SERIKALI NA WACHINA KATIKA NJAMA ZA KUPORA MASHAMBA YA BABA WA TAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • Ni Mwibanza, Butiama. Kisingizio ni uchimbaji wa dhahabu. Serikali kimya. Familia kimya. Kuna nini?

КОМЕНТАРІ • 80

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 22 дні тому +10

    Umetufumbua macho baadhi yetu hatukuwa tunajua habari hii hata nyumbani kwa baba wa taifa !!!!!. Kazi nzuri kwa kutoa tahadhali kwa watawala na wa-Tanzania kwa ujumla.

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 17 днів тому

      Bwawa la Kiarano nilianza kulitengeneza nikiwa JKT Rwamkoma.Tujifunze na tutafute namna ya kuwakaribisha wahamiaji

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 19 днів тому +2

    Alafu ooooh Baba anaupiga mwingi mhhh staki unafiki mimi simuelewi kbs hata kdg ameshashindwa angekaa pembeni tu

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 22 дні тому +6

    Madini,, yanachukuliwa vijana wanaharbika,na kamari kila kona tuna zahabu,lakni tunaitwa maskini mlima shengena,ni zahabu tupu,ila wananchi wake hoi

  • @kanulekanule5744
    @kanulekanule5744 22 дні тому +6

    Kaka anaelea kufungua masikio ya watanzania lakini viongoziwetu hasikii wala kujifunza kwa yaliyopita

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 22 дні тому +7

    Nchi hii kwisha habari yake yaani watu wamegeuka mchwa wanatafuna bila huruma na hawatosheki hatari sana

  • @NuhuMohammed-nu6ni
    @NuhuMohammed-nu6ni 22 дні тому +5

    Hata sisi tumesha uzwaga hatujaonaga hela zetu zimenda wapi

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 15 днів тому

    Usikute famiilia ndio imeuza. Maana familia ya mwalimu hawanaga kitu malofa tu. Baba yao hakuiba ujanani.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 22 дні тому +3

    Hatari na nusu.

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 18 днів тому

    waTanganyika tumeshageuka kuwa misoga kabla hatujafa tuamke jamani mzanzibar ametuzidi akili. waTanganyika wote walioko serekalini ni SAWA namisukule ya Samia ambia

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 15 днів тому

    Ndugu zetu wachina.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 15 днів тому

    Ngurumo hii nchi imeoza usiumize kichwa

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw 19 днів тому +1

    Ccm ni sikio la kufa muda utaam

  • @francisjohanes3027
    @francisjohanes3027 22 дні тому +2

    Hatakusikia kaka

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 22 дні тому +4

    Natamani kutukana lkn umri na wanangu wananisuta na nawaheshimu...

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 15 днів тому

    Raisi anasemaje

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 22 дні тому +3

    Ngulumo uchambuzi wako ni mzito sana lakini natilia shaka wahusika ( serikali ) huwa wanaufatilia kweli!!? Wachina wamezagaa kila kona ya tz.na wanafanya kazi tunazotakiwa kufanya wazawa tu .wana tumia mwanvuri wa UWEKEZAJI. !! Hata kubet😢

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  22 дні тому +4

      Natimiza wajibu wangu. Nasema. Naandika. Wasioosikia leo, watasikia kesho. Kama si wao, basi, wengine watasikia.

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 22 дні тому +1

      ​@@AnsbertNgurumovery psychological reply, get blessed...tusiposikia Leo, tukinyamazishwa kusema Leo, ipo siku mawe yatasema, and this will happen soon.
      "FREEDOM IS COMING TOMORROW"

    • @desiderihugo5704
      @desiderihugo5704 22 дні тому +1

      Mbona huyu mzanzibari anataka kutuuza jumla jamani . Wazee wa nchi hii hamuongei . Mungu ingilia kati nchi yetu inaangamia. .Mbona huyu mama amekuja kasi hivi na kuuza kila kipande cha Tanganyika ? Na kwa nini ni waarabu na wachina ? Uuuuuwiiii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 22 дні тому

    👍👊✌️.

  • @froma3732
    @froma3732 19 днів тому

    Huyu Baba wa Taifa alipata wapi Hilo Shamba

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 22 дні тому +1

    Duuh

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 22 дні тому +2

    Yaan mchina akifungua kampuni hapo hapo anaweka Gulu gulu hahahah

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 22 дні тому

    Fanya utafiti kidogo kabla ya kuleta hoja hii nzito. Unakumbuka mashamba ya vjj vya ujamaa? Haya yalikuwa yanamilikiwa na vjj vya ujamaa. Mwl alipostaafu, alienda kjjn kuomba AAZIMWE hayo mashamba alime, siyo mali yake, n mali ya wanakjj cha Butiama wote... Fanya utafiti kidogo

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl 22 дні тому +2

    Kwani eneo hilo linauzwa na MAMA MARIA au Watoto wake?

