Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu tuhuma za dawa za kulevya, katika list hiyo Paul Makonda ametaja jina la mwenyekiti wa Yanga na mfanyabiashara Yusuph Manji.

КОМЕНТАРІ • 867

  • @JafaryMdeluka
    @JafaryMdeluka 3 місяці тому +12

    Mliokuja baada ya kifo chake tujuane hapa😭

  • @judesammy9643
    @judesammy9643 7 років тому +25

    Nakubaliana na Yusuf Manji kabisa... ipi njia ya kuwaita watu na kuwahoji,, na ipo tahasisi maalum ya kuwachunguza watu wanaohusika na mihadarati'' lkn alivofanya mkuu wa mkoa c vzr kabisa tena yeye pia achunguzwe na malaya wake wanauza unga... Anatafuta Kura za baadae na umaarufu mwingi kupitia migongo ya watu..

    • @Halimabintmafitah
      @Halimabintmafitah 7 років тому +2

      Jude Sammy subiri vijukuu vyenu vikikua vianze kubwia maunga ndomtamkumbuka huyo makonda.

  • @rizikialmas4877
    @rizikialmas4877 7 років тому +4

    Asante millard ayo kwa taarifa muhimu kama hizi... Keep it up

    • @stellandoromi3141
      @stellandoromi3141 7 років тому +2

      tena anasifa uyo mkomeshe tu anaushaidi gani kwaza

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 7 років тому +30

    hapa ndio nilipokua napataka

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +27

    😂😂😂😂😂manji sitaki sikia kelele mingi Mimi kutoka kwako. Ukifika kituo Cha polic ndo Tutajua mbivu na mbichi

    • @randymontana1521
      @randymontana1521 7 років тому

      Salimatu yahhaya kituoni watamfanya nini huyu? Unamjua nani kwanza huyu mtu? Hiyo serikali yenu ya ccm inaendeshwa na watu kama hawa! So they can't touch him! Huyo Makonda anataka kiki tu na kuwadhalilisha

    • @ronaldomwacha6098
      @ronaldomwacha6098 7 років тому

      +Randy Montana ameonewa

    • @salimatuyahhaya5772
      @salimatuyahhaya5772 7 років тому +1

      Randy Montana Swali la watamfanini.....sheria itafuata kama Kwel anahatia Au makonda kakosea Njia Tutajua Napia SIWEZI kusema chochote Kile kuhukumu MTU Sipendi kudhani Nidhambi kubwa. Na pia Manji simjui na mfahamu2

    • @ronaldomwacha6098
      @ronaldomwacha6098 7 років тому

      Achunguzwe

    • @asharajabu88
      @asharajabu88 7 років тому

      tumia akili mdada huyo makonda atafuta kik 2 n keshaipata wakubwa hawataj ataja wat ambao hawapat kiuchum

  • @judesammy9643
    @judesammy9643 7 років тому +62

    Nakubaliana na Yusuf Manji kabisa... ipi njia ya kuwaita watu na kuwahoji,, na ipo tahasisi maalum ya kuwachunguza watu wanaohusika na mihadarati'' lkn alivofanya mkuu wa mkoa c vzr kabisa tena yeye pia achunguzwe na malaya wake wanauza unga... Anatafuta Kura za baadae na umaarufu mwingi kupitia migongo ya watu..

    • @athanaselisha1617
      @athanaselisha1617 7 років тому +3

      Jude Sammy wewe!!!mnawatetea kwa lipi hao???

    • @sudyreacts5889
      @sudyreacts5889 7 років тому +4

      athanas elisha wewe unaushaidi gani wakuwahukumu let your hard life ikufanye uwachukie watu

    • @sudyreacts5889
      @sudyreacts5889 7 років тому +2

      Jahrean-tc sasa ndugu yangu unavyosema katajwa kisa anajua mtandao sijui uo ushaidi ukiambiwa utoe unao ambae una ushabiki wakijinga usiwege unaongea vitu vyakudhania

    • @jahrean-tc8561
      @jahrean-tc8561 7 років тому +3

      mi naona uko sawa lakini haya madawa yanaumiza hasa kama una ndugu ameathirika nayo

    • @marysiao1656
      @marysiao1656 7 років тому +5

      vyombo husika kama havitendi unayotaka we utafanyaje zaidi ya kuingilia kati

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 4 роки тому

    Hii ni kutafuta masifa... this man! Mwenyezi Mungu akuweke hai

  • @shakirarashid9181
    @shakirarashid9181 7 років тому +23

    mm sikuzote waga na sema watu waupe sio kwenda ukachekiwe akuna cha yanga wala simba Hapa hatuko ki team tuko kikutokomeza madawa ya kulevya munajifanya wasafi wa nguo wachafu moyo

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 років тому +5

      Shakira Rashid mpumbavu uyo anaongea nn uyo mbona hana lakuongea yang ooh msaada ooh alf anajipangiaje mda wa kwenda polis yule Melinda ni mheshimiwa kwako ata km umemzid kiuchumi kwendaaaaa pyeeeeee folen eti awez kupangaa looh

    • @wallacelussingu5820
      @wallacelussingu5820 7 років тому

      Shakira Rashid y

    • @nassorsaid2331
      @nassorsaid2331 7 років тому +9

      Arafa Ngalawa wabomgo mnamatatizo na mnakalili sana kwa hiyo kama kiongozi ndo afanye anachojiskia.. the point point ni sheria siyo pesa,au uongozi

    • @maverickcreativesolutions8285
      @maverickcreativesolutions8285 7 років тому +2

      we ndo kilaza wa mwisho yani

    • @mrsmrshassan7473
      @mrsmrshassan7473 7 років тому +1

      Shakira Rashid

  • @msemalufunga3876
    @msemalufunga3876 7 років тому +45

    watanzania bwana mbona mnachekeshaaaaa!!? mwanzoni ooooh anataja vidagaaa Leo mapapa hayooo ooh zipo njia mbona vigeugeu jamani???? mwacheni makonda afanye kazi yakeee!!!

