LISSU: WEMA WA SAMIA NA "UKWELI WA MUNGU" KUHUSU MAGUFULI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 сер 2023
  • Aliyasemea Chato nyumbani kwa Magufuli, juzi Jumatano 02.08.2023. Sikiliza.

КОМЕНТАРІ • 88

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up Рік тому +5

    Asante MUNGU kwa kutupa Tundu Lisu

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 11 місяців тому +4

    TUNDU LISSU IS A LEGEND AND IS FARMOUS FOR GOOD POLITICS IN TANZANIA,I LOVE TUNDU LISSU,I LOVE MBOWE,I LOVE CHADEMA AND I LOVE MY COUNTRY,GOD BRESS MY COUNTRY.

    • @emmanuelsulle911
      @emmanuelsulle911 19 днів тому

      Ubarikiwe Mno 🙏🙏 exactly Nampenda Mno Lissu,Mbowe,Lema Heche , Pambalu nk I love too much Chadema ✌️✌️✌️

  • @sashawambura
    @sashawambura Рік тому +10

    Hakika Tundu Antipas Lissu ni zawadi kwa Watanzania na Africa...

  • @jamesmhillu3211
    @jamesmhillu3211 Рік тому +7

    Hakuna zawadi kubwa Mungu ametupa Watanzania kama kumponya Tundu Lissu na kumfanya Aishi ili atutoe Misri

  • @user-zf1ic2ck2t
    @user-zf1ic2ck2t Місяць тому

    Kazi nzur sana fanya kazi

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 Рік тому +12

    Lisu ni zawadi ya Tanzania kutoka kwa Mungu Anatakiwa aikomboe Nchi hii kutoka utumwani mwa wrezi tujitawale kiuchumi. Ndio maana Mungu kampa nafasi ya2 ya kuishi ili kaz iytake ikamilike. Wasira ni walewale Hana hoja.

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 Рік тому +15

    Ni wenye akili tu ndo humwelewa mwamba kutoka Ikungi 💪💪

    • @rambostalon2888
      @rambostalon2888 Рік тому

      Kweli kbs

    • @TheodosiaSangka
      @TheodosiaSangka 5 місяців тому +1

      Kabisa mpambanaji mzalendo wa kweli Tundu Lisu Mungu amlinde adui yake awe adui wa Mungu. Peoplesss..power👊✊✌

  • @CHRISTOPHERKIMWAGA
    @CHRISTOPHERKIMWAGA Рік тому +10

    Tundu ni mtangayika makini sana anaipenda nchi yake siku zote na angekuwa Hana uzalendo angesha unga mkono wenzi Kwa mambo waliyomfayia hao ccm

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 11 місяців тому +3

      Kweli kbs maana hapo alipo angeshaunga mkono juhudi ili kuokoa roho yake lkn bado yumo tu kuna kusudi la Mungu hapa

  • @Lucas-xh7wh
    @Lucas-xh7wh 4 місяці тому +1

    Lissu ni Hazina kubwa na ndio maana Mwenyezi Mungu alimponya na lile shambulio la kikatiri na kiunyama

  • @evelina9621
    @evelina9621 2 місяці тому

    Nyerere.alisema.wakoloni.bada.mwaka.10.waje.waoni.tanzania.uhuru.wetu.sasa.mambo.gani.warudi
    Katiba.mageuzi

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому

    MZALENDO WA KWELI❤❤❤❤

  • @TestTest-fc3sv
    @TestTest-fc3sv Рік тому +4

    Sawa sawa baba Tundu Lissu yote unayoyasema ni kweli kweli tupu asante sana.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 місяці тому

    KWAMBA HUYU HAPA MBINGUNI PANAKUHUSU LISSU❤❤❤❤❤

  • @RachealMndambi-kv9sd
    @RachealMndambi-kv9sd Рік тому +5

    Mungu ibariki Tanzania

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 4 місяці тому +1

    Jaman wana ccm muogopen mungu yan chama cha madalali

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +12

    lissu ni mpambanaji wa na mzalendo namfananisha na marehemu Maalim seif

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 місяці тому

      Hujuwi kufananisha Maalim Seif alikuwa ndani ya Serikali ya SMZ wala hakuwahi kujiuzulu. Kwa upande wangu Maalim ana legacy moja tu ya UADILIFU kwa upande wa kujilimbikizia mali ingawa alikuwa pia Katibu Mkuu wa CUF miaka 25 ameondoka CUF haina hata mlingoto wa bendera.

