Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лют 2017
  • Rais John Pombe Magufuli alizungumza wakati wa kuapishwa kwa Kamishna mpya wa kupambana na dawa za kulevya pamoja na mkuu mpya wa Uhamiaji Tanzania ambapo moja ya alivyovisema ni kuhusu dawa za kulevya na Watanzania.

КОМЕНТАРІ • 112

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 років тому +8

    Asante my president sheria iliwekwa na ikapitishwa bungeni Hakuna kurudi nyuma Vita lazima itiliwe mkazo Asante Sana tena Mr President

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 років тому +4

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍hapo sawa rais mungu akuongoze kwa kila njia

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 7 років тому +9

    "wapo vijana wengi ambao wamepoteza maisha kwa dawa za kulevya"-JPM

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 7 років тому

      msanii mpya Ahh mtaani kwetu walipukutika vijana kwa mpifo kawa 6 ndani ya wiki moja .

  • @mathayowilson79
    @mathayowilson79 7 років тому +3

    Hongera mhe rais Dr Jpm kwa hituba nzuri. ila hekima na ukweli visimame kutomuonea mtu kwa chama au dini, bali kwa matendo dhahiri awajibishwe mtu yeyote, chuki inaweza kuingia ktk hili.. wewe unayohekima na vyombo umsaidie kila atakayeonewa ktk hili... Mungu ibariki Tz na kumtetea kila atakayeonewa. mwovu avune uovu wake, lakini mwenyehaki atetewe hdharani kama anavyotangazwa hadharani..... asanteni kwa upendo kwa Taifa letu.

  • @user-fm9gr6jb6e
    @user-fm9gr6jb6e 7 років тому +4

    Big mheshimiwa pambana na hayo majangili mpaka kieleweke. Lakini msiwaone wasiokuwa na hatia. Can't wait for episode 3

  • @PeterMudokoict
    @PeterMudokoict 7 років тому +6

    safi sana makonda safi sana jpm tuwaache wapiga meza dodoma nimetokea kuwachukia sana sana kwer watanzania tumewapa dhamana ya kutuwakilisha lkn mmetuabisha kwa kukumbatia na kutea madawa ya kulevya 2020 sio mtakuja tena mtatukuta,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @nelsonabraham6499
    @nelsonabraham6499 7 років тому +3

    a very strong message from the president to his people. very well addressed and really we can now witness the true fight on the drug's war. we've lost many of our people through drugs and therefore we all need to join hands and be one on this war. GOD bless our country, GOD bless our leaders.

  • @arafangalawa2860
    @arafangalawa2860 7 років тому +2

    pongez kwako mh rais maguful

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 років тому +1

    Mungu akusaidie katika kuokoa maisha ya watu..ni kazi nzito

  • @zuhuraabdurlazack8008
    @zuhuraabdurlazack8008 7 років тому +1

    Toeni ajira vijana wapate pesa...naamin hii yote ni sababu ya ugumu wa maisha...nice speech presidaa

  • @shufaaa.4766
    @shufaaa.4766 7 років тому +1

    safiiiiii muheshimiwa makufuli na makonda ni kwelii kabisaaa mungu akulinde baba vijanaa wanateketea

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +7

    😂😂😂 mh Raisi umenifurahisha jinsi unavyoongea.
    lkn hapa ndo nimekuja kuipata point ya yule mbunge alotaka sanamu la askari posta litolewe awekwe Diamon kwamba ingekua amri yake meza za bungeni zingekua za chuma ili mnapoamua kupitisha baadhi ya sheria kishabiki bc uyafikirie maumivu kbl ya kuipiga meza😃😃😃

  • @noelruaichi2373
    @noelruaichi2373 7 років тому

    kiukweli mzee jpm mungu akulinde na watatanzania tunakuombea MUNGU akufunike kwa damu ya YESU uwezekufanikisha vita hii ngum

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 7 років тому +1

    Well said,we have to organize ourselves fully...