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 років тому +6

      MSEMA LUFUNGA nashangaaa na mm jmn duh wa tz hawana mcmamo walizani atawaogopa wakubwa matajir ss kawataja washeanza oooh makonda kaingia choo cha kikee waache kutapatapaa na yule mbunge alokua anaropoka bungen aropoke tenaaa tumckie walisemakina wema wameonewa wameachwa wahuska wametajwa wahucka tena bado lawama mh makonda fanya kaz ucckize figisu figisu za wafa majiiiiii

    • @MM-pb7fw
      @MM-pb7fw 7 років тому +3

      wabongo wanashida kwenye ufahamu aisee

    • @moodybite
      @moodybite 7 років тому +1

      ndio kaka

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 7 років тому

      Asante ndugu, uko sawa

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 років тому

      MSEMA LUFUNGA waite wote hata haibu kwa watu ni tiba

  • @hactivist9076
    @hactivist9076 7 років тому +35

    This guy yupo sahihi kupigania public image yake maana if you want to summon someone then use the official means sio kutangaza kwennye media, kama mtu asipo showup utamlaumu kwa lipi maana anaweza sema kuwa hafatilii news wala nini na hatrust unofficial means. Wapo Tanzanians ambao hawatosupport the means liyotumia ila sio makosa yao ni kosa la kutojua law, na ndo maana haki itakuwa ngumu kuipata in this country, tusome kisha tutetee point kwa hoja na si kwa mkumbo, wake up people.

    • @hafidhsuleiman804
      @hafidhsuleiman804 7 років тому +6

      Hactivist 90 uko sahihi mkuu! kuna mtu alinambia maisha ni kucheka kidogo na kulia sana...usifurahie kudhalilishwa kwa mwenzako, leo analia yeye...kesho utalia wewe! Huu utaratibu wake ni kinyume na sheria...

    • @sammymchuma3579
      @sammymchuma3579 7 років тому +1

      Hactivist 90 umesema kweli

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 7 років тому

      WANUFAIKA MKO WENGI SANA

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 7 років тому +3

      UMELALA PEKE YAKO KWA KUNUFAIKA NA UCHAFU WA UNGA UKITETEA UKO SAHIHI! KIPO UNACHOPEWA SI BURE

    • @masudikingwiti5425
      @masudikingwiti5425 7 років тому

      Masudi

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 років тому +12

    Wew unapesa na Makonda ndy serikari sas tunataka kuona nani?? Zaidi weweeeeee oyaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😉

    • @abdallahsaid9732
      @abdallahsaid9732 7 років тому

      Duh cmchezo aisee eee!!!!

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 7 років тому +1

      Kijipu uchungu bhana ni shida

    • @Royalcakespoint
      @Royalcakespoint 7 років тому +8

      Mariam Hadija muhim katetea haki yake haongelii pesa...na wakipelekana mahakamani nijuu ya polisi kuangalia uzito WA jambo hili...

    • @greonpeter6984
      @greonpeter6984 7 років тому +1

      Mariam Hadija pesa

    • @shinatamar1492
      @shinatamar1492 7 років тому +2

      Mariam Hadija kumbuka yuko nahaki yake kupitia nakatiba ya inche n.a. kuaribiwa jina ata awe niserikali bado miaka itaisha nakama bado anachuki na watu watamfungulia mashitaka

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 років тому +30

    makonda anataka sifa tu au amechanganyikia baada ya watu kusema anakamata watumiaji anaacha wasambazaji sasa anataja tu had I manji hadi mbowe kweli makonda anataka ajiweke sehem nzuri ajeagombee urais sio bure unachafuachafua tu watu

    • @jasminesamir8504
      @jasminesamir8504 7 років тому +3

      Shuweha Omar makonda mpuuzi

    • @athanaselisha1617
      @athanaselisha1617 7 років тому +6

      Shuweha Omar makonda strong sana!!!muone huyu anavyotudharau mpaka kumwita kiongozi wetu mpumbavu!!!!

    • @jahrean-tc8561
      @jahrean-tc8561 7 років тому +1

      jamaa angalia maneno hayo hawakawii kukutafutia kosa

    • @jamesmtangi8025
      @jamesmtangi8025 7 років тому

      akili butu naww....fikiria vizur bhana,,,

    • @moodybite
      @moodybite 7 років тому +2

      umzani aye siye usiemzania ndiye

  • @mimifulani948
    @mimifulani948 7 років тому +11

    acha kujifanya unakaz ya maana dar wewee MAKONDA EE HAWA MACHIZ NDO WANATAKIWA usimuogope ati watu 65 na yy awepo unataka uitwe kiboss hakuna hapa😏😏😏😏😏

    • @asharajabu88
      @asharajabu88 7 років тому +4

      na huyo makonda wako pia ajitaje n huyo malaya wake wa huko xouth

    • @Royalcakespoint
      @Royalcakespoint 7 років тому +3

      SOFY OMARY hasikitiki hadhi yake na hao wrngine waliotajwa ila anachokiongelea hapa ni katiba ya nchi inavoeleza kipengele cha sheria ya haki yake...na katiba nikitabu kinachomlinda kila mMoja wetu

