UPENDO PENEZA AFUNGUKA/ RUSHWA YA NGONO/ HALIMA MDEE NA MBOWE/ NJAA IMEKUPELEKA CCM?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 264

  • @salinjason
    @salinjason Місяць тому +7

    Huo ni mwisho wako wa kisiasa huna mvuto tena jitafakari

  • @dennisrwelamira1259
    @dennisrwelamira1259 Місяць тому +3

    Mbona Upendo Peneza anakimbia maswali kwa kutoa majibu yasiyo sahihi

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 Місяць тому +3

    Uchaguzi unakaribia unatafuta fursa siku zote ulikuwa wapi?

  • @ROBERT75376
    @ROBERT75376 Місяць тому +2

    Najua kuwa ni haki yako ya kikatiba ila, ukweli fahamu tu kuwa, wapo vijana wengi walikuwa wanakutazama wewe na kujifunza mengi. Tunatamani ungepambana na rushwa hukohuko CHADEMA. Kuhama kipindi hiki ambacho shutuma kama hizo ziko kila upande inatoa nafasi kwa baadhi kukufikiria vibaya pia. Lakini mwisho wa yote, kila la heri huko, usisahau kupigania haki uliyokua unapigania ulikokua.

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 Місяць тому +3

    Yuda vipande 30 utavitapika

  • @user-xy7eu6ev6c
    @user-xy7eu6ev6c Місяць тому +2

    Anatoa hoja bila ushahidi mf:athibitishe palipofanyika rushwa.Mwandishi mpigie Mbowe simu athibitishe kama aliwahi kupewa ushauri .

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Місяць тому +6

    We dada unatafuta vyeo kijinga kwanini hukusema ukiwa huko. Nashangaa unaitwa mwanasiasa sijui kwa kigezo kipi. Hii ndio tz

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Місяць тому +2

    Peneza uwezo wake wa kujibu hoja ni mdogo sana, hawezi kujenga hoja wala kuchanganua hoja

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Місяць тому +3

    Duhuuuuu!! Ila sisa bhan yaani uyu dada upendo nlikuwa namkubali ss ndo anakwenda kupotea kabisa na ukimskiliza anavyo jibu ni hopless hana majibu sahihi njaa mbayasan

  • @mohamoudali8652
    @mohamoudali8652 Місяць тому +2

    Halafu huyu dada kajichubua kishenzi. Maskini ana tatizo la kutokujiamini.

  • @zat6311
    @zat6311 Місяць тому +2

    Makosa sana kuwa na mtu wa aina hii chamani

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Місяць тому +4

    Usimwamini mwanamke hata sikumoja huyu wa ngapi

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 Місяць тому +1

    Tamaa tu, huko ccm ndio kumeoza na hutoongea chochote wenzio wamepotelea kabisa huko.

  • @zat6311
    @zat6311 Місяць тому +2

    Mchanga kisiasa hiyu wala cdm kisihangaike kujibu

  • @HusseinEca
    @HusseinEca Місяць тому +2

    Mi nilifikiri Delilah alikua yule m'moja tu mke wa Samsoni kipindi kile.... kumbe hata leo yupo mwengine tz

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp Місяць тому +5

    Tulizoea kuona wasariti wanaume kumbe hata wanawake wapo??? Subiri uteuliweeee!!!

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y Місяць тому

      alisema CCM wameniibia kura mwaka 2020, CCM ni mafisadi na wala rushwa sasa nimeamua kujiunga na wezi wa kura, mafisadi na wala rushwa naombeni cdm mjirekebishe msaliti mkubwa anazunguka mbuyu baada ya kukosa ubunge mwaka 2020 na njaa imeanza ingia kichwani sasa hata kufikiri ni shida kutokea tumboni. serikali ya CCM lini imejisafisha na uwizi na ufisadi wa mali za umma umesoma kweli ripoti za CAG?? Nenda uko ukajaze tumbo lako msaliti mkubwa wewe..

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Kuhama chadema ni usaliti na kuhama CCM ni ushujaa!!! Hayo ni maneno ya wanachadema waliofilisika kifikra na kisiasa!

