkosea adabu mwenzake Kwa kusema alikuwa ahaminiki ktk chama, Sugu ameonyesha uwezi mdogo sana wa stahimili hoja chungu.
    Hivi anawezaje kusema Msigwa alikosea kutokwenda ikulu Kwa wakati ule.
    Sugu ametumia kila aina ya lugha chafu ili apate uongozi.
    Hii ni hatari Kwa Chama.

    • @NNONGWA
      @NNONGWA Місяць тому

      Nimewashangaaa ssna, huyu Bint Mayemba wa Njombe ni mtupu na namna nilivoona Wametoka vipande hawajakubaliana lakini itoshe kwa Sugu kuelewa Mbeya anakaboliana na nani ? Lakini pia namuona Mungai aki influence kuondoka kwa Msigwa ni wazi Iringa haitapoteza jimbo hata moja mbeya pia , ila Songwe ndiko kuna kazi ya kweli....Chadema wamepoteza sanaaaa....Once a Legendary ktk Medani wanapaswa wajue Sugu ni compromised fellow.

    • @NNONGWA
      @NNONGWA Місяць тому

      CCM iringa itapita majimbo yoteee....Mbeya piaaaa....

  • @GSengo
    @GSengo Місяць тому +1

    SUGU IS THE BEST

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s Місяць тому

    Sugu hongera Sana. Umetulia kwenye maswali.

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg Місяць тому

    duh nimependa mudahalo huu

  • @eraseras7007
    @eraseras7007 Місяць тому

    33:48 ni vile lazima kuwe na kiongozi.

  • @MaruzzoTz
    @MaruzzoTz Місяць тому +8

    Kwa mtazamo wangu , msigwa Hana hoja na ajajibu maswali aliyoulizwa na maswali yalikuwa yakawaida sana haitaji ata kufikiria mara mbili kwa mtu mwenye uzoefu hajaonyesha ukomavu ni ubabaishaji na maneno ya ngonjera na bwana fisi.
    Sugu ametulia na ana reason kwa anachokijibu .
    Msigwa anakurupuka ni aibu kwa mtu mwenye experience kujibu kwa kukurupuka au kutokuwa na critical thinking katika kujibu maswali kwa usahihi .
    Naona sugu ana asilimia kubwa ya kuchukua nafasi hii na anastahili kupatiwa hiyo nafasi kuonyesha uwezo wake wakuleta mabadiriko katika Kanda ya nyanza .

  • @IddiBakari-uj4te
    @IddiBakari-uj4te Місяць тому

    Chilwa songea town nisawa hanaf 33:48 aa poent kafanya nn? Tumpe sugu tuone karamazake. Viongozi wachini wanatengwa sana ndikowanakotenngenezwa wanachama!

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 Місяць тому +1

    Sigu anafaa, hana mbwembwe na mambo mengi

  • @Wamisangi
    @Wamisangi Місяць тому

    Kama ni kuchagua kiongozi wa watu wote basi ni ..... Lakini kama kiongozi wa hooligans ni......

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 Місяць тому

    Wana mihemko, kupewa nchi hawa hapana. Hawatakuwa na tofauti yoyote na CCM

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Місяць тому

      Kuna siasa bila mihemko? Kwa hiyo unaridhika na mihemko ya CCM kwa miaka 63? Au una chama kingine? Tujulishe.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 Місяць тому

    Hata mimi naona ni vyema alivyokataa kuenda, muda huu angekua akhera tu, japo na magu naye yupo huko huko, na mimi nitaenda huko huko, ila kuna kutangulia, ama kutangulizwa.

  • @LissaJonas
    @LissaJonas Місяць тому

    Kulala nyumbani sio tija,kula Wali na migebuka sio case, tunahitaji awe specific, maendeleo gani? Ana generelise sana.

  • @oss6689
    @oss6689 Місяць тому +1

    Msigwa

  • @rastheunique
    @rastheunique Місяць тому

    Mchungaji yupo vizuri! Sugu ego yake inampelekea kupeleka personal attack tu Kwa mwenzake 😅

  • @RichardKiula-xj7lu
    @RichardKiula-xj7lu Місяць тому +1

    Sugu

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Pita.msg.ametulia
    Anafaa

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Місяць тому +2

    NIMEPENDA SANA LIVE PARTICIPATIVE

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 Місяць тому

      msigwA is the brain hide political cicret vary lptantAnt this is what msigwA do into midia

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 Місяць тому

      Mbilinyi even late julias kambarege Nyerere during his life time in politics he was asking help to odinary people why you can be a leader but you don't hame money into opposition we need sacrifice both sides leader and odinary people together we building one thing

  • @user-rt8lv3jj8l
    @user-rt8lv3jj8l Місяць тому +1

    sugu

  • @IddiBakari-uj4te
    @IddiBakari-uj4te Місяць тому

    Chilwa naipenda chadema mkongwe anajikanyaga kisukali kingi.

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 Місяць тому +1

    Msigwa!! Ana maono

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 днів тому

    Sugu.alijibu. vizuri.a,namalengo.ewena.moyo.wajitoa

  • @falakangesa5886
    @falakangesa5886 Місяць тому +1

    Coment za mapez ya chama wote bàdo

  • @amanmwamluku9772
    @amanmwamluku9772 9 днів тому

    sugu nampa kura yangu

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Місяць тому +1

    Hongera sungu

  • @martinloibooki1844
    @martinloibooki1844 Місяць тому +1

    Suguuuu

  • @IddiBakari-uj4te
    @IddiBakari-uj4te Місяць тому

    Chilwa toka songea nampa sugu.