    • @greonpeter6984
      @greonpeter6984 7 років тому +5

      SOFY OMARY utajiri wa huyo jamaa ni wa kurithi sio waku boost

    • @mkude
      @mkude 7 років тому

      sofy mambo

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 7 років тому +1

      Hivi we mwanamke wanakusaga nn wenzio maana unaongea utumbo ati hivi anachokilalamikia manji umekielewa au na ww unakulupuka kama huyo madereva fara w manji anazungumzia katiba ya nchi inasema nini yeye akiwa kama raia na ze way inavyomprotect kumchafua mtu without evidence hilo tiyari ni kosa kisheria ikithibitika mtu huyu kosa hana basi anauwezo wakukufungulia kesi na kukushitaki umelewa w msagwaji

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +12

    kinachonishangaza mie ni kimoja tuu.
    wale wamiliki wa makasino waliitwa kimya kimya wakafanya yao wakarudi majumbani kwao.
    Majizo amekamatwa kimya kimya na hajapigwa pic wala kuonyeshwa popote.
    #Watanzaniatutambuehakizetubilahivyotheygonnafuckupallofus😔😔😔

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 років тому

      Mwanahamisi Hella hatamimi nashanga kumbe tz yenu sawasawa na Burundi?😂😂😂 inabidi nyinyi muwekama laiya warundi makonda utakufa haraka. kama ADOLFE hatakuzikwa ikawatabu kwakuwa amepandisha jiuli naubaya mwingi kama wewe pole makonda kwakaziyako kuwa mkweli

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 років тому

      mauwa hussein Y 😆😆😆😆niko nabadilisha uraia vry soon nahitaji kuwa munyarwanda😃😃

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 років тому +1

      Mwanahamisi Hella 😂😂😂😂nihataree Rwanda kunashelia hakuna ujinga huyo kagame nijeshi inchi ikosawa mambohayo yakuvamia mtuhamnaa

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 років тому

      mauwa hussein Y 😅😅😅😅haya niwekee nafasi bc huko kwenu🙈🙈 (sijui upo wapi mweeh)
      alafu nadhani Makonda atakua SIMBA ndo mana hehehe😃😃😃

    • @mauwahusseiny682
      @mauwahusseiny682 7 років тому

      Mwanahamisi Hella mimi siko afric mpaka niludi hm

  • @mentythegemini405
    @mentythegemini405 7 років тому +9

    too much clever uyu mtu

  • @khamyszahor856
    @khamyszahor856 7 років тому +6

    Makonda kafikia mbali sasa,Na siku zote kupewa sifa nzuri tu hata kama na mabaya unafanya eti usiambiwe basi inajenga tabia mbaya.Makonda ajirekebishe

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 років тому +8

    makonda mwenyezi mungu akutangulia kwa kazi yk

  • @sabrinamohammed1371
    @sabrinamohammed1371 7 років тому +12

    hii manji iko uza madawa bhana ,haki kaombe india unatutesa na na ma mall yako ya bei kubwa kisa wewe muuza unga kafanye iyoo kazi india siyo hapa ukitaka kutokukubali utarudi india kwa miguu tena umeniuzi alafu unaleta jeuli kama hii nchi ulikuwepo enzi za nyerere kama unauza madawa utaitwa tu polis

    • @merinamasawa1180
      @merinamasawa1180 7 років тому +2

      Sabrina Mohammed we ulikuwepo enzi za Nyerere??

    • @hilalhilal7198
      @hilalhilal7198 7 років тому

      Merina Masawa mulize vizuri atujibu yy alikuwepo wakati huo

    • @sabrinamohammed1371
      @sabrinamohammed1371 7 років тому +1

      Merina Masawa hapa kazi tu

    • @sabrinamohammed1371
      @sabrinamohammed1371 7 років тому +1

      Merina Masawa hapa kazi tuuu

    • @mkude
      @mkude 7 років тому +2

      sabrina jina lako zuri lakini haluendani na tabia yako,manji ameitwa akahojiwe,wewe unamtuhumu moja kwa moja,halafu na ubaguzi juu,ubaguzi ni mbaya dadaangu

  • @iddiewazeer9300
    @iddiewazeer9300 7 років тому +3

    watanzania wengi hatuna elimu na hatujaelimika white pipo wapo makini sana wanasoma katiba kujua haki zao ktk jamii ila black pipo humu tunashabikia tu wakat haki zetu kisheria hatuzijui hata katiba yetu hatujaipitia ila tuna mcriticiz mtu anaetetea haki yke kwa mujib wa katiba...shame on us

  • @alfanmuruwa5601
    @alfanmuruwa5601 7 років тому +6

    veve manji acha kelele bana kama nausa unga makonda asiseme makonda iko na evdence bana tafungia veve jela bana au nausa unga original hata ulaya uwezi pata kabisa

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 років тому +11

    Hahahaaaaa kma naliona hili picha la andhakanon au ISIDINGO wacha movi iendelee

    • @shinatamar1492
      @shinatamar1492 7 років тому +2

      Ziliatan Humud umeona kumbe katafuta kivumbi akiona anasidia madawa huyo ajitafutia vikesi nachuki nawatu

    • @kigambontv9748
      @kigambontv9748 7 років тому +1

      shina tamar Eeeh apo kma kweli anasimamia haki ndio tutaona hapo mana kma mwaga mbogo manji anataka kumwaga ugali kazi juu ya kazi

    • @marryhancy5987
      @marryhancy5987 7 років тому

      we acha tuuu yetu m achooo

  • @allyhassani4978
    @allyhassani4978 7 років тому +4

    ur right bloody....mana kila mtu anahadhiyake sasa kuitwa kwa kashifa kama hiyo sidhan kama kunabusara....ilaa neenda ijuma then utafufia hakiyako

    • @aminalyoba6520
      @aminalyoba6520 7 років тому

      makonda komaa na hao wauza unga maana wanaaribu ndugu zetu

    • @aminalyoba6520
      @aminalyoba6520 7 років тому

      ondoka hata leo kwani wewe ukiondoka yanga ndio yanga itakuwa imekufa

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 років тому +8

    japo kiswahili ni kigum. lkn umeeleka kaka.