  • @gilbertjuma660
    @gilbertjuma660 7 років тому +1

    Nakuombea kheri Mr President.

  • @erickpaul2277
    @erickpaul2277 6 років тому

    kabisa mweshimiwa Tanzania yetu vijana wengi wameadhirika kwa madawa mungu akupiganie katika kazi yako

  • @adambago
    @adambago 7 років тому +2

    Sawa baba lakini hapo kwa kutojihusisha vyovyote kwa mabalozi, pananipa shida. Mtoto wa nyumbani hata akiwa jambazi ni mwanao. Tuna asilimia walau 4 kati ya walioshikwa ambao ni innocent. Kuna mama mmoja wakati wa kushuka kwenye ndege alimuhurumia mama mwingine wa kutoka nchi fulani ya Afrika ya magharibi aliyebeba mtoto. Yule mama akamwambia 'naomba nisaidie begi hili la nepi za mtoto' yule mtanzania akakubali na alipotoka nje tuu kadakwa pamoja na yule mama mwenye mtoto. Hawa wanapohukumiwa kunyongwa tukisema wanyongeni tuu, itakuwa tofauti gani na Duterte wa Ufilipino? Kwa kuangalia matukio kama haya fungua google halafu andika 'Mary jane Veloso'. Dawa ni mbaya kabisa, acheni kwenda Asia ila wauza madawa, wezi, wavutabangi na vichaa wote ni ndugu zetu. Hata kuwasalimia kabla ya kuuawa inatosha.'Iweni na huruma kama baba yenu wa mbinguni alivyo na huruma'

  • @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
    @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 7 років тому +1

    kweli jambo hili linatakiwa linatakiwa kuangaliwa kwamakini sana Napia Maombi yanahitajika Mungu tu saidie

  • @emmanuelmsigala1374
    @emmanuelmsigala1374 7 років тому +1

    kikwete gombea tena Jamanii Dah!! we miss you....

  • @musamwafongo3430
    @musamwafongo3430 7 років тому

    Ni kweli umesema kidogo/ msg nzuri na yenye nguvu iliyojaa UPONYAJI wa Taifa LA Tanzania / ulinzi wa Mungu uwe nawe.

  • @saidahmadi8878
    @saidahmadi8878 7 років тому +1

    asante magu

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 3 роки тому

    love lives forever mimi ni mtoto wa kimasikini daima nitakukumbuka sana Rais wangu Rest in piece

  • @josephatmapunda537
    @josephatmapunda537 7 років тому +1

    #Wamesai sio watu wa mchezo mchezo....wakikamatwa mubashara kitanzi kihusike...we are tired of unga!!!!!

  • @rahimharuna6567
    @rahimharuna6567 7 років тому +1

    ugumu wa maisha pia ni chanzo cha vijana wegi kujiingiza katika biashara hii haramu ya madawa ya kulevya! angalieni pia na swala a ajira kwa vijana mwaka wa pili huu unaienda hakuna ajira iliyotolewa serikalini.Kama ni kujiajili mtoe firsa za mikopo zenye masharti nafuu!! Tanzania Bila madawa ya kulevya inawezekana

  • @lindamshana886
    @lindamshana886 7 років тому +10

    Mshangao wangu upo kwa wabunge tu, wanapiga kelele dawa za kulevya, amejitokeza mtu aliyejitoa mhanga halafu wao wanamkejeli, kati ya hao wanaotajwa mbona hakuna aliye salama. mi sidhani kama mkuu wa mkoa anaenda kukamata au kutaja mtu tu bila kuwa na ushahidi fulani. msimzuie bali RC bali mshaurini njia nzuri ya kuwakamata hao wauaji wa vijana.

  • @geofreykulanga1282
    @geofreykulanga1282 7 років тому +1

    That feeling in the 24:12 is REAL!

  • @reubenkissinga3838
    @reubenkissinga3838 7 років тому +1

    duuuhh kweli acha kuku ale mchele,jioni tutamla na wali!!