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 Місяць тому +1

    Dada anauliza ama anafoka???😅😅mbona mkali sana

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 Місяць тому

    Msigwa ni public speaker mzuri laki kama anaamini chadema ni kubwa kuliko MTU ni muda muafaka akae pembeni miaka kumi ni mingi aache vipawa vingine vitoe mchango

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 днів тому

    Wewe.dada.unaye.sema.nakupenda.unase.ma.kweli.uwezo.mkubwa.akili.ysko.juu

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru Місяць тому

    Siungi mkono kwa wakati ule Msigwa kwenda Ikulu hapo Sugu umeongea kisanii

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Unasema.kweli.sugu
    Hutauza.chama.kama.unauchungu.msingombeni.leteni.watu.wikomboe.tanganyika.mengine.acheni.malombano.chedema.juu

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 29 днів тому

    Sugu anaweza

  • @LusajoAmbakisye-uq8ym
    @LusajoAmbakisye-uq8ym Місяць тому

    Msigwa anajibu sawa sawa

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy Місяць тому

    Sugu boss

  • @almachiusjeremiah
    @almachiusjeremiah Місяць тому

    Msigwa anafaa,SEMA tu kumuelewa waga panatakiwa ufkri sana

  • @JosephShayo-rl2cg
    @JosephShayo-rl2cg Місяць тому

    Ni MSIGWA.

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Місяць тому

    Hakuna kuchukua Dora makonda anaijenga nchi

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 Місяць тому

    Chadema ni chama kinachoeendesha chama chama chake kwa uwazi sana kuliko fisiem

  • @sjdbxjdhsudjxjhd615
    @sjdbxjdhsudjxjhd615 Місяць тому +1

    Msigwakonk yanyasa

  • @danieltewa
    @danieltewa Місяць тому

    Mzigwa Anastahili kurudishwa

  • @ottomtitu4336
    @ottomtitu4336 Місяць тому

    Sugu yuko sawa sana

  • @linacedon8492
    @linacedon8492 Місяць тому

    Hapo kwenye koti la wachungaji hapo😂😂😂

  • @theonestruta216
    @theonestruta216 Місяць тому

    Sugu ameongea vizuri. Naona mchungaji ana jaziba.

  • @PaulLukumbi-en3qd
    @PaulLukumbi-en3qd Місяць тому

    Msigwa anajibu hoja/maswari

  • @LissaJonas
    @LissaJonas Місяць тому

    Huyu Mhe, msigwa anakosea sana analinganisha binadamu na wine? 😂😂

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 Місяць тому

    Sugu ni sugu mtoto wa mjini huwezi kumshinda kwa hoja lazima ukae

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 Місяць тому

    Kama hutaki rushwa ungeenda ikulu kufanya nini? Sugu acha hizo! Ukifika huko huwezi kukataa kupokea kitita!

  • @gm003
    @gm003 Місяць тому +3

    Mbilinyi

  • @BarakaBashiru-nf3sb
    @BarakaBashiru-nf3sb Місяць тому

    Kwa ufupi msingwa

  • @ponsianomwakisunga899
    @ponsianomwakisunga899 Місяць тому

    😅😅 nawapata vzur Sanaa

  • @JohnKamugunga-ee3rt
    @JohnKamugunga-ee3rt Місяць тому

    Msigwa anajua anachokifanya.

  • @victoreleonardmdee9158
    @victoreleonardmdee9158 Місяць тому

    Mdahalo Umekuwa Mzuri ila Moderator mwisho alishindwa kuongoza mjadala

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Місяць тому +2

    Wote

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 днів тому

    Ulibari.sugu..

  • @alinanusweedward2952
    @alinanusweedward2952 Місяць тому

    Kabla ya yote nipongeze ATCL

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u Місяць тому

    Tangulini msanii awemwanasiasa. ?? Munachanganya mandazi maharage.

  • @SaidShemkieti
    @SaidShemkieti Місяць тому +1

    Tatizo sugu amefungwa mdomo sanaa haswa kwenye huu uongozi wa mama na hii ni baada ya kufanyiwa tamasha kubwa kule mbeya na mama akiwa mgeni rasmi sijawahi sikia sugu akihoji au kuchallange chchte kile kinachoendelea kwenye uongozi huu wa mama mimi kula yangu nampa msingwa

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Huyu.ewe.mpanishi.dada.anayesema.maswali.wote.wako
    Sawa. Kufanya.kazi. pamoja

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s Місяць тому

    Wote ninyi ni majemb

  • @saidbakar-qo6ri
    @saidbakar-qo6ri 9 днів тому

    VIONGOZI WENU AIBU WANAGOMBEA UGALI

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Місяць тому

    Walinshidwa Nini Kusema 2020 Ilikiwa Ni Uporaji... Huyu Moderator Anajifanya Kama Majimbo yaKanda ya Kusini yalideal na Uchaguzi huru na haki 2020.

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 Місяць тому

    😂😂😂😂

  • @user-bf4xh9kc3n
    @user-bf4xh9kc3n Місяць тому +2

    Vyote vichwa

  • @jumanassib3634
    @jumanassib3634 28 днів тому

    A RIGGED MDAHALO! ... AM I MISTAKEN?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 Місяць тому

    😂msigwa is more experienced

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 Місяць тому +1

    MsigwA

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 Місяць тому

    Hapa Sugu atafaa sana so ni mtu wa kufosi pale pasipo na njia,,, Sguuuu👍👍👍

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 Місяць тому +1

    Msigwa anafaa kuwa kiongozi. Nitashangaa wapiga kura wasipomchagua msigwa