Namna bendera zilivyopandishwa Ikulu mpya ya Chamwino

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 тра 2023
  • Hivi ndivyo bendera ya Taifa, Afrika Mashariki pamoja na ile ya Rais zilivyopandishwa juu kabisa kwenye uso wa jengo jipya la Ikulu mpya ya Chamwino na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu anayeongozwa uzinduzi wa Ikulu hiyo ya Makao Makuu ya nchi, Dodoma.
    TUKO LIVE #UTV108 na kwenye mitandao yetu ya kijamii.
    #UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania

КОМЕНТАРІ • 1

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +2

    Mungu ibarik Tanzania, Ila bendera zikiwa zaid ya moja haziwezi kulingana Vimo, Bendera ya Tanzania lazima iwe juu Kidogo hata Kama macho hayatoona Kwa Mbali lakini Kwa karibu Bendera ya Tanzania lazima iwe juu Kidogo