HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Leo December 9 2017 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma

КОМЕНТАРІ • 302

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 роки тому +23

    Utadumu moyoni mwangu, ninalia tu 😭😭😭😭😭

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 6 років тому +19

    Yani kwa,hili la Babu seya, mzee Hongera, sana, yani dah asante

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 6 років тому +25

    His so dope I wish Kenya we had such a man:

  • @peterpet8319
    @peterpet8319 6 років тому +14

    JPM umefanya nipate mduwao mkubwa. Hakika moyo wangu umefurahi nikatamani ungekuwa unaweza kufikika nikupe mkono. What a decision Mr President JPM. God Bless you! Hongera Nguza Viking

  • @dastanherman.kingdicetv1840
    @dastanherman.kingdicetv1840 6 років тому +14

    yaani we magufuri umefanya nihamie ccm direct bila chenga mungu akulinde baba

  • @jerusalemtz8924
    @jerusalemtz8924 6 років тому +9

    Yan mpaka machoz yananitoka.....what kind of president are u magufuli.....! God bless u sana! Kwa hili la babu Seya! Mungu akuinue! I fail believing t right now, naona kama nadream hv!😢

  • @godlovedonkoli6050
    @godlovedonkoli6050 Рік тому +6

    R.I.P JPM Hakika nakuombea kwa Mungu nawe dhambi zako zote zisamehewe hakuna binadamu mkamilifu.

  • @egmnation9926
    @egmnation9926 6 років тому +13

    mungu akulinde rais wangu mzalendo katika viongoz wote

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 років тому +6

    God is Great....God Bless You Honourable John Pombe Joseph Magufuli....Hatimaye yamekua wamekua huru...am so happy Papii alienda jela akiwa kijana mdogo sana na familia yake..Jesus is Answer

  • @jackygaucho8774
    @jackygaucho8774 Рік тому +7

    Pumzka kwa Amani 🙏,Nakukumbuka sanaa Magufuli😥😥😥😥

  • @spaice995
    @spaice995 6 років тому +11

    Haya machozi sijui ya furaha maana yamenitoka tu now can see how people's tulisubir hiki kitu kwa hamu MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU BARIK RAIS WETU

    • @emilianatemba4178
      @emilianatemba4178 6 років тому

      Jamani raisi wangu mungu hakulinde hubaki ikulu tu hukiondoka wanyonge tumekwisha jamani tufunge na tumuombe raising wetu

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 6 років тому

      spaice Johnny yaan daah

  • @SelemaniRingia
    @SelemaniRingia 6 місяців тому +9

    Hatuwezi kupata mwamba kama wewe baba wa Taifa wa kweli JP Magufuli🎉🎉🎉 Mungu akusamehee na wewe mazambi yako yoteee ya duniani baba na Kila anayekubaliana na Mimi alike statement hiiii Amina 💪🔥🔥🔥🔥♥️❤️💗💞💞💕💓

    • @wardamarungu2478
      @wardamarungu2478 5 місяців тому +2

      Hakika hatuwezi yni kama ni ndoto tuamkee😢😢

  • @winndelule2302
    @winndelule2302 6 років тому +7

    Nakupnda rais wangu. .....am speechless. ...nlivyoona hiyo habar nilisisimka. .dar kwangu mim baada ya nyerer ni wew. ....God bless u alwayz. .acha wakuseme 2 lakin deep inside we know that u r so gud 2 us

  • @fahariyangu2782
    @fahariyangu2782 6 років тому +10

    MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 6 років тому +7

    Oooh thank you Lord Mungu amubariki sana baba raisi 💝💝💝💝💝💝💝

  • @frankkashner
    @frankkashner 6 років тому +8

    Raisi Mungu akubariki nimelia hawa watu hawana hatia

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 6 років тому +10

    _BREAKING NEWS_
    *Babu Seya kapigwa na butwaa baada ya kuambiwa Mbowe na Lipumba bado wenyeviti kwenye vyama vyao*😀😀😅😜

