BREAKING NEWS: SUGU ASHINDA UENYEKITI KANDA YA NYASA|| SHUHUDIA ALIVYOTANGAZWA
Вставка
- Опубліковано 28 тра 2024
- Joseph Mbilinyi ' Sugu' ameshinda uenyekiti wa kanda ya Nyasa kwa kura 54,dhidi ya mpinzani wake Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa akitetea nafasi hiyo ambapo amepata kura 52.
Sugu minamukubar sana
Hapo takukuru ichunguze kama kuna pesa ilitumika au laaa
Sugu jembe kamanda twende kazi