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 24 дні тому

      Tena wasaliti wa kike niwabaya kuliko shetani, mke wa Ayubu ana mwambia Ayubu mkufuru Mungu ili ufe unafikiri alimuinea huruma kwa mateso ya mumewe, kumbe kuliwa na mpango afe Ayubu ili aolewe na wale wasaliti wa Ayubu, au marafiki wa Ayubu, Huyo niwaku muangalia nje ya box,

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 Місяць тому +3

    Kwa bahati mbaya na masikitiko Chadema haina pesa za kuhonga. Wasaka Tonge kama huyu watajitokeza wengi.

  • @zat6311
    @zat6311 Місяць тому +2

    Mwongo huyo utafikiri siyo ke

  • @zat6311
    @zat6311 Місяць тому +2

    Mzigo tu huo

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw Місяць тому +2

    Huyo Hana jipya ni kirusi kama wengine waliotoka chadema na kwenda ccm Hana la tofauti ni mchumia tumbo

    • @linusmwanitega4173
      @linusmwanitega4173 Місяць тому

      Yaani ww unapenda mtu aseme mazuri tu kwa chadema ila akisema mazr ya ccm hutaki kusikia. Ila upo sawa maana huwezi kuwa kuunga asiye kuwa wa upande wake.

  • @venatusmukungu3340
    @venatusmukungu3340 Місяць тому +3

    Umejiuza kirahisi mno dadangu.

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Місяць тому +2

    Mmmm tamaaaa tu

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 Місяць тому +2

    Pendo, ni kweli ccm imekuwa takatifu mbele yako kwa maovu yake yote wizi, dhuluma, kuteka na kuua w/nchi wake, rushwa, kutowajibika kwa ye yote(ripoti ya CAG) maisha magumu kwa w/nchi, kuuza mali ya umma, kuikanyaga katiba nk. Umeshindwa kuchukia haya, unahangaika kuinanga CDM ambayo haina baya kwa umma. Wewe unaiwekea uovu hafifu wa kutunga ili kuhalalisha njaa zako za kutafuta uteuzi.
    Kushutumiana viongozi sio malaika, ni njia ya kukemea rushwa wazi wazi inayotoka nje ya CDM. Pesa ya rushwa siku zote inatoka ccm. Ccm ni mtoaji mzuri wa rushwa, hilo huwezi kulikemea, ila unahangaika na Cdm wanaokemea hadharani, wewe unaita kushutumiana.
    Ninyi waganga njaa, kuweni kama Lowassa hakutunga wala kunanga Cdm.
    Pendo, epuka interviews hizi zinakuvua nguo bila kujijua kwa hoja hafifu mno mpaka hujibu maswali, ila unabaki kujikanyagakanyaga tu. Bora ukae kimya ule vinono ulivyoendea huko ccm.

  • @emmanueltarimo892
    @emmanueltarimo892 Місяць тому +1

    Unayoyakosoa chadema yote yapo ccm.so kuhamia kwako ccm hakuna logic

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 Місяць тому +3

    Can we call this political prostitution?

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm Місяць тому

      Kabisa, ni malayamalaya bila kumung’unya.

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w Місяць тому +1

    Pumbavu malaya wew

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Місяць тому +1

    Mama ccm Kuna vijana wengi wametumikia chama kwa maisha Yao yote hao ndio uwape uteuzi sio Hawa wadangaji kwani wewe nani

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 Місяць тому +1

    Naomba MUNGU anipe Uhai mrefu ili niendelee kuyaona na kuyasikia ya Dunia,Maana Wengine tutafika Mbinguni tukiwa TUMECHOKA VIBAYA

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Місяць тому +1

    Huyu dada inaonekana alikuwa na tamaa ya uongozi sana!. Kwa hiyo yeye alitaka CHADEMA kama taasisi wamsikilize yeye?!. Kwa hiyo CCM ndio watakusikiliza?. Bora ungenyamaza kwa sababu unajichanganya zaidi!. Ila ukiwa sebuleni unatakiwa ukae kwa nidhamu kwa sababu ukicheza vibaya hata chakula utanyimwa!!.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 Місяць тому +1

    Hakuna chama cha siasa kilicho salama,

  • @henrymmbando5930
    @henrymmbando5930 Місяць тому +1

    Huyu dada mhuni tu, Anaongelea rushwa lakini hana hoja yeyote kuthibitisha.
    Huyu ni kiruka njia tu. Kaona hapati chochote kagilibiwa, kalegea ameamua tu kujivua mwenyewe arudhishe roho yake.
    Hivi huyu dada Kaolewa? Kama ndiyo nashauri mwenza achukua nafasi ya counseling. Huyu kavurugwa.