    • @ndapwatv6600
      @ndapwatv6600 6 років тому

      Burton Jorde 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @catherinecharles932
      @catherinecharles932 6 років тому

      Burton Jorde hajazimia kweli kusikiA bdo wapo

    • @brownjaffaly1172
      @brownjaffaly1172 5 років тому

      😂😂😂😂😂

  • @eppamsa2
    @eppamsa2 6 років тому +7

    Big up rais wangu, MUNGU akupe nguvu siku zote na daima, uendelee kutawala namna hii kwa busara. Nakuombea Sana. "Mamlaka ya shetani juu yako yashindwe katika jina la YESU! Amen"

  • @salamamohamed9519
    @salamamohamed9519 6 років тому +5

    A L H A M D U L I L L A H👏👏👏
    Mungu ni mwema jaman
    Asante Rais wa wanyonge umegusa miyo ya watanzani na kuwajaza fraha na Aman kwa cku ya Leo kuwatoa hawa viumbe wa mungu ktk adhabu walokuwa wanatumikia kwa muda mlefu kwani hata Mungu anasamehe MUNGU AKUBARIKI SN MH. RAIS WETU leo ni cku ya furah kwa watanzania walio wengi

  • @innocentngogolo212
    @innocentngogolo212 6 років тому +12

    magufuli ni zaidi ya rais mungu akupe maisha marefu duniani.

  • @cvanocharles6001
    @cvanocharles6001 6 років тому +8

    Rais wangu Leo umenifanya nimeshiba bila kula kwa kusamehe na kuwa achia huru wafungwa hasa wa mda mrefu Mungu Akubariki akupe maisha marefu

  • @johndavif1729
    @johndavif1729 6 років тому +8

    hongera sana baba kwa busara zako mungu akupe maisha mrefu

  • @happysilyvester1712
    @happysilyvester1712 6 років тому +5

    Katika siku uliyonifurahisha mzee wangu ni leo kuwasamehe hao wafungwa haswa babu seya na papii kocha dah ubarikiwe baba umefanya vyema..

  • @morismosses788
    @morismosses788 6 років тому +8

    We jamaa nilikuw sikupendi lakini kuanzia sasa unakuwa rais kipenzi changu na 2020 kura yangu nitakupa kabisaaa

    • @lascoshirima9202
      @lascoshirima9202 6 років тому

      Nimekukubali rais 2020 kura yangu nakupa kweli ww ni mzalendo

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +6

    Mungu akupe umri mrefu my president👏👏👏👏

  • @greydimpoz5425
    @greydimpoz5425 6 років тому +6

    Miaka mia mzee umefanya jambo la msing sana

  • @patricmwakapalila7301
    @patricmwakapalila7301 6 років тому +3

    Du! mkuu, katika hili ulilolofanya limekufanya upae juu zaid,,,!! umewafurahisha wa TZ,,,!!

  • @jaksonmakorere2521
    @jaksonmakorere2521 6 років тому +4

    My president u make me to belief ur vision n mission asante sana mh.Mungu akupe maisha marefu

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 Рік тому +3

    Rest in peace JPM

  • @tanzanianews1004
    @tanzanianews1004 6 років тому

    MAGUFULI - IKIWEZEKANA ZIFUNGWE KAMPUNI ZA SIMU NA MABENKI Ambayo Hayatapokea Malipo Kielektroniki
    SUBSCRIBE ua-cam.com/channels/4XnpdqNzd3f1wQroPl2Arg.html

  • @omarymkombozi23
    @omarymkombozi23 6 років тому +10

    Magufuli , endelea kuwa Rais mpaka nikwambie inatosha ...
    Maana hata sioni umuhimu wa uchaguzi 2020 ....

