RAIS JPM AZUNGUMZIA SUALA LA MANJI, GWAJIMA NA VITUO VYA POLISI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 19

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 3 дні тому +2

    Apumzike kwa amani Raisi wa wa awamu ya tano ..j.p.mafufuli.

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 3 дні тому +3

    kwa kweli kwahili sikukuunga mkono maana ulituumiza wengi kwa ajili ya kijana wako makonda,hivi kesi iliishaje?

    • @florakweyunga4490
      @florakweyunga4490 2 дні тому +1

      Kuhusu madawa ya kulevya....unasema hukumuunga mkono.mmmmmh.....!!!

  • @ElvisTabula
    @ElvisTabula 5 днів тому +1

    Kiburi cha uzima

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому +1

    Hakika uhuru sio amani walio panga kuharibu kwa kimvuri cha uhuru uli wanyoosha kweli kweli Rip umeacha nuru

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 2 дні тому

    Acha kisasi na chuki weewe , wote ulio wa hukumu hatua Gani ilichukuliwa kuwahukumu ,kesi zote umeishindwa, huyo Gwajima unayomzungumzia kma kweli alikuwa mchafu Mbona ulimsamamisha kugombea ubunge wa Kawe,

  • @wosiakyunga9995
    @wosiakyunga9995 2 дні тому

    Tutakukumbuka daima

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 Рік тому

    Kweli itabaki kweli haki za watu hazipotei

  • @seemanishekiao
    @seemanishekiao 3 дні тому

    Rais

  • @musasalim7042
    @musasalim7042 3 роки тому +1

    maisha ni kitendawili

  • @benswai8099
    @benswai8099 3 роки тому +3

    Wewe mzee uliminya sana Uhuru wa watu kujieleza au kuonesha hisia zao. Hakika uliumiza sana wengi. Watu walikuunga mkono si kwa usahihi wako bali kwa kuhofia usalama wao

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Рік тому +5

    Umeenda kuzimu na roho mbaya yako, Sasa hivi unakula Moto

    • @mohammedkhimji7505
      @mohammedkhimji7505 Рік тому

      Mungu akusamehe kwa huu porojo ulichotapika hapo....

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 5 днів тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 5 днів тому

      Ni wazi wako walio umia na wako waliofaidi utawala wake