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Місяць тому +1

    Hujaelewa kulamba sukari mbowe alimaanisha nini!!
    Hata CCM hawakuwa wanasema kuhusu majadiliano

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 Місяць тому +1

    Nimefurahi umehakikisha kuwa Chadema haikupeleka majina ya wabunge wa viti maalum. Moja baada ya kingine yatajulikana. Mungu yupo

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz Місяць тому +1

    Huyu mwanamke anaonekana msomi lakini pia ni mchumia tumbo

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe Місяць тому +1

    Kwani CCM hawatuhumiani kwa Rushwa?! Sema unataka cheo

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 Місяць тому +1

    nakuonea Huruma Rudi Chadema moyo wako nakuona unakuuma na unaelewa serikali aifanyi saw Kwa wananchi na unaenda hukohuko watumishi was imma halo ya mishahara haiendani na mabadiliko ya kiuchumi

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s Місяць тому +1

    Kama hakuna rushwa ngono. CCM hakuna basi hakuna wsnaume. Sehemu yoyote humo maofisini. Vyama vya siasa rushwa ya ngono haikwepeki

  • @paulowilly7864
    @paulowilly7864 Місяць тому +1

    Damu ya mawazo itakuandama mpaka mwisho ni afadhali viongozi wa chadema wanasema rushwa ndani yachama kumbe Yuko sahihi huko kwenu CCM nani aliwahi kusema rushwa mnasema Kila Moja ale kwa kamba yake

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson Місяць тому +1

    Inasikitisha sana. Afrika haitawahi kupiga hatua kwa aina ya watu tunaowaita viongozi wetu. These are self-serving fugures ambao wameitesa Afrika. Wananchi tujitambue.

  • @modestuslwemigira7188
    @modestuslwemigira7188 Місяць тому +1

    Mbona alisema chadema wanavunja katiba Sasa mbona anatetea kuvunjwa kwa katiba ya CCM. Nafikiri Kala rushwa huyo ni wakuogopa kama ukoma

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Місяць тому +1

    Naombeni nafasi ya kumuhoji huyu my Sister
    Natamani kama nitapata nafasi ya kumuoji

  • @user-rw5em6lt1j
    @user-rw5em6lt1j Місяць тому +2

    Huyo dada anatatizo la kiakili hivi ccm hakuna rushwa? Hata hiyo rushwa anayoisema ipo cdm hajathibitisha

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Yeye na wewe nani mwenye matatizo kiakili? Wapumbavu kama wewe huwa ni mashoga huko mbele ya maisha

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Aliyesema chadema kuna rushwa ni makamu mwenyekiti wa chadema akiwa Iringa kwenye mkutano wa hadhara!pia mwenyekiti kwenye mkutano wa hadhara wa kwanza alisema kuhusu watu kulamba asali

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Місяць тому +1

    Chadema muwe makini na mamluki wanakuja kuwavuruga chama

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Місяць тому +1

    "Naomba nimalizie"....Stanslaus Lambat mpe mwenzio "amalizie"😂😂😂

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 Місяць тому +1

    Huyu ni Lilith tu aliye msaliti Mungu aliye Muumba awe make was Adam ye akamuacha Adam na kwenda kuolewa na lisifel aliye muasi Muñgu

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 Місяць тому +1

    Wananch hatukutaki njaaaa inakusumbua umeona kupa ubunge kwa tket ya chadema ni kwa jasho unataka ccm kwa sababu ni mtelezo utagazwe kwa ulizi wa police