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 6 років тому

      Omary Mkombozi semaaa kaka ommy

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 6 років тому

      Utachefua watu Hahaha kuna watu hawajawah kumsifia JPM ata afanye mema gan, haina haja ya kufanya kampen 2020 tutakwambia upumzke pale tutakapopenda watanzania

    • @jimmymwandenuka8690
      @jimmymwandenuka8690 6 років тому

      hawa wanacheza na akili zetu bro kama unaupeo mfupi huwezi elewa nn wanamaanisha so fikiria kwanza nn kinaendelea nyuma yake zen uwe #mzalendo

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 9 місяців тому +1

    Upumzike kwa amani magu😢😢😢

  • @HusseinManji-l3x
    @HusseinManji-l3x 2 місяці тому +1

    Jpm ungekua bado upo hai Tanzania ingekua mbali sana mungu akusamehe Dhambi zako

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 років тому +5

    dah roho wa mungu aendelee kua juu yako raisi wetu jpm uwe furaha yakila mmoja raisi wetu umri unaompendeza mungu uongezewe my jpm ww ndiwe tuliyekuomba uzaliliwe tz

  • @tembasimba9462
    @tembasimba9462 6 років тому +4

    Hakya Mungu tumepata rais tuliekua tunamtaka, Mungu akupe maisha marefu babaaaa

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 3 місяці тому +1

    Pumzika Champion 😢

  • @emmanueljohn5011
    @emmanueljohn5011 6 років тому +2

    HSANET MZEE BABA KWAKWELI UMENIKOSHA MTIMA WANGU , SASA UYO MZEE WA WTU MIAKA 42 NDANI YA JERA DAAAH MUNGU AZIDI KUKUPIGANIA RAIS WETU

  • @muddyyt9306
    @muddyyt9306 6 років тому

    Habari kamili juu ya Samaki Mtu avuliwa bahari ya Hindi bofya hapa 👉 ua-cam.com/video/bLavYv42PZc/v-deo.html

  • @elishaalex1747
    @elishaalex1747 6 років тому +2

    MUNGU AKUBARIK JPY KWA MARA YA KWANZA LEO NIMEKUSIFIA ASEE

    • @sakinandoile9439
      @sakinandoile9439 6 років тому +1

      elisha alex 😂😂😂😂 mwenyewe leo kanigusa kweli kwa mara ya kwanza

    • @elishaalex1747
      @elishaalex1747 6 років тому

      Sakina Ndoile ila huyu mzee mtata sanaa aise

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 2 роки тому +2

    Nitakupenda milele Magufuli wangu

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 років тому +1

    Magufuli..wahurumie na hao..masheikh..mungu atakulipa

  • @tammysalum5475
    @tammysalum5475 6 років тому +3

    Mungu n mwema kwa kila jambo,hakuna aliyemkamilifu,yote n hero za Mungu,jina lake litukuzwe

  • @chatoonline9352
    @chatoonline9352 6 років тому +4

    wewe nizaidi ya raisi wewe ni nabiii

  • @alialle6441
    @alialle6441 6 років тому +4

    Mungu ni mwema sana! Tumpe utukufu wake!

  • @nazmaabdul949
    @nazmaabdul949 6 років тому +5

    Magu ubarikiwe babab

  • @clevermakundi2022
    @clevermakundi2022 6 років тому +2

    Hakika rais w umetoka mikonon mwa mungu kira wakat ntaomba dua kwa mungu il akufanikishe kwa kira uriwazalo barikiwa sana rais wang jpm mungu aubalik uzao wako na ww na mama janeth AMINA

  • @mtumweusi5649
    @mtumweusi5649 6 років тому +2

    MUNGU MKUBWA
    HAKIKA MAOMBI YA WALIOWENGI YAMEJIBIWA
    TUWAKARIBISHE NA KUJUMUIKA NAO KATIKA KULIJENGA TAIFA.

  • @TanzaniaTrendTV
    @TanzaniaTrendTV 6 років тому +2

    ua-cam.com/video/lsDrNX07qDU/v-deo.html
    Angalia watu walivoshangilia kuachiwa kwa Babu seya..Bofya picha

    • @bobd2990
      @bobd2990 6 років тому

      Tanzania Trend TV show you

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 6 років тому +2

    ad mwili umenisisimka hakika wakati wa Mungu ukifika hakuna awezaye pinga!!!! karibun uraian ndugu zetu!! japo maisha magumu karibun tupambane pamoja!!! mje mumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu

    • @sarakaghembe3097
      @sarakaghembe3097 6 років тому +1

      giovanny gracious amen amen amen...Mungu na ahimidiwe.

