"Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 лют 2017
  • Leo February 14 2017 Kamishna wa Idara ya uhamiaji mkoa wa Dar es salaam, John Msumule amekutana na waandishi wa habari na kueleza kuwa wanamuhitaji mfanyaabiashara Yusuph Manji o kwenye ofisi hizo baada ya kutoka Hospitali kwa kile alichodai ni kuajiri wafanyakazi kutoka nje wasio na vibali.

КОМЕНТАРІ • 246

  • @divothdomician4061
    @divothdomician4061 7 років тому +2

    > Ni lazima mtuhumiwa alazwe remande? Mtuhumiwa kulala remande ni sehemu ya lazima ya mchakato wa kisheria kabla ya kupelekwa Mahakamani?
    >Hao wanaodaiwa ni ni wageni walikuwa watumishi binafsi (maids, gardeners etc), au watumishi wa Kampuni; ambayo kisheria ni tofauti kabisa na mtu binafsi?
    >Mmiliki wa Kampuni' ni dhana inayotambulika kisheria nchini Tanzania? Ni sawa na kusema 'shareholder', au?
    > Sheria zinazo-impose criminal liability kwa kuajiri wageni wasio na vibali zinasema Mmiliki (kama kuna kitu kama hicho), au Wakurugenzi au nani wanabeba jukumu la kisheria?
    >Ni lazima kutaja uwezo wa mtu kifedha katika issue inayohusiana na suala la uhamiaji?

  • @samirymickdady8131
    @samirymickdady8131 7 років тому +6

    nikajua manji ndio hana kibali asa hapo kosa lake nini yeye yupo mpakani mpaka afate vibari??? nia yenu ni kumzalilisha tu huyu mtu mtambue kuwa kwa ajili yake kuna watanzania zaidi ya 5000 kawaajili mnavomfanyia hao watu mta wapa ajila?? na serikali ya magufuli inapunguza wafanyakazi ili watu wawe mtaani tu mmefulia kweli

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому +1

      samiry mick dady hizo sela za mpira uzalendo wako uko WAP?

    • @officialmbeyaone3572
      @officialmbeyaone3572 7 років тому

      kumala mamayako kawaajili wahindi wenzake siyowatanzania kamaanakusukumadamu twambie tukuelewe

  • @piusj.hayuma363
    @piusj.hayuma363 7 років тому +2

    Bosi mpya wa uhamiaji uwe makini na subordinates wako msitudanganye wasio na vibali wapo wengi kwenye makampuni za kigeni zinazofanya kazi hapa nchi.
    Vijana wetu hawana kazi wawekezaji wanakuja na ndugu zao.

  • @kingsmoter6469
    @kingsmoter6469 7 років тому +12

    manji mbona halishajiuzulu uenyekiti kwenye hiyo kampuni? hii sasa ni chuki tu

    • @emmanuelmlowe1311
      @emmanuelmlowe1311 7 років тому +1

      King Smoter king smoter wewe pia unatakiwa ukamatwe usaidie inaonekana ni MTU wako wa karibu sana.

    • @emmanuelmlowe1311
      @emmanuelmlowe1311 7 років тому +2

      King Smoter namashaka na kichwa chako. ivi wanaosema wanamhitaji hawajui we no unajua?. namashaka na kichwa chako sana tena sana.

    • @nellxoxoxo9966
      @nellxoxoxo9966 7 років тому

      Emmanuel Mlowe mi naona nawe ni wale watu msio na marinda kama mungu mtu wenu makonda

    • @edwardyusto5767
      @edwardyusto5767 7 років тому

      King Smoter ww ulikuwepo akijiuzulu??? Msipende kushabikia vitu ambavyo hamvijui

    • @kingsmoter6469
      @kingsmoter6469 7 років тому

      nadhani wewe ndo hujui

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 7 років тому +21

    serikali ya viwanda vya kuoneshana ubabe

    • @hassanovajunior3006
      @hassanovajunior3006 7 років тому +2

      Jamila Mwenguvu acha serikali ifanye kazi ubabe gani sasa

    • @musasaidi7973
      @musasaidi7973 7 років тому +3

      Sio ubabe sheria zipo na zimewekwa ili zifanye kazi. Nshatembea nchi kadhaa sheria zao kuhusu sheria za uhamiaji ni ngumu sana kufanya kazi ndani ya nchi husika bila kibali ukiwa wewe ni muhamiaj. Acha sheria ifuate mkondo. Nshawahi kusumbuliwa sana NEW DELH INDIA kwa sababu nliingia nchini mwao kibiashara bila kuwa na documment za kodi na TIN NUMBER ya Tanzania

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 7 років тому

      +Musa Saidi umenena kaka yangu hata mimi nimetembea sana nchi za nje mpaka sasa nipo Canada ila masharti ya uhamiaji ni magum sana sio sawa na Tz yetu

    • @ibrahimharuta7333
      @ibrahimharuta7333 7 років тому +1

      tatizo alileta dharau afu yuko inch ya watu afu hao wahindi hawafai kabxa@Jamila Mwenguvu

    • @farajadanny8014
      @farajadanny8014 7 років тому +6

      nchi pekee ambayo ni rahis wageni kufanya kazi ni tanzania hata somalia ni ngumu balaa kupata kazi

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому +1

    RIP watetezi wote walioifikishaTanzania hapa ilipo sasa

  • @emmanuelmlowe1311
    @emmanuelmlowe1311 7 років тому +4

    nashukuru sana Kwa msimamo wa serikayetu ya sasa haicheki na kima.mengi tunayaona yakiibuli kla ck. c kwamba ni mapya, yalikuwepo.