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому +22

    Mr.manji basi yaishe.kesho nenda msamehe baba.

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 років тому +1

    Intermission yaan kama movie la kihindi hahahahhaha #MANJI we nenda tu mkuu kama hakuna ushaidi wa kutosha basi dai haki yako ila #PAULMAKONDA mwacheni afanye kazi yake. Ahsante Millard kwa taarifa. #AYOTV

  • @Musa-wr8vk
    @Musa-wr8vk 7 років тому +17

    sijawahi kuona kiongozi mpumbavu kama makonda !

    • @alphonseisumba6326
      @alphonseisumba6326 7 років тому

      je vigogo wa chama hawapo au mizengwe?

    • @salehemkala7775
      @salehemkala7775 7 років тому

      Musa Msira wewe naona alija kugusa ndio mana unamlaumu makonda mimi naona sawa wawo wanasambaza sumu kwa watoto wa wenzao wanaona uzuri wacha waumbuke

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому +2

      Musa Msira bora ukuu wa mkoa apewe Harmolapa mpaka home atakuwa anafagia barabara as kariakoo so umeona anavomsaidia mpenzi wake home. MAKONDA NI HARMOLAPA KABISA

    • @goldendesertmrgolden5976
      @goldendesertmrgolden5976 7 років тому

      Salehe Mkala he? wewe ukitajwa kuwa umeiba Itakuwa? au kunautaratibu wakufwatwa eliejulikane kama kweri ww umeiba au laah kwahiyo huwezi kumtaja mtu kama anahusika nakitu furani wakati huna ushahidi watazania amukeni kuweni na akiri msipendekuamini kila kitu mnachosikia kunasheria na utaratibu

  • @godlema6104
    @godlema6104 3 роки тому +4

    tulioangalia video 2021 tujuane

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +10

    kama move vile part 2 sjui lin 😀😀😀 big up Makonda ita oteee bila kujar cheo yao ilimrad uwe unataarifa zao za kutosha hapa kaz tuuu

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 7 років тому +15

    Asaaaaaaante Imefika patamu

    • @ummyissa4622
      @ummyissa4622 7 років тому +1

      saaana😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

    • @rashidijulius6511
      @rashidijulius6511 7 років тому +10

      Rukia Hussein bado muvi inaendelea. usitoke kwenye tv

    • @winieramadan9857
      @winieramadan9857 7 років тому +2

      ummy issa mambo vpi mwaya😂😂😂😂😂😂

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +3

    Asanteee Ayo Tv 😀😀😀tunasubir part 2 ya kesho alaf kuna mwingne nae nasubir na alivyombish sipat jibu nn itakuwa😂😂😂

    • @mutuwetu8974
      @mutuwetu8974 7 років тому

      joyce michael love love yule ndio kichaa atamtaja had yeye kama alikuwa anauza halafu akaacha

    • @joycemichaellovelove2221
      @joycemichaellovelove2221 7 років тому

      #Mutu Wetu 😂😂😂😂😂

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому +2

      joyce michael love love GWjima huyo ndo mbishi yuko anakemea akifika polisi wote wataanza kuimba kesi kwisha.hapana chezea MUNGU wa Gwajima

    • @joycemichaellovelove2221
      @joycemichaellovelove2221 7 років тому

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 7 років тому +9

    kama napata hisia za huyu tajiri..... atavunja mtu taya........SHubaaamiti

  • @kibongobongo8950
    @kibongobongo8950 7 років тому +4

    Sijapata kusikia mtuhumiwa kuitwa katika media hali wanajua anapatikana wapi.

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 2 місяці тому +1

    Tatizo si nn manji ama wakonda wamesema tatizo ni jinsi gani wote walivo sema

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 років тому +1

    chakushangaza yeye kambiwa alipot ijumaa kwanini?? Yeye anataka kwenda Alhamisi je..... ukiambiwa ludi njoo kesho je?? Tuseme ataludi iyo ijumaa

  • @aminayasin2906
    @aminayasin2906 7 років тому +2

    fanya baba ametuchosha huyu ghabia asieelewa maana ya kaz yake kwnza yy ni mwndishi wa habar anaekaa kwnyw vyombo vya habar kuwadharirsha watu atumie cheo chake vizr na kwanza hii kaz c yake ni IGP yy kaz yk kuwapa muongozo mbona wengine anawachuku bila kuwatangaza acha zko we makonda fnya kaz ili uinufaishe nchi sio we upate ujiko

  • @halimasali.8081
    @halimasali.8081 7 років тому +3

    narusha jiwe gizani atakae sema yalaaaaaaaaaa limempataa!!nimekuelwa yusuph iko njia kweli yakuita watu na kuwahoji lakini sikutangaza watu public na huna uhakika nao......niko hapa lawyer wako....tukutane ijumaa police station

  • @bilalmatola2660
    @bilalmatola2660 7 років тому +1

    kuhusu kuwaita watu Na kuwahoji Makonda angewaita bila kutangaza kwenye vyombo vya habari
    alaf baada ya mahojiano Na wenye hatia kupatikana angetangaza lakin ivyo ni kutafuta Kiki kwa pombe
    unapomweka mtu mwenye carrier kubwa Na heshima Na kumtangaza kama suspect hata ukimkuta hana hatia tayar umeharibu carrier ya MTU
    wake up makonda work in silence success will make noise......