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 6 років тому +1

    MILLARD AYO BONYEZA PICHA IO KUCHEKI VIDEO KALII.

    • @khadijaramadhani4700
      @khadijaramadhani4700 6 років тому

      safi
      Sana kumuachia
      babu
      Seya
      bigup
      my Rais

    • @mickynessmnzava1166
      @mickynessmnzava1166 6 років тому

      kwa kweli nimelia sana kwa furaha mungu ni mwema kila wakati.mungu akupe maisha marefu baba rais wetu

    • @beatricenicholausiwasa7601
      @beatricenicholausiwasa7601 6 років тому

      magufuli baba wewe ni rais uliye teuliwa na mungu akupenda sana rais wangu

  • @upendosanga3328
    @upendosanga3328 6 років тому +4

    asante mkuu

  • @gidionsukuru4421
    @gidionsukuru4421 6 років тому +3

    Umefanya mzee nikuamini kwa asilimia 2 keep up mzee

  • @mallyaeditha694
    @mallyaeditha694 6 років тому +3

    nimefurah sana jamani mungu akubariki Rais wangu

  • @stephenchenga4028
    @stephenchenga4028 6 років тому +1

    magufuli rais wangu namba moja ingawa maisha yngu hapa mjini magumu lkn ya wazazi wangu kule kijijini mazuri...nilimpa kura yngu 2015 na ntampa tena hata akigombea awamu 10 cuz NO prezoo like him....like if u agree

  • @fadhilasaidlukas7543
    @fadhilasaidlukas7543 6 років тому +3

    Hongera Sana mh rais hakika ww ni rais shujaa

    • @ashuraiddy8345
      @ashuraiddy8345 6 років тому

      kweli raisi magufuli wewe nirahisi unaefaa kuongoza nchi hongera sana kwakuwa samehe ndugu zetu nakuwaachia huru aswa kwababu seya napapikocha mungu akuzidishie miaka yote kiukweli nimejawa na furaha mpaka machozi yafuraha yameni bubujika kuona papikocha nababayake wako huru. mungu akulinde Raisi wetu Joni Josef pombe magufuri.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 6 років тому +7

    Cmkubaligi Raisi ila leo umetenda haki kwa hao wafungwa, aswa mzee nguza na mwanae

    • @tukeimalinga1548
      @tukeimalinga1548 6 років тому

      Tracy Justice hata SAA mbovu kuna wakati husema ukweli. Mpende pale anakugusa kwani yy cyo malaika akupendeze SAA zote

    • @tracyjustice1600
      @tracyjustice1600 6 років тому

      2k Malisasi c ndivyo niliyosema kuwa ametenda haki au ulikuwa unataka nisemeje? Maana kiswahili kigumu unifundishe ndugu yangu labda cjatumia kiswahili kizuri

    • @jimmymwandenuka8690
      @jimmymwandenuka8690 6 років тому +2

      hiii mbinu ya mchezo mnyonge huwezi elewaaaa

    • @bahsanyare6907
      @bahsanyare6907 6 років тому

      Wooow

  • @zarkleon2511
    @zarkleon2511 6 років тому +7

    Nahamia CCM kuunga mkono juhud za Rais

  • @jamesm.darnes640
    @jamesm.darnes640 6 років тому +1

    Hivi wanaohamia ccm kumuunga mkono jpm wamekosea nini, huyu ndo rais bwana

  • @felisterdavid3608
    @felisterdavid3608 6 років тому +4

    Ahsant jaman nimelia adi jaman

  • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
    @ANTHONY.V.I.Ptanzania 5 місяців тому

    Wametajwa wengi kisamehewa ila haki yamtu hua haipotei.walipotajwa babu sea umati umeshangilia

  • @beatricemveyange1156
    @beatricemveyange1156 6 років тому +3

    kwahapo baba nimeuona uzalendo wako mungu akubariki sana

  • @ibrahimlatif1917
    @ibrahimlatif1917 6 років тому +2

    Mashehe tunategemea Inshaallah kwa uwezo wa Allah nao watasamehewa siku ya uhuru wa Znz.