  • @marwamagere
    @marwamagere Місяць тому +2

    Huyu changu doa Hana jipya upendo peneza unazidi kujivua nguo

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y Місяць тому +1

      mtangazaji yuko sahihi km angekwenda upinzani lakini tatizo kubwa la Upendo kulalamikia rushwa ndani ya Cdm halafu unakimbilia kwy chama cha mapapa wa rushwa, yaani unakimbia mkojo unakanyaga mavi

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Місяць тому +1

    Kwa hio my sister hukitoka na CCM,pia utataka watu wakufate huko huliko?.......
    Lakini peneza kama hukikosa huongozi je, hutaendelea na CCM au hulicho fata huko ni huongozi?.....
    Lakini peneza unataka kusema CCM hawaikosei katiba yao?.......
    Na Je,ndani ya CCM hakuna mambo ya Rushwa?.......
    Naona my sister nikama hunajiukumu your self
    Kwa ni huko hulikokwenda wako sahii kuliko kila chamq kina shida zake mi naona peneza
    Ni bora hukanyamaza husizungumze mengi sana maana hayo unayo yazungumza yanaweza kukuludia.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Місяць тому +1

    Maovu ya ccm unayafahamu.mnanunuliwa.kuahidiwa vyeo..ni hongo. Wanaye mwona ni best toka chadema ananunuliwa

  • @kelvinkangomba9590
    @kelvinkangomba9590 Місяць тому +1

    Ningefurahi sana Upendo ungekuwa direct zaidi kwenye kujibu maswali. Unaongea mnooo katika maswali yasiyohitaji maneno mengi. Utakuwa mwanasiasa mzuri kama utapunguza maneno mengi na hapa kwenye kuwa na maneno mengi ndipo watu wanaona kuwa hauna hoja yaani unajaribu kuokoteza maneno bila kuwa na data. Unaulizwa kuhusu rushwa wewe badala ya kuja na uthibitisho unaanza kufanya reference kwa maneno ya watu wengine.

    • @henrymmbando5930
      @henrymmbando5930 Місяць тому

      Huyu ana nongwa tu kwa wale Covid 19 kutomweka kundini na alikuwa anajiona ni mwanamke ambae ndani ya cdm alikuwa juu sana. Covid 19 walimtema akaona hana kitu tena. Je huyu angejumuishwa ndani na Mdee je angekataa icovid ??

    • @kelvinkangomba9590
      @kelvinkangomba9590 Місяць тому +1

      Mimi ni muumini wa kuamini kuwa kwenye kila taasisi alimradi inaongozwa na watu basi lazima kuwe na changamoto. Inategemea tu wewe unaamini katika nini . Mimi ni ccm lakini mtu wa aina ya Upendo ni wa kuogopwa sana. Yeye hana anachokipigania zaidi ya maslahi yake. Ninachokiona anataka kujiaminisha kuwa ili upate nafasi ya uteuzi basi uwe mpika majungu kwa upande wa pili. Ni majungu kwasbb sijaona tangia ameanza kuhojiwa na vyombo mbalimbali akitoa hoja zenye ushahidi kuntu ili kuhalalisha malalamiko yake.mtu kama huyu kama hatoweza kupika majungu katika level ya chama basi atapika majungu between individuals ili yeye aonekane msafi. Tunahitaji kizazi jeuri chenye uwezo wa kuhoji na kukosoa kwa hoja na ushahidi lakini sio kama Upendo Peneza. Nawaheshimu sana wanasiasa marehemu Bernard Membe pamoja na Edward Lowasa. Pamoja na kuhama ccm lakini bado walikiheshimu chama na walikuwa makini sana katika kujibu maswali yenye viashiria vya uchonganishi, vivyo hivyo waliporejea ccm kutoka upinzani hukuwasikia wamesema maneno mengi zaidi tu ya kujibu "nimerejea nyumbani". Hivi ndivyo siasa zinavyokuwa.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Місяць тому +1

    Huyu dada ni Malaya tu Tena Kuma lake linawashwa ccm amefuata mboo tu hana jipya

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Місяць тому +1

    >Duuuu...Madam Upendo Peneza..jibu refu sana lisilo mwisho kwa swali rahisi la kutoka CHADEMA kuhamia CCM!
    >Spot on Mtangazaji..kiongozi/mwanasiasa kijana kaporomosha sana hadhi yake kwa kitendo cha kuhama! Mapungufu ndani ya CHADEMA kulinganisha na CCM yaweza kweli kuwa sababu kuhalalisha msukumo kutoka?