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому

      Hahahha umeona eeeh ,,sasa hv hakuna cha nani wala nani wote ndani.

    • @edwardyusto5767
      @edwardyusto5767 7 років тому

      Scarlet Pimpernel Ww tulia acha kimbelembele acha shiria ifate mkondo wake. kama ameonewa itajulikana

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому +1

      Emmanuel Mlowe safi kaka tunahitaji wazalendo kama ww!

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +5

    (hatutajali cheo chake hatutajali hela zake)
    mnaonekana kbs mna chuki binafsi hata km ana kosa ndio sawa tumeelewa tumngoje apate matibabu yake asimame kujibu mashtaka yanayomkabili
    mnasahau km mtu huyo ametoa ajira kibao kwa vijana wa kitz lkn mnasahau yote mnaamua tuu kumdhalilisha mnavyojiskia nyie
    haya baada ya uhamiaji tuone na wengine mxyuuuu😏😏😏

    • @anwaralhabsi1424
      @anwaralhabsi1424 7 років тому +1

      yaaani uko positive wewe una akili mpaka ya busara mpaka nakuogopa

    • @hassanpazi7216
      @hassanpazi7216 7 років тому +1

      Mwanahamisi Hella kaka uko sahihi kabisa ila watanzania wengi huwa ni wanafki hufurahia pindi mtu apatapo matatizo but mungu yupo i hope manji ata recover na atatambua kila jema na baya, watu wanasahau umuhimu wake aisee

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 років тому

      hassan pazi 🤗🤗(mwanahamishi ni female)
      hapa kwenye hii inshu wengi wanashabikia tuu ukizingatia na IQ za wengi ni....!
      hii ni vita ya mtu na mtu,madawa sjui pass kote huko ni kuzunguka tuu.
      lkn pia kuna maisha baada ya vyeo na hakuna cheo kinadumu milele
      hawa wote wanaotoa amri za kumuita Manji wanatii amri tuu.
      mwisho wa ubaya ni aibu tutaona mwisho wao

  • @Teksani
    @Teksani 7 років тому +10

    😂😂 Wanajua kitu Manji atawafanya baada ya kumchafulia jina ndo maana wanamtafutia kila njia ya kumkandamiza. Siku zote mlikuwa wapi 😂

    • @abelymligo6673
      @abelymligo6673 7 років тому +1

      kweli aisee

    • @abelymligo6673
      @abelymligo6673 7 років тому +1

      kweli aisee

    • @njasmari2468
      @njasmari2468 7 років тому +1

      MJ apo sasa

    • @emmanuelmlowe1311
      @emmanuelmlowe1311 7 років тому

      jidanganyeni tu.mmezoea serikali zilizopita zilikuwa zinaangalia MTU.siyo hii polen mtaumia mkiishi kwamazoea.

    • @nellxoxoxo9966
      @nellxoxoxo9966 7 років тому +1

      Emmanuel Mlowe we jamaa mbna ka hanisi kila m2 anapocoment nawewe unacoment ?????? pita kushoto fwalasi we

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 років тому +8

    Hii sasa sifa akitoka uhamiaji utasikia uvuvi nawao wanamuhitaji

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому +2

      Ziliatan Humud km anahusika atahitajika tu, kaka jielewe wewe mtanzania kinachotetewa hapo ni masilahi ya nchi yako!

    • @kigambontv9748
      @kigambontv9748 7 років тому +2

      Bravo Fundikila Ww unaejielewa jiulize hio kampun ipo miaka mingapi na wao walikuepo wp

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 7 років тому +2

    manji baba Mimi nakushahuri ukitok maabusu wewe sepa nenda zako America makampuni yako yote yatie sokoni tuoni sasa je serkali itakuwa imepta Faida ama hasara Na wananchi wake watakuwa ktk hari gani

  • @nellxoxoxo9966
    @nellxoxoxo9966 7 років тому +3

    embu acheni drama zenu za kise*#&e s$*#e akitoka hapo mtamsema akaripoti wizara ya mambo ya ndani maana ana mabodyguard kutoka nje mara akaripoti wizara viwanda bidhaa zake hazina ubora #DEARGOD MAY THE MAN BEHIND ALL THESE DRAMA WHEITHER ITS TRUE OR FALSE. PERISH AND DISAPPEAR #Amen🙏

  • @omymcatalunya2331
    @omymcatalunya2331 7 років тому +3

    sasa mambo ya pesa na cheo chake kinawahusu nini???

