FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2017
  • Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 2 2017 amewaita Waandishi wa habari na kuwaambia kuhusu uchunguzi aliofanya kwa wanaotumia na kufanya biashara ya dawa za kulevya kwenye jii la Dar es salaam.

КОМЕНТАРІ • 167

  • @celitomclassic5085
    @celitomclassic5085 7 років тому +3

    kazi njema our RC..... wiki ijayo fyatua mashoga ukianza na Kaoge... wanachafua mji... please i beg for this....

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 років тому +4

    Hapo sawa kabisa ziwieni haswaaaa maana wazazi wengi watoto wao wanaume wakiume wanaharibika sn kwaju yahizo dawa zakulevya! Asant san

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 років тому +6

    Mungu akusimamie sana mkuu

  • @datiusnjungani2784
    @datiusnjungani2784 7 років тому +3

    Mungu akulinde ni kazi Ngumu sana kwa maana umo wapo wabunge madiwani mawazili viongozi wa kijeshi yahani ni kazi ya Mungu hii kwa kweli Mungu wetu akuepushe na mabaya yote But dah hii vita Ngumu sana

  • @innocentchristian4774
    @innocentchristian4774 7 років тому +12

    Kwa Hili Nakupa 100% Bt Bado ya Mashoga

  • @ahmed-shakirmwamba4992
    @ahmed-shakirmwamba4992 7 років тому +8

    Tatizo hili litaisha kama mtafuata au mtamuiga Rais Duterte wa Philippines.

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 7 років тому +18

    Una kazi ngumu na ya hatari , lakini Mungu atakusimamia...

  • @ahmadsjuma7012
    @ahmadsjuma7012 7 років тому +2

    viongozi kama nyinyi ndio tunaowataka, hao watu wakubwa wanawaumiza hawa wanyonge ni bora sheria ichukue mkondo wake. kazi njema mkuu.

  • @NormanEric
    @NormanEric 7 років тому +1

    kazi nzuri mheshimiwa Makonda. kwenye vita hii nakuunga mkono kwa asilimia Mia moja.. Big Up sana

  • @nicksonimbuya3387
    @nicksonimbuya3387 7 років тому +4

    I appreciate you mkuu Paul makonda pambana tutafika na mungu atakulinda god be with you

  • @faridmobji
    @faridmobji 7 років тому +3

    safi kabisa Hizi ndo kazi na tusihurumiane katika hili yaani waaadhibiwe vikali

  • @EsterPaul-uc7ny

    Mungu akusimamiee mheshimiwaa makee kazi hyooo sioo rahis mpaka uweee namoyoo , mheshimiwaa nashidaa sana naombaa unisaidiee hataaa helaa yamtaji nipooo chuoni ninamaishaa mangumu Sanaa

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 7 років тому

    Mheshimiwa Paul Makonda la kwanza nakupongeza sana kwa kazi nzuri na hatari unayofanya la pili kuwa makini sana unapowataja hasa polisi wazembe wanaoshirikiana na hawa wafanya biashara za dawa za kulevya kwani akiwa bado mamlakani na umemtaja kwa mkutano na wandishi wa habari huoni wanaweza kuharibu uchunguzi ambayo bado hujakamilisha?

  • @frankkahimba1248
    @frankkahimba1248 7 років тому +1

    Nampa big up sana huyu mkali (Mheshimiwa P Makonda).

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +1

    Allah atakusimamia japokua vita uloingia ndani yake baba uwiii😷😷mkondo wake ni mrefu sana,

  • @BinoAmos
    @BinoAmos День тому

    Ddah bora kuuza mandazi na so siasa angalia Kenya chanzo siasa kumbuka Libya mzee Gaddafi kapotea chanzo siasa yani ndomaana saa zinginne mzee wawatu dah yote aty aonekane anafanya kazi ati Mungu akakuulize madawa yakulevya kakosa maswali Dah siasa bora kula nakujisaidia oumzika kwa aman Mzee Yusuf

  • @stevenmamba2464
    @stevenmamba2464 7 років тому +3

    Huyu hana lolote anawadhalilisha wasanii nakuwachafulia majina yao kujitafutia umaarufu. Kama mnaushahidi Polisi na upelelezi wameshindwaje kwenda kuwahoji bila camera na TV ? Wasanii wetu leo wanawika Afrika nzima badala ya kuwalinda na kuwasappoti ndo kwanza tunawachafulia majina.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 років тому +1

    safi sana Mh. Makonda mungu akulinde

  • @mohamedintumbitumbimbamba6105
    @mohamedintumbitumbimbamba6105 7 років тому +1

    Kila la kheri Paul Makonda kiongozi kijana mchapakazi. Tupo pamoja katika kupambana na dawa za kulevya. Wito wangu kwako kuwa, hiyo ni vita kubwa jipange kwa umakini na kusanya ushahidi na vielelezo vya kutosha kutokomeza tatizo hilo.

  • @anodnjenje9084
    @anodnjenje9084 7 років тому +4

    Good job kamata wote...