Prof. Assad: Unanunua ndege ya nini kama hairuki?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 кві 2021

КОМЕНТАРІ • 41

  • @danielmgeni1703
    @danielmgeni1703 Рік тому +4

    Miongoni mwa watu makini kwa nchi yetu ni huyu mzee mungu Ampe maisha malefu

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 3 роки тому +7

    Wataalamu Hawa ni hazina kwa nchi yetu

  • @mgeningogomeloathuman7230
    @mgeningogomeloathuman7230 Рік тому +4

    Katoa rai mnamsema anataka huruma. Watu wengine wana roho za nyoka.

  • @eliusandrew3762
    @eliusandrew3762 3 роки тому +2

    I have to speak truth always

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Рік тому +3

    Hicho ni kichwa sio mchezo, m/mungu kampa akili nyingi, hekma, ustaarabu, kujiamini na ucha mungu, ndio maana hatetereki

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 3 місяці тому

    Mungu mtu baba Kodi zetu lakini hatutakiwi kujua chochote

  • @ahz6907
    @ahz6907 Рік тому +3

    Tatizo viongozi wetu huwa wanafanya maamuzi kisiasa na kupata umaarufu na si kusolve tatizo. Maana haingii akilini kununua mandege mengi na yapo idle kwa asilimia kubwa.

  • @user-ss8iu3mx4q
    @user-ss8iu3mx4q 2 місяці тому

    Huyu jamaa anadai nchi

  • @hamisiizadini3938
    @hamisiizadini3938 Рік тому

    Kweli mzee huna njaa

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому +2

    Shujaa alikuwa fisadi

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Рік тому +4

    2025 assad agombee uraus ajitegemee tumuweke madarakani

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 6 місяців тому +1

      Katiba inakataa mtu aliyeshika nafasi ya CAG kuajiliwa kwny nafasi ya utumishi wa umma

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      Nakuunga mkono@fadhilamyovera

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 3 місяці тому +1

    Utasikia alikuwa mzalendo kama mtu alikua ataki kukaguliwa dah!

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  3 місяці тому +1

      Hahaha! Hata Adolf Hitler alikuwa mzalendo

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      Ila @user ni mzalendo sana, hoja zako si za kuegemea upande, ushabiki au uchawa, uko critical. Usibadilike

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 3 роки тому

    Mmh ndo mmeamka sasa!.

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 2 роки тому +3

    Mzee Assad ni ALAMA nzuri na tamu kwa nchi yake, mzew Assad ni MFANO usiyo na kifani.

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 3 роки тому

    .

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 3 роки тому

    Shujaa alikuwa mwizi😜😜😜😜😜😜

  • @Worldunite
    @Worldunite 11 місяців тому

    Wewe kuongea kote ni kumnanga hayati jpm

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      si kweli, hamnangi mtu hapa, angalia ukweli wa hoja zake na si ushabiki, akikosolewa kwa hoja mtu unayempenda unaona anamnanga...be critical,
      Hakika we have a long journey to go

  • @mashauritv4033
    @mashauritv4033 Рік тому

    yani nilijua msomi mkubwa kama wee ndio uwe mstari mbele kwa kushauri serikali kuweweza mambo makubwa kama ndege kumbe weee ni kuponda na kubeza uwekezaji ili kuwe na ajira kubwa na watu waraisishiwe usafiri sasa weee huna akili kabisa

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому +1

      We ndio ziro kabisa wa kukurupuka

    • @NdelleMwanyama
      @NdelleMwanyama Рік тому +1

      Duh shule muhimu sana, we unaongea nini ww

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      Nani hana akili @mashauritv? Yule Mzee Alikuwa akiamua ameamua, hataki ushauri wowote, je prof angepata wapi nafasi kushauri madini haya
      Kwani zile report za CAG huyo unayesema mzalendo amewahi kumwajibisha nani?

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 3 роки тому

    Unataka huruma ya Mama Samia ili iurudi tena. Pumzika shughulika na mashamba yako. Unnamaama wewe pekee yako unafaa. 60% hawafai jambo la kushangaza.

    • @shaibuhamadi5435
      @shaibuhamadi5435 3 роки тому +1

      ach wivu

    • @ahmedsultan8561
      @ahmedsultan8561 2 роки тому +3

      Mmoja wasiofaa nini ww,uelewa wako ni mdogo, maana km ungekua muelewa usingesema hivyo

    • @omaryjuma5546
      @omaryjuma5546 2 роки тому +3

      Shule muhimu sana......ungeitumia shule nadhani ungemuelewa

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому +3

      Bila shaka wewe ni miongoni mwa hao 60٪

    • @neemamhando5287
      @neemamhando5287 Рік тому +1

      Ana akili sana aisee