  • @FrederickMuzimaRutikanga
    @FrederickMuzimaRutikanga 22 дні тому +4

    Brother nisikufiche nimefurahi ! Iyo familia wamekuwa wanafiki hacha nao waguzwe.

    • @edwardkasubi5135
      @edwardkasubi5135 22 дні тому

      😂😂😂

    • @user-eo4bl3do8k
      @user-eo4bl3do8k 22 дні тому

      Yule Steven nyerere mchekeshaji yuko wapi ,,ccm wanaipeleka nchi pabaya ,,,ukoloni tunaurejesha upya ,,TUTAJUTIA BAADAE ,,JAMANI KATIBA BORA TUTAPATA VIONGOZI BORA ,,CCM NCHI MUNAIFILISI KWA UJINGA WENU

    • @daisynyerere5730
      @daisynyerere5730 22 дні тому

      😮😮😮😮

    • @user-be5zy8rb1c
      @user-be5zy8rb1c 18 днів тому

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 21 день тому +1

    Tanzania yangu..... Mama Samia .., kwa hili hapana....fikiria tena....acha.lina madhara

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 21 день тому +1

    Wangewekeza ikulu ningefurahi sana ili tuwe jimbo la China ijulikane. Umesahau kuwa wanaouza ardhi ya baba wa taifa wao si baba yao wa taifa kwa sababu wanatoka kwenye taifa jingine.

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 22 дні тому +2

    Tatizo viongozi wengi hawana maadili kabisa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 20 днів тому

    Vuneni mlicho kipanda, Magufuli alipokuwa anapinga uwekezani kama huu nyote mlimpiga vita , mkajifanya mnajua democracy sasa mnalalama nini ?

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 20 днів тому

      Tutaendele kulalamika. Angekuwepo magufuli yasingetokea. Hap ni ccm siyo chadema

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 20 днів тому

      Wewe ni chawa kama chawa wengine

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 19 днів тому

      @@ezekielkiduge8730 pole sana , tatizo lenu bado lipo pale pale Africa na Tanzania hakuna wana siasa. . Huyu janaa anae mchambuzi ni kenge tuu. . Hawa ndio wanakati magu anazuiya makinikia walikiwa pamoja na kina lisu wakisema. Mikataba isivunjwe, tusiwakere wazungu , leo anAlia madini wanaondoka bure , wanasisa na wachambuzi kenge , kina zitto, mbowe, lisu , samia , kikwete , lema , mzee wa ubwabwa , ni kenge tuu🤣🤣🤣 wa jalalani

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 19 днів тому

      @@monicamwita7865 kenge wa jalalani ni wengi wanajifanya. Wanajua democracy , wakati hiyo ulaya wanao tuleteA hiyo democracy wameanza kutumia huu mfumo miaka 350 iliyopita tuu , huko nyuma mataifa yao yalitawaliwa na yalijengwa na wafalme , leo wanatudanganya kwa huwezi kupata maendeleo bila kuwa na democracy na hawa kenge wanaaamini . Democracy anatudidimiza waafrika wanasiaaa wetu wamo kwenye mifuko ya wazungu na wearabu na wachina .

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 14 днів тому

      Hatukubisha alikimbia na mapanki Yan makinikia uku mikataba ya madini haikuguswa

  • @evaristcm2734
    @evaristcm2734 22 дні тому +2

    Nilipata shida sana fimbo ya mwalimu nyerere ilipokabidhiwa kwa mtu fulani kama zawadi, kitu ambacho mtanzania yeyote angalipenda akione kwenye mahali pa makumbusho ya kitaifa.

    • @HalimaKyasi
      @HalimaKyasi 13 днів тому +1

      Fimbo halisi ipo makumbusho zinazogawiwa ni mfano wa ile halisi kaka

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 13 днів тому

      @@HalimaKyasi Asante sana nimefurahi kwa taàrifa

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 22 дні тому +1

    Bado tunaenfelea kutafuta maokoto ya mgao wa mkataba wa muungano, mpaka tutakapo fidia.