    • @henrymmbando5930
      @henrymmbando5930 Місяць тому

      Kwa hiyo CCM ukikutana na changamoto ambazo haziendani nae atahamia kwa Mzee wa Ubwabwa?
      Huyu wala si mwanasiasa. Muda si mrefu mtajionea.

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya Місяць тому +1

    Kweli, wengine hawana aibu. Mnarudisha nyuma harakati za kudai haki katika nchi yetu. Mnawavunja moyo wapiganaji halali.

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 Місяць тому +1

    Hana sababu iliyonyonko iliyomfanya kuamia ccm. Pia anashindwa kujibu maswali anayoulizwa

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r Місяць тому +1

    Unachokitafuta ni nini?

  • @MdYeasin-xx1gm
    @MdYeasin-xx1gm Місяць тому +1

    akuna kisichokuwa na mapungufu tatizo ww umetoka kw pipa na kuamia dampo afazali unge amia jalalani

  • @marybalya2371
    @marybalya2371 Місяць тому +1

    Wewe Kama uliondoka ya Nini kuendelea kubwabwaja?. Hizo Ni njaa na umalaya unakusumbua.

  • @user-qo7uv2zc3g
    @user-qo7uv2zc3g Місяць тому +1

    Dada jitadhmini sana unapotea vibaya mnomno nenda kwenye majukwaa leo ukawaeleze utawafanyia nini ndani ya CCM ambayo imekaa madarakani toka unazaliwa mpaka leo uwapatie maendeleo leo hiii

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Місяць тому +1

    Yaani wewe pendeza hutaki cdm wanavyofanya mikutano ya kuelimisha wananchi juu ya maofu ya ccm basi wewe ni pandikizi lililokomaa sana ulikua unasubiri update nafasi kubwa ili uumize cdm vizuri Wacha biashara chafu ya siasa huko ulikokimbilia ndo umekufa kisiasa kabisa umebaki na mdomo na sauti mpaka aibu unaoneka usoni mwako

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l Місяць тому +1

    Mwanamke acha uongo mbona njaaa yako utalipa ktk hayo Machafu mnafiki mkubwa.

  • @user-zj1ep6hn4p
    @user-zj1ep6hn4p Місяць тому +1

    Usjzme data mchumia tumbo huna lolote

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y Місяць тому +1

    @Lambert umeniangusha kumto mchallenge suala la Biden kwani Biden aligombea ndani ya democratic na wenzake wengine hakuwa peke yake

  • @user-fe8tx5bo2f
    @user-fe8tx5bo2f Місяць тому +1

    Wasaliti walikuepo tangu enzi za yuda

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 Місяць тому +1

    Anajikanyaga hata maongezi yake njaa siyo kitu kizuri

  • @user-fe8tx5bo2f
    @user-fe8tx5bo2f Місяць тому +1

    Ww acha huongo tutaona utafika wap tunapigania halakati alafu nyinyi mnatushika miguu Kwa ajili ya matumbo yenu kuna chama kinacho ongoza Kwa lushwa kama ccm.pumbavu kabisa ww

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi Місяць тому +1

    Kwahiyo huko ccm Hamna rushwa mbona unaongea HOJA nyepesi

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 днів тому

    Huyu ni hatari sana

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d Місяць тому +1

    Acha uwongo mlafi ww chadema waache hata huko hawakupendi kisa umbea walikupa ubunge wa kupewa sema asante endelea kusema uwongo ok

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 28 днів тому

    Njaa mbaya sanaa

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 Місяць тому +1

    Wewe file lako tutalipata tu,,bure kabisa 😮😮

  • @stevenngussa9334
    @stevenngussa9334 Місяць тому +1

    Wewe Paka tuu!! kama paka wengine nenda ukalale

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 Місяць тому +1

    hakuna kitu hapa, hayo mamikono ni mengi kama anavyoongea. Mpeni maji kwanza amalizie uongo wake