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 років тому +1

    Manji na Gwajima wanatiwa akili kwa kusupport Lowassa wakati wa uchaguzi.Kura zingine lazima wamdhamini Rais Magu.Ama sivyo wembe utakuwa ule ule unaoendeleya

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +12

    Zaman walikuwa wanashindwa namna yakumuingia walikuwa wanajua anafanya vtu kinyume nashira ila wakiuchuna tu makonda kawaonyesha njia zaman mlikuwa wap mpaka sasa mlijui ilo

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 4 дні тому

      kwa nchi gani nayo fukara masikini mpaka wananchi wake wananuka njaa hawana ajira na wewe ukisha staafu miguu juu

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 4 дні тому

      siku wazanzibar watakapochukuwa nchi yao lakwanza tunahitaji kufahamu mipaka ya nchyetu ya Zanzibar na hichi kisiwa karibu kitazama kwa wanavyoingia na hao wanaozaliwa hapa tunahitaji kufahamu au ndio wazanzibar powa

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 7 років тому +1

    watanzania wanakosa kazi na wakipewa kazi kwa mshahara kiduchu sana! wakati umefika kulinda soko la ajira ya watanzania

  • @mosesnghogwa2614
    @mosesnghogwa2614 7 років тому +1

    MI nashangaa jambo moja. Kwani watu hawa waliingilia wapi. Uhamiaji walikuwa wapi. Je manji ni Uhamiaji!?!!. "tuwe serious jamani.

  • @alexmjoge
    @alexmjoge 7 років тому +1

    japo hata mimi sijui sharia na watu wengine wanachekelea lakini uhamiaji nao wanahusika na sioni pia uhusika wa manji direct katika hili la watu kukosa vibali.ila ukweli ni kwamba idara ya uhamiaji imeoza na huyu kamishna anatudharau watanzania kuwa hatujui wanayofanya.anyway kila mtu anatafuta umaarufu kwa rais.amtegemeaye mwanadamu hana akili na for your informations we have so many people wasio na vibali na wapo hapa nchini.wakongo kibao,maliwian,wazambia waburundi,wanyaruwanda and n.k,why manji????????????????????????????

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +2

    naona bamba2bamba daaaah 😀😀😀 maskin Mungu awasaidie na wale mafisad ambao hamjatumbuliwa achen sahv serikar imeamua kufanya kaz kwel

  • @MrBizo-bx6oq
    @MrBizo-bx6oq 7 років тому +2

    Manji Unajigamba sana, that's the Goverment you should Remember,don't play with It!!!

    • @anodnjenje9084
      @anodnjenje9084 7 років тому

      moses bizongwako hakuna lolote izo chuki tu mnafikiri atafirisika hata mkimfanyia figisu figisu

    • @MrBizo-bx6oq
      @MrBizo-bx6oq 7 років тому

      Anod Njenje Hakuna Figisu hapo ndugu,we mwenyewe si unaona huo ushahidi kuwa watu wake hawana vibari vya kufanyia kazi nchini,na yeye ndiye mdhamini wao,,unazani utaikimbia sheria hapo?????

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому +1

      Safi sana moses umeona eehh??? Wewe Anod we unamtetea manji kama nani?? we muhindi?? au ushawai sikia India wanatetea Watanzania wanaozalilishwa kule? kua na msimamo wa kizalendo wewe akuna cha chuki wala nini thats right.Manji kama angekua na utanzania na yuko tayari kwa Tanzania yake asingeenda ajili mahindi yote akayaweka ngazi za juu tena kutokea India wakat Dar watu wanalia na ajira. Hawa watu ndugu nawajua ata muhindi azaliwe Tanzania hawez mpa first priority mtu mweusi panya hawa. Hawa wana ile Ngozi kwa ngozi ukienda mtu mweusi ata muhindi awe kazaliwa Dar, utapewa kaz za chooni huko au u secretary ata uende na masters yako. Aje muhindi wa India na certificate atawekwa juu. Nilikwambia juz ukanibishia bcs i have been living with these punks for more than six years i know them.

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 7 років тому

      moses bizongwako we have been soft a man is leading now

    • @MrBizo-bx6oq
      @MrBizo-bx6oq 7 років тому

      Scarlet Pimpernel , Hakuna cha Ubabe hapo,tena ashukuru Mungu wamemuonea huruma na kumwita tu taratibu,,Unakumbuka story ya yule Mkenya aliyewahi kuzingua Serikali ya Mwl,,aliyekuwa anajitapa kuwa ameiweka Serikali mfukoni nini alikipata,,,tufuate sheria jamani,,Serikari ikifuata Sheria mnasema inafanya Ubabe,na tukiikosea Serikari bado tu tunasema tunaonewa?????????