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 Рік тому

    ILA UKILUFA MAPEMA SANA ,ILA one day

  • @peterrevocatus199
    @peterrevocatus199 7 років тому +1

    Rais Wang nice sana

    • @richardmsafiri3706
      @richardmsafiri3706 7 років тому +1

      rais wangu nakupenda sana mungu akuzidishie maisha marefu sijawai pata rais makini kiasi hiki

  • @ramlak_dramafans8807
    @ramlak_dramafans8807 7 років тому +4

    nime sikiliza hotuba ya mh jpm nime muelewa sanaaa af ivo vipaka vinavojifanya vinajua kazi mbona hawaku thubutu hata sikumojakumtaja muzaji wa madawa leohii wanajitia kulizungumziaaa!!! wanafki wakubwa makonda we endeleaa mh jpm kishasemaaa kwamba walilipitisha wenyewe bungeni kwahiyo ww usiwasikilize paka haooo achana naooo

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 7 років тому +1

      unayo akili ndugu

    • @hassanovajunior3006
      @hassanovajunior3006 7 років тому +2

      Ramla K _drama fans uko sahihi dear

    • @ramlak_dramafans8807
      @ramlak_dramafans8807 7 років тому +1

      Hassanova junior sheria ilipitishwa kwapamoja bila kujali vyama vyao kwakujua madharayamadawa yakulevya sheria namba 5 ilipitishwa bungeni ikasainiwa 11 / 5 /015 na muheshimiwa jakaya mrisho kikwete alijua madhara yamadawa yakulevya

    • @williamyongolo6621
      @williamyongolo6621 7 років тому

      Ramla K _drama
      fans

  • @jamesakhabuhaya7400
    @jamesakhabuhaya7400 7 років тому

    raisi wangu Mungu akulinde mkuuu

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 7 років тому

    safi magufuri mueshimiwa na makonda kijana muchapa kazi

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 роки тому

    Kwan unga unatengezewza tanzania .kama hapana .je kwan milango ya nnch s mnasimamia nyinyi .mnafeli wapi . Kiufupi madawa mnaingiza wenyew wakubwa .sio mvutaji .

  • @patrickbifanta6487
    @patrickbifanta6487 7 років тому +1

    ana lolote jipya madawa yakulevya yamekuwa kama ukimwi duniani kot dawa ni kutuliza tu. tegenezeni ajira tu ayo mengine munavamia

  • @yudomalex5499
    @yudomalex5499 7 років тому

    Good president

  • @funguamacho5791
    @funguamacho5791 7 років тому +2

    Rais Magufuli, tangu ameingia madarakani mengi mabaya yameshatokea, tetemeko la ardhi huko Bukoba, Nchi nzima kuwa na njaa, adimu Sukari, adimu mafuta ya taa na mengi mabaya, hana nyota ya kuendesha nchi. Rais Magufuli hajui kuongea maneno yake ni yaki dikteta na yasio na busara, Kiujumla Watanzania Mhe Rais Magufuli, anatukomoa sisi raia wa hali ya chini.

  • @emmanueltesha5612
    @emmanueltesha5612 7 років тому +1

    hahaha eti mbona awaendi lugalo kuimba mapambio

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 7 років тому +1

    fungua macho nahisi umelewa harufu ya mavi ya popo maana kuandika tu kunakushinda. wafanyabiashara hawawezi kusikia ushauri wa mtu kama ww kwa kuwa wamekugundua kabisa kuwa umeshabwia miunga.

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 років тому

    linda mshana.umesema kweli kabisa.lakini wabunge washaelewa hao

  • @ephraimkagungu6050
    @ephraimkagungu6050 7 років тому

    Yaaah President Its Better To Speech Out Things Bad Which Can Destroy Our Child, Neighbour Dreams ""Endelea Mkuu Pia Hilo La Mtu Kuosha Gari Daaaaaaaaaaaah Mixer Watu Wanaleta Macorcerty Mahakamni

  • @reubenkissinga3838
    @reubenkissinga3838 7 років тому +1

    director General mbona kama ameshashndwa hv vita anatia huruma baba wa watu!!