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Місяць тому +1

    Au hunaenda kuwachunguza CCM, humetumwa kwenda kufanya investigation

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому

      " Hunaenda" "humetumwa" hicho ni Kiswahili gani? Na ikija kuandika hapa utaandika "apa" Huu ugonjwa gani unawasumbua nyie waTz wa siku hizi? Mmesomea shule za aina gani nyie?😢

  • @aloycejames4862
    @aloycejames4862 Місяць тому +1

    Buree kabsa

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому +1

    Upendo.acha.maneno..mungu.kila.mahali

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Місяць тому +1

    Hata sielewi hoja yake,anaulizwa hii anasema hii

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Місяць тому +1

    Utahangaika sana pendo , uchakifanya ni ulaghai

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Місяць тому +1

    Rambat nakukubali. Professional

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому

      Mzee hata jina ambalo lmeandikwa hapo unashindwa kuliandika tukueleweje. Huyu ni Lambat bro sio "Rambat" Tatizo nini jamani mbona hivi?

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Місяць тому +1

    Kwa hio mnataka kutuaminisha hivi vyama vya siasa ni wauni tu?.......

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 днів тому

    Haibu sana pesaaaaaa inauwa

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 Місяць тому +1

    Sema njaaa ya tumbo inakusumbua

  • @maudimwalwembe
    @maudimwalwembe Місяць тому +1

    Jamani siasa ni maisha

  • @bilid4128
    @bilid4128 Місяць тому +1

    Ana maneno mengi hata sielewi

  • @fredymapunda1768
    @fredymapunda1768 Місяць тому +1

    Hii kichwa ikiliwa ni sawa tu hamna kitu

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 Місяць тому +1

    Duh hawa ndo wanadam hakna jipy chn yajua

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 Місяць тому +1

    Umepoteaza dira

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂 naona kama kinyani

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Місяць тому +4

    Pole sana Peneza umepotea sana.

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o Місяць тому +1

    Wewe hujalamba sukari?

  • @fredymapunda1768
    @fredymapunda1768 Місяць тому +1

    Unajibu swali unatoa maelezo?

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 днів тому

    Hawa sio viongozi jaaa tu hafanani na kiongozi

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Місяць тому +1

    Mbona anafanana na wacharwanda?

  • @marybalya2371
    @marybalya2371 Місяць тому +1

    Jina maana

  • @paulowilly7864
    @paulowilly7864 Місяць тому +1

    Ww ni malaya tu

  • @jumamnemo8383
    @jumamnemo8383 Місяць тому

    Manyumbu bana wamemshika dada wa watu wakati anatoa maoni yake na mtazamo wake akiwa mtanzania huru.

  • @oss6689
    @oss6689 Місяць тому

    #Rushuwa
    Hauezi kuilamu chadema haijawahi kua madarakani leo Unasifia fisi kula kuku analamu kuku kukukataa kuliwa

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 днів тому

    Mwandishi maswali yako hawezi kujibu hako Kama hamekwisha habari

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Ccm uliko ndo kusafi hakuna rushwa? Unaakili kwel wewe? Unajisikiaje unapoongea utumbo maana akili hana na hujitambui kabisa hta mtoto wa chekechea anweza kudadavua mambo sio boya kma wwe

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 Місяць тому +1

    Kwa kifupi ni njaa inakusumbua.
    Umeona ukihamia huko utahongwa cheo. Pole sana kwani umejidhalilisha sana. Hsts sauti yako inaonesha kuna kauongi.. you have no confidence.
    By the way mimi si mwanachadema.

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Kwa wanachadema hasa wasiojua siasa kujiunga chadema ni ushujaa na kujiondoa chadema ni njaa! Acheni hizo siasa za kihuni zinakiua chama chenu!!!Rudini kwenye msitari ili CCM ipate mpinzani anayetosha

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 днів тому

    Kichaaaaa