Uongozi ni kazi sana aisee inataka roho ya Bwana wa Mungu iwe juu yako. Hapa Sugu na Msigwa wanapamhana kupata tu nafasi ya Uenyekiti wa kanda tu aisee kwa kweli ni kazi saana.
Mimi sijui sana siasa lkn ninachokiona kwa Msigwa ni mtu ambaye anajua kujieleza vizuri na kujitetea ya wezekana hiyo ni kalama yake,ila kwa utendaji sio mzuri
Kweli ndugu msigwa anajua SN kujieleza kujibu hoja lkn UTENDAJI hajui sn pili huwa anajua yy yupo superior than others tatu hajui miiko na mipaka na yake na viongozi wake alinukuliwa akipingana na makamu mwenyekiti hadharani ni kosa lile
Chadema mmekuwa mfano mfano mzr one mnavyofanya mdahalo live ili kumpata kiongozi bila mizengwe aise hii ni demokrasia ya hali ya juu sn. Safi sana vyama vingine viige mchakato huu wa kupata viongozi
Ndg yangu hapa ni kuangushana sio kushindana ndani ya Chama halipaswi hili maana baada ya huu uchaguzi mmoja Kati Yao ataanguka kisiasa sayansi ya siasa haitakiwi Chama kimoja viongozi wawili tena wa ngazi za juu kufanya hayo madhara yake ni makubwa Sana ndani ya Chama kisiasa
Level ya mh. Msigwa ni level ya mh. Lema ; mh. J. Heche lkn mh. Sugu Bado una muda kujifunza na kukomaa ili ifike hapo alipo mh. Msigwa. Ombi langu kwa mh. Msigwa endapo Chama kitakupitisha usiwe na kinyongo juu ya kundi la sugu. Mh. Sugu ana hasira na na tamaa ya Uongozi nadhani Kuna watu wanachama wanamdanganya kua anaweza kuvaa viatu vya mh. Msigwa Imani yangu km mpenzi wa CHADEMA Bado mh. Sugu anahitaji kujifunza mengi kupitia kwa mh. Msigwa. Maswali mengi kwa mh. Msigwa wamekua na hoja dhaifu zinazoweza Jenga mgawanyiko ndani ya taasisi tunayoipenda tuipendayo CHADEMA na kua mh. Sugu alipanga watu kumsaidia ktk mdahalo huo. Mm ni miongoni mwa wa-tz na wapenzi wengi wa CHADEMA tunaoamini kua mh . Msigwa Bado ana uwezo ; na anafaa kuendelea kua m/kiti wa Kanda ya NYASA. Mh. Sugu endelea kumuomba MUNGU akupe hekima. Uongozi hautaki fitina Bali hekima ya MUNGU inahitajika. Mh. Sugu na kundi lako ktk mdahalo huo mmetusononesha sn wapenzi wa demokrasia. Kuna watu nawaheshimu na wameshiriki ktk mdahalo huo lkn kwa hiki kilichotokea Leo ktk michango Yao ilijipanga km ngome ya mh. Sugu nadhani wengi tumekua na mashaka km kesho wanaweza kufikiliwa kua VIONGOZI wetu !
indigenous • \in-DIJ-uh-nuss\ • adjective. 1 : having originated in and being produced, growing, living, or occurring naturally in a particular region or environment 2 : innate, inborn.May 12, 2024 Msigwa Hapo au hajui au Kapotosha, Indignous Haina Maana ya Suti au Nyumba Ina Maana (Watu wa Asili wa Mahali, Iwe wana Suti au rubega) Wamasai ni Indiginous wa Maeneo hayo.
Nawaomba viongozi wangu wapongezane wao kwa wao mi nawakubari wako vzr hawawezi kufanana ndo maana ya democrasia atakaeshinda tumeshinda wote chadema kizazi kipya cha kuhoji Mungu ibariki chadema na watu wake
Msigwa kuhusu jambo la ngorongoro ni kama ulikuwa CCM, Jaribu Tena kujisahihisha kulingana na Imani ya Chama chako, Kuhusu lugha jaribu kupunguza kingereza, Watanzania walio wengi utawaacha nyuma hivyo ujumbe wako kutowafikia Sawa sawa
Msigwa kujipa sifa umekwama acha watu wakupe sifa Pili tuhuma simekuchafua Pili unajibu kwa hasira ambayo na jaziba usilazimishe mambo wakati umebugi stape Nipo nasugu
Pamoja siyo mzoefu wa siasa ,ila mfumo wa kifikiri ndio engine ya Kila jambo,wote hao wanamazuri na madhaifu ,ila mchungaji ni mbobevu kwenye leadership,sugu ni hodari wa kumobilize watu,sugu he have to lean more.