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 років тому +1

    MUNGU bariki tanzani MUNGU bariki viongozi wetu.hapa kazi tu.kwani kuna watu wapi?tanzania kwanini utajwe wewe?kasaidie porice upelelezi na kama unajifanya kesho unaenda hakuna shida nenda tu usisahau Dawa ya mbu😎pia watanzania wenzangu sio makonda anaetaja watu ni watanzania wenye uchungu na inchi yao ndio wanaofanya kazi ya kutoa ushirikiano na serikari kutokomeza janga hili la Dawa za kulevya

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 7 років тому +2

    hatukatai madawa yakulevi ni mapoya, lakini njia wanao itumia ni mboya. nikama hawakwanda shule .poleni wa tanzania.poleni kisomo kina saindia.

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 років тому +9

    Eee mungu kuwa kiongozi kwa hili zoezi maana ni mtihani kwa kweli

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 7 років тому +1

      Halima Mbwego AMEEN HASBIN ALLAH WANEMAL WAKILI........

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 7 років тому

      🙇🙇

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому +1

      Halima Mbwego hakuna cha mtihahani wala weekly test makonda anakurupuka sijui kalishwa nyama ya kasuku! ukiambiwa mmeo au mkeo anatembea n.a. fulani. chunguza upate ukweli. muite chumbani mueleze.ndio uite wazee kisha tangaza hadharani. anapotangaza majina.tayari kaharibu upelelezi.wataficha.hutowakamatamakonda sijui wamekulea vp. huyu mungu wako ni mungu wa lema n.a. mungu wa tundu lisu mdomo umewapeleka pabaya taratibu kakangu familia n.a. wazazi wanakutegemea ACHA KUWA UNAKURUPUKA UMELISHWA NINI?

    • @mutenyoshadia6093
      @mutenyoshadia6093 7 років тому

      +Renalda Kamugisha Zeramula Kemil yaan majanga me napita tu

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 років тому +1

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe kumbe kuleta dawa au dawa za kulevya sio bali kuwaita ndo kosa,pili makonda lengo lake ni zuri ni kumaliza dawa za kulevya sio kujaza gereza

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 7 років тому +1

    kesho watakulaza Ndani hii ni serikali ya magufuli sio serikali ya pesa MKUU wa mkoa ni rais wa mkoa anayomamlaka ya kukuita anavyotaka uko ndani ya mkoa wake ..tutajua wewe na pesa na makonda na serikali nani zaidi kesho

    • @evelinemassam3378
      @evelinemassam3378 7 років тому +2

      chris massawe Serikali ufuata sheria ndo maana ukivunja sheria ya nchi kunahatua zinaweza chukuliwa juu yako."Democracy iko wapi?..Ukisema ivyo unakosea..Siyo kuwa Serikali ikisema jambo hatakama Ukijua hatua kamili zakisheria haijafuatwa ati nisahihi.Hapana.Ikitumika nguvu au ubabe nj kutumia madaraka au cheo ulicho nacho na bila kufuata utaratibu uliowekwa kisheria basi utakuwa niudictator. Serikali yeyote iyonaendana kinyume na haki zabinadamu na isiyo fuata sheria zake za nchi yake yenyewe iko kwenye risk ya kuhalibu uchumi wake(hasa kwa nchi jirani na za kimataifa) na pia hata raia wa nchi wanawezakukosa amani na nchi yao na hivyo kushindwa kutoa ushirikiano unafaa hasa katika mikakati yakutatua maswala fulani yakuletamaendeleo.Hivyo natuzidi kuombea nchi zetu na za wenzetu. Imani itawale.

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 років тому

      chris massawe kuna siri kubwa

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 років тому

      Eveline Massam kwani madawa yanaingia kwa kufata sheria au

    • @leonardwangilisasi1145
      @leonardwangilisasi1145 7 років тому

      YANI HILI NDO PUMBAFU KABISA..HIVI UMEELEWA ALICHOSEMA?

    • @tibubandar413
      @tibubandar413 7 років тому

      chris massawe haunazo

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 років тому +2

    kweli makonda unataka kujiaminisha kwa rais upewe uwazir umeijia kwa pupa mjomba au kwavile umetoka kwenye familia ya kimasikini sana sasa unaparamia tu

    • @moredevidi1470
      @moredevidi1470 7 років тому

      Hapa issue ni manji na tuhuma za mihadarati na si yanga na mihadarati..acha hasira au amekuchoma patamu...hapa kazi tu!

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 років тому +2

      Shuweha Omar acha povu ilo kuwen na akili co kisa manji anapesa ndo asiwe na kosa kwa sababu ya pesa zake wakitajwa wanyonge mnalalamikaa wakitajwa hao badonaongeaa watanzania tutaishia kuabudu matajir mpaka kiyama kitukutee

    • @shuwehaomar6658
      @shuwehaomar6658 7 років тому

      Arafa Ngalawa pumbavu sana

    • @shuwehaomar6658
      @shuwehaomar6658 7 років тому

      More Devidi kazi kwa babaako

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 років тому +1

    Mzee ile ni serikali wewe nenda tuu na matusi yatakuponza ww umeshika kwenye makili mwenzio kashika mpini hahahah

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +1

      CHONDE CHONDE/ AMANI JAMANI AMANI KWENYE NCHI YETU YA TZ/ WEE NENDA TU" GWAJIMA PIA MTAFAHAMIANA HUKO HUKO

  • @officialdullastar1070
    @officialdullastar1070 7 років тому +2

    Jamaa kasoma sio mjinga kupelekwa pelekwa tu. Anajua haki yake akuna ubabe

  • @fredrickaloyce7137
    @fredrickaloyce7137 7 років тому +1

    kwann wengine hawajaongea?kina mboe mbona wametulia tu..mi nnacho hisi huyu jamaa anatumia vyombo tu...Ukweli unauma..