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 5 місяців тому +1

    Huyu mtu ni hazina ya Tz tukimuelewa Ana uzalendo wa rasilimal kwa kufuata sheria

  • @justineemanuel127
    @justineemanuel127 4 місяці тому

    Mungu ni mkuu, alivyo Lissu na aliyoyapitia ni kielelezo tumeumbwa kwa jinsi ya kutisha sana.

  • @zabronjonathan2264
    @zabronjonathan2264 5 місяців тому

    Mungu akulinde na akubariki.

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 4 місяці тому +1

    Ww ni mandela mpya

  • @user-dv9pq5sh7j
    @user-dv9pq5sh7j 4 місяці тому +1

    Ccm ovyo sana

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 6 місяців тому

    This is the head on Tanzania national crush reality underground tels ccm leadership Rong doing this is where tundundulisu short 16, bullet has spoken ccm did not like him l think the position ccm hat him has spoken it bring speaks on ccm vary grateful aguimemt on tundundulisu that point one of good matariol we have in Tanzania no fear is tundundulisu wasira and tundundulisu are two different things because wasira has got no capacity challenge tundundulisu on his speech vary far distance on tundundulisu brain compare tundundulisu and wasira thanks on this clips

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 місяці тому

    :Lissu..Amembwaga Wasira.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Рік тому +7

    Nimepata Elimu ya kutosha

  • @sanda960
    @sanda960 11 місяців тому +1

    Kila mtu katika maisha kuna mahali huwa anakosea. Si vizuri kufufua ya watu ya huko nyuma. Tugange yajayo. Maneno ya huyu mtu yasije yakatuingiza ktk machafuko

    • @user-dy5fn6qj1q
      @user-dy5fn6qj1q 3 місяці тому

      Tujitambue na mungu awe nasii yasio wezekana kwa wanadam kwa mungu yanawezekana tumrudie muumba wetu. Na tusali sana yeye mungu haonekani hashikiki hahongeki Ipo siku tutapendana tutaheshimiana na mungu atabariki dunia na. Tanzania itakua moja wapo busara tuu inahitjika na usilo litaka kitendewa usitendeee nduguuzo Afika ni mojaa na wote ni ndugu asanteee

  • @edgar3998
    @edgar3998 3 місяці тому +1

    Huyo proff anavyojiumauma

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 5 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @vellenahfuraha6254
    @vellenahfuraha6254 Рік тому +2

    👏👏👏🙏

  • @nestor384
    @nestor384 11 місяців тому +1

    Tunarejeshwa kwenye utumwa kwa uzembe wetu wa kukubali akili ndogo iongoze akili kubwa.
    Wewe jamaa una chuki binafsi na hayati Dr Magufuli Rais anayependwa sana na wananchi kuliko unavyojidanganya!
    Tundu Lissu ni mtu makini miongoni mwa watu wachache sana katika nchi yetu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому

    CCM kwa sababu ya mazoea hawana la kujifunza badala yake watatafuta wezi wa kura ili washinde kura. Hali ilivyo ya kiserekali sasa na jinsi huyu mama ameshindwa kabisa watu wanajiibia tu rushwa ndiyo usiseme. CCM hawana shida na maendeleo bora maendeleo ya mfuko wa Wasira na wenzake inatosha ni maendeleo tosha kama watawala wa CCM wakijaza mifuko yao na watoto wao imetosha na kuiba kura kwao ni furaha kubwa sana.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 місяців тому

    ASANTE SANA MWESHIMIWA ANTIPASSLISSU ASANTE SANA MUNGU KUMRUDISHA HUYU BWANA LISSU

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 5 місяців тому

    Nakuelewa muno safi kipindi

  • @msafirikushama2193
    @msafirikushama2193 11 місяців тому

    Hapo jameni watanzania tujifunze kumakinika na tuwe mahiri Kwa Lugha za kigeni.