Mdahalo mzuri sana. Tunapata wasaa wa kuelewa thinking, goals na the end... Nafurahi sana kuwasikiliza mnavyorespond hoja na maswali.
Uongozi ni kazi sana aisee inataka roho ya Bwana wa Mungu iwe juu yako.
Hapa Sugu na Msigwa wanapamhana kupata tu nafasi ya Uenyekiti wa kanda tu aisee kwa kweli ni kazi saana.
Asante sana kwakufafanua hapo maana mh msigwa anapotosha uma
Mdahalo huu kwa kweli ni meupenda hongera sana
Hongera sana Naiona Nuru Chadema Mungu awabariki sana na wakubali
Waooooh kaka,we ni mtu na nusu sugu.
Hapo mmeonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa, ila kiukwel wote mko vizuri, nimependa sana hii.
Hii debate ni excellent. Wamefanya vinzuri ĝ
Ni mapema mno. Lazima uzijue siasa za Africa ndugu yangu. Tusiige wamagharibi kila kitu.
Hii ni nzuri sana....hata atakaeshinda atajua ana kazi ya kufanya na si kujibweteka tu!!
Sana, walioshinda watimize majukumu yao kwa bidii na ubunifu mkubwa kwa mujibu wa katiba.
Congratulations for the voted leaders, all are winners
@illomowerner7690 sure, they have a great job to do!!
Mko vzr sana Chadema
Midahalo kama hii ina stimuleti thinking. Big up chadema na Act wazalendo kwa kuliona hilo
Hii ndiyo demokrasia ya kweli, big up chadema❤❤❤❤❤
Chadema bigup sana kwa njia hii inawajengea uwezo zaidi chadema
Safi Sana kwa mdahalo mzuri
Mdahalo mzuri sana
Ila maswali ya Odemba yamenyoka sana🙌🙌🙌🙌
😂😂
Well said Mchungaji Peter Msigwa.
You have show us, the meaning of democracy keep it up !!! May be next time….,.!
Kweli sugu upo vizuri kaka yangu,me nakuaminia,kumbe sugu uliona huyo Mzee anaenda kuindoka,saafi sana sugu
ÌNGEKUWA CCM WANAJIGEUZA CHAWA KWA MTU MMOJA HII NDIYO CHADEMA TUNAYOIJUA❤❤❤
CHADEMA 🎉🎉🎉 this is the fundametall qwentities of mater
Tuache makundi ya hivyo ili tushinde uchaguzi wa serikali za mitaa mwako 2024 na uchaguzi mkuu 2025. God Bless Us - CHADEMA
Sugu oyeee CHADEMA poity❤❤
Msigwa very nice,
Muzingwa uko vizuri sana
Natamani hii midahalo ifanyike kwa viongozi wote wa kanda tutapata watu wazuri sana kuinua utawala bora hadi level ya chini kabisa
Mjadala haukuwa wa afya
Safi sana CDM
Nakubali
Braza sugu we ni noma
Safi Sana
Mjadala mzuri Sana
Safii kabisa hiyo ndio democrasia
Mimi sijui sana siasa lkn ninachokiona kwa Msigwa ni mtu ambaye anajua kujieleza vizuri na kujitetea ya wezekana hiyo ni kalama yake,ila kwa utendaji sio mzuri
Uko vzuri
Uko Sahihi Msigwa anakipaji Chakujieleza Vizuri sana
Kweli ndugu msigwa anajua SN kujieleza kujibu hoja lkn UTENDAJI hajui sn pili huwa anajua yy yupo superior than others tatu hajui miiko na mipaka na yake na viongozi wake alinukuliwa akipingana na makamu mwenyekiti hadharani ni kosa lile
Chadema mko vzur hongera kwa mabadiliko
Big post
Chadema mmekuwa mfano mfano mzr one mnavyofanya mdahalo live ili kumpata kiongozi bila mizengwe aise hii ni demokrasia ya hali ya juu sn. Safi sana vyama vingine viige mchakato huu wa kupata viongozi
Congrats msigwa, freedom of opinion
Kanda ya Nyasa mnawatu wazuri sana mimi nawashauri wajumbe wawape wote, maana simwoni wakumwacha.
hahahaaaas
Haya ndiyo mawazo huru ninayoyataka yanajenga yanamuamsha kiongozi asibweteke nipo na Sugu
Msigwa, kwenye ngorongoro mmmmh, ulijikwaa
Mdaharo mzuri sana ila siku nyingine boresheni sauti
Hot soup!