  • @davido8089
    @davido8089 7 років тому +2

    Wewe ulikuwa wap siku zoteeee acha sifaaa

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому

      Mvua ikinyesha lazima manyunyu hayawepo"Asingekuwa makonda mngeyajua hayo? au ndo kiki za kusafisha nyota mjulikane na wengi

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 років тому +1

    hahaha mwisho wa siku tajiri atabaki kuwa tajiri tu.....manji tunaomba wa tz uwaonee hurum waendlee kufanya kazi na 2020 hela mwaga upinzani kama kawa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 днів тому

    Kwani siku zote hamkujua kama ana kibali au hana yote hiyo wametaka honga ndo wamtafutia sababu

  • @nkindwantandu3445
    @nkindwantandu3445 7 років тому

    kweli kiongoz serikal imekuamin na kukupa mamlaka ya juu leo hii unatuambia umedanganywa kweli ndio utendaji wako kweli duh alafu unachokizungumza inaonyesha kwel hauko makin

  • @nellxoxoxo9966
    @nellxoxoxo9966 7 років тому +1

    serikali ya viwanda huh?????😭😭😭😭😭 like 4 real???

  • @juliusnyonyi9616
    @juliusnyonyi9616 7 років тому +2

    nakuona chenga tu na ww inamaana siku zote hz watu wanaishi humu hawanaga vibali hamkujua siku zote hz kazi yenu ni nini??? mpaka madawa ya kulevya yaibuliwe ndo mnajifanya mmepata mlango wa kuingilia??? jinga kabsa

    • @dearchobis8012
      @dearchobis8012 7 років тому

      kiukweli watanzania tunapenda kuongea sana, kwani manji ni nani asichukuliwe hatua, uwelewa wangu manji bado anamashitaka ya kujibu kama yeye mmliki wa kampuni, inawezekana pia yeye hajui kama alikuwa Hr wake alikuwa anamdanganya kuajiri RAIA wa kigeni pasipo na vibali kwa kushirikiana na maafisa wasio waaminifu wa uhamiaji kwa kuchukua fedha, kama sio kweli kwa nini baadhi ya watumishi wa manji wamekimbia nchi, acheni kushabikia vitu kwa sababu ya kumpenda MTU, we unajua ni jinsi gani hao waindi walikuwa wakinyanyasa ndugu zetu kumbe hawana vibali, kazi ambazo wtz wanatakiwa kufanywa anaenda kuchukuliwa mhindi aje afanye alafu kazi yenyewe hawezi lakini mshahara mkubwa kuliko mzawa, anachotakiwa baada ya kumaliza kesi zake arekebishe mfumo wa watendaji wake kwa lengo LA kupata taarifa sahihi za utendaji ili aepukane na matatizo, sio kukurupuka tu, mana wengine wanaona kama kaonewa utasema kama bwana wao vile.

  • @ibrahimally6455
    @ibrahimally6455 7 років тому +2

    Hizi ni bifu sasa manji his no longer a member of Quality group
    yy ni mwanzilishitu alishajiudhuru

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому +2

      Kaka Ibrahimu narudi tena kwako,nilikwambia tangu siku ile kua hakunaga urafiki kati ya muhindi na mwafrika na wewe ukawa unatetea. Manji kama angekua na utanzania na yuko tayari kwa Tanzania yake asingeenda ajili mahindi yote akayaweka ngazi za juu tena kutokea India wakat Dar watu wanalia na ajira. Hawa watu ndugu nawajua ata muhindi azaliwe Tanzania hawez mpa first priority mtu mweusi panya hawa. Hawa wana ile Ngozi kwa ngozi ukienda mtu mweusi ata muhindi awe kazaliwa Dar, utapewa kaz za chooni huko au u secretary ata uende na masters yako. Aje muhindi wa India na certificate atawekwa juu. Nilikwambia juz ukanibishia bcs i have been living with these punks for more than six years i know them.

    • @ibrahimally6455
      @ibrahimally6455 7 років тому

      Soma hyo nyaraka alaf ndo ucomment
      _lh3.googleusercontent.com/gAJem8VQ2_2_GDn1UhA1f59hYZOZwbCM87fJ7y1hDB05azp-5Flf1FDIgW5EvjBDIH5LNSeJPg_

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому

      Ibrahim Ally Hahahahaa

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 років тому +2

    pole yao ma kanjibhai round hii wanacho

  • @kareenamuraty5845
    @kareenamuraty5845 7 років тому +1

    wewe mwenyewe mkimbizi kiswahili chako tatizo

  • @mhdzkr2951
    @mhdzkr2951 7 років тому +1

    manji mbona anataka kutuletea vurugu nchini

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 7 років тому

    tawaambia kitu kimoja saikolojia ni muhimu sana kujifunza ,wangapi wanajua mambo yamebadilika katika maisha ya binadamu ya kila siku na ni watu wengi wako katika hali mbaya mimi nahudumia wateja(customers) na tunashare vitu vingi ,watu wanasahau namna ya kufanya kazi ama kutafuta mbinu za kujikwamua watu wanasahaulishwa matatizo yao na kuwekwa tayari kushabikia vitu kwa namna moja ama nyingine vya serikalini na bado maisha yao yako pale pale , serikali haiwezi fanyia kitu kwako binafsi sasa ni vizuri kuepuka ushabiki maana utakuwa unapoteza muda na njaa kuendelea kukutafuta , kila siku nakutana na watu smart wanajielewa kwa kuwatazama na wanaonekana wamekwama kwa maaana wamefungwa akili zao na kushindwa jiongeza katika kutengeneza vipato

  • @rizikialmas4877
    @rizikialmas4877 7 років тому

    Safi mh John Msumule....