  • @gmziwandanation555
    @gmziwandanation555 7 років тому +2

    weweee kama unauza madawa unauza 2 asa kumbe mlitaka mnyamaziwe au acheni zenu nyie😂😂😂😂😂

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 7 років тому +11

    sio shabiki wa Yanga lakini kwa hili makonda ajiangalie

    • @saimonimloka4221
      @saimonimloka4221 7 років тому +3

      Jane Edward Mwangomba kuna style yakuita watu na kuwafanyia uchunguzi,lkn siyo kuwazalilisha watu

    • @oscar.osward.8128
      @oscar.osward.8128 7 років тому

      Saimoni Mloka

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому +1

    hahahaa hahaaaa makonda mbele kwa mbele. hakuna kuangalia rika, rangi, cheo, wala tajiri, wala masikini. mtu kama anachafua mazingira ya nchi tumbua.

  • @kfastak
    @kfastak 7 років тому +3

    Manji Kwanza hataki ukaka na Mh.Makonda kabisaa. kuda da da daaa dekii

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 років тому +1

    kwenye makosa hakuangalii wewe ni nani kwanza binadamu wt ni sawa kwani we man hi nani au kwakua tajili ila tambua kwa mungu hakuna matabaka wewe ni raia kama wengne acha kujikweza na kujiona wewe ni mbora nenda baba itikia wito acha porojo

  • @officialmologa
    @officialmologa 7 років тому +3

    nasomaga comment za watanzania wenzangu baadhi zinasikitisha sana. Najua hatuna elimu na mfumo bora basi angalau tusome sana akili zifunguke kupitia kiwango cha elim tuliyo nayo,watu wanacomment hoja za ajabu ajabu kwenye masuala makini ,naombeni tusome kama hatujapata nafasi kusoma basi tuhimize watoto wetu kusoma ili angalau fikra zifunguke katika kujenga hoja

  • @alinotistiven3204
    @alinotistiven3204 7 років тому +4

    Makonda Ame vuka mipaka sasa

  • @kibibifaraji8440
    @kibibifaraji8440 7 років тому +11

    kweli manji alivyosema njia aliyotumia sio sahii yakuwataja watu kwenye tv bila ushaidi wowte ul kam vanessa amemwalibia mtoto wa watu jina kwakweli bila kithibitosho choche yani manji amnyooshe uyu Mr misifa

    • @athanaselisha1617
      @athanaselisha1617 7 років тому

      Kibibi Faraji hizo njia za kimnya kimnya zilifeli ngoja watajwe tu na liwalo na liwe sasa.

    • @estherwangare9759
      @estherwangare9759 7 років тому

      Kibibi Faraji yeah hata nchi zingine zitakataa kufanya kazi nao...wema anavutia wengi na movie na shepu yake...V money katoto kazuri na venye kanaleta heshima tz juu ya mzikii saizi amerudishwa nyuma

    • @kibibifaraji8440
      @kibibifaraji8440 7 років тому

      athanas elisha my dear angewaita tu unavyomtaja mtu kwenye video all Word wanangalia kwa sabb anakithibitisho ambacho amewakuta nacho anafanya vitu kam ameishia lasaba

    • @fafi9092
      @fafi9092 7 років тому +3

      Kibibi Faraji Ushahid upo wanaukamatwa zaid ya kumi wanataja manji mbona awakutaja diamond achen kutete ujinga bn

    • @jecktonenashon9555
      @jecktonenashon9555 7 років тому +1

      mmmh

  • @Villagekidtz
    @Villagekidtz 7 років тому

    wewe manji chizi. pesa zako unajiona bora. usiitwe kama nani? kwani hao walioitwa sio watu.
    jinsi unavyojibu tu ni moja kwa moja unahusika na madawa. unataka kujikinga na kimvuri cha yanga. unazungumzia yanga wakati hatuzungumzii timu

    • @tinnomdete4841
      @tinnomdete4841 7 років тому

      mbona nae makonda anajiona cheo chake bora kuna maisha baada ya ukuu wa mkoa au mtumishi wa serikali hivi ikitokea kapigwa chini ukuu wa mkoa sielewi elewi hii move huko nje itakuwaje,kwanza hanaitajika kuhojiwa na bunge huyo makonda

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому +1

    hapa hakuna umri, hakuna yanga, hakuna cha mwenyekiti. wewe nenda kituoni katoe ushirikiano. halafu hiyo mambo yakumuita mtu mpumbavu utajua huko huko

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 7 років тому +2

    Hahaaa.... Yusuph bna.... Kiswahil kinasumbua lakini naona kabisa kuwa jamaa ka mind kichiz... 😁😁✌. Usiwaze bruh... Yanga wako bega na ww.. 👏👏

  • @mussaameir8715
    @mussaameir8715 7 років тому +10

    mbona kiburi huyu mdosi, makonda pls kesho akija mueke ndani Mpaka ijumaa aheshimu serikali

  • @juliusfrancis6586
    @juliusfrancis6586 7 років тому +3

    safi sana manji

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 років тому +1

    hapo makonda kafanya makosa makubwa.

  • @samirymickdady8131
    @samirymickdady8131 7 років тому

    sizon sasa imefikia patam episode ya 3 sijui itakuwaje 😁😁😁😁😁 MA 🚌🚌🚌 kayakanyaga kwa watengeneza 💰 💰 💰

  • @getrudehumprey8128
    @getrudehumprey8128 7 років тому +2

    makonda bhn utaacha watu wakumeze 😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁

  • @kenyomarion5605
    @kenyomarion5605 7 років тому +5

    😁😁😁😁😁😁 nasubiria majibu ya Gwajima, najua atajibu kwa niaba ya hao wengine 64...