  • @Ommylayzah_tz
    @Ommylayzah_tz 4 місяці тому

    Yaani Mwanasheria wa serikali alafu hajuwi hata Kiingereza Lissu Wauwee

  • @sosthenespaul8821
    @sosthenespaul8821 Рік тому +2

    Swali langu ni kwamba kama utachaguliwa utafanya nini kuweza kurudisha

    • @user-my7du5mo4m
      @user-my7du5mo4m 11 місяців тому

      Swali zuri mm pia niliwaza akiwa rais ataziwcha hizo mikataba za kijinga na kuwaacha wasiolipa Kodi waendelee na biashara na shughuri zao bila ya taifa kupata faida

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 11 місяців тому

      Umesikia kauri zahuyulissu nikubadrisha mfumo wautawala yaani katibampya yenyemisingirafiki naraia pamoja nawewe

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es 3 місяці тому

    Exactly

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y 3 місяці тому

    CCM Hawawezi kujifunza kitu . Ni manyamaume ni majitu maroho. Hayajawahi kudhiba na haystashiba. Wasira ndiyo taaswira ya CCM. Wasira ni mtu mwenye tabia ya fisi, hawezi kushiba su kutosheka.

  • @CharlesSeleman-pj3zd
    @CharlesSeleman-pj3zd 11 місяців тому

    Mungu mwema

  • @nickjuma6020
    @nickjuma6020 11 місяців тому

    Rushwa! Rushwa! Rushwa!🔥🔥🔥😭😭😭

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz Рік тому +2

    Kweri hiyo chato iyo dàa nime kubari chadema brand kubwa sasa ivi tanzania

  • @asibwenemwaipopo4863
    @asibwenemwaipopo4863 Рік тому +4

    Kama wanasheria akina Tundu Lissu na Mwabukusi wangetumika kuchambua mikataba isiyofaa na kuishauri Serikali, mikataba inayoingiza nchi kulipa faini ya matrilioni isingetokea. Serikali ikiendelea kupuza ushauri unaoweza kuokoa hasara ya faini mbeleni, nchi itaendelea kupoteza Mali/fedha nyingi huku serikali ikiendelea kukopo badala ya kujenga uwezo wa kitaifa wa kujitegemea. Watz tunatakiwa kujitambua.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Місяць тому

      Uko sahihi. Madeni yote tunalipa sisi wanyonge. Ila Mungu 2 Anaona.

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 11 місяців тому

    Ni bora tulipishwe, kuliko kuendelea na mikataba iliyo na harufu ya rushwa inayotunyonya.

  • @joycemosha1898
    @joycemosha1898 3 місяці тому

    Jamhuri ya mungano wa africa duniani huyu wasira tangu tanganyika yuko ccm ya mauaji waliokuwa naa maendelezo waliwauwa kwa kuonazwa kuona w
    Jamuri ya muungano wa africans bendera ipepe juu ya makufuli alisema ni mwendawazimu atafany a kukubali makata wa bandari balancing kwa macontena ya muungano muungano muungano asukae aside from school miaka mpakaa mwaka nitakaa wabunge wabunge turned fed fedha na safari zako haimitikii nikaipele darinng ziwive wines windowsills wakina osca kambona haakumbukwi nyerere London alikuwa naye chumba kimoja kwakuwa have not poor and tanganyika hakina money ya kukaa hotels aka.kusanya fedha fantastically kwani wakati hotel offer free commodities for these day he stays with us

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 11 місяців тому

    Hivi kweli Tanzania ni lini tutaishi angalau maisha ya auheni,Au ndio laana ya kuwatumikia watu weupe mpaka Mungu atakaporudi?Je tujiulize ni Rais gani ambaye atakuja kuwa chaguo sahihi la wananchi?MUNGU TUSAIDIE NA UTUEPUSHE NA KIKOMBE HIKI CHA LAANA YA CCM.

  • @DianaMakutumi
    @DianaMakutumi 4 місяці тому

    Watu wengi watokea kusema ukweli

  • @ndakimanyakenda1519
    @ndakimanyakenda1519 11 місяців тому +1

    Kwahali hii ikulu mtapasikia tu

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 11 місяців тому

      Unamaanisha maccm ndiyo wenyenchi pekee,auhunaakili yakwelewa mambohaya yakubadrishanya utawala????

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 7 місяців тому

    Lisu hapo nioungo tu.Tuondokee.