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 4 місяці тому

    Lushwa imeshamili sana nchini imefika wakat wagen hawafat talatib na Sheria nchini wakiamin kunaviongoz wapo nyumayao. wanawalinda mimi nawaza sana sisi tukienda nchi zao tunawafanyia hayo ? nazan sisi nchi hi tunabaaz ya viongoz na watumishi wa uma nitatizo nakama tungesimamia vyema Sheria zetu na kuziboresha ikiwezekana kuboreha katiba yetu ikawa ukichezea nyalaka za serikali au,zuruma,wizi, kupindisha haki ,Nikunyongwa ,au kifungo kisichokua na zamana tena kwakurudisha ulicho iba nk

  • @samirymickdady8131
    @samirymickdady8131 7 років тому +3

    manji kazaliwa dar huo uhamiaji unatoka wapi japo yeye ni muhindi ila kazaliwa tanzania acheni kufanya watu wapuuzi nyie

    • @MrBizo-bx6oq
      @MrBizo-bx6oq 7 років тому +1

      samiry mick dady ,Manji kuzaliwa Dar si kigezo,sheria za Uhamiaji sio nyepesi kama tunavyofikiri,,anaweza akawa amezaliwa Dar lkn akashindwa kufikia vigezo fulani fulani hv ambavyo vinaweza kumfutia Uraia wake kabisa,kumbuka Manji bado anahesabika kuwa ana Uraia wa Nchi mbili.

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому +1

      Kama kazaliwa Dar na utanzania mbona analeta uhindi wake hapa??? sasa hv hakuna cha nani wala cha nani wote ndani. Heshima kwako Moses Bizongwako

    • @MrBizo-bx6oq
      @MrBizo-bx6oq 7 років тому

      samiry mick dady ,,Cha kukuelewesha zaidi ni kuwa,ukishakuwa na Uraia wa Nchi mbili na Ukaukana Uraia wa India ukakubali Uraia wa Tanzania, sheria inaruhusu kufutiwa Uraia wako wa Tanzania endapo utafanya kosa lolote lile la jinai,,au kosa ambalo sheria inalitambua kuwa ni Kosa, Manji amewadhamini hao wafanya kazi wake na kala kiapo cha kuwa taarifa zao ni sa hihi,,sasa subiri tuone nini kitakachofuata,,,ngoja atoke hospital kwanza uone!!!

    • @officialmbeyaone3572
      @officialmbeyaone3572 7 років тому

      wahindi wanakusukumadamu

  • @ashuraayubuhussein6256
    @ashuraayubuhussein6256 7 років тому

    hiii ni hasada tu siku zote mlikua hamjui kama kuna watu hawana vibali au wanaishi na vibali feki hilo sio kosa la manji kosa la serekali yetu

  • @hamzamhina5109
    @hamzamhina5109 7 років тому +1

    umasikini mbaya sana hizo ni chuki choyo na roho mbaya tunaka tujue ripoti ya madawa ya kulevya kwanza sio kuruka ruka

  • @kareenamuraty5845
    @kareenamuraty5845 7 років тому +1

    mnatafuta kiki kupitia manji eeeeeh tunajua wasukuma huwa hamuwapendi watu weupe .ndo maana mnamuandama manji n.a. Mali zake

  • @hamzamhina5109
    @hamzamhina5109 7 років тому

    mngengoja hili la tuhuma za madawa ya kulevya liishe muumkate sasa hili halijaisha mnampa kesi nyengine hapo ninawasiwasi na kumtuhumu kwake

  • @shkhassan1079
    @shkhassan1079 7 років тому

    hongera. serikali. awamu. thanu. kwanza. kabisa. nampongeza. idara. ya. uhamiaji. hapo. karibuni. wali. kamata. wasichana. kutoka. India. waliletwa. kinyume. cha. sheria nami. ni kama. mwenye. kiti. ya. serikali. ya. mtaa. tuta. kupa. ushirikiano. kubwa. kwenu

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 років тому +4

    NIKOSA KUISH KTK INCHI YA MTU BILA KIBALI SASA ALIKUWA ANALETA DHARAU KISENGE WAKATI YUKO KTK INCHI YA WATU,ALETE WANASHERIA WAKE WA NJEE ALIYOSEMA ATAWALETA KUMSHITAKI MAKONDA

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому +1

      Ibrahim haruta kaka safi kwa uzalendo wa nchi yako huyu manji ni Uuuuuuumbwa!