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 22 дні тому +1

    WaTanzania hawataki kufanya kazi wategemea mafanikio ya miuuzija ya Mwaposa 😢😂😢

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 22 дні тому

    Hivi si ulisema kwamba Magufuli dikteta? Pumzika kwa amani JPM wewe pamoja na propaganda za waliokuponda tunawaona waliosema nchi ipo mikono salama yupo samia sasa mama wacha tulie wote

    • @ulomirabiel6980
      @ulomirabiel6980 21 день тому +1

      Alikuwa dikteta wa ukweli. Aliturudisha nyuma kidemokrasia kiasi mpaka leo wtz wanaogopa kuiuliza serikali yao mambo ya msingi kabisa. Angalia wenzetu Kenya sasa wanahoji kodi, deni la taifa, wizi wa kura, ubadhirifu nk. Hapa kwetu mpaka kiongozi upnzani aongee wengine kimyaaa. Bangladeshh!!!

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 21 день тому +1

      Kwani Samia kufanya vibaya kunaondoa udikteta wa mtangulizi wake? Kwani ni uongo hakuwa dikteta?

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 22 дні тому +3

    Uganda walishitukiwa na hizo mashine za kubeti baada ya kutoweka fedha ndogo. Wakakutwa wamezikusanya wao .Nchi imeuzwa tupo kimya

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 21 день тому

    Nchi hii imeanza kuwa ya wachache. Muwekezaji kama Mo anaruhusiwa kuwa na maeneo makubwa mno ya nchi na huku maskini mko kwe ka kona mbanane huko. Na serikali inaona ni sawa tu. Zamani kulikuwa na muongozo wa watu wenye uwezo kununua maeneo ama la tutajikuta nchi ina milikuwa na wachahe.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 20 днів тому

    Acha upotoshaji Mzee hautakusaidia chochote

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 22 дні тому +1

    Hii serikali ya ajabu kweli ,kuna siku tutwaomba wa arabu na wachina kuja kutusaidia kkuzaa na wake zetu.Hii tabia kutotaka kufanya kazi imetoka wapi ? Watoto wa mwalimu kwisha tuombe Mungu Mama Maria aendelee kuwepo!! Hawa ambao hata picha ya baba yao hawaifahamu ??

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 22 дні тому

    Chadema wamesikia

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 22 дні тому +1

    TANZANIA tumefanywa wajinga kiasi gani???

  • @mrdaslam301
    @mrdaslam301 22 дні тому

    Wewe unawaponda wachina sawa....lakini..kuna makampuni ya kimagharibi kama barrik,us aid.nk wanasambaza ushoga uwasemi??

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  22 дні тому +1

      @@mrdaslam301 Nazungumzia mashamba ya Mwalimu Nyerere. Umeelewa?

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  22 дні тому +1

      @@mrdaslam301 Ushoga ni ukengeufu wa mtu binafsi kitabia. Ni uhalifu kama mwingine. Katika uchambuzi huu nazungumzia mikataba ya kupora ardhi inayosainiwa na watawala.

    • @mrdaslam301
      @mrdaslam301 22 дні тому +1

      @@AnsbertNgurumo nakuelewa vizuri sana lakini mimi naona hii channel yako ya sauti kuu imejikita kuongelea mambo ya kujenga taifa kwa ujumla na pia sijatoa maoni kuhusu video hii tuu nimeongelea channel ya sauti kuu kwa ujumla...katika tishio kubwa linalo ikumba taifa kwa sasa ni lgbtq so napata mashaka kuona channel kama hii haiongei na kukemea tumewaachia kina mwakyembe tuu..why?

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 22 дні тому

      Unawo ushahidi kuwa wanasamba ushoga?. Wsliwahi kukuomba nnya ?

    • @mrdaslam301
      @mrdaslam301 22 дні тому

      @@AnsbertNgurumo 0k ngurumo nimekuelewa but sijalizika na jibu fupi..tafuta muda uandae video yenye mada hii uichimbue vizuri maana hili ndio pigo kali sana kwa taifa

  • @beastforever734
    @beastforever734 22 дні тому +1

    Umeongea point sana lakini nimesikia ukisema vyombo vya habari vimenyamazishwa lakini nyinyi sio mnasema serikali hii kuna uhuru wa vyombo vya habari

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  22 дні тому +2

      Hakuna uhuru wa habari. Hakuna! Wanaosema upo wana maslahi na utumwa uliopo.

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 22 дні тому +1

      ​@@AnsbertNgurumofact

  • @ibadajustine1062
    @ibadajustine1062 22 дні тому

    Sehem yoyote yenye Kambi ya jeshi, serikali inabidi kuliangalia sana

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 21 день тому

    Ipo siku watanzania wataamka na hapatakalika mpaka kieleweke, wenzetu wakenya walishafanya yao

    • @user-gx3jp6uk2f
      @user-gx3jp6uk2f 19 днів тому

      Watanzania hawawezi kuamka ni vigumu sana