    • @sakinandoile9439
      @sakinandoile9439 6 років тому +1

      Ibrahim Latif Allah kareem Inshaallah wataachiwa huru

    • @hazjay4671
      @hazjay4671 6 років тому +1

      #InShaaAllah!!

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 6 років тому +1

    Gerezani ni #MAFUNZONI, naamini kwa muda waliokaa hao wafungwa wote watakuwa wamesha jifunza, #MUNGU akubariki RAISI kwa kuwapa msamaha,naamini kwa hili watu wengi watazidi KUKUAMINI.

  • @maisha2207
    @maisha2207 6 років тому +2

    Wallah itapendeza zaid wakiachiwa na mashehe wa uamsho

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 6 років тому +2

    Kweli raisi wetu umeonesha moyo wakiume na mungu akulinde katika kutetea haki za wanyonge

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 роки тому +1

    Magufuli baba nikikutafakari sana nakuta machozi yananitoka..machozi ya shukurani kwa Mungu kutupa baba kama wewe ambae umekubali Mungu akutumie kama chombo hapa duniani..tutakuwa wote paradise siku ya mwisho.

  • @japharymzulu5678
    @japharymzulu5678 6 років тому

    nilikuwa na subiria Kusikia jina la lulu jaman daaaaah haikuwa raisi kumbe.......

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 років тому +5

    yan imeniliza tujifunizen kusamehe mungu atusamehe na sisi

    • @abuhurayrah3465
      @abuhurayrah3465 6 років тому

      me pia mpk chozi limenitoka automatic kulizuia sikuweza mungu akuongoze mr. president

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 6 років тому +2

    Hiyo ndio faida ya upinzani ssa najua maccm yatapingana na mimi ikumbukwe kwamba waliopaza sauti juu ya babu sea kuachiwa na sasa ikumbukwe pia barua aliyoandika papii iliyokuwa imejaa majonzi ilipostiwa na wapinzani tu sikuona ccm yeyote aliyepost barua ile vilevile
    Kwenye kampeni za 2015 nakumbuka lowassa aliahidi akiwa raisi atawaachia akina babu seya pamoja na mashehe wa uhamsho
    Keep it up upinzani then
    Magufuli ahsante kwa kuonesha kuwa mambo yetu unayasikiliza japo sio kwa wakati usika

    • @augustinonyambega8398
      @augustinonyambega8398 6 років тому +1

      luge Donation wewe ni shabiki wa mpira na usiejua hata kucheza.Tulia wachezaji wakupe raha.aliye funga ndo aliyecheza.hata Lowasa aliiba aidia ya JPM.

    • @stephenchenga4028
      @stephenchenga4028 6 років тому

      yalikua yanatafuta ugali yale mafisadi...sisi tupo hapa hapa ccm kwa magufuli mambo yanajipa taratibu gatuna papara

  • @norascombedule1057
    @norascombedule1057 6 років тому +1

    Mungu awape Moyo wa kusamehe km wawo walivyosamehewa na awajaze Moyo wa ushujaa uliojaa matarajio mema
    Amina

  • @JuliusMawoko
    @JuliusMawoko 27 днів тому

    Aiseeeee hii moment nakumbuka Sana Hadi nilitokwa machozi

  • @seadkolasnic6894
    @seadkolasnic6894 6 років тому +1

    Hongera kwa hili ila watanzania tuache unafiki wakati lowasa aliposema mkinichagua nitamtoa babu seya tulilaani kwa nguvu zote na Leo tunashangilia kwa nguvu zote

  • @lucywilibroad8816
    @lucywilibroad8816 6 років тому +2

    Natamani hata kulia Jaman mungu mbariki huyu baba

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 6 років тому +2

    Leo umefanya jambo la maana dahhh

  • @vivadanie3684
    @vivadanie3684 6 років тому +2

    dah jmn nmefurah ad machozi

  • @aloysevodius7761
    @aloysevodius7761 6 років тому +1

    Tumengoja sana iyo kitu atimaye umekuja kutufanyia kile tulichokingoja ubarikiwe baba mkubwa