Cm nao wafanye mdahalo kama huu tutaona vioja kwa kweli
Hii ni kitu nzuri sana CCM WAIGE HILI KWA ULIMWENGU WA SASA
Moderator mwenyewe mhhhhh.Mungu mwema
Mh Msigwa nakukubali sana ila hapa naona Mh Sugu ana nafasi kubwa ya kushinda.
Good! Hiki ndicho chama cha siasa bhana
Kweli kabisa kamanda, umehoji na kutoa mawazo yako kizalendo... materialistic
Msigwa ni genius sana.... I wish angekuwa ndani ya CCM tushuhudie potential yake ikiwa full taped
Ccm hamuwapi watu wenye pontetiol nafasi
@@lusajomwaipopo5042 ni kweli mkuu ndipo tunapofeli kama Chama.... Tunaenda Kwa kujuana zaidi kuliko Nini mtu anajua....
Chief Odemba ni hbar nyingne kwa wanahabar
Daaah ila Msigwa 💪💪💪💪💪
Nyie ni maswaiba nawajua na kiukweli mko vizuri maana tunhitaji hoja kamili kama hizi,wote mko vizuri kimawazo tunawatakia heri ktk uchaguzi.
Bonge la hoja, unajitambua
Huko ndiyo kushindana kwa hoja,mwisho wa siku mmoja akishinda mnapongezana.
CHADEMA safi sana.
Ndg yangu hapa ni kuangushana sio kushindana ndani ya Chama halipaswi hili maana baada ya huu uchaguzi mmoja Kati Yao ataanguka kisiasa sayansi ya siasa haitakiwi Chama kimoja viongozi wawili tena wa ngazi za juu kufanya hayo madhara yake ni makubwa Sana ndani ya Chama kisiasa
Kweli kabisa hata wakati wa ukoloni shule zilikuwepo chini ya miembe na watu walipata elimu ndo waliopata elimu wamejenga shule
Kwanini mmoja asimuachie mwenzake.... Msigwa tayari umetutumikia... Muachie Sugu ndio uzalendo...
Mpeni ushindi sugu sugu ameshinda huu mdahalo
Sugu ana hoja za kitoto sana, comedians
Sio kweli ila nimependa mdahalo huu
Na ameshibda; Sugu anaongea simple lakini strong
Hoja za Kitoto kama??
Hujitambui wewe fatilia mdahalo wa Trampo na kamara Ariss wagombea uraisi wa marekani
Not Impressed by anyone!
Level ya mh. Msigwa ni level ya mh. Lema ; mh. J. Heche lkn mh. Sugu Bado una muda kujifunza na kukomaa ili ifike hapo alipo mh. Msigwa.
Ombi langu kwa mh. Msigwa endapo Chama kitakupitisha usiwe na kinyongo juu ya kundi la sugu.
Mh. Sugu ana hasira na na tamaa ya Uongozi nadhani Kuna watu wanachama wanamdanganya kua anaweza kuvaa viatu vya mh. Msigwa Imani yangu km mpenzi wa CHADEMA Bado mh. Sugu anahitaji kujifunza mengi kupitia kwa mh. Msigwa.
Maswali mengi kwa mh. Msigwa wamekua na hoja dhaifu zinazoweza Jenga mgawanyiko ndani ya taasisi tunayoipenda tuipendayo CHADEMA na kua mh. Sugu alipanga watu kumsaidia ktk mdahalo huo.
Mm ni miongoni mwa wa-tz na wapenzi wengi wa CHADEMA tunaoamini kua mh . Msigwa Bado ana uwezo ; na anafaa kuendelea kua m/kiti wa Kanda ya NYASA.
Mh. Sugu endelea kumuomba MUNGU akupe hekima.
Uongozi hautaki fitina Bali hekima ya MUNGU inahitajika.
Mh. Sugu na kundi lako ktk mdahalo huo mmetusononesha sn wapenzi wa demokrasia.
Kuna watu nawaheshimu na wameshiriki ktk mdahalo huo lkn kwa hiki kilichotokea Leo ktk michango Yao ilijipanga km ngome ya mh. Sugu nadhani wengi tumekua na mashaka km kesho wanaweza kufikiliwa kua VIONGOZI wetu !
Kabisa Yan mpka nimeshangaa msigwa ana hoja lakin nimeaamin alichosema lissu
hapa hakunademocrasia wamepangana kumung,oa kumbukeni.mhemko si utendaji ,dhambi hii haitawawachasalama, msigwatokahuko. hufananinao,
Kweny jibu la nyumbu mch umejib vzr san.