  • @user-vs9jx3vu5y
    @user-vs9jx3vu5y 11 місяців тому

    Je uzao wa kubadili Vifungu vya Katiba ili kuwanufaisha DPW sio ukatili na wizi wa Uchaguzi ulioruhusu Chama kimoja ? Na maamuzi kwa Sasa yànatokanaCCM pekee.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому

    Wasira kacheze na wajukuu

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 5 місяців тому

    Putin na mwendazake km wanaelekeana hivi kushughulikia wapinzani

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Рік тому +1

    Hakuna kitu nye ni wezi kuliko CCM bora zimwi likujualo hali kuli likakumaliza

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 7 місяців тому

    36:31

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 місяців тому

    Wachaçhe Wahuni

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому

    Lisu ww ni lulu kabisa

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 7 місяців тому

    Lisu juo ni uongo tu.Kwenda zako.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 місяців тому

    Lissu is a confuser.
    Ni msaliti mkubwa

    • @erasmuskwayu5643
      @erasmuskwayu5643 2 місяці тому

      Usaliti wake ni upi hebu utaje hapa wewe confused lot

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Рік тому +1

    Mikataba mibovu ndiyo chanzo cha yote hayo

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 5 місяців тому

    Hiyo bichwa ni fuvu tu akunaga lilote alilia ubunge na Esta bulaya mpaka akawa kama zombi jitu zima lipuuzi tulipuuze Elimu alina ni kanjanja lingepata urais lingetolewa na jeshi kama lobati mgabe

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 місяці тому

    LISSU NAKUHAKIKISHIA UTAENDA MBINGUNI WACHUNGAJI MAASKOFU MITUME NA MANABII HATA RAIA WENYE DINI NA WASIO NA DINI WATASHANGAA SANA WATAKAPOKUONA UKO MBELE YAO UKIPEWA KITI CHAKO MBINGUNI TENA KITU MAALUM.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 11 місяців тому +1

    Huyu mzee apumzike tu nyumbani anywe chai

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +3

    KUWA MZALENDO SI KUPINGA KILA JAMBO NA KUONYESHA KWAMBA HUHITAJI WAGENI KUSHIRIKIANA NAO!!
    UZALENDO NI KUONYESHA NJIA GANI WATANGANYIKA WANAWEZA KUJIKWAMUA KIUCHUMI NAO WAKAISHI MAISHA MAZURI!!
    MIAKA 60 TUNAJIGAMBA WAZALENDO!!LAKINI WATANGANYIKA TUMEBAKIA MAISHA MAGUMU.....!!TUBADILIKE!!

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 Рік тому

      KWANI LISSU ANAPINGA UWEKEZAJI? ANAPINGA UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU ZA MIKATABA. LISSU ANATOA NA UFUMBUZI:
      1. KUPIGANIA KATIBA MPYA.
      2. KUWA NA TUME HURU YA UCHAGUZI.
      3. KUACHANA, AU, KUUFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA MKATABA WA BANDARI.
      TUNA VIONGOZI NA WASOMI (e.g. MBARAWA, MKUMBO, KABUDI, MRUMA, etc) WA AJABU SANA NCHI HII. VIJANA BADILIKENI LA SIVYO MTAKUFA KWA TAABU SANA. WATU KAMA AKINA LISSU HUWA NADRA SANA KUTOKEA KTK JAMII.

    • @jamesmhillu3211
      @jamesmhillu3211 Рік тому +2

      Miaka 60 nani alituongoza mpaka tunakiri maisha bado magumu?

    • @jamesmhillu3211
      @jamesmhillu3211 Рік тому

      Ilituonekane wazalendo hebu tujaribu hili Jini jipya

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому +2

    Hili lizee. Kwa kweli ndiyo maana ameandaa Jehanamu kwa ajili ya mazee kama haya.
    Shame to him!

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 11 місяців тому

    Kumbe wwe unapenda burudan ? Mshamba wewe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому

    Wasira wewe sijui kama unaelewa unacho kisema. Wewe uliye kuwa na Nyerere hivi uliweza kumuelewa Mwalimu? Kweli nilisikitika nilipokusikia unaongea kutetetea kuuzwa kwa Bandari zetu . Wewe mzee kama huwezi kutetetea Bandari kweli wewe kituko kabisa na ushindwe kabisa.