  • @rashmo9661
    @rashmo9661 6 років тому +1

    Duuh! shangwe zimekua nyingi kwa babu seya na mwanae kuliko kwa wale walio samehewa kunyongwa mmmh ngoja nipite kidogo📝📝📝📝

  • @DavidIssa-l9w
    @DavidIssa-l9w Місяць тому

    Siku zote nikiona iyi video ,uwa na lia sana kutokwa na machizi

  • @saidrashid835
    @saidrashid835 6 років тому

    mboni masheikh wtu hawana hata kesi na hujawasamehe..

  • @HassanMwakinyojr
    @HassanMwakinyojr 6 років тому

    umefanya poa sana mzee wangu nakuchukia sana lakn kwahili wacha cku ipite nikifurah

  • @Shabanjr329
    @Shabanjr329 6 років тому +1

    mungu akuzidishie my president ukiisiliza hii unaweza toa machozi ya furaha

  • @sebastianododa9177
    @sebastianododa9177 6 років тому +3

    Mungu akulinde

  • @michaelrichard9169
    @michaelrichard9169 6 років тому

    Rais magufu wewe ni mkombozi tz

  • @technologyupdates5034
    @technologyupdates5034 6 років тому

    JINSI YA KUPATA WHATSAP MESEJI, TEXT MESEJI NA CALLS ZOTE KUTOKA MWENYE SIMU YA MPENZI WAKO PASIPO YEYE KUJUA....
    simple teick.
    m.ua-cam.com/video/G8-7sejACpU/v-deo.html

  • @naomynathanael5445
    @naomynathanael5445 6 років тому +3

    mungu ampe maisha marefu raisi wetu

  • @giftyfrance8748
    @giftyfrance8748 6 років тому +1

    Mungu akubariki sana raisi wetu, nilikuwa nikiuliza maswali kila siku kuhusu babu seya na mwanae kuwa watatoka lini katika adhabu isiyo ya haki? kwel nimeamini ninae rais mzalendo

  • @fidonihama9267
    @fidonihama9267 26 днів тому

    Uu ndo wema uliompeleka mbiguni😅😅😅

  • @yassinsalum1864
    @yassinsalum1864 2 роки тому

    Hakika haukujua Kama urikua unaishi na nyoka

  • @saudanaftari4102
    @saudanaftari4102 6 років тому +1

    President umenifurahisha sn kwa hili mpaka raha.papii hoyooooooooooooo.

  • @yusufbasiliya1247
    @yusufbasiliya1247 6 років тому +2

    Asante sana baba Rais wetu mpendwa

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 27 днів тому

    Kwa Babu Seya 🎉🎉🎉 uliupiga mwingi mzee

  • @muhammedymadati
    @muhammedymadati Місяць тому

    Rest Easy Comrade🙏 . ( 15/8/2024.)

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 6 років тому

    Io njemba nyuma ya magu ina hasira manina

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 Рік тому

    Endelea kupumzika kwa Amani

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 6 років тому +1

    kwambali sana namwona raisi wangu amezeheka namajukumu namahamu magumu kama ayaaaaa

  • @isayamanyonyi8826
    @isayamanyonyi8826 6 років тому +1

    Mzee ulicho fanya leo na Mimi nakuunga mkono

  • @JuxModo
    @JuxModo 2 місяці тому

    Bado mzee tunakukumbuka😢😢

  • @fatmat6883
    @fatmat6883 6 років тому

    Our lovely president +254

  • @kapamadulla4951
    @kapamadulla4951 6 років тому

    tuleteen ña balali sasa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 років тому +2

    Jamani Mungu ni mwaminifu asante baba magufuri

    • @sophiayusuph5424
      @sophiayusuph5424 6 років тому

      Mungu endelea kumtia nguvu Rais wetu azidi kutenda mema kW watu anaowaongoza hongera sn kW hili