    • @ibrahimharuta7333
      @ibrahimharuta7333 7 років тому +1

      Kabxa me niko Qatar apa nafanya kazi naish apa tuko mataifa Zaid ya 52 na wao wakiwemo basi ni hatari japi wapo waelewa mfano wanaotoka mumbai mana ndyo mjin zaid kwa kule kwao ila wa vijijini ni tabu tupu' afu wanakuwa na dharau kazi hawajui dharau sasa ila wamekuta na sisi wabongo ni vichaa

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому

      SAFI KAKA!

    • @ibrahimharuta7333
      @ibrahimharuta7333 7 років тому +1

      Pamoja hata ss manji hatupend afukuzwe mana kaajir watz wenzetu akiondoka watakosa kazi lakin heshima lazima iwepo atambue serikali na ajue inatakiwa iheshimiwe mana tz hatoi yy msaada tu,sasa anaposema kama watu wanashida na msaada waseme anaeza toa hata kwa kulipa Kodi mbonah tz wako matajir kibao kuliko yy ila hawana madharau

    • @mussamzee1701
      @mussamzee1701 7 років тому

      Siku zote wali kuwa wapi

  • @abdulmasuo7832
    @abdulmasuo7832 7 років тому +3

    si hasa (not serious)

  • @abdillaahirichardkasisi8691
    @abdillaahirichardkasisi8691 7 років тому

    akuna ukwel ukwel kibal cha kuishi ni visa kauli mbovu akuna vita kiongozi gani??unalopoka fursa iko wapi

  • @grationbatanda7527
    @grationbatanda7527 7 років тому

    hapo sawa ila hata wachina wapo wengi sana hawana vibari tendeni haki.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 років тому

    Ndio maana mauaji na uarifu unaongezeeka Tanzania kwa sababu kuna watu wanaingia Nchini bila kufuata taratibu muhimu, wakazie hili swala kwa maana machafuko yamekuwa mengi Tanzania yetu

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 7 років тому

    cha mwisho thanks to millard ayo tv.

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 7 років тому

    Hakika Hatuwezi kuendelea Kwakuwa viongozi wanazidi kuwa didimiza wafanyabiashara wakubwa kwa chuki zao binafsi. wakisahau kuwa wali ahidi ajira kwa wa Tanzania. Huo ni upunmbavu mnao fanya na haukubaliki😕😕😕😕😕😕😕

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 7 років тому

    jamani viwanda vipiiiiiiiiii?unga uhamiaji media kwa sanaaaaa what next?.....

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому

    jmn mbona mnamwandama sana manj hv cku zote mlikuwa hamyajui hayo au mnamkandamiza tu

  • @khalidkassim9782
    @khalidkassim9782 7 років тому

    Faraja danny the problem is the government they don't create kazi kwa wananchi .

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 7 років тому

    kuna kesi kibao watutangazie zote kila mara this is too much

  • @harunncheye8817
    @harunncheye8817 7 років тому

    serikali ya kukomeshana 2020 itafika tu

  • @humphreynzundanzunda6850
    @humphreynzundanzunda6850 7 років тому

    sas hiii serikali mbona inataka kutafutia umaarufu kwa manji kuwaajili watu wasio na vibali na sio yeye ina muhusu vip kwan manji ni police wa ukaguz wa vibali au wampe na fasi asiwaajili watanzania mnakela sasa

  • @franklawrence9512
    @franklawrence9512 7 років тому

    uwiiii... kibarua changu mie nakiona kileee... kinakaribia kuota nyasi, jamani chonde chonde ukoo mzima unanitegemea mieee...

  • @ramlak_dramafans8807
    @ramlak_dramafans8807 7 років тому

    kaziipo mwakahuuuu nahodha kakae mbele abilia tuwe nyuma ili kifike sala chombo kisende mrama
    najua waelevu washa levia
    hongera JPM
    hongera Makonda
    kwakuonyeshanjiaa watanyookatu mwakahuu

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 років тому +2

    Kanjibai mdomo uliponza kichwa

  • @Stan-103
    @Stan-103 3 роки тому

    Mbna passport mpya zote?