Chama kingine kiige hiv Kama wataweza
walianza ACT hii
Honestly mbilinyi level yako ni ya chini yaelekea unapendansana mambo ya majungu na ya mtaani
Haya ndio mambo
indigenous • \in-DIJ-uh-nuss\ • adjective. 1 : having originated in and being produced, growing, living, or occurring naturally in a particular region or environment 2 : innate, inborn.May 12, 2024 Msigwa Hapo au hajui au Kapotosha, Indignous Haina Maana ya Suti au Nyumba Ina Maana (Watu wa Asili wa Mahali, Iwe wana Suti au rubega) Wamasai ni Indiginous wa Maeneo hayo.
Nawaomba viongozi wangu wapongezane wao kwa wao mi nawakubari wako vzr hawawezi kufanana ndo maana ya democrasia atakaeshinda tumeshinda wote chadema kizazi kipya cha kuhoji Mungu ibariki chadema na watu wake
Chama kinakuwa sasa zamani chama wanachaguaana tu sasa ivi mtifuano
Mdahalo ni mzuri. Unafikaje vijijini kwa radio mbalimbali ambako TV hawana??
Msigwa is a big brain
In fact Msigwa tena
Msigwa kuhusu jambo la ngorongoro ni kama ulikuwa CCM,
Jaribu Tena kujisahihisha kulingana na Imani ya Chama chako,
Kuhusu lugha jaribu kupunguza kingereza,
Watanzania walio wengi utawaacha nyuma hivyo ujumbe wako kutowafikia Sawa sawa
Muungwana ni vitendo, hoja nzuri @edomukiruswa
Jamani msigombane ndani yachama
Kumbe waliokimbia walikosea sana
Msigwa mjanja mjanja tu hana jipya atulie tu amuache sugu nae
Kama Naona mpasuko furani hivi but is good for Chadema ✌️
Msigwa umeferi kwenye huu mdahalo
Msigwa mdahalo umekushinda yaan hauleeweki
Mbona anajikanusha miaka 10 sio mzaha kama hakuna sampo ya miaka 10 umeshindwa
Sugu swala la kilimo umejibu kwa Utulivu wa maono
Msigwa yuko vizuri sugu akae pembeni kwa heshima ya chama
Tatizoo,,ni moja tuuu,,,UCHU WA MADARAKA.
Mdaahalo mhim kati msigwa na mbilinyi
Hongereni CDM kwa Mdahalo
Msigwa anapaniki, twende na Sugu nyasa.
Wana ccm tuingie tujifunze Chadema mambo mema si vibaya kuviiga.
Msigwa apishe nainatosha kama amejenga chama na mboye
Aliwaita nyumbu kwakuwa nyie ni nyumbu kweli. 😂😂
Huna akili
Msomi mh msigwa uwelewa wa juu sanaa
Msigwa kujipa sifa umekwama acha watu wakupe sifa
Pili tuhuma simekuchafua
Pili unajibu kwa hasira ambayo na jaziba usilazimishe mambo wakati umebugi stape
Nipo nasugu
Msigwa for live
Msigwa tayari umetumika mwachie sugu aongoze nyasa
Msigwa P. you are so strong you deserve what you have and you will win this battle on 29.5.24
UKO wapi @regnald
Let's know about your prediction whether is has gone okay or not😂
Sugu nchi haijengwi kwa connection ni policy
Pamoja siyo mzoefu wa siasa ,ila mfumo wa kifikiri ndio engine ya Kila jambo,wote hao wanamazuri na madhaifu ,ila mchungaji ni mbobevu kwenye leadership,sugu ni hodari wa kumobilize watu,sugu he have to lean more.
Dah, mjadala haukuwa na afya kwa wadaawa,,,
Katika huu mdahalo nimeamini sasa kuwa sugu ni mwanasiasa mkubwa sugu ameshinda huu mdahalo
Chadema ni chama kikubwa sana kinakuabsiku Hadi siku.
Tumpe sugu Kwa Sasa nyasa msigwa miaka kumi imetosha
Nimegundua msigwa kinachomsumbua ni suala la wamasai 😂
Sugu tuko pamoja
Kwa hiyo ofisi hazina maana,wakitaka kukuona watakukuta wapu sema mchungaji unachemsha
Mmhh kumbe msigwa alisapoti CCM kufukuzwa kwa masai
Kwa hoja nilijuatu Msigwa hashindwi. Sasa kwenye utendaji huko sijui sanaa
Mimi si chadema lakini nawaunga mkono kwa mjadala mnaofanya hii itasaidia wananchi kuchagua viongozi makini
Bonge la hoja @user