  • @edithas.s.3079
    @edithas.s.3079 7 років тому +1

    sheria ichukue mkondo wake kama itamkuta na kosa manji.

  • @kitindifredy9436
    @kitindifredy9436 7 років тому +7

    Ukiona mtu analalamika sana ujue umemgusa ww nenda tu kaitike bos wetu

  • @sumaritvonline4674
    @sumaritvonline4674 5 років тому +1

    This man what is saying is automatically truth, you can't publicize someone's summon its very unfair

  • @happyjulius8893
    @happyjulius8893 7 років тому +2

    baba kaongea kitu cha kwel kabisa

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 7 років тому +1

    You are talking rubbish, sijaona jambo la maana hata moja, yaani wewe unataka uitwe ki-VIP or what..? kwan wewe nani..! Mkuu wa Mkoa sio mjinga mbona hajamtaja mwingine. Ebu enda kajibu huko nyani wewe..hii mijitu meupe iko na ubaguzi sana,inamaana anataka anyenyekewe kisa mtu mkubwa. Stupid 😠😒😏

    • @TheTanzanitepure
      @TheTanzanitepure 7 років тому

      david kishiwa wewe ndio mbaguzi , mweupe , mweusi , kijani , blue wote mmetoka kwa Adam s.a na hawa

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 років тому +7

    ni Tanzania tu ambapo wauza madawa huwa wanatakiwa waende kituoni mwenyewe

  • @charitythegolden729
    @charitythegolden729 7 років тому +3

    Makonda doesn't know that intelligence overloads intelligent to the downfall

  • @sadiissa8059
    @sadiissa8059 7 років тому +1

    manji usijitee kabul nenda kajitee mbele ya serekali weulita ufwatw nyumban au huwez pingana na sereka hata siku moja

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 7 років тому +1

    nenda Polisi ijumaa
    acha ujingaujinga unatukana serikali.....Polisi akija kesho asitoke mpaka ijumaa

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 років тому +1

    makonda muacheni afanye kazi yake kwani jmn tulikua hatuoni watu walivyokuwa wanakula unga mpaka vituo vya daladala but katazame asa hivi mateja wamefyata na hao maboss wao ndio nawaombea muheshimiwa makonda aendelee kuwataja hivo hivo tuwajue tiwe na tahadhari nao maana haina maana wee kwa faida za watu wachache wengi wanaharibikiwa ndio nini !!!! makonda watajeeeeeeeeeee

  • @sambae925
    @sambae925 7 років тому +1

    usilete uyanga hapa hakuna mpira ni madawa yanaongelewa nenda kaisaidie serikari mnatuharibia ndugu zetu alafu mnataka msihaibishwe

  • @fredricksindano9970
    @fredricksindano9970 7 років тому +1

    hivi,,manji kakamatwa yeye kama yeye au kama mwenyekiti wa yanga? yeye akubali tu,serikali sio yanga

  • @obeymbena2394
    @obeymbena2394 7 років тому +1

    ulitaka aitwe nani pesa zako ni zako umetajwa nenda acha kumuita makonda mjinga heshima yako unataka uipeleke na serikarini naombaa sana wasi kukute

  • @kasimumahovyo8024
    @kasimumahovyo8024 7 років тому +3

    kaz ipo kwel kwel, hapa kaz 2

  • @obeymbena2394
    @obeymbena2394 7 років тому +5

    makonda ana akilli ukitaka akuogope au vp wenzio walio fika hahahahahahahhaha yani serikari ifuate ratiba zako kweli we empty { }

  • @ayoubrogath4297
    @ayoubrogath4297 7 років тому

    Ni upumbavu eeeeeh vijana kuaharibika mtaani unaona ni upumbavu watu wanafanya.. We nenda acha kelele zako. Kama haijawahi tokea imetokea sasa😏

  • @officialmbeyaone3572
    @officialmbeyaone3572 7 років тому

    kinachoniuma ni manji kujifanya kamayeye nimungu mpaka anamtukana MKUU wamkoa anachosema manji sawasawa nakusema Tanzania iponfukonimwake miminingekuwa raisi magu ninge amuru akaendani siku7 arafu atafute nchiyake aende akaishiuko Tanzania yeye nimkimbizi

  • @eliaskana8513
    @eliaskana8513 7 років тому +3

    hiii ndo kiboko ya makonda ngoja tusubil mchezo utakuaje

    • @alphonseisumba6326
      @alphonseisumba6326 7 років тому +1

      mkuu kakurupuka kama una ushahidi kamata mwizi sikumwomba atapoteza ushahidi

    • @mawazoselemani614
      @mawazoselemani614 7 років тому

      Alphonse Isumba .watanzania

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому

    Hekima hekima hekima. Mungu tubariki Watoto wa Tz

  • @issasuleiman9198
    @issasuleiman9198 7 років тому +1

    mashehe mpaka leo wako ndani wanatseka tena niwashtakiwa Wa kesi iso naushahidi nataka nimuone nahuyo gwajima akiwekwa ndani kama kweli kuna haki lkn naamini hata kama watamkuta nahatia wahayo madawa bc patapita figisufigisu nawala hatofanywa chochote

  • @semysemy4218
    @semysemy4218 7 років тому

    Uyo Makonda mpumbavu sana! Kuna njia zakuitisha watu Police, siyo kwenye vyombo vya habari. Duh, siasa za kiswahili bwana! Ujinga mtupa

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 7 років тому

    This guy! Mbona ana nyodo mno? Very arrogant.Just obey the summons,and instruct your lawyers to hold brief for you.