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 років тому

    okay

  • @shakirarashid9181
    @shakirarashid9181 7 років тому

    uku niliko mm hata visa yako ikiisha tu Leo ujue kesho utalipa hela tatizo wtz wengi hawajatoka nchi za inje ndiomama mwaona ni sawa lazima wawe na visa kamili kwasababu wasipokuwa wa visa hawalipi ushulu wa kuishi tz

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 7 років тому

    Ujaongea point hata moja

  • @babyfaa7677
    @babyfaa7677 7 років тому

    jamani watu wanapena vimondo vya maneno mmi napita tu habari zenu wadau nawapendeni sana

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 7 років тому

    Mnatufanya tuhisi haya ni mapambano nje ya sheria za kawaida

  • @jakaonlinetv1920
    @jakaonlinetv1920 7 років тому

    wasenge waoo

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 7 років тому

    yatakua yale ya Zimbabwe Mugabe kuwafukuza wazungu halafu tubebe maheka kwenye Marlboro maana itashuka thamani

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 років тому

    hàaa wakuwa wap? ushasahau kama hii niccm new

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 7 років тому

    mtu mme mdharirisha bado tu mna endelea tu kumfadhaisha
    mm nadhani magufuli hata kubali hilo
    kama vibali wachukulieni wahusika na sio manji !!!😕😕😕😕😕

  • @user-em5xj3rc5k
    @user-em5xj3rc5k 17 днів тому

    Kwani vibali si walitoa wao wenyewe feki ili watengeneze matatizo baadae. Wao ndo wafukuzwe kazi

  • @daudimligo289
    @daudimligo289 7 років тому

    Lazima namba zisomwe kwa namna yeyote ile.

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 7 років тому

    jama makosa mengine wanayatafuta na hawa wanataka kurudisha kuwakamata.watu bila makosa uraguzi ulio.pita enzi umerud

  • @MWilly-xu1ki
    @MWilly-xu1ki 7 років тому

    hii campeni zhidi ya young africa

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 7 років тому +4

    hizi siasa tu , wameamua kumuandama mzee manji wamemkosa kwa madawa sasa waajiriwa wake its oky but busara wangetakiwa wawafuatilie sio lazima kuwatangaza , maana wakisema wawatafute wako wengi na je kuna muda wa kuwatangaza watu wote? so many kenyans here , so many from malawi. sisi watu wazima , manji wala usiogope commissioner anasema hatujali unapesa kiasi gani sio busara kabisa , wafanye kazi wananchi tubafanya kazi hatupendi story . do your work

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 7 років тому

      anwar alhabsi don't hate we want order wa Tanzania are we cursed

    • @sudyreacts5889
      @sudyreacts5889 7 років тому

      blackmonoplopycapital x I just wonder like where were they all that time lol

    • @ishaanizkeah8814
      @ishaanizkeah8814 7 років тому

      blackmonoplopycapital x IP

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 7 років тому

      tatizo jezi za buree vinginevyo mnaibiwa hamjui1 mko tayari kuibiwa kwa jezi za bure

  • @rechochofrank2953
    @rechochofrank2953 7 років тому +1

    hivi Nazo kiki

  • @ahsantejonas1682
    @ahsantejonas1682 7 років тому

    mtaisoma namba kweli huu ni utawla wajpm

  • @musasaidi7973
    @musasaidi7973 7 років тому

    kama kweli wamefanya kosa mi nadhani sheria ichukue mkondo wake.

  • @exaudymassawe8820
    @exaudymassawe8820 7 років тому

    nomaaaaaa tunajenga nchiii

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    yatafumuka kibao miaka ya magufuli mzee

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    jamani huyu ni magufuli sasa. siyo kikwete

  • @rajabuabdallah3840
    @rajabuabdallah3840 7 років тому

    hyo ndyo magufli ukikwepa hku unakmtiwa hku

  • @rattlesnake2153
    @rattlesnake2153 7 років тому

    achen kuropoka hayo ni mambo ya siasa

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 7 років тому

    MBWEBWE ALIOKUWA NAZO MANJI KWISHNEY

  • @abdillaahirichardkasisi8691
    @abdillaahirichardkasisi8691 7 років тому

    mbona ni ubabe mtupu ni mipango kwa sabu mmesha pokea odda akuna ukwel wowote uwez kumpokea mtu mtu bila ya kumpa visa

  • @brownambo1472
    @brownambo1472 7 років тому

    niko levo ya juu

  • @anwaralhabsi1424
    @anwaralhabsi1424 7 років тому

    im tired from the dramas

  • @shabanramadhan3940
    @shabanramadhan3940 7 років тому

    Serekali ya hapa kaz tu

  • @rechochofrank2953
    @rechochofrank2953 7 років тому

    du Sasa kanji anajili au anafanyia migration

    • @dibya20
      @dibya20 7 років тому

      Rechocho Frank tatzo ni uelewa wako tu mdogo.... unapoenda Kuomba ajira hasa Kwa wageni ni Lazma uonyeshe Hati inayokuonyesha kufanya Kazi nchini Kwa muajiri wako na AINA gani ya Kazi uiombayo

  • @emmanuelmlowe1311
    @emmanuelmlowe1311 7 років тому

    kunawatu kweli wamechoka.hatahawajui manji kwann alikamatwa. hawa ni choka mbaya kweli

  • @kareenamuraty5845
    @kareenamuraty5845 7 років тому +2

    nyie idara ya uhamiaji mnahusika mnakula pesa za watu alafu mnawahukumu wezi wakubwa nyie