    • @jamilabenard4328
      @jamilabenard4328 7 років тому +1

      hongera sana ndugu zetu wadogo wamepoteza maisha

  • @errymtafya1389
    @errymtafya1389 7 років тому

    good

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому

    tusiache pia kurahisisha maisha yasiwe magumu wengine mateja ni university gradutesI hope.

  • @peterherman4279
    @peterherman4279 7 років тому

    kweli mweshimiwa

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 7 років тому

    Kuna kesi zakubambikiwa hasa nchi za Asia kwa watu weusi kutoka Afrika, Halafu unataka wananchi wako wanyongwe!? kweli!?

  • @peterligasiwa3651
    @peterligasiwa3651 7 років тому

    ukosefu wa ajira unaweza pelekea vijana wengi kujihusisha na madawa ya kulevya kwasababu anaona ndio alternative iliyo baki baada ya kupoteza muda wake ktk kusoma halaf hakuna ajira. lazima kijana huyu ataathirika kisaikolojia. serikali toeni ajira.

  • @nyerererubare7200
    @nyerererubare7200 7 років тому

    mh apige kazi tu

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +1

    🙌🙌🙌🙌💪👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @errymtafya1389
    @errymtafya1389 7 років тому

    goog

  • @moseslugenge949
    @moseslugenge949 7 років тому

    naunga mkono kwa asimulia 100%

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 7 років тому

    tumekusikia... vipi mikopo kwa wanavyuo tunateseka toka ulipoingia madarakani. wakati wa MH. Jakaya kikwete hatukuwahi kukosa mkopo Nini kimetokea kwako?

  • @allyomar4651
    @allyomar4651 7 років тому +1

    jpm maxima I gang a male hapakazitu,!!!

    • @allyomar4651
      @allyomar4651 7 років тому +2

      JPM lazima ugangamale hapakazitu!

  • @funguamacho5791
    @funguamacho5791 7 років тому +1

    Kwa kweli Mhe Rais Magufuli inaonekana wazi, ana chuki na watu wenye asili ya wahindi na pia rais wetu Magufuli anaonekana ni mtu wa chuki tena sana, hapendi watu maarufu, hapendi wafanya biashara na hapendi maendeleo ya Tanzania, Ni muuaji wa uchumi wa nchi na hana sera ya maendeleo. Tanzania kwa ujumla ina historia ya zulma tangu enzi ya tulipopata uhuru, tuna desturi ya kunwanyangaya mali za watu na kukomoa au kutokomeza maendeleo ya nchi. Kiuchumi Nchi yetu inazidi kurudi nyuma na kudorora, Huyu Rais Magufuli, tangu ameingia madarakani mengi mabaya yameshatokea, tetemeko la ardhi huko Bukoba, Nchi nzima kuwa na njaa, adimu Sukari, adimu mafuta ya taa na mengi mabaya, hana nyota ya kuendesha nchi. Rais Magufuli hajui kuongea maneno yake ni yaki dikteta na yasio na busara, Kiujumla Watanzania Mhe Rais Magufuli, anatukomoa sisi raia wa hali ya chini.

  • @abbasmwacheeabbasmwachee5533
    @abbasmwacheeabbasmwachee5533 7 років тому +1

    ndio baba

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 7 років тому +1

    Mh Rais Dk Magufuli please ninakuomba uikodi administration ya PDF isaidie hii vita ya madawa,. Hii kwakuwa jeshi la Police liko weak kwa mapambano haya. Pia usiisahau Zanzibar kwasababu ndio kitocu cha mihadarati

    • @zainababdullsadik1247
      @zainababdullsadik1247 7 років тому

      Maalim mombo hapo sasa hino naloo hujakosea

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 7 років тому +1

      Yes coz Tanzania PDF wameonesha discipline kubwa kwa taifa lao.Ikiwa kila mtu anajua chanzo cha kushamiri hii biashara. Kwa takriban 27yrs sasa taifa limekuwa legelege kwa vita hii ,na hasa pale msoma mashtaka anapogeuka kuwa wakili wa mtuhumia hapo lazima kuna kuwa na udhaifu katika jeshi la police. Mfano kule Zenj police alimkosoa mkemia mahakamani kwa kusema. Haikuwa coxain ila ni saruji

  • @aidanelieza7397
    @aidanelieza7397 7 років тому

    njaa inauma

  • @carendaniel6117
    @carendaniel6117 7 років тому

    mmmh

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 7 років тому

    GUUUUDI SANA PREZDAA YANI KAMA VP WAPITISHE AKO KASHELIA KA CHINA NI KAZURI SANA NA KWA HAO WANAO PINGA WENGI NDO HAO HAO BABA ZAO MA AJENTI SAAAAFIII ILA NA UYOOO UME MCHANA VZR ATA KAMA KACHEKA LAKINI UJUMBE KAUPATA

  • @edwardmarwa7213
    @edwardmarwa7213 7 років тому

    rudishen michezo mashuleni na iwe n sehem ya vipind

  • @juvenalishao1652
    @juvenalishao1652 7 років тому

    Kaza buti tuokoe vijana wetu

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 років тому +1

    anae haribu hii nchi anajulikana

  • @hecksonsamson1456
    @hecksonsamson1456 7 років тому

    dongo la mlinga hilo

  • @abdallahmagetta743
    @abdallahmagetta743 7 років тому

    umutisha magu

  • @kenchani9483
    @kenchani9483 7 років тому +1

    Hiyo unayoiita vita dhidi ya madawa ya kulevya is a JOKE Mr. President. Pale mlipoanza kuwataja wasanii na wabunge wa upinzani kama Mbowe kwamba wanahusika na biashara hii ndipo vita dhidi ya madawa ilivyopoteza umaana wake. Ni watanzania wachache wataamini upuuzi dhidi ya vita vya madawa ya kulevya. Ni ushahidi upi uliotumika kutaja kiholela majina ya watu?

    • @tumao970
      @tumao970 7 років тому +1

      Ken Chani wewe ni mtz ama?

    • @rehemaissa6042
      @rehemaissa6042 7 років тому

      Ken Chani acha siasa si mlita mapapa sasa ndo hao kwaiyo unaonekana una mazur na nch yako

    • @bazilkisibo5811
      @bazilkisibo5811 6 років тому

      We ni mbwa Malaya. Acha Rais afanye kazi shetwani mahuruni wewe

  • @abuubaraalsidan9451
    @abuubaraalsidan9451 6 років тому

    mm naogopa kukoment

  • @marlyncamden
    @marlyncamden 7 років тому +1

    hao vijana walikuwa useless kabla hata ya madawa.

    • @msaniimpyaBMW
      @msaniimpyaBMW 7 років тому

      Yawezekana Kabisa walikuwa "useless" kama usemavyo lakini madawa ya kulevya yamewaondolea hata ile hali ya u-useful wao waliokuwa nao kabla.

    • @hassanovajunior3006
      @hassanovajunior3006 7 років тому +1

      Hodari bwege wew

    • @123healthylife
      @123healthylife 7 років тому

      jifunze, yes walikuwa useless, lakini wangeweza kubadirika, kujituma na kutimiza ndoto zao hivyo kuwa mchango kwa taifa, na sasa hawatapata nafasi hiyo tena

  • @kenug4871
    @kenug4871 7 років тому +1

    kikwete we miss you a lot. maana

  • @yudomalex5499
    @yudomalex5499 7 років тому

    Good president

  • @kamanmkina8561
    @kamanmkina8561 7 років тому

    kweli mweshimiwa