  • @mariamjuma8038
    @mariamjuma8038 7 років тому

    manji uko sawa hebu tutafakari hivi vyombo vya habari kabla ya ushahid na uhakika utamtangazaje MTU pia anasema aende kutoa msaada msaada gani huo wakutangazana vyombo vya habari hebu serikali iliangalie hili swala na utafiti wa kuwakamata hawa watu

  • @abelmirwatu19
    @abelmirwatu19 7 років тому +1

    Ninavyo helewa mimi duniani kote wauza unga siyo watu maarufu, kwa sababu wakijulikana ni rahisi kukamatwa siyo watu wamitandao nikama kaka kuona vile maisha yao jinsi walivyo..Mna mjua mwana music wa rap duniani Curtis jackson or 50 cen't alikua muuza unga mzuri sanaa alipo toka ktk lile genge walitaka kumuua na walimpiga risasi 9, lakini akapona kipindi hicho alikuwa siyo maarufu alipo pona ndiyo akaanza biashara ya music dunia nzima leo ina mjua. Kwaiyo hili swala si jepesi tushilikiane na raisi wetu kutokomeza madawa ya kulevya ndg zangu.

  • @mimifulani948
    @mimifulani948 7 років тому +2

    apo kwenyew kama kalewa manina unatumia bana hakuna cha mkubwa wala mdogo umekunywa nn sasa mbona umezubaaa hivo

    • @bintirashidantybaby8146
      @bintirashidantybaby8146 7 років тому +1

      SOFY OMARY hahahahahaha amekunywa dawa ya kichwa

    • @mustyhassan1733
      @mustyhassan1733 7 років тому

      SOFT OMARY .suala la kumtuhumu mtu sio kwa media.mpk uthibitisho upatikane.n kumchafua mtu

    • @devothayun1586
      @devothayun1586 7 років тому

      Manji unapiga mikelele sana Itika wito weweee Hela kitu gani bwege weee

  • @phiniasoyugi4850
    @phiniasoyugi4850 7 років тому +1

    bwana manji yamkini hakumuerewa mkuu wa mkoa mkuu wa mkoa alisema niwatumiwa

  • @reyph1700
    @reyph1700 7 років тому +13

    makonda kashika pabaya sasa ana kulupuka kama kanywa viloba sasa
    kazi kesho kwa gwajima

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому

      Rey Ph -Ndugu sipati picha kwa kweli

    • @arafangalawa2860
      @arafangalawa2860 7 років тому +2

      kakurupuka kwalipi kwani manji yy ni nanii yanga Yahusu nn apo aende akajibu huko hapo c polis aliwataja wasanii mkalalama ss kawataja na wakubwa tena mnasema afanye lipi mtaloona jemaaa makondaa tumbuaaa

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 7 років тому +5

      Walisema mbona wakubwa hamuwataji... Haya sasa wakubwa wenyewe hao hapo... Kazi ipo.. Eee mungu simamia vema zoezi hili kwa usalama na amani

    • @obeymbena2394
      @obeymbena2394 7 років тому

      Rey Ph anajua anacho kifanya

  • @hythamjamal8981
    @hythamjamal8981 7 років тому +2

    Manji yuko wrt kabisaVery gud

  • @haidarimsigwa1833
    @haidarimsigwa1833 7 років тому +1

    Everything has its way of handling. If you think ur above the law since ur a leader then ur wrong and u r not feet to be a leader. Even if what ur doing is right and has good benefit to the community umless u do it rihgt then its not right it is wrong as what ur trying to correct. Lets learn how to respect people and there rights and by respecting the rull of law.

  • @naghalatiabdull8448
    @naghalatiabdull8448 7 років тому

    Ujuwe unachokiongeya apozarauhatutaki Sawa makonda fanyakazi usituletehabarizayanga walasimba

  • @naghalatiabdull8448
    @naghalatiabdull8448 7 років тому

    Ujuwe unachokiongeya apozarauhatutaki Sawa makonda fanyakazi usituletehabarizayanga walasimba

  • @babuuclassic
    @babuuclassic 7 років тому +2

    Makonda amezidi aisee

  • @Mkrist
    @Mkrist 7 років тому

    Wewe ni nani mpaka ujifanye gingi? Potelea mbali. Yanga ni nini? Hata ma rais wa nchi wanashtakiwa tuache wewe. Hakuna aliye juu ya sheria. Wapo matajiri wenye mabilioni ya dala wanaojulikana dunia nzima ambao hadi sasa wamo jela kwa kutumia hayo madawa ya kulevya. Katazame 'El Chapo' Guzman upate taarifa.

  • @shabanijuma9478
    @shabanijuma9478 7 років тому

    Lisemwalo lipo bhana.....ukijihisi ujue umooo....makonda anasema anaoushahidi tosha.....acha maneno bhana nenda police

  • @immanimuyanda659
    @immanimuyanda659 7 років тому +1

    mbona unaongelea yanga mkuu ijumaa CIO mbali subili acha kigugumizi

  • @almasjuma6872
    @almasjuma6872 3 роки тому

    Ngoja akunyooshe.naalikunyoosha unaombwa wewenani? achautoto yanga yanga nini subiriuchapwe

  • @jeremiahsiafu1698
    @jeremiahsiafu1698 7 років тому +1

    manji mboyoyo za nn? fka kwenye msumeno ukakatwe katwe tu,

  • @homeboy6004
    @homeboy6004 7 років тому +2

    sheria 0% bongo so sad 👎