    • @ellynikotv7178
      @ellynikotv7178 7 років тому

      Kareena Muraty SASA TUNAANZA NA WEW. BILA KUCHELEWA UNATAKIWA KITUO CHA POLISI MAPEMA ASUBUHI KWA MAHOJIANO

    • @kareenamuraty5845
      @kareenamuraty5845 7 років тому

      😂😂😂😂😂

    • @kareenamuraty5845
      @kareenamuraty5845 7 років тому

      Elinazi Eliakimu 😂😂😂😂😂

    • @kareenamuraty5845
      @kareenamuraty5845 7 років тому

      Elinazi Eliakimu wakanihoji nini? Wakati wenyewe kiswahili hawajui wanakandamiza maneno wakimbizi tu hawa kazi zao zinawashinda watanikamata Mimi?wanamfuTilia manji baada ya kuona anawashinda kwenye kesi zao. Si unakumbuka lile bagi kule dodoma?sasa wanalipiza kisasi wanataka kumuangamiza

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому

    La kuzuliwa lina uma, ila na over reaction pia si uungwana! Jamaa ali hamaki mno alipo tangazwa kuwa ni miongoni mwa watu wa dawa za kulevya na kumwita Makonda "mpumbavu!" Sasa baba, usipo jishusha, uta chimbuliwa hadi mavi, wajue ulikula mapera au wali wa nazi!

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 років тому

    Inakuaje wewe unajiita mzalendo mzawa unaenda kuajiri wageni watupu unaacha wananchi.

  • @abdillaahirichardkasisi8691
    @abdillaahirichardkasisi8691 7 років тому

    walipita vipi?airport awana visa kwani

  • @mobzzcrak
    @mobzzcrak 7 років тому

    politics politics politics

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 7 років тому +2

    Kayama chao kimekaribia wafanyabiashara

    • @anodnjenje9084
      @anodnjenje9084 7 років тому

      juma ramadhani unafikir ndo atafirisika wanampa akil

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому +1

      Acha kutetea tetea wahindi wewe!! njoo India huku uone wajinga hawa wanavyowafanyia watanzania kama wewe.

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому

      juma ramadhani Jitambue ucwe mtumwa wa fikra!

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 7 років тому

      Eriki kilasala unajua nn hata kwenye kutawaliwa na wakoloni, wakoloni walikuwa wanawachagua watu kama juma ramadhani kwa kuangalia uwezo wa fikra zao wanawezaje kuwacoloni wenzao km nyapala kiongozi! Ni ujinga mtupu kaka yangu, jitambue na kuwa mzalendo na nchi yako!

    • @erickmmbando1909
      @erickmmbando1909 7 років тому

      Bravo Fundikila Kaka nipo India hawa watu wanavyowafanyia Wa Africa daaah!! Acha tu. Wao kwetu wanakuja bila vibali wakipata wanaanza pelekesha watu

  • @dominicnicholas4612
    @dominicnicholas4612 7 років тому

    walikuwa wanajua hayo yooote,na kwa muda mrefu hawakufanya kitu Leo wanajifanya wanajifa eti ndo wameliona hill?wanachekesha walionuna!!

    • @dibya20
      @dibya20 7 років тому

      Dominic Nicholas Ndio maana ya uteuzi WA kamishna WA uhamiaji Ili KUSAFISHA hayo unayoyasema WW walikuwa wanajua

  • @shinatamar1492
    @shinatamar1492 7 років тому

    hamuna kitu mwaongea ukumbavu tu mulimuita kwakosa la madawa sasa mumekosa ukweli wamadawa sasa mwatafuta visababu

  • @abuibra
    @abuibra 7 років тому

    NDUGU MHESHIMIWA,HAWO NAFIKIRI NI WACHEZAJI WA YANGA.😂🤣😎

  • @mussamzee1701
    @mussamzee1701 7 років тому

    Shuka asubuhi asinge kamatwa na madawa mnge yako wapi ayo jamani tu amke sio kila kitu tuna pigia makofi tu wakti mwingine akili ifanye kazi

  • @kalinjonjodaxclusive8636
    @kalinjonjodaxclusive8636 7 років тому

    psychological destruction

  • @ahmedghoth4945
    @ahmedghoth4945 7 років тому

    tunamwombea mungu amfanyie wepesi diwani wetu analize haraka mitihani yake arudi kuja kutuletea maendeleo ktk kata yetu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 років тому

    Pigen kaz Hakuna kuoneana aibu

  • @mwanashafatuma8719
    @mwanashafatuma8719 7 років тому

    Dhuluma al dhulumat bil yamil akhera yani sirikali ya tanzania kazi tu mkikosa mtu kwa njia moja mmna tafuta nyengine haya mwenye haki sikuzote mungu umsaidia pole manji utatoka kwa uwezo wa allah

    • @dibya20
      @dibya20 7 років тому

      Mwanasha Fatuma Acha kumshirikisha Allah kwa kitu usichokifaham ni Vema kukaa kimya...unajua kilichomlaza manji hospital.. ungalijua UKWELI usingeongea hayo sasa

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 7 років тому

